BALAA LA DIAMOND! Akipafomu Wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 май 2018
  • BALAA LA DIAMOND! Akipafomu Wimbo wa Kombe la Dunia 2018
    Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, usiku wa Mei 13, 2018, kwa kushirikiana na kampuni ya Coca Cola wamezindua rasmi wimbo wa kombe la dunia unaoitwa 'Colours' katika ukumbi wa Serena Posta jijini Dar es Salaam.
    Wimbo huo ambao umeandaliwa na prodyuza Nahreel kutoka Tanzania na kisha kuimbwa na Diamond pamoja na Jason Derulo kutoka Marekani unatarajia kutumika katika michuano ya kombe la dunia yatakayoanza Juni 13 mpaka Julai 14.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / global

Комментарии • 139

  • @dmcommedy2768
    @dmcommedy2768 6 лет назад

    Mbona plomo ilikuwa kubwa alafu maneno yake ayaeleweki mmmh alafu kumbe muusika ni derl yeye kama amewekwa tukama aujaikubali mistar ya mond gonga like apa

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 5 лет назад +1

    kazi nzuri sana haswa kwa kijana wetu ku present nchi yetu kwa kutumia njia hii nzuri san ya kombe la dunia kwa kuwa ina wapenzi wengi sana.

  • @isackbaton9759
    @isackbaton9759 6 лет назад

    Mamaee team kibakuli mmeshindwa kuiboost ngoma ya kibamia wenu mpaka anachanganyikiwa mshaurini kiba aanzishe biashara ya machupi makubwa makubwa Kama ile ya nandi

  • @justineelius4972
    @justineelius4972 6 лет назад

    Nice simba endelea kuiwakilisha tz vizuri lazima waisome namba wakina nanii .WCB FOR LIFE

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 6 лет назад

    Kama mondi hajui,he anaejua ni nani? Mondi hongera kwani hukutuma maombi ya kuimba nyimbo ya huko w.c 2018 Bali wao wamekuchagua. Mungu FUNDI sana haitaji washauri. Piga kazi Platnumz

  • @samwelmasala48
    @samwelmasala48 6 лет назад

    simbaaaa Kama umeipenda hii nyimbo "like hapa🔛

  • @geofreyndibalema6882
    @geofreyndibalema6882 6 лет назад

    Wimbo mbayaaaaaaa kama sula yake

  • @zawadimakoleo2155
    @zawadimakoleo2155 6 лет назад

    hongera Diamond katuwakilishe mzee saruti kwako

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 6 лет назад

    Nasikia oooo 2 jaman

  • @teddybee257
    @teddybee257 6 лет назад

    Diamond kizungu balaa

  • @athumanelisha4489
    @athumanelisha4489 6 лет назад

    unatisha Sana mondi

  • @bensonmbuya27
    @bensonmbuya27 6 лет назад

    ooooo nyingi nyingi sjaskia anacho imba au vpe

  • @babalily4516
    @babalily4516 6 лет назад

    Wimbo mzuri ila kuna vitu kama unavikosa ili uwe mzuri zaidi, hauna shamrashamra za kutosha

  • @alanabel8897
    @alanabel8897 6 лет назад

    Hop ma broo good song amazing

  • @festojohn6009
    @festojohn6009 6 лет назад

    King of stone mind good

  • @leomapunda1928
    @leomapunda1928 6 лет назад

    we diamond chapa kazi nenda katangaze Tanzania bongo wasanii kibao water wana mungunya ubuyu midomo yao imejanzwa zege kiba ilimu chenga we daimondi twokikuona unafanya ngoma kibao na wasanii wakimataifa na shoo zako zote inje ya bongo kiba gara two

  • @gospelvibestv3914
    @gospelvibestv3914 6 лет назад +3

    tanzania to the world

  • @user-ik3ey9cs9e
    @user-ik3ey9cs9e 6 лет назад +1

    Cool sanaa.

  • @RahamAnnah
    @RahamAnnah 6 лет назад

    Noma

  • @naagarjun8661
    @naagarjun8661 6 лет назад

    great

  • @japhetladislaus8642
    @japhetladislaus8642 6 лет назад

    Pamoja sana mkali wang tupe raha mond

  • @stevenmaasai2384
    @stevenmaasai2384 6 лет назад

    vizur sanaa mkali wa tanzania

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 6 лет назад

    Yaanii ni bora hata angeimba ule wa my heart kwenye coca cola project na nyovest!!

  • @orestawilson7912
    @orestawilson7912 6 лет назад

    niceeeee hoooo

  • @lejenachrinh382
    @lejenachrinh382 6 лет назад +2

    Love you Mond😘😘😘😘😘

  • @realability4189
    @realability4189 6 лет назад

    Kaliiiiiii

  • @daffarsondaffa3793
    @daffarsondaffa3793 6 лет назад

    Wimbo mbovu apunguze shobo

  • @shadracklazaro529
    @shadracklazaro529 6 лет назад +2

    Hatareeeeeee

  • @chrisphatchristian2631
    @chrisphatchristian2631 6 лет назад +1

    asanta

  • @romanomlanda7184
    @romanomlanda7184 6 лет назад

    Sawaaa

  • @tatimafahad9376
    @tatimafahad9376 6 лет назад +2

    U team hausaidi mond unajua sana Mungu akujarie zaid

  • @mohamedabbas5970
    @mohamedabbas5970 6 лет назад

    Team kiba mpoo hapo kaz kutoa nyimbo ambaZo hazielewek

  • @nassoromalowe7579
    @nassoromalowe7579 6 лет назад

    Simbaaaaaaa washaaaaaaaaaaa

  • @mwinjilistimwasenga8569
    @mwinjilistimwasenga8569 6 лет назад

    wanamwita simba

  • @tumainihphilipo5669
    @tumainihphilipo5669 6 лет назад

    anazinguwa

  • @barakabahati4315
    @barakabahati4315 6 лет назад +5

    simbaaaaaaaa

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 лет назад

    Na nukuu' Nasikia kuna watoto wadogo wanapambana na chama la wana Daima hawatoweza' Simbaaaa

  • @faithelizabeth5945
    @faithelizabeth5945 6 лет назад

    Elizabeth

  • @hajiharuna786
    @hajiharuna786 6 лет назад

    wenye akili na wajuzi Wa music jamaa anaboa coz ameimba amefunikwa then ata anapoigizia sauti take Ni tofaut hapo utajua wazi Kama jamaa mziki wake Ni biashara anachuni sauti Sana mpaka live inamshinda m namshaur abadilike nsio maana kiba anakua yupo juu kinachomsaidia Sana sauti na ktk mziki mambo7 yanayounda muzi cha mwanzo Ni sauti na team diamond wanijibu km nasema uwongo km kweli Wa like

  • @jeancyelpitroipa7984
    @jeancyelpitroipa7984 5 лет назад

    Simba

  • @agnesraphael7873
    @agnesraphael7873 6 лет назад

    uko juu kama degela vita

  • @matumizitonny1841
    @matumizitonny1841 6 лет назад

    Usiyempenda kaja mtakoma ambaohampendi daimondi mjinyonge

  • @bonnyedger2845
    @bonnyedger2845 6 лет назад

    Aaaah kachemka iyo Siku asiende kuimba uyo atafute wa shakila

  • @mahijakapingu395
    @mahijakapingu395 6 лет назад +2

    Jamani nimbaya wala cyo mzuri

  • @richirdgambi746
    @richirdgambi746 6 лет назад

    Nice bro you are best friend hahahhah team kiba where?

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 6 лет назад +5

    Atunge mwingine huu haufai. Nasikia ooh nonononono

  • @ashurathabiti1046
    @ashurathabiti1046 6 лет назад +1

    We mond unazngua nyimb gan ththa

  • @rabeccamzucki8341
    @rabeccamzucki8341 6 лет назад

    nilijua alialikwa urussi !kumbe ni hapa bongo mfyuu yenu nimemaliza mb bureee

  • @buganyatherealer
    @buganyatherealer 6 лет назад +2

    nyi mliocomment wimbo alifanya shirikishwa na derulo sio wake ...wacheni mapovu

    • @SS-jt3et
      @SS-jt3et 6 лет назад +1

      Gabby the blogger simba bado hujanguruma

    • @buganyatherealer
      @buganyatherealer 6 лет назад

      S S eehh bado ...angenguruma ndio wangejua hawajui

    • @aminakawawa1935
      @aminakawawa1935 6 лет назад +1

      watu roho mbaya tu

    • @mustaphyassin5320
      @mustaphyassin5320 6 лет назад

      umeona nyimbo imebuma leo ndio unaongea hayo kuwa kashirikishwa hahaha fambo hilo hata zile nguvu za kishetani zimebuma

  • @fredypaul4154
    @fredypaul4154 6 лет назад

    diamond hapo umechemka

  • @naimaliwowa5267
    @naimaliwowa5267 6 лет назад

    Simbaaaaaaaaaaaa

  • @allyramson6359
    @allyramson6359 6 лет назад

    Hapo amebebwa na ubishoo wke na swaga lkn wimbo m'baya tena sana

  • @shabanimandela298
    @shabanimandela298 6 лет назад +1

    kaliiiiii

  • @a2gmgimwa3
    @a2gmgimwa3 6 лет назад

    Mbona kombe limeaza hajaimba hata kwenye ufunguz Kwan alienda kuimbia choon au

  • @ommyharmonizeumetuxhambaba8470
    @ommyharmonizeumetuxhambaba8470 6 лет назад

    kiba njo uwimbe mtaani kwetu kuna ligi la hata uyo umwezi ndugu

  • @filbertgilbert1897
    @filbertgilbert1897 6 лет назад +2

    kimataifa zaid warld cup

  • @azankossa9414
    @azankossa9414 6 лет назад

    Team kiba kachezen bolingo ndio type yenu

  • @agnesraphael7873
    @agnesraphael7873 6 лет назад

    tenaaa mondi kiboko

  • @charlesmaduma3960
    @charlesmaduma3960 6 лет назад +1

    Kwa kweli tuache utimu me sijasikia huo wimbo anamaanisha nn...maana sisikii hata neno moja la mpira hata zaidi ya juona mabongo ya coca cola

  • @meddybrown8297
    @meddybrown8297 6 лет назад

    simba Simba simba simba simba simbaaaaaaaaaaaaaaaa hatareeee sanaaaaaa

  • @isackbaton9759
    @isackbaton9759 6 лет назад

    Simbaaaaaaaa kill dem all mpaka walie meeeeee

  • @farujohn8149
    @farujohn8149 6 лет назад

    Amna kitu apo

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 лет назад

    Ooooooo zanini? Kule kombe ladunia akuna hoho

  • @duamawazo9088
    @duamawazo9088 6 лет назад

    duuu!! nibola angeimba singeli2😂😂😂

  • @hajiharuna786
    @hajiharuna786 6 лет назад +1

    Na mukitaka kujua diamond hawezi kuimba live jaribuni kumfuatilia shoo zake juzi uingereza wazungu waliitaka live akasema bend take wamekosa visa jiulizeni viza wamekosa wakati shoo Inamaandalizi ya mda mref mbona kina mose wanenguaji walikuepo wacheni kutudanganya diamond sio msanii hana sifa za usanii mziki mzuri lazima uuimbe na utaupenda2 Ni mawazo2 na kumshauri mshkaji wenu diamond awache ubababishaji

  • @geofreybulolo2922
    @geofreybulolo2922 6 лет назад

    mwenye wivu ajinyonge

  • @annasalim1378
    @annasalim1378 6 лет назад

    sasa aliimba kwenye uo uzinduzi ? au apo ndo URRUS

  • @daningasa849
    @daningasa849 6 лет назад

    Nasoma comments, mwana cjabarikiwa hata kidogo

  • @benardmanyama8629
    @benardmanyama8629 6 лет назад

    jamnii nyie timu domo huo siyo wimbo wa Kombe la dunia huo ni wimbo wa coca cola

  • @johnsonmalembeka3413
    @johnsonmalembeka3413 6 лет назад

    simbaaaaaaaaa

  • @benjatweve863
    @benjatweve863 6 лет назад +5

    wimbo mbovu kama nn aaah

  • @saidimsafirmafit4532
    @saidimsafirmafit4532 6 лет назад

    kaimba nini uyo choko

  • @juliusmeshack6572
    @juliusmeshack6572 6 лет назад

    ndugu yangu wa damu yusufu nashukuru kwa upendo wako kwa kwa kunirebisha hata hivyo nashukuru kwa hiyo elimu ndogo niriyoipata kutoka kwa mwalimu wangu kipenzi mama yangu mlegure natamini nije kumuona ila sifahamu nitamuona wapi

  • @officialsaimonandrewmachiy5159
    @officialsaimonandrewmachiy5159 6 лет назад

    ndio maana nyimbo ilipigwa chini na hawakutakiwa kabisa hata kuonekana russian na nyimbo zao za kibwege

  • @hakikajohn9318
    @hakikajohn9318 6 лет назад

    kachemuka kabsaa

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 лет назад

    naangeenda sijui ingekuwaje,maana sio kwa sifa hizo

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 лет назад

    Wimbo hauna hata morally kisa kaimba daimond,duu amebugi!!!!!!

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад

    Good job *Baba Dylan*

  • @onditimaureen7839
    @onditimaureen7839 6 лет назад

    Sasa hii ndo kuimba? jameni huyu hawezi imba live?

  • @joycefilbert370
    @joycefilbert370 6 лет назад

    watu kuweni wa elewa hapo anaparfom kwenye tamasha la coca-cola mlitaka aimbe nini wakati huo wimbo ndio unaohusiana na coca-cola mnacoment nyimbo mbya amfatilii diamond

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 6 лет назад

    huo sioni poa kabisa!!

  • @raphaelkabaka2830
    @raphaelkabaka2830 6 лет назад

    Nasikia makelele tu kajipange tena😂😂😂😂💪💪

  • @alfredjack6199
    @alfredjack6199 6 лет назад

    Sijauelewa hata kidogo utakuwa umekosea kutunga 😂😂😂😂😂😂

  • @pauloisayatanzaniajr5204
    @pauloisayatanzaniajr5204 6 лет назад

    deruro kakumeza simbaaa

  • @roberttagaya3498
    @roberttagaya3498 6 лет назад

    Ndio mana katoswa.

  • @stevengodson5987
    @stevengodson5987 6 лет назад

    no Dada Yakima

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 лет назад

    Wimbo mbaya ndio sawa sawa na uo mvumo wenu ttzo chuki za kibongo bongo

  • @benisoniamani6530
    @benisoniamani6530 6 лет назад

    simbaaa WWE hatal xana

  • @jamilahkihange9391
    @jamilahkihange9391 5 лет назад

    Etiiii mi simpendi mind kwani yeye kakwambia anakupendaaaaaaa peleka shobo zako kariakoo kwa vuta ndumu wenzio tuache na simba wetyuuuuuuuu

  • @servantalexgody
    @servantalexgody 6 лет назад

    Mond unazngua ndio umeimba nn hapa.

  • @emanueljohn1312
    @emanueljohn1312 6 лет назад

    mond saf kwanyimboyako watanuna watachoka

  • @farihiayusuph6405
    @farihiayusuph6405 6 лет назад

    ha ha ha ha ha

  • @starboychyner3458
    @starboychyner3458 6 лет назад

    HUYU SHOGA ANAIMBA NN

  • @mohammedhatibu8136
    @mohammedhatibu8136 6 лет назад

    hajaimba kitu labda kuna alicho kifata sio shooo bala ata V MONEY kafanya yake

  • @nasrynasrym2765
    @nasrynasrym2765 6 лет назад

    Mbn sisikii kitu hakuna kitu hapo

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 6 лет назад +3

    Haaaaaaaa mbona wimbo mbovu si Bora uimbe Salome ya chambua kama karanga

  • @agerpityswai1555
    @agerpityswai1555 6 лет назад

    Hiv diamond na hivi vikoti ka vitop kavipendea nini mana nikivichek nafanya kucheka tu

  • @shebbymwambe5714
    @shebbymwambe5714 6 лет назад

    hamna kitu kaimba nn sasa hapo

  • @amirsuleiman9022
    @amirsuleiman9022 6 лет назад +2

    uchaaaaafu pumba kabixaaaaa

  • @martinvavatu5167
    @martinvavatu5167 6 лет назад

    Mti wenye matunda lazima kupigwa mawe