DEREVA WA SIMBA AFUNGUKA MAZITO WAKIWA NJIANI/ WACHEZAJI KUFANYA FUJO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 53

  • @PendoJoram
    @PendoJoram 4 месяца назад +4

    Tunamwomba mungu aitie nguvu simba pia na wachezaji wote waongeze juhudi ahidi yetu itimie ubaya ubwela ❤❤❤

  • @laurentsilwamba7175
    @laurentsilwamba7175 4 месяца назад +8

    Brother peter big up sana mungu akutangulie katika kazi yako

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 4 месяца назад +29

    Huyu ni DERE mwenye weledi na kaz yake yaani simbaaaaaaa nawapongeza enough mature

  • @hassanimfangavo3690
    @hassanimfangavo3690 4 месяца назад +10

    Mungu akutangulie kwa kila jambo ww nidereva wakipekee xn tunajivunia kua na ww ❤❤💪💪💪💪

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 4 месяца назад +6

    Ongera sana kaka wa mnyama mwenzetu❤❤❤❤

  • @SichaliJuan
    @SichaliJuan 4 месяца назад +1

    Family ni Moja tyu 👉 Crown 👑 Media 🔥🔥

  • @GOODLUCKSEFANIA
    @GOODLUCKSEFANIA 4 месяца назад +3

    Katika itarveu niliowaikuona nibora sana kwangu niya dereva wasimba achiliambali kwamba nidereva lakini alivyo kua anajibu nizaidi ata yamwandishi aliekua anamuoji ila nimegundua nidereva anaefatilia sana sheria za kaziyake kama dereva big up super drive one love wewe kwangu ndio bora kuliko ata Wanasiasa

  • @MudiMnyamwezi
    @MudiMnyamwezi 4 месяца назад +7

    Dereva wa group stage, dereva wa CAF. Nomaa

  • @mrishotv5553
    @mrishotv5553 4 месяца назад +12

    Hongera

  • @LamjiGwave
    @LamjiGwave 2 месяца назад

    Mungu akubali dereva 💪💪

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 2 месяца назад

    Mm nilidhani Ahmed Ali

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 4 месяца назад

    Hongera nafuata nyayo zako❤❤

  • @PendoJoram
    @PendoJoram 4 месяца назад

    Upo sawa dreva hongera

  • @HalaZanzibar
    @HalaZanzibar 4 месяца назад +8

    Kama bonsai ya wachezaji wanakuunganisha safi sana

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 4 месяца назад +15

    Mashabiki wa Simba wote wana akili timamu 🎉🎉🎉🎉

  • @RashidShedaffa-v9x
    @RashidShedaffa-v9x 2 месяца назад

    Kila kitengo Simba iko vizuri,tofauti na walamba asali.
    Simba Queens wanaongoza ligi....Kaka zao Simba S.C. wanaongoza ligi ....Mashabiki bora Afrika Simba S.C.....Mitandaoni nako ni no.3 Afrika.....nk. Simba Ubaya Ubwela".

  • @MasanjaChalesibukelebe
    @MasanjaChalesibukelebe 3 месяца назад +1

    Siwezi kuisahau timu yangu daah

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 4 месяца назад +5

    Crown 🔥🔥

  • @sandesalmin1880
    @sandesalmin1880 4 месяца назад +11

    Dereva mwenye sifa kuendesha wazee WA hatua ya makundi

  • @PeterMwimanzi-cr1ev
    @PeterMwimanzi-cr1ev 2 месяца назад

    Wajina huyoooo hakuna peter fala

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o 4 месяца назад +3

    Una akili Sana 🙌🙌🙌🙌

  • @jafaryadamu5675
    @jafaryadamu5675 4 месяца назад

    Nice driver ❤❤😅

  • @IsayaMalinda45
    @IsayaMalinda45 4 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @chrismtitu799
    @chrismtitu799 4 месяца назад

    Nimeipenda hiyo "Traffic shabiki wa utopolo kalisimamisha bus la Mnyama"😂😂😂

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 4 месяца назад

    Hongera dreva ubinadamu mtupu simba nguvu mmoja,ubaya ubwela

  • @SiwatuZuberi
    @SiwatuZuberi 3 месяца назад

    ❤❤❤❤

  • @raphaelnyigo8740
    @raphaelnyigo8740 4 месяца назад

    💥💥💥💥💥

  • @KusekwaKazimili-q7f
    @KusekwaKazimili-q7f 3 месяца назад

    Dereva mziri sana

  • @Thegame-607
    @Thegame-607 4 месяца назад +1

    Mtu wa mana kabisa davo

  • @heisprinceeee
    @heisprinceeee 4 месяца назад +1

    SAUTI YAKE KAMA YA AHMED ALLY KWA MBAAAALIIII😂

  • @PillyKitwana
    @PillyKitwana 3 месяца назад

    Simba nguvu moja

  • @adielcharles4402
    @adielcharles4402 4 месяца назад +4

    Huyu dereva anajibu maswali kama dereva lkn Mimi naelewa maswali ya mshkaji hayajalenga kile anachojubu dereva 😂😂😂

  • @HusnatShabani
    @HusnatShabani 4 месяца назад +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🦁🦁🦁💪💪

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa 4 месяца назад +7

    Mwandishi, kumbuka matokeo ni matokeo,ukifunga ni matokeo ukifunga na sare pia ni matokeo,siyo kama unavyosema kwamba Kuna wakati hawapati matokeo

  • @MunirAbdullah-sy8ks
    @MunirAbdullah-sy8ks 4 месяца назад +1

    Nassib mkomwa mtangazaji mahiri sanaa

  • @MasanjaChalesibukelebe
    @MasanjaChalesibukelebe 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @JosephshadrackJosephshadrack
    @JosephshadrackJosephshadrack 4 месяца назад +2

    😮

  • @MohamedRugamana
    @MohamedRugamana 4 месяца назад +2

    Jamaa kichwa hiki

  • @MohamediYasini-q1b
    @MohamediYasini-q1b 3 месяца назад

    Ametixha

  • @Shabaniomari-f9l
    @Shabaniomari-f9l 4 месяца назад +3

    Ubaya ubwelaaaa

  • @oscardramboy2272
    @oscardramboy2272 4 месяца назад

    Derev wa mabingwa wa shirikisho CAF

  • @Kainga47
    @Kainga47 4 месяца назад

    Semaji kashasema saiv kila anayefanya kazi simba ni star😂😂

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 2 месяца назад

    Ubaya ubwela

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 4 месяца назад +3

    Nakbr

  • @OmmySumuyao-g4r
    @OmmySumuyao-g4r 4 месяца назад +1

    Og

  • @rahimkihiyo8799
    @rahimkihiyo8799 4 месяца назад +2

    Akili na Moyo

  • @mirajimwango5763
    @mirajimwango5763 4 месяца назад +4

    UKO VIZUR MTANGAZAJI

  • @JohnsonMsumeno
    @JohnsonMsumeno 4 месяца назад

    Kusema kweli Mimi shabiki wa simba Bali huyo dereva apunguze speed zake juzi katukosa kutugonga mbweni roundabout

    • @grandiv6850
      @grandiv6850 4 месяца назад +1

      ukiiona ipishe ulitaka upishwe wewe au? wakati watu wanaenda na muda

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 4 месяца назад

    Kwa nn Uto uwaite wananchi? Huyu dereva ni Yanga