Namshangaa sana MUNGU ktk hili nilioneshwa hii kitu nikamwambia mchungaji wangu nisaidie kulifikisha hili kwa askofu Mkuu lakini mchungaji alichukulia poa,leo MUNGU mwenyewe amelifikisha mwenyewe oooh haleluya asante Yesu,bado na hili wachungaji wanafanya kazi ya Mungu kwa mazoea na ulafi wa matamanio ya pesa hawakemei dhambi kanisani fanyeni kazi ya MUNGU kama mlivyoitwa
NDIO dhambI zimezidi kanisani tunaingia kanisani na uzinzi na ugomvi na uongo na kujibadilisha langi zetu alizotupa MUNGU NA MAWIGI YA NN Sasa tukiimba nyimbo lazima ziwe za kawaida KWA MAANA ndani mwetu tumemubeba shetani labuda tuingie MAKANISANI KWA kutubu dhambi na kuacha

Askofu wangu tusaidie na Mungu azidi kukubariki.
Tunaipenda dunia na Mambo take yote NDO SABABU KANISA limekuwa tupu tunaimba Ila nyimbo HAZINA NGUVU za MUNGU
Amen ubarikiwe saana Baba Askofu wangu.
Kweli kabisa baba sema tupone kwa kweli hii huduma ya uimbaji tunamwitaji sana Mungu atusaidie
Wimbo mmoja step 15 ila hakuna uwepo wa MUNGU asante Yesu huu ujumbe leo umeutoa hakika wewe ni MUNGU uonae sirini
Ni kweli nyimbo za dini siku hizi Ni makelele
Upako wa kiteknolojia... hahahaha. Amina
Mungu atuulumie kanisa
Barikiwa baba Askofu kwa huduma
Amina baba
Nikweli baba tuambie tupone ameni
Kweli baba sema
Umesema kweli katika huduma hii inafanyika kwa mazoea
Upako upako wimbo tu mapepo yanapanda vinginevyo ni kupoteza mda.

Amen baba
Good