Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi ya sikukuu ya pentekoste Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Rohoho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Amen 🙏 shukran sana kwa wote wanaousika kwenye hizi video munafanya kazi nzuri sana. Ila Ninaombi kama inawezakana muwe munaonganisha SALA zile za kabla misa kuanza kwenye videos kwa sababu zinaumuhimu nazo. Aksanteni kwa usikilivu mwema
mm nimekuwa mkatoliki ila kwa sasa siko tena kbs badala ya kujua ukweli wa biblia nikakuta katoliki sio dini ya kweli ya Mungu kufuatana na vitabu vyao na mafundisho yao,kifupi katoliki ni babeli maana yake katoliki ni confusion!
Mungu mwema awazidishie
Asante sana dada ❤️
Siko mromani lakini napenda nyimbo zao sana na zinanifanya nimkumbuke tate yangu 😢😢😢😢😭
Mubarikiwe sana🙏🙏
Najiskia raha ajabu Mungu awabariki sana ❤
Wow hongereni sanaaa
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi ya sikukuu ya pentekoste Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Rohoho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Safi sana cameraman, unatukumbusha mengi. Nostalgia
Nzuri saaaana
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
Much love from Cameroon, i really do love these people
Awww 🥰
Amen 🙏 shukran sana kwa wote wanaousika kwenye hizi video munafanya kazi nzuri sana. Ila Ninaombi kama inawezakana muwe munaonganisha SALA zile za kabla misa kuanza kwenye videos kwa sababu zinaumuhimu nazo.
Aksanteni kwa usikilivu mwema
Sawa
Amen
Miss my church 🥹😭
Kweli kabisa.
Yooo 🥺😍😍
Amen 🙏🙏
❤🎉
😍😍
Amina
Amen Amen 🙏 🙌
Muzidi tu kurusha vitu kama hivi ,sisi tulio Mbali kiasi naninyi tunanufaika Sana kuona Misa kama hii,
😭❤️❤️🙏🏾
🎉🎉❤❤❤😊😊
Se um

Get out😵💫😵💫😵💫
Amina
Amen