Hongera pastor David mbaga Kwa neema ya Mungu kuendelea kukutumia !!!! KUNA HOJA YA NDOA YA KUWA NA MKE ZAIDI A MOJA najua bibilia hairuhusu ,HOJA hii inadai huu ni mpango wa kupunguza idadi ya waafrika ,sambamba na uzazi wa mpango naomba ujibu hii HOJA

Mungu akubariki sana
Mungu ni mkuu utukufu kwake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante kwa mafundisho ubarikiwe mtumishi
Yaani katika somo anaonekana Mungu.....hakika Ukuu na utukufu una yeye milele na milele .....AMINAAA😢
Mungu akubariki ww pamoja na wajori wako ktk familia
Barikiwa sana mtumishi
Amen.Ubarikiwe Pastor Mmbaga
Mungu akubariki sana Pastor ❤
Bwana habarikiwe kwa jina la yesu
Asante mchungaji ubarikiwe kwa mahubiri mazuri
Amen barikiwa pr
Aminaa hakika hata Mimi nitabatizwa kwamaji mengi mala yapili 🙏🙏
Samahani pasita mm nipo mbali nahitaji ubatizo nifanyeje
Glory to Mighty God
AMEN,
Barikiwa sana Pastor Mmbaga!
Amina
Hakika tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu, jina la Bwana litukuzwe.
Hapo uliposema elimu mlio nayo ni elimu toka kwa wazazi wako sijui ni kwa nn waumini hawajapiga makofii na kushangilia ili kumpa Mungu utukufu
neno linabariki tena linatia moyo
So powerful.Mungu azidi kukutumia. Mimi nimejifunza Na pia nilipoelewa niliutafuta ubatizo Na nikabatizwa.ile Yohana 3:23 inazungumzia pia Maji tele
MUNGU azidi kukubaliki
Nipo on time
Barikiwa sana mtumishi