Zimbabwe na Botswana zatoa kibali kwa huduma ya internet ya STARLINK ya Elon Musk

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 сен 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Комментарии • 28

  • @BienvenueBisimwa-rn9rn
    @BienvenueBisimwa-rn9rn 3 месяца назад

    Karibuni kwetu DRC

  • @BUSHASHASWITCH
    @BUSHASHASWITCH 4 месяца назад +3

    Toka BURUNDI 🇧🇮🇧🇮. Sns tuko pamoja acha nitowe Salamu Kwa wana Sns wote na watangazaji wote Kwa ujmla na sijasahawu Dj sma 🎉 AI ya tz na ally masubi pamoja na Henry

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 месяца назад +2

    Daah hii ni nzuri sanaaa government za Africa iangalie hii kitu maana kwenye inch zetu Africa vijijini internet inasumbua sana

  • @felisteronesmo3091
    @felisteronesmo3091 26 дней назад

    Kwa jicho lakiusalama Tz tunaweza kua sahihi .. vinginevyo mtachekelea uwepesi wa internet angali mawasiliwano yetu ya jeshi yanazurika ..

  • @maroahkissiry4863
    @maroahkissiry4863 3 месяца назад

    Mwambieni bumunda aendelee na misimamo ya kusubiri ofisi ijengwe na starlink isajiliwe DSE 😂

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 4 месяца назад +1

    Nakukubali kazzzz

  • @hadijagere
    @hadijagere 3 месяца назад

    Yani mimi siamini tena hawa watu kichwachangu hivi kinanambia hata uo waya wameukata kwa makusudi ili iyo biashara yao iingize pesa , umeme wanaukata ili makampuni yao yakutengeneza vinu vya nyuklia viingize yani awa jamaa wanajifanya ni wajanja sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 месяца назад

    Safi sanaa Acha tusonge mbele kwani tupo nyuma sanaa

  • @ursulinenyandindi3051
    @ursulinenyandindi3051 4 месяца назад +1

    😂😂 kuna nchi flani sasa

  • @HAJIBALO
    @HAJIBALO 4 месяца назад +1

    Hey
    Zungumzia application zote
    Maana hapa ndo tunapojifunza kutumia application
    Haji Balo from Zanzibar

  • @CastoryKapinga-nb7ht
    @CastoryKapinga-nb7ht 4 месяца назад

    Unyamaaa sana

  • @stateofart1089
    @stateofart1089 4 месяца назад +2

    Watanzania na laana zetu tunasema starlink wafungue ofisi nchini, kuna muda tunajiona wajuaji ila duniani tunaonekana viazi mno 😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 4 месяца назад +1

      Mashoga tena wawaletee? MKome mbaki hivohivo na kihelehele🤣😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 4 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @felisteronesmo3091
      @felisteronesmo3091 26 дней назад

      Kwa jicho lakiusalama Tz tunaweza kua sahihi .. vinginevyo mtachekelea uwepesi wa internet angali mawasiliwano yetu ya jeshi yanazurika ..

    • @stateofart1089
      @stateofart1089 24 дня назад

      @@felisteronesmo3091 Hakuna usalama wa aina yeyote kwa nchi za walioendelea kwenye maswala ya internet. Wanaishi miaka 100 mbele sie hatuna namna ya kujilinda kama wameamua kufanya chechote.

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 4 месяца назад

    Dah serikali iangalie jins ya kusaidia Tanzania sisi tulikuwa ndio wa kwanza

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 месяца назад

    Saw

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 4 месяца назад

    Huko ndio duniani

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 4 месяца назад

    Bongo ndio shida

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 месяца назад

    Sis bdo watupe tuperuz mpka asubui

  • @kingpunzy194
    @kingpunzy194 4 месяца назад

    Haitohusisha katika simu. Hii ni house based internet.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 месяца назад +1

    Munafahamu scandal ya starlink au munaitaka tu@Starlink inasemekana ina mahusianao na mtandao wa kimarekani wa kukusanya Data ..

    • @afromixstudios
      @afromixstudios 4 месяца назад +5

      We una data gani ya muhimu ambayo itakusanywa 😂😂😂😂

    • @afromixstudios
      @afromixstudios 4 месяца назад +3

      Mamlaka husika zikitaka data zako wanazipata wakati wowote mahala popote kwa idhini yako au bila idhini yako
      Censorship persists whether in developed or developing countries

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 4 месяца назад

      ​@@afromixstudiosData ndio zinafanya utawaliwe kirahisi zaidi usichukulie mdhaa,serikali isipo kwenda sawa na wawekezaji wa nje wanauza habari kwa wapinzani yanaweza kutokea yale ya Bandari kwa kuvuja ule mkataba na kuna mengi ya kuchukiza kwahiyo ni kitu kikubwa sio rahisi