Boss wewe ujui kwq sababu uko nje ya Wafanyabiashara 😢 hawa watu hawataki kuzipa thamani biashara zao. Uwezi weka mlinzi mmoja maduka zaidi ya matatu, hapa kuna Uzembe wa mwenye kampuni kukubali RISK na uzembe wa mwenye duka kuhofia GHARAMA. ukitaka huduma nzuri ya ulinzi lazima ukubali kutoa fedha ili upatiwe USHAURI wa utafiti wa eneo lako toka Kampuni ya Ulinzi.
@@GosheSecurity upo sahihi ila ss izo kmpun za ulinz ao walinz wao hawana at silaha silaha Yao kubwa marungu we kwl mtu anachamoto ukapambane na rungu labda whitedenty
Wanasema wameshindwa kuchukua pesa mbona huyu mama anasema milioni 5 kachukuliwa mashine kavunjiwa na cm za kupandisha muamala hapa vp au sijaelewa????
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
duhh kaz ya ulinzi nayo changamoto, ila kama hawajafanikiwa wakafie mbele huko
Hizi huwa ni deals za mfumo! Hivi JPM walimwogopaje? Ni kwa sababu aliamua kushughulika na mfumo bila siasa kwenye usalama wa nchi!
yule alikua anaongiza nchi kwa moyo wake wote nasio kwa masirahi yake kama wanaongoza sasahivi wapo kimasirahi yao nasio kiungozi wa inchi
Msiache elaa
Polesana mlinzi ulinzi kazingumu sana
Watakamatwa
Uyo anaesema jesh la polic wazembe apimwe akili kwnz asifny masihara na kifo lazm utafte chocho kwnz sio ushambilie tu bila kujipanga
Kabisaa
Police walikimbia ndo maana kasema hivo sikiliza tena
SISI UMOJA WA KAMPUNI BINAFSI ZA ULINZI TANZANIA[UKUTA] tunatoa pole kwa Mlinzi ambaye alipata Kadhia hiyo pia Pole kwa wafanyabiashara.
Sema ujambazi upo kote duniani tuwe makini
watu wamevunja halafu wanasadikika kuwa ni majambazi mtangazaji anajua maana ya kusadikika kwel😅
Hajui mfahamishe
Ajue wapi..?
Ehhh si mnawatukanaga polisi acha wakimbie tu maana hamna shukurani😂😂😂
From 00:00, am to 02:00am? Kwani polisi wanatoka mbali kiasi gani?
Kuna mtu anataka kufa kiurahisi kumbuka ni usiku
Eneo la tukio wapi?
Peter muganda kasema ni bariadi
KIUKWELI NALAAANI SANA VITENDO VINAVYOENDELEA VYA WAFANYABIASHARA KUIBIWA ILA NASHAURI WAFANYABIASHARA WAACHE KUPENDA HUDUMA ZA CHEEEP PRICE
Muna muoji mtu huku anaumwa yupo kwenye naumivu ebu muacheni Kwanza
Aisee mamboayo yazamani sana
Hawa walinz wa mchongo nao we mlinz hana ata panga
Boss wewe ujui kwq sababu uko nje ya Wafanyabiashara 😢 hawa watu hawataki kuzipa thamani biashara zao. Uwezi weka mlinzi mmoja maduka zaidi ya matatu, hapa kuna Uzembe wa mwenye kampuni kukubali RISK na uzembe wa mwenye duka kuhofia GHARAMA. ukitaka huduma nzuri ya ulinzi lazima ukubali kutoa fedha ili upatiwe USHAURI wa utafiti wa eneo lako toka Kampuni ya Ulinzi.
@@GosheSecurity upo sahihi ila ss izo kmpun za ulinz ao walinz wao hawana at silaha silaha Yao kubwa marungu we kwl mtu anachamoto ukapambane na rungu labda whitedenty
Hao sio wezi ni wana funzi🤣🤣🤣
Hao walikua ni wadokoz walikua wana jifunz🤣🤣
Wamchukue maelezo huyo korokoroni atasaidia.
Ninyi walinzi WA mbwa tu na panya 😂😂😂
Uzembe kunikufaa raia bwana😂😂😂😂😂😂
Polisi wanakimbia tena nimecheka nusu nifwariki
Kama mm😂😂😂
Hawa majambazi fala kwl nao yaan kuvunja kote uko limewashinda kubeba japo bunda moja
MUNGU MKUBWA KWA WASIVYOFANIKIWA
Du wewe mwanachi polisi walikimbia duu kifo kinatisha
Walikua wenyewe hao chezea bongo wewe
hela unaacha dukan kwel
Jaribu ww kutembea na pesa ukiwa wakala sàwa brother Bernard😊😊
Wanasema wameshindwa kuchukua pesa mbona huyu mama anasema milioni 5 kachukuliwa mashine kavunjiwa na cm za kupandisha muamala hapa vp au sijaelewa????
rudia kusikiliza, kasema hawajafanikiw kuchukua chochot
Huaelewa sikiliza vizuri.