Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mafundisho mazuri kweli
Ubarikiwe mtumishi wa mungu nimejifunza mengi kupitiya hi story
@@ombeniyohaneaustin8415 duh! yaani amekomaa kweli
Mafunzo ya huyu pastor ya maana sana nazipenda🇰🇪
Asante sana hakika tunafindishwa , tayari nimesha ona ninapo feri kwa kuombea mutoto wangu kumbe shida bado ipo kwangu
Asante sana mtumishi kwa mafundisho mazuri na mafunzo mungu akubariki sana 🙏
Waoooo no 1 Asante sa Boss wangu
Barikiwa mtumishiwa Mungu Asante sana kwa neno la Mungu tupo pamoja, Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Kila Leo.
Ahsante sana kwa mafundisho
Davista make it longer or post twice a day
Siwezi shangaa. Kuna muvi ya kizungu inaitwa insidious, mtoto alikuwa analala nafsi yake inasafiri , mwisho wa siku ikashindwa rudi kwenye mwili. Dogo hakuamka mpaka walipomuita mtu wakuweza kwenda kuifuata nafsi yake ilipo ili irudi mwilini.
Mda unaisha unapenda mbele unaludi nyuma bana utatuambia lini tuambie saizi
11:20
Sisi wenye nyota za kuwafaidi wengine tutafanyaje tukombolewe?
Wewe umejuaje kama nyota yako ndivyo ilivyo?@@joycesycherlwy3835
Kuna kitu nimejufunza
Ivyo utakavyo ongera badae kwanini usiongee saizi kuliko kuludia ludia maneno na maongezi mengi