UCHAMBUZI WA DK.SLAA KESI YA MDUDE LEO TR-26.KAFICHUA MAZITO YA RAIS SAMIA NA CCM UCHAGUZI 2024/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 44

  • @mamatvtz
    @mamatvtz 3 часа назад

    Chadema ni wajinga. Ccm mbele kwa mbele

    • @knight6757
      @knight6757 3 часа назад

      🤔

    • @theinnocentignas
      @theinnocentignas 3 часа назад +1

      Sawa mama.

    • @goodluckjohnuiso-gt1fg
      @goodluckjohnuiso-gt1fg 3 часа назад

      Unafurahia binadamu /mtanzania mwenzako kuumizwa???

    • @julianamwamgogwa
      @julianamwamgogwa 3 часа назад +1

      Kweli ccm mbele kwa mbele kama vipofu chama limejaza umwagaji dam sasa limeamua kufanya kafala juu ya dam za wanainchi wake i jipu linapo pasuliwa linauma maumivu yakina mdude ali kibao nawakinasoka nawengine walio kufa na walio achwa vilema havita waacha salama wao na watoto wao wana pesa lakini hawatakuwa naamani na mapesa yao na magali yao

    • @knight6757
      @knight6757 3 часа назад

      @@goodluckjohnuiso-gt1fg 🇹🇿😭

  • @kaijageprivatus3734
    @kaijageprivatus3734 38 минут назад

    Mungu Aonaye sirini asimame na kutupigania watoto wake ili haki itendeke na amani itawale

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js Час назад +1

    Kwani polisi waliomkamata siwanaishi mtaani na ndugu zao,tulipo fika bora tuumizane tu,polisi mjirekebishe laasivyo hamtaamini macho yenu one day

  • @evelina9621
    @evelina9621 12 минут назад

    😢raisi
    Wetu
    Wakati
    Huu.unavuka.mto.usiangalie.tumia.akili.yako.daraja.likojje..tazama.namacho
    Yako.mawili.naķuomba.hurumia.wanatesekà.polis.wako
    Chini.yako.waambie.wasaidie.walipotea.asentemamaraisi

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Час назад

    CCM siyo sanduku la Agano kwa Wa tz ni lazima itafaka mwasho itaishia katika bahari ya sham

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Час назад

    Mavuno yamekaribia sana

  • @EzraAmon
    @EzraAmon 3 часа назад +2

    Unafeli kama yesu tena

    • @EmanuelEmanuel-v5s
      @EmanuelEmanuel-v5s 2 часа назад

      Yesu ni mungu mkiri yesu akuokoe Leo dada yangu

    • @matiankomola2391
      @matiankomola2391 2 часа назад +1

      Acha kushirikisha mambo ya siasa na masuala ya Yesu.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Час назад

    Ana makosa Gani? Mbona hakuna mwana CCM aliyekamatwa

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO Час назад

    ACHA UONGO WEWE KENGE SIKU YA MAANDAMANO HUKUTOKA WALA HUTO MDUDE HAKUONEKANA NYINYI MNAMTUMA MDUDE AMTUKANE RAIS SILAA MJINGA WEWE

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 3 часа назад +1

    Kwakwel Mzee wangu Leo umekasilika sana uenda mama atasikia aweze kutoa maelekezo sahihi kwa vyombo vya ulinzi na usalama

    • @RobertChacha-si1js
      @RobertChacha-si1js Час назад

      Sema polisi sio vyombo vyote, sisi jeshi la wananchi hatufanyi huu unyama

  • @PaschalMsina
    @PaschalMsina 3 часа назад +3

    Mzee punguza mihemuko

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 42 минуты назад

    Acha uchochezi wewe Mzee,
    Muda wako ni saa 12 jua karibia kutua
    Ni njaa Kali tu inakusumbua.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Час назад

    Mkuu wa mko wa songwe atakuwa mhusika jeshi lolote katika inch hi siyo jeshi la mtu ni Jeshi la wananchi wa Tanzania ni kwa nini jeshi linatumia nguvu nyingi kuwanyanyasa Chama kimoja tuuuu ina maana kila wanapokusanyika polisi wanatumia nguvu nyingi kuwaumiza watu hiyo damu itawarudi tu kwa ukatili

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 2 часа назад

    Dawa ni kushugulika na kituo kilichohusika na police aliemkãmata

  • @MarwaKipilipili
    @MarwaKipilipili 2 часа назад

    Hivi mtu akikamatwa na polisi tiyali huwa anakosa? Nadhani mahakama ndo huwa wanabaini kosa la mtu.

  • @ObeidChamila
    @ObeidChamila 3 часа назад +3

    Dr Slaa ww ni mnafiki huaminiki ww hapo unazuga tu LKN upo upande unaijua ww na NAFSI yako

  • @RutaJuvent-d8z
    @RutaJuvent-d8z 2 часа назад

    MUNGU baba yatosha tutie 1:01:48 1:01:50 nguvu tuingie vitan,kwa ajil ya watu wako tufe wachache wengi wabak na aman

  • @RutaJuvent-d8z
    @RutaJuvent-d8z 2 часа назад

    E rais,unatesa na kumaliza watu wahak tena wanaume bila aibu nahuruma.umesahau ulikotoka,umeingia urais bila jasho na haikua ndoto yako.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Час назад

    Wewe huna adabu mtune baba yako toa mchongo wako wewe yai viza kwali

  • @lukmansaid590
    @lukmansaid590 Час назад

    Hakuna diaspora atashughulika na ujinga wenu

  • @lukmansaid590
    @lukmansaid590 Час назад

    Dk slaa anaongea ujinga hawezi kumpa onyo Rais kwa ujinga wa mtu mmoja anapotoa matusi ya kumkashifu Rais mbona slaa yeye hatukani kuheshimu mamlaka ni lazima sio ombi vyombo vya ulinzi kazi yao kulinda watu na mali zao na amani ni haki na mali ya kila mtu

  • @RutaJuvent-d8z
    @RutaJuvent-d8z 2 часа назад

    Ezra amon,na laana iwejuu yako kusema mtakatifu wa MUNGU amefeli.usipotubu.Yesu alishinda maut na tumekombolewa.bila yeye hatuwez lolote.

  • @PetroPmibulo
    @PetroPmibulo 3 часа назад +2

    Hovyo

  • @MailaMakambi-g9x
    @MailaMakambi-g9x 2 часа назад

    Mmmm!!!

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 54 минуты назад

    Wewe mzee W. Slaa Kwa kauri zako hizo za uchochezi utaiingiza nchi hii ktk machafuko.
    Wewe Slaa ndo unayekoka moto kuchochea vijana waivuruge nchi.
    Kwa Nini wewe kuwa kidete kumrushia maneno machafu Rais.
    Mzee unazeeka vibaya wewe.
    Hupendi amani , ni mchochezo mkubwa wa fujo.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 36 минут назад

      Tunaangalia pale tulipojikwaa. Sio kule tunapoaangukia.

  • @lukmansaid590
    @lukmansaid590 Час назад

    Umeumia. Sana kibaraka mwenzio kuwekwa ndani nchi hatuwezi kuwacha watu wajaribu kuchafua nchi na amani

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 39 минут назад

      Ukibaraka hapo hakuna, Tumwogope Mungu Ndugu.

    • @johnmlay8366
      @johnmlay8366 23 минуты назад

      Vibaraka ni ninyi mnayeuza nchi kwa wageni

  • @lukmansaid590
    @lukmansaid590 Час назад

    Dk slaa anaongea ujinga hawezi kumpa onyo Rais kwa ujinga wa mtu mmoja anapotoa matusi ya kumkashifu Rais mbona slaa yeye hatukani kuheshimu mamlaka ni lazima sio ombi vyombo vya ulinzi kazi yao kulinda watu na mali zao na amani ni haki na mali ya kila mtu