Asanten watumishi wa Mungu. Je kwa katiba mpya . Fundisho hilo tunaliekaje. 12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu. Ufunuo wa Yohana 14:12 PIA VITA YA JOKA/SHETANI IPO HAPA. 17 Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari. Ufunuo wa Yohana 12:17
God bless you Bishop ngonyani .nakufuata kila siku mafundisho yako bora sana na niya haki. nikiwa Kenya maasai mara.
Asanten watumishi wa Mungu.
Je kwa katiba mpya .
Fundisho hilo tunaliekaje.
12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.
Ufunuo wa Yohana 14:12
PIA VITA YA JOKA/SHETANI IPO HAPA.
17 Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.
Ufunuo wa Yohana 12:17
Hongereni sana Maaskofu, Mungu awabariki
Nimefurahi Sana na nazidi kubarikiwa sana
Shule ya m-Tanzania!
Toeni fungu linaonyesha jumapili ni siku ya Ibada ..?
Tupo pamoja kufuatilia
Jibu kusu Sabato umedanganya kabisa..Naomba fungu ambalo linaonyesha Yesu au nitume walisali siku ya Kwanza ya juma? Mnadanyanya sana mtalipwa tu
Mpendwa mi nadhani uko kwenye ubishi wa udini kwani maaskofu wameainisha vizuri sana
Yani nyie maaskofu ni mapacha clip hii na iliyopita vimewaweka waamini huru sana ktk suala la zaka