HIVI NDIVYO CHADEMA KARATU WALIVYOKINUKISHA USIKU KUCHA KWA DAS, WAGOMBEA WAO WAAMBULIA KUENGULIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 20 часов назад

    Safi sana Chadema huwa nawapenda bure mnapendana

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 10 часов назад

    CCM mtalaaniwa mpaka lini kweli hata vizazi vyenu vitakumbukwa mtaanguka vipaya sana

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 16 часов назад

    Nakumbuka kifo cha Aquilina Aquilin mambo yalianza hivi hivi, mawakala walinyimwa barua za kusimamia, ikabidi chadema wamalize mkutano waende kufuatilia barua za mawakala ndipo kukatokea kifo. Naomba mama Samia alisema ana intelgensia, kama ni ya samaki tutajua na kama ni ya SAMIA tutajua.

  • @PauloLaizer-c7f
    @PauloLaizer-c7f 11 часов назад

    Mda ni mwalimu ccm badilikeni

  • @OscarTossy
    @OscarTossy 20 часов назад

    🎉stivemweusinandalo

  • @FrankJuma-i8m
    @FrankJuma-i8m 20 часов назад +1

    Ccm msiwe mazuzu hawa watu cyo wakupuuzwa wanahoja msijidanganye kutumia vyombo vya ulinzi na usalama haki pekee ndio usalama wenu na utulivu wa nchi pia, kama hamuamini subirini huu ni mtori nyama tutazikuta chini...

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 20 часов назад +1

    Ondoeni hii hbr ya uteuzi hii haina faida yoyote ni kuleta kero mtu Alisha pitishwa na chama chake imetosha

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 20 часов назад +1

    Serekali CCM tendeni haki nchi ni yetu sote ,msichagulie watanzania viongozi mnajenga chuki baina yetu watanzania. Mnaharibu hii nchi kwa tamaa za madaraka.

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 8 часов назад

    Ccm mnabeba zambi