TIBA MIMEA NI UCHAWI MTUPU•WAKRISTO WENGI MMEKUNYWA MAARIFA YA WAGANGA KWA KIGEZO CHA TIBA MBADALA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 75

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 9 часов назад +4

    Nampenda Bwana Yesu Katika maisha yangu yote. Amen!!!

  • @saramss7262
    @saramss7262 10 часов назад +2

    Aminnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaa barikiwaaa sana mjoli wa KRISTO YESU Awe nanyi JACKTANI na amieli

  • @JaneMujuni-je8wv
    @JaneMujuni-je8wv 3 часа назад +4

    Acha upotoshaji mbona mnakula mboga za majani kwa ajili ya vitamini?Mkishatumikia kuzimu mnajiona mnajua kila kitu,kwa maana hiyo unataka kusema dawa za viwandani ndio za mbinguni au,Funguka ufahamu,Mungu aliumba vitu vyiote vimuhudumie mwanadamu,Kwa ajili ya utukufu wake tu,Omba Roho Mtakatifu akupe ufunuo juu ya kila mmea .

    • @gracekiondo2541
      @gracekiondo2541 2 часа назад

      Kwanza Dawa za Hospitali karibu zote ni mimea! Mpaka Vitamins zote! Unajua hawa wahubiri wengine hawana akili na nafikiri hawana elimu ya kichungaji.

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 2 часа назад

      Cheki na wewe unakuja na ideology za kisabato , kuna roho za utambuzi ambazo mnazo humo kwenye makanisani kwenu, mbona waganga wa kienyeji hawauzi vidongo tumia akili

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 7 часов назад

    Wow! Surprise! Ukiwa na Yesu unatembea kifua mbele... so amazing

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 7 часов назад

    Amen endelea kusema wamasikio asikie asiyenama sikio yakiloho aache

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 10 часов назад +2

    Basi hata vidonge ni dhambi maana ni mchanganyiko wa mimea

  • @Revo_silayo
    @Revo_silayo 7 часов назад +1

    Dawa za kienyeji zilizo mbaya ni zile znazotokana na uchawi au uganga, lakini majani kama majani sio kwasabab Mungu ndiye aliyesema tutumie majani kama dawa...hapa ni chanzo tu cha ufunuo wa hizo DAWA EZEKIELI 47:12,MWANZO 1:29

    • @EmmanuelDavid-x5k
      @EmmanuelDavid-x5k 5 часов назад

      @@Revo_silayo nipe andiko ambalo MUNGU amesema utumie dawa za kienyeji na upone

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo 4 часа назад

      @@EmmanuelDavid-x5k soma EZEKIELI 47:12,pia soma MWANZO 1:29

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo 4 часа назад

      @EmmanuelDavid-x5k EZEKIELI 47:12,MWANZO 1:29

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 3 часа назад +1

      Mi ninaimani ni ufunuo tu Kwa nn Mmungu alimwambia Adamu anaweza. Kula matunda ya miti yt kasoro mti wa uzima? Hapo mnatukaririsha vingine jmn,mi ninaimani miti. Km miti haina tatz tatz ni kwenda Kwa waganga

    • @Revo_silayo
      @Revo_silayo 3 часа назад

      @basilisamsaka8469 uvuvio wakujua huo mti kama nkutoka kwa Mungu mimi naona sawa...mana kuna watu wameokoka na wanafunuliwa miti shamba na Mungu, na ni watu wakufunga na kuomba.

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 10 часов назад +2

    Kwa mantiki hiyo sayansi na teknolojia mbalimbali zinatokana na Mungu, mafuta ya kujichubua kwa kuwa yanatoka maabara ni halali kwa kuwa wametengeneza wataalam wenye mafunuo ya Mungu, kwa maana sayansi ni mafunuo ya Mungu, kwa mantiki hiyo hata chanjo ya Korona, haikuwa na madhara maana ilithibishwa na kutengenezwa maabara hizo hizo za dawa na Dawa za uzazi wa mpango pia halali kwa kuwa zimethibitishwa na madaktari wa kitaalam.

    • @EvaSimon-g4v
      @EvaSimon-g4v 10 часов назад +2

      Unatafta urahs wa maisha hapoo na SI uhalisia wa neno la Mungu

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 10 часов назад +1

      Tiba mbadala ni kweli zingine ni za ramli

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 10 часов назад

      Pia hizo zimehalalishwa kwa neno lipi la Mungu?

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 10 часов назад

      ​@@EvaSimon-g4v pia hizo zimehalalishwa kwa neno lipi la Mungu?

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 8 часов назад +1

      Sayansi ni uchawi mtupu.

  • @kondelalukuba3896
    @kondelalukuba3896 11 часов назад +3

    Kwani hizi dawa tunazoletewa na wazungu zinatokana na nini, si hii mimea tuliyonayo hapa Duniani

    • @piusnkwale
      @piusnkwale 10 часов назад +2

      Anachozungumza ni elimu juu ya tiba.kutambua dawa sio jambo la mchezo.wengi wanaoteshwa na mizimu. Hao wa hospitali wamesomea tiba.hawa wa tiba asili wengi wao hawana elimu ila wanapata mafunuo kwa mizimu mimi ndio nimemuelewa hivo

    • @Sabinasinoya
      @Sabinasinoya 9 часов назад

      ​@@piusnkwalendivyo hilivyo

  • @EmmanuelDavid-x5k
    @EmmanuelDavid-x5k 8 часов назад

    BWANA YESU ASIFIWE . Mtumishi wa MUNGU alie hai

  • @borntosucceed6877
    @borntosucceed6877 10 часов назад +3

    Msikilize mchungaji na akimaliza utamuelewa anachomaanisha. Ubarikiwe Mch Katekela

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 9 часов назад

      @@borntosucceed6877 Huyu mchungaji alisema kwamba Korona ilitoka kuzimu ikapita kwa wataalam wa maabara na jopo la madaktari wakaithibitisha, je tunawaaminije hao wataalam? na akiwa kuzimu akitengeneza na wanaotuandalia chanjo ni haohao wataalam ambao inasemekana ni freemason

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 10 часов назад

    Amen

  • @marcbiryanguze7364
    @marcbiryanguze7364 10 часов назад +1

    Dawa asili kilamtu nimuhimu ajifunze na ajichumiye mwenyewe.

  • @AnethShadrack
    @AnethShadrack 10 часов назад

    Hili kweli ni wito wa vita😂😂

  • @Markoisaackiunsi
    @Markoisaackiunsi Час назад

    Nimemuele vema sana huyu mchungaji, si kwamba amesema usitumie mimea kama dawa, laah!, bali hizo dawa zinatoka katika mikono gani ili ziwe na ufanisi sawia katika mwili wa mwanadamu, si ndio ndugu zangu

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 10 часов назад

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anithibitishaje kwamba dawa za maabara imetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

  • @SudiBahati
    @SudiBahati 2 часа назад

    Nyie ni vichaa sio wachungaji serikali Iko wapi wachungaji nimekuwa wengi nyie uchungaji mnausomea

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 8 часов назад

    Jaman km nikichu mpera nikachrmsha nikanywa hilo ni tatz?

    • @EmmanuelDavid-x5k
      @EmmanuelDavid-x5k 5 часов назад

      @@basilisamsaka8469 andiko limesema wapi ..biblia imesema omben mtapewa tafuteni mtapata.kingine kama hauwezi kuomba wapo watumishi wa MUNGU alie hai watakuombea na utapona

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 10 часов назад +1

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 9 часов назад +1

      Dawa za kujibua ni ushetani

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 9 часов назад +1

      Dawa za kujichubua ni ushetani

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 9 часов назад

      Msikilize kwa makini usifuate mawazo yako, ifuate Biblia achana porojo za shetani

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 9 часов назад +1

      @@joshuatituslusinde1260 wewe huoni Bible una ushabiki nipe neno la Mungu linalothibitisha kwamba hizo dawa za maabara zimetoka katika mafunuo ya Mungu, na hao wataalam wamefunuliwa na Mungu? Yaani kama hizo nazo dawa za maabara hazitokani na maono ya shetani????

    • @Frosita
      @Frosita 9 часов назад

      Wewe hujamwelewa kabisaaa ..

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 7 часов назад

    Miti shamba ni halali yani chakula lakini miti pori yani herb ni haramu

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 10 часов назад +3

    Vidonge ni mimea ,,ambayo wame iprocess kiwandani ,,for that case hata dawa za hospital ni dhambi ,,ikiwa ukitafuna majani ya mti ukanywa ni dhambi 😮

    • @borntosucceed6877
      @borntosucceed6877 10 часов назад +1

      Mchungajia kalenga tiba asili msikilize hadi mwisho punguza ujuaji

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 9 часов назад

      @@borntosucceed6877 hivi wewe unaelewa maana ya asili, asili ni kile kitu ambacho ni halisi kabisa akijachakachuliwa yaani kwa tafsiri ya haraka hakijapitia kiwandani, hatuzungumzii ramli, wala kutazama bao hapa kuna tofauti kati ya dawa asili, na ramli.

    • @Sabinasinoya
      @Sabinasinoya 9 часов назад +1

      Mchungaji ajakataa ila msikilize mpaka mwisho then njoo comment mpendwa

    • @LeonardEdward-fb2bn
      @LeonardEdward-fb2bn 9 часов назад

      @@borntosucceed6877 kwa comment yako tu inaonekana ww ni mdogo wake na shetani ,,hata km uko kanisani unapoteza muda

    • @LeonardEdward-fb2bn
      @LeonardEdward-fb2bn 9 часов назад

      @@Sabinasinoya ubarikiwa Sana 🙏

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 8 часов назад

    Dawa za miti ni nzuri lakini zile umechuma mwenyewe.... za kununua kwangu ni no; hata kama imedhibitishwa na nani...

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack 9 часов назад

    Wachungaji wa leo

  • @EmmanuelDavid-x5k
    @EmmanuelDavid-x5k 8 часов назад

    Wanaotumia dawa za kienyeji wote jehanamu

    • @peterntora5041
      @peterntora5041 6 часов назад

      Hata mchicha ni majani
      Je kwa kula mchicha, karoti, tangawizi, na aina nyingine za matunda ni dhambi?

    • @EmmanuelDavid-x5k
      @EmmanuelDavid-x5k 5 часов назад

      @peterntora5041 tofautisha chakula na dawa za kienyeji tena unazitoa kwenye viringe vya waganga na majini hapo .hauwezi kumuona YESU.maandiko ....ayubu 5:3-4 na yeremia 46:11

  • @Kingsalumoni
    @Kingsalumoni Час назад

    Amen

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 10 часов назад

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

    • @goodluckdaniel4670
      @goodluckdaniel4670 9 часов назад +1

      wewe huelewi chochote,, rudia zaidi ya mara kumi kumsikiliza mtumishi,,bado hujaelewa chochote hapo,,rudia tena

    • @BarakaJohn-y1e
      @BarakaJohn-y1e 9 часов назад

      Wewe ndio hujaelewa

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 10 часов назад

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio mungu?

  • @BarakaJohn-y1e
    @BarakaJohn-y1e 10 часов назад

    Kwa mantiki hiyo basi sayansi ni mafunuo ya Mungu,dawa za kujichubua si dhambi maana zinatoka kwa wataalam ni zimethibitishwa, pia dawa za uzazi wa mpango ni halali maana zimethibitishwa kitaalamu, Mchungaji anathhibitishaje kwamba dawa za maabara zimetokana na mafunuo ya Mungu? au wataalam ndio Mungu?