jinsi ya kushona gauni la mwendoka la lastic shingoni na tumboni na mkononi hatua kwa hatua

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 53

  • @IdameryKiwali
    @IdameryKiwali Год назад +1

    Nimeipenda Sana kazi yako Dada yangu 🙏🙏🙏 MUNGU akubariki

  • @GraceHussein-r7b
    @GraceHussein-r7b 2 месяца назад

    Cjaelewa vzr dada Jin's ya kupima vipande vya juuu

  • @JamilaMiraji-i3n
    @JamilaMiraji-i3n Год назад

    Nimeipenda Sana unajua kufundisha,,nmeelewa vzur

  • @mamadoromamadorothea-ij9zd
    @mamadoromamadorothea-ij9zd 6 месяцев назад

    Dada naomba unifundishe overlap blause

  • @mariamsimba1710
    @mariamsimba1710 Год назад +1

    Asante Sana unafundisha vizuri sana

  • @LeylatMohamed
    @LeylatMohamed 10 месяцев назад +1

    Sijaelewa namn ya kupim top ya juu naomb nitumie link

  • @BerthaMwaiteleke-kg5ck
    @BerthaMwaiteleke-kg5ck 11 месяцев назад

    Asante sana mwalimu ninakuelewa sana yaani unaeleweka sana

  • @kelsonmulaki24
    @kelsonmulaki24 Год назад

    Asante sana mamy nimefuraji san KWA mafundisho y'ako,,,ila samahan naomba unitumie link kwenye shigo

  • @ElizabethGiligita-uc1ei
    @ElizabethGiligita-uc1ei Год назад

    Unafundisha vizuri dada hongera

  • @IssufoChicota
    @IssufoChicota Год назад

    Nimeipenda sana kichwa yako dd uko vzuri sana,,,

  • @EddahGamba
    @EddahGamba Год назад

    Kazi nzur sana dada naomba unitumie Link jins yakukata iyo mikono nakushon mifuko!

  • @ShamilaKarim
    @ShamilaKarim Год назад

    Shukrani sana kazi nzur

  • @GABRIELAATHUMAN
    @GABRIELAATHUMAN 6 месяцев назад

    Pia mfuko cjaelewa vizuri naomba unitumie link

  • @ManmbokhaMwaisolokha
    @ManmbokhaMwaisolokha Год назад

    Kazi nzuri ahsante

  • @GABRIELAATHUMAN
    @GABRIELAATHUMAN 6 месяцев назад

    Barikiwa sana dada ila cjaelewa nanna ya kushona mkono❤

  • @WinnieGabriel-k7h
    @WinnieGabriel-k7h 10 месяцев назад

    Nitumie link Jinsi ya kushn mfuko❤

  • @mebosimba2810
    @mebosimba2810 Год назад +1

    Asante milca

  • @vailetmwampamba2341
    @vailetmwampamba2341 11 месяцев назад

    Nashukuru sana,lkn mamna ya kuchomea mikono sijaelewa dada

  • @rehemakambi1329
    @rehemakambi1329 Год назад

    Inafundishwa vizuri ila sijaelewa hapo kwenye rastiki ya kati unakata vipande v2 vya rastiki?au rastiki moja unazungusha

  • @HusnaHuta
    @HusnaHuta 9 месяцев назад

    Napenda niwe nakusaidia kazi dada Mana mim ni fundi piya

  • @WinnieGabriel-k7h
    @WinnieGabriel-k7h 10 месяцев назад

    Nimependaa snaa upokei wanafunzii dada

  • @emidokhan1614
    @emidokhan1614 Год назад

    Km hutakbkuwek lastick tumbon unafanyaj?

  • @LeylatMohamed
    @LeylatMohamed 10 месяцев назад

    Sjaelewa mwalim kweny hafu au top ya juuu namn ya kupima

  • @UpndoMakunja7-zw9cc
    @UpndoMakunja7-zw9cc Год назад

    Dada sijaelewa jinsi ya kukata kwapa unashusha inchi ngapi

  • @JoyceCharles-qi4kt
    @JoyceCharles-qi4kt 6 месяцев назад

    Nimependa naomba kujua jinsi ya kupima hafushoda na kupata kwapa

  • @ZithaShayo-cn7ij
    @ZithaShayo-cn7ij Год назад

    Umerudia PC ngap dear

  • @SabrinaMwaluko
    @SabrinaMwaluko Месяц назад

    Nimependa ufundishaji wako

  • @victoriaelimloe4377
    @victoriaelimloe4377 Год назад

    Dada nimekuelewa vizuri

  • @mbokigweabraham1606
    @mbokigweabraham1606 3 месяца назад

    Kukata mbona kama gain la kawaida la soro

  • @SaudaKaunde
    @SaudaKaunde Год назад

    Yaani uko vizur ila najaribu kudanlod inakataa nifanyaje?

  • @raphaelkital7337
    @raphaelkital7337 7 месяцев назад

    Namba ya wassp plz

  • @EnelessMwasumbi
    @EnelessMwasumbi 11 месяцев назад

    Madam uko wap nakutafta sanaaa

  • @brotherisaiahtv
    @brotherisaiahtv Год назад +1

    Unakunja Mara ngapi kitambaa

  • @simonidrz6155
    @simonidrz6155 10 месяцев назад

    Sorry dada wateja wangu kama wa tatu hivi wamalalamika kuwa wakivaa gauni ile lainingi ya ndani inapanda juu yaani lainingi iliyo ndani ya gauni inajikusanya inapanda juu shida ni nini?

  • @jascasimba
    @jascasimba Год назад

    Dada hicho Cha juu sijaelewa umekunjaje mara nne au

  • @JanethKulwa
    @JanethKulwa 6 месяцев назад

    Sijaelewa namna ya kuweka lastick sehemu ya tumbo

  • @malochiko5285
    @malochiko5285 Год назад

    Naomba unielekeze unakunja upana wa nch nga

  • @zaharakabongo6806
    @zaharakabongo6806 Год назад

    Kazi nimependa Ila mifuko bado sijajua naomba unielrkeze

  • @mamadoromamadorothea-ij9zd
    @mamadoromamadorothea-ij9zd Год назад

    Ahsante

  • @faustinechenge1831
    @faustinechenge1831 Год назад

    Dada sijaelewa hapo kwenye mikono

  • @rebecajohn
    @rebecajohn Год назад

    Jmni kwa aliyeelewa ile nchi4 na nusu juu ya kifua ni ya nini , aliyeelew msaada bc plz

  • @mariamumpigayeye8350
    @mariamumpigayeye8350 Год назад

    KAZI nizurisan

  • @LINAHKB
    @LINAHKB Год назад

    Dada sjaelewa kwenye kukata mikono

  • @SabrinaMwaluko
    @SabrinaMwaluko Месяц назад

    Naomba kujifunza kwako

  • @lazaromaseko2169
    @lazaromaseko2169 Год назад

    Hongera unafundisha vizur

  • @mamadoromamadorothea-ij9zd
    @mamadoromamadorothea-ij9zd Год назад

    Shida cjui kushona mkono au kukata

  • @mwamtumdady669
    @mwamtumdady669 Год назад

    Dada akiwa na maziwa makubwa unafanyaje

  • @khadijaibrahim1748
    @khadijaibrahim1748 Год назад

    Nielekeze jinsi ya kushona mfuk

  • @mamadoromamadorothea-ij9zd
    @mamadoromamadorothea-ij9zd 6 месяцев назад

    Ahsante

    • @FinethYustin
      @FinethYustin 3 месяца назад

      Dad Ang vipande vya juu vinanisumbua sna nahitaj usaidiz wako