Kwa Mwaka huu 2024 SHETANI usinisumbue, Wala Usinibabaishe Funga Kinywa ukatoweke Nyamaza kimya ukapotee Kwa Jina la YESU ukapotee... Mimi ni Mshindi kwa Jina la YESU Funga Kimya u
Am not very good in swahili, but since this is one of my favourite songs, ive tried to drop the lyrics for us to understand the revelation better. nini kitanitenganisha?na upendo wa mungu baba ikiwa ni dhaiki au njaa, havitanitenga naye baba mauti, upanga na dhihaka, havitanitenga naye baba x2 sina hofu sibabaiki, kwake yeye nitashida milele yote nitashida ,tena zaidi ya kushinda kwake yeye aliyenipenda...... x2 kwenye zamu yangu nitasimama eeeh kwa miguu yangu nisasimama nione bwana atakavyo nijibu ....mimi,, kwa habari ya kulalamika kwangu bwana aliniambia neno hili, usiogope maneno yao usitetemeke mbele yao, usifaidhaike mbele yao... maana imeandikwa kwa ajili yako ninauwawa kama kondoo wa kuchinjwa kifo nimehesabiwax2 mimi sibabaiki Shetani usinisubue x2 wala usinibabaishe ....x2 funga kinywa ukatoweke x2 nyamaza kimya ukapotee, kwa jina la yesu ukatowekee nyamaza kimya ukapotee, nyamaza kimya ukapotee sina hofu sibabaiki, kwake yeye nitashida milele yote nitashida tena zaidi ya kushinda kwake yeye aliyenipenda...... x2 kila neno la mungu limehakikishwa tena ni ngome kwa wamwaminio tena ni ngao kwa wao wamwitao..baba kabla ijawa misingi ya dunia yeye huyo alikuweko, mzaliwa kazi ya mungu , mng'ao wa utukufu na utakazo wa dhambi atakuwa kwangu baba, nami kwake niwe mwana asifiwe mungu wa mapendo asifiwe mungu wa huruma asifiwe mungu wa amani asifiwe mungu wa mapendo x2 ametenda maajabu, dunia ishangilie sisi ......... nyimbo asifiwe mungu wamapendo
Twaweza ku mlipa nini huyu dada yetu Rose acha mimi na wewe tu muombee Mungu azidi kumupa nguvu kusimama mbele zake na kumutumikia kikamilifu. Asante sana
Amen ❤nimeaza kusikiliza nyimbo izi nikiwa bado mdogo kipindi icho nasoma shule ya msingi mpak leo nabarikiw na izi nyimbo nikiwa miaka 29.nimtu mzima sasa2025❤
shetani usinisumbue🙋 wala usinibabaishe🙋 funga kinywa ukatowekeee nyamaza kimya utapotea sina hofu sibabaiki kwake yeye nitashinda milele yote nitashinda tena zaidi ya kushinda kwake yeye aliyenipendaaaaa🙋🙋🙋🙋🙋
Psalm 82:5-7. Mimi sijali watu watakavyosema juu yako Rose Muhando. Ninachijua ni kwamba were huimba nyimbo zilizopakwa na Roho mtakatifu. Rose, usikubali kufa kama mtu wa kawaida. Wewe ni mwana wa Mungu aliye juu sana. Tupo kati ya wale wanaoelewa mambo haya.
2022 where are you? Upon salvation death is placed on our head for he did it for us. But the victory there after is un-compearable with what we suffered.
When pple they sing with their heart and in genuinely God listens nowadays to sing gospel most it's just fashion show off and money upfront. May God bless these humble pple and lift them high
Wow 😯, am so blessed by this song, and as it has been said by Jane Sassy, Rose Muhando is a warrior and an encouragement, thanks be to God who strengthened her and walked with her because she is such an inspiration 🙏🙌
shetani usinisumbue wala usinibabaishe funga kinywa ukatowekeee nyamaza kimya ukapotea sina hofu sibabaiki kwake yeye nitashinda milele yote nitashinda tena zaidi ya kushinda kwake yeye alienipendaaaaa
Team 2024 Les gather here
❤❤❤🎉🎉 the song is getting sweeter
Here we are ❤❤
❤❤❤❤❤
Sijawai kosa nyimbo za Rose mu sim yangu,
Mimi ni shabiki mkubwa wa Rose apa congo 🇨🇩
Kwa Mwaka huu 2024
SHETANI usinisumbue, Wala Usinibabaishe
Funga Kinywa ukatoweke
Nyamaza kimya ukapotee
Kwa Jina la YESU ukapotee...
Mimi ni Mshindi kwa Jina la YESU
Funga Kimya u
7/10/2023 who is with me or am i alone this song is a masterpiece of its kind it can not get old i will come back 2050 to comment inshallah,,🙏🙏
2024❤❤...Nothing can separate me from the love of God
No one
Sina hofu sibabaiki,,, kwake yesu nitaxhinda
Am not very good in swahili, but since this is one of my favourite songs, ive tried to drop the lyrics for us to understand the revelation better.
nini kitanitenganisha?na upendo wa mungu baba
ikiwa ni dhaiki au njaa, havitanitenga naye baba
mauti, upanga na dhihaka, havitanitenga naye baba x2
sina hofu sibabaiki, kwake yeye nitashida
milele yote nitashida
,tena zaidi ya kushinda
kwake yeye aliyenipenda...... x2
kwenye zamu yangu nitasimama eeeh
kwa miguu yangu nisasimama
nione bwana atakavyo nijibu ....mimi,,
kwa habari ya kulalamika kwangu
bwana aliniambia neno hili, usiogope maneno yao
usitetemeke mbele yao, usifaidhaike mbele yao...
maana imeandikwa kwa ajili yako ninauwawa
kama kondoo wa kuchinjwa
kifo nimehesabiwax2 mimi sibabaiki
Shetani usinisubue x2
wala usinibabaishe ....x2
funga kinywa ukatoweke x2
nyamaza kimya ukapotee, kwa jina la yesu ukatowekee
nyamaza kimya ukapotee, nyamaza kimya ukapotee
sina hofu sibabaiki, kwake yeye nitashida
milele yote nitashida
tena zaidi ya kushinda
kwake yeye aliyenipenda...... x2
kila neno la mungu limehakikishwa
tena ni ngome kwa wamwaminio
tena ni ngao kwa wao wamwitao..baba
kabla ijawa misingi ya dunia
yeye huyo alikuweko, mzaliwa kazi ya mungu ,
mng'ao wa utukufu na utakazo wa dhambi
atakuwa kwangu baba,
nami kwake niwe mwana
asifiwe mungu wa mapendo
asifiwe mungu wa huruma
asifiwe mungu wa amani
asifiwe mungu wa mapendo x2
ametenda maajabu, dunia ishangilie
sisi ......... nyimbo
asifiwe mungu wamapendo
Umejitahidi
unabore sana,eti uelewi kiswahili
@@gradecup3748 😂😂😂😂Ndo nashangaa
Wow...asante Sana dada...have been looking for lyrics...ubarikiwe
Thank you so much!!
1st of February 2024 saseni....team Rose
Wimbo mzuri wenye ujumbe wa kuinua sana, barikiwa.
Back them days.... Her best album ever
Yeah but cannot compare to secret agenda
Anyone with me 2020 watching to God's message
Me up to 2021
2021 mamaa I still have this songs in my mind, this songs were heavenly
Here in 2021 Nov
@@rwothomiajane7527 bzBBbhnbbbbj
Me here with you
year 2023 am still blessed by this song ❤❤❤
Twaweza ku mlipa nini huyu dada yetu Rose acha mimi na wewe tu muombee Mungu azidi kumupa nguvu kusimama mbele zake na kumutumikia kikamilifu. Asante sana
❤❤❤ ama kweli hii wimbo imenifariji sana nakuzidi nakunijaza imani
Every moment I listen to this song ,truly God can raise someone to a greater and mighty levels.Amen
This song is so heartfelt ❤, I thank God for such a minister, a great inspiration to me and also to many others
Hallelujah 🙌, glory to Almighty God
Barikiwa sanna dada Rose muhando watching from Abudhabi UAE
This is real praise & worship. I still listen to your old songs Dada, lakini the spirit in it is still fresh.
Me too have never get tied of listening to her songs since then
2019 Kunaye karibu ama nko peke yangu nipewe likes
Hambababababaaa wiwiwiiiiii 😊🥰 ubarikiwe
Alguém aí ouvindo essa maravilhosa obra em 2024 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
It's still freshly blessing ❤🎉
Crossing with it to 2024 Despite all i strongly believe NITASHINDA
I've found myself listening to Rose's old songs 😢. Scripture based n the anointing is flawless 😮! Ah! Lots of stuff to reflect on.
Same here
Sijui Rose yeye mwenyewe ako hai kama huu wimbo wake, still rocking 💯💯💯💯♥️♥️♥️
Yupo uhai Kabisa
Tena vizuri sana
Rose Muhando la vaillante et brave servante de Dieu vivant.
Que Dieu te benisse et te restaure pour le bien de son église.
This is the rose muhando that we all miss. Wacha tu. And the producers who worked on these audios did such an exceptional job. Among her best albums.
Absolutely
huu ni wimbo bora kabisa, naendelea kusikiliza kila dakika moja. Mungu akubariki Rose na Uishi zaidi
Juba-Sudan Kusini
Amen ❤nimeaza kusikiliza nyimbo izi nikiwa bado mdogo kipindi icho nasoma shule ya msingi mpak leo nabarikiw na izi nyimbo nikiwa miaka 29.nimtu mzima sasa2025❤
To think that she sang most of her songs when she was deep in darkness,betrayal and depression... indeed God is great...2021 jamming to it
The faithfulness of God is seen in her. She has a story. She's a testimony indeed
@@alexmwaniki4272 Hallelujah 🙌🙏
@@cynthiamuriithi4678 l.
Amina 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾... bado tunasikiliza wimbo in 2022🙏🏾
Mungu chukua heshima yako
Hafananishwi 🔥🔥🔥
Nothing 🤪 can separate me from the LOVE OF GOD
Rose am from Nigeria your songs always encouraging me
shetani usinisumbue🙋 wala usinibabaishe🙋 funga kinywa ukatowekeee nyamaza kimya utapotea sina hofu sibabaiki kwake yeye nitashinda milele yote nitashinda tena zaidi ya kushinda kwake yeye aliyenipendaaaaa🙋🙋🙋🙋🙋
Na kweli hakujapatikana jambo ambalo litamzuia na Mungu majaribu ameyashinda.
It's 2022, who's with me now?am really enjoying this song,all the way from Malawi(🇲🇼)
May God keep you going our dear mother 'rose' the song is such a blessing to me.... indeed ni Mungu wa mapendo
Asifiwe mungu wa mapendo
Psalm 82:5-7. Mimi sijali watu watakavyosema juu yako Rose Muhando. Ninachijua ni kwamba were huimba nyimbo zilizopakwa na Roho mtakatifu. Rose, usikubali kufa kama mtu wa kawaida. Wewe ni mwana wa Mungu aliye juu sana. Tupo kati ya wale wanaoelewa mambo haya.
Watching 2024 as fresh as it has just been released from the studio
Heavenly blessings,we COULDN'T ask for more.
1,9,2024 jamani mko powa wote nawasalimu kwa jina la Yesu nawapenda sana
2023 November..... Still amazed by this song
2022 where are you? Upon salvation death is placed on our head for he did it for us. But the victory there after is un-compearable with what we suffered.
No song lights up my spirit the way this does, it never get old. It's message is full to the brim! Asifiwe Mungu wa Mapendo daima na milele.
Asifiwe bwana Yesu wako❤❤❤
I love uuu precious lady, may God grant you yo hearts' desires💕🙏🥰
19/11/2024 bado unaishi huu wimbo naupenda sana ❤
Haswaaaaa shetani asitusumbue atupishe mbali
Hakuna Cha kunitenga na Baba yangu ambaye ni Mungu anayeishi milele
Asifiwe Mungu wa mapendo! Salute
Mungu wa mapendo...mungu akubalike Rose muhando
Waaaau ushindi kwa mungu
mungu ni mkuu..........hakuna kitakachoniteganisha
I real miss that short lady who danced at this song,rose mtafute huyu dada acheze wimbo mwingine
ukweli hakuna kitakachonitenga na mungu wangu nikiwa na imani
Bado yavuma kazi nzuri sana bado twaitizana 2018
She won,she ruled but about now i cannot explain.
Her dancers are always on point
2019 hakuna kitakacho kutenga na mungu. Bwana ameona jaribu lako na utabata uponyaji Rose. Maana shetani ameshindwa na amefunga kinywa
Wow am so blessed may God be with you
woiii mungu akubariki tu sana Rose coz nyimbo zko zinaokoa
Who is with me in 2023? I don't understand the language but I really love rose mhando❤❤
Glory to God nani mwingine anasikiza huu wimbo September 3,at 0 9:00 am
It's still of the best 2018.Amen
When pple they sing with their heart and in genuinely God listens nowadays to sing gospel most it's just fashion show off and money upfront. May God bless these humble pple and lift them high
She passed well the test of time❤
If you're watching this song in 2017 raise your Hand ✋️
Amahoro Masa
✋
Watching in 2018
nyc one,, kip up,,
woi this song is ministering to me than ever before
💞💞🙏🙏
huyoooooo huyoooooo🙋ni nini kitanitenganisha na upendo wa mungu wangu. 🙋
Shetani usinisubue hakitu kitanitengnish na upendo wa mungu God bless ua work Rose
From 1:23 to 2:02:Mimi sibabaiki ❤💪💪💪💪💪
Waaaau,am touched
Akuna wimbo nzuri kuliko hii aki rose muhando mungu akupe nguvu ya kuendele dada
Rose ilove u alot na nyimbo zako pia zinanibariki sana
Kila neno la mungu limehakikishwa
Mungu chukua utukufu wako🙌🙌🙌 aisee naenda kudownload huu wimbo
When am listening to this song, it brings the kingdom of God down on me, rose you're a woman of God,Mungu akubariki,
From Romans 8. This is such a spiritual song.
Mungu ni mwema ❤.
asifiwe mungu wa mapendo
If you here 2024 pita na like😊
be blessed madam ......ni ni kitanitenganisha na upendo wake baba
huyoooooooo🙋 huyoooooo🙋 huyooooo🙋.Nini kitanitenganisha na upendo wa mungu wangu 🙋
Ee Mungu chukua heshima Yako. 3:55
The wee days of Rose Mhando...may the good Lord restore her in Jesus Name
Amen
Amen
She's restored. God is faithful
Wow 😯, am so blessed by this song, and as it has been said by Jane Sassy, Rose Muhando is a warrior and an encouragement, thanks be to God who strengthened her and walked with her because she is such an inspiration 🙏🙌
🙌🙌🙌🙌
Those of us listening to this song in 2025, God blessings.
I love the Lord cause He is yeah and Amen. May He continue to bless Mtumishi Muhando Rose. My all time star!!
2023 lit ndani when gospel made you turn to God kenya🇰🇪🇰🇪
Still in 2020 when I feel I am down I always come to this song and gain back my strength
2023 and still love this,thanks
Barikiwa sana mwimbaji.
Song of my heart "Kila Nemo la mungu limehakikishwa mara 7.
I keep looking foe this song, for some strange reason sijawai shika jin aya wimbo.. I love it
Her..songs never gets old
siogope maneno yao🙋 sitetemeke mbele yao🙋 sifadhaike mbele yao 🙋🙋🙋kwani imeandikwa kwa ajili yake .🙋
glory be to God siz Rose nikitu gani kitanitenga na Mungu baba
huyooooo huyoooooooo iyeleleleeeeeeee.ni ni kitanitenganisha 🙋na upendo wa mungu wangu
sina hofu sibabaiki kwake yeye nitashinda💪 milele yote nitashinda💪 tena zaidi ya kushinda💪 kwake yeye alienipendaaa🙌🙌🙌🙌
shetani usinisumbue wala usinibabaishe funga kinywa ukatowekeee nyamaza kimya ukapotea sina hofu sibabaiki kwake yeye nitashinda milele yote nitashinda tena zaidi ya kushinda kwake yeye alienipendaaaaa
Casine Obote Mimi sibabaiki shetani usinisumbue wala usinibabaisha
2022 niko hapa nabarikiwa.. je, yuko yeyote aungane nami?
Huyu ndie rose Muhando
This song reminds me of my fallen hero...
asifiwe mungu wa mapendo'
Asema Mungu chukuwa utu kufu wako,ah😧,that's true worship, we magnify you lord,