Idadi ndogo ya wanafunzi yarejea shuleni Migori kutokana na mafuriko

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Ni Idadi ndogo tu ya wanafunzi iliyofika shuleni katika Maeneo ya Nyora, Kabuto na Angugo kaunti ya Migori huku madhila ya mafuriko yakiendelea kushuhudiwa katika maeneo hayo.

Комментарии •