Kaka nashukuru sana! Sidhani kama nitakuwa nakukosea kusema hivi ; kelele nyingi sana .... Vinginevyo ni emergency kwani sikuwahi kukutana na Case kama hii ya kelele kelele. Ujumbe nimeupata lakini . Be blessed kaka Ezden Jumanne. Each one , teach One. Success Path Network .
@@successpathnetwork Nashukuru ..hakika success Path imenibadilisha sana , hata kama siyo sana ila kuna Positive changes. Siku moja nilikutumia summary ya kujibu Yale maswali Kumi, ni desturi yangu hadi sasa. Kwa kweli kukulipa siwezi , ila Mwenyezi Mungu aendelee kufanya jambo zuri zaidi mbele yako kaka. #Each One teach One .. Success Path Network (SPN).
Kaka mimi ni mwanafunzi ila ni namsukumo wa kufanya bishara na nimeshawahi kujaribu kufanya na ilitoa matokeo positive sana lkn muda huu nimebanwa na masomo na umia kwani niliachana na bishara kwani na penda kufanya hivyo
@@elizatarimo4125 kabisa mswali meeengi ya nn. muhimu ujumbe nakukubar xana bro Ezden jumanne cjawah kuja nikaondoka mtupu. Hauniangushagi. Ushaur wako umenisaidia meeengi sana mm binafsi. Be blessed bro. #Ckupingi
Ili kupata kitabu cha WEWE NI NANI? Wasiliana na Mwalimu Makena kwa namba hii : 0713-492299
Dahhhhhh amakweli tunajifunza mengi
Mm siko Tanzania niko Burundi nitakipata aje
Ahsante Sana Ndugu Yangu,Ubbarikiwe Kwa Somo Hili
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
Mbn kulikuwa fujoo sana apo 😊
Hapa ni ukumbini, ilikua baada ya sherehe, sasa Kuna jamaa walikua wanabeba vitu
Kaka ujawahi niangusha mungu akupe maisha malef
Amiin
Hezden jumanne samahani sana na
Mbanayako ya simu
Hii up kwenye kelel brother haip vzur
Jamani naomba mwenye namba ya Ezden anipe
...
Kaka nashukuru sana! Sidhani kama nitakuwa nakukosea kusema hivi ; kelele nyingi sana .... Vinginevyo ni emergency kwani sikuwahi kukutana na Case kama hii ya kelele kelele. Ujumbe nimeupata lakini .
Be blessed kaka Ezden Jumanne.
Each one , teach One.
Success Path Network .
Asante kwa kuelewa. Nafkiri waelewa fika vile channel hii huzingatia ubora wa sauti na usikivu
@@successpathnetwork Nashukuru ..hakika success Path imenibadilisha sana , hata kama siyo sana ila kuna Positive changes.
Siku moja nilikutumia summary ya kujibu Yale maswali Kumi, ni desturi yangu hadi sasa.
Kwa kweli kukulipa siwezi , ila Mwenyezi Mungu aendelee kufanya jambo zuri zaidi mbele yako kaka.
#Each One teach One ..
Success Path Network (SPN).
Napenda video zako ziko sawa
Nimebarikiwa nasomo lako sana
Great brother kiukweli success path mko vizur sana na tunazid kufanya vizr kupita nyie thanks
Nakuelewa sana kaka be blessed kwa kazi njema"Mungu hafananishi vitu kila mmoja ni wa kipekee"
Asanteeeee kk
Nilitaman kujua Kama Naweza kuelekezwa kuutambua upekee Wang unaonitofautisha na wengne na nawezaje kuutumia kujikwamua kimaisha
Shukrani sana kaka kwa elimu hii,,, barikiwa sana
Asante sana kaka yangu kwa mafunzo.yako
Aujasema namba
Namba ipo kwenye description tafadhali chukua hapo
Asant kaka.
Thank bro ✊
Kazi nzuri kaka
Shukrani sana
Asante Sana kaka Ezden unatujuza sana
Pamoja sana
Asante kaka
Safi sana kaka
Shukran
Asalam alykum shukran
Great content,, be blessed for sharing bro
Asante sana kaka
Mimi nimwanafunzi wako ninaumwa mafunzo yako nidawa tosha asante
Shukrani sana
Mm kama mm nmejifunza mambo meng
Shukran kaka naomba niunge kwenye group lako
Nzuri saaana
Shukrani sana
Asante kaka
Nakukubalk sanaa kaka kwa utendaji wako wa kaz be blessed Naamini nguvu nyingi unaitumia kutuelimisha
Thanx Broo mungu akubaliki
Thank you
Yeah we are born original lets live originally
Aww
ur perfect bro but we as a students we also need so try to motivate us in your motivations. thank you
Fafanua tafadhali unamaanisha nini? Ni bora uandike kiswahili kama huwezi fikisha ujumbe mara moja kwa kingereza
namaanxha kwamba utu hamacxhe na sis wanafunzi katika clips zakoo kwa kutupa uxhaur mbalimbal na kututia moyo
Mbona anafafanua na anashauri saaaaaaaaaana labda kma umeanza kumfuatilia juz kati.
ruclips.net/video/_LlQwEXZy7Y/видео.html
Tangaia nilipoanza kuku fauatilia nimejikuta na change baadhi ya vitu
.......need you to motivate us
put it in more specific way please...
Habari, nakipataje hicho kitabu kwa njia electronically??
Good job tutakitafuta pia kuna kitabu kinaitwa jifunze hekima by sefa melady nacho kizuru sana ningeomba ukitafute na ukipitie then uwape watu reviews
Nashukuru sana kwa taarifa sikifahamu. Kama una mawasiliano ya mwandishi nipatie tafadhali
@@successpathnetwork +255 747 322 346 hizo hapo zile sizo
Nashida nacho kaka kitabu hicho
Kaka mimi ni mwanafunzi ila ni namsukumo wa kufanya bishara na nimeshawahi kujaribu kufanya na ilitoa matokeo positive sana lkn muda huu nimebanwa na masomo na umia kwani niliachana na bishara kwani na penda kufanya hivyo
Axante kaka mi naomba unielekeze jinsi ya kukipata icho kitabu bro niko tunduma mjini
Kwenye description kuna mawasiliano ya muuzaji wa kitabu, tafadhali fuatilia
Mbona makelele tu
Hapa ilikua kwenye event wakati imekwisha wakati tumeanza kurekodi wakaanza kutoa vitu ndio ikawa namna hiyo. Lakini ujumbe umefika, right?
@@successpathnetwork kwann ulichaguaa hiyo Mandhari ya kelele Bro
Nyie sikizeni ujumbe si anaeleweka lakini
@@elizatarimo4125 kabisa mswali meeengi ya nn. muhimu ujumbe nakukubar xana bro Ezden jumanne cjawah kuja nikaondoka mtupu. Hauniangushagi. Ushaur wako umenisaidia meeengi sana mm binafsi. Be blessed bro. #Ckupingi
@@Remaditheboytz watu tunapenda mno kukosoa jaman,sijui tukoje?badala usikilize pos...we upo negative mda wote,lazima utachelewa kufika tu.
Asalaam aleikum mi na kipaji Cha kutunga vitabu lakn sielewe nianzee wap ili kipaji changu nikikunze samahan kaka
Asante
Brother how much kwa hcho kitabu
Kaka Mimi nahitaji hicho kitabu, cha wewe ni nani, nitakipataje?
Bei ya kitabu na kinapatikana wapi?
Kaka siwezi hata kuku erezea umenifanya nibadilike kifkila
Poa
Shukran