Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 227

  • @nusraangelatheprincess2891
    @nusraangelatheprincess2891 9 месяцев назад +27

    kama bado wasikiza hii ngoma 2024 gonga like ,,much more love got kenya

  • @rehsanhassan8141
    @rehsanhassan8141 Год назад +24

    Goma la mwaka hili Nani anabisha MashaAllah sepe Bila jasho much love from Kenya 🇰🇪 MashaAllah always on top you never disappoint Mama love you big....❤️❤️❤️❤️

  • @hamzaabdallah6285
    @hamzaabdallah6285 Год назад +80

    Queen Isher mashauzi melody tamu kama umeipenda gonga like tano tu kwangu

    • @immaculathaSamson
      @immaculathaSamson Год назад +2

      Wakuache ma kipaji chako jike la Simba nakupnda sanaaaaa

    • @rexroy4
      @rexroy4 9 месяцев назад

      👍

  • @kingmuhashjr5676
    @kingmuhashjr5676 Год назад +8

    Ubarikiwee Huna bayaa dada
    Hukuu London tunakutambuwa ❤❤❤🎉🎉

  • @daphineandia7590
    @daphineandia7590 2 года назад +14

    Kutoka🇰🇪-kisumu napenda nyimbo zako sana ISHA najivunia Kua Wa pili kukomenti💪

  • @halimakhatib1588
    @halimakhatib1588 2 года назад +54

    Hasidi kijembe atakipokea 💘 utasilia kuwa juu siku zote sio kwa beat hiyo♥hunaga kazi mbovu 😍😍😍

  • @mounawarabdulrahmanali8141
    @mounawarabdulrahmanali8141 2 года назад +30

    Haki sichoki kuisikiliza yani kila siku haki ❤️💕👍 thanks big mummy!!!

  • @ShaymaaSaid-jl3wk
    @ShaymaaSaid-jl3wk 5 месяцев назад +2

    Hasidi wa roho yng namjua mwenyewe🇹🇿🇹🇿

  • @philipodallo7950
    @philipodallo7950 11 месяцев назад +9

    I love this song. From Kenya..🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @davidchilumo6246
    @davidchilumo6246 Год назад +14

    From Mombasa🇰🇪we say this is big tune🔥🔥🙌

  • @luqmanhassan4781
    @luqmanhassan4781 7 месяцев назад +13

    Jamani niskie kelele za mashauzi kwa likes ❤❤❤

  • @nyotawaziri5992
    @nyotawaziri5992 2 года назад +6

    Masha'Allah Masha'Allah hujawahi kuniangusha mwanangu kama najiona hapo nitakavyo nyotoa nyonga

  • @MebakariSuleiman-rw1hu
    @MebakariSuleiman-rw1hu Год назад +7

    Tamu sana mamaa nimeipenda ngoma yako

  • @Mariam.kassiva
    @Mariam.kassiva Год назад +6

    On repeat ❤🇰🇪 hàsidi wa moyo wangunamjua mwenyewe

  • @fatumaabbas1635
    @fatumaabbas1635 Год назад +7

    Upo vizuri Ishaa Kweli maji na mafuta havichanganyiki daima separately

  • @naomikomora3115
    @naomikomora3115 5 месяцев назад +3

    Hii nyimbo haiishi utamu.maneno Na mdundo wake una Raha....

  • @JumaaShabani-n6r
    @JumaaShabani-n6r 4 месяца назад

    ❤ isha mashauz unankoxh xn wape wanach stail

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 Год назад +21

    Best Female Vocalist of Africa Queen huna baya dadangu nakupenda hadi mke wangu aju☝️🔥

  • @sakinaaminq
    @sakinaaminq 2 года назад +6

    Kazi safi isha... Jamani hata sijui niseme nini...mpenzi kwa hili nalo wambea na hasidi wasikie

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Год назад +3

    Aseee huu moto atari kigoma mojaaaa midondoko ya msondo hiii aseee kari hiii aseeeee nimekumbuka kwetu jamani ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥eva

  • @mwitiofficial9525
    @mwitiofficial9525 10 месяцев назад +1

    Isha mie ni Mwitii nakutambua ngoma zako unitulisa kama nimelala walahi nakutafutia nafasi meru fikiria hiyo kesha itakua aje.

  • @mwajumayunus419
    @mwajumayunus419 2 месяца назад

    Mimi napenda nikumbushe tu Mr nana kitakachomsaidia Dida huko alipo ni duaa na swadaka ukiweza haya mziki unamuongezea mtihani tu

  • @tamashaharuna9345
    @tamashaharuna9345 2 года назад +4

    🥰🥰🥰🥰💞💞🤌🤌👌 jamani dada isha hanaga shooo mbaya km umeniimbia kwa hasid yangu

  • @imaculathmwacha4649
    @imaculathmwacha4649 2 года назад +5

    Walai nyimbo nzuri mno penda wewe isha wangu

  • @whitneymbonne5041
    @whitneymbonne5041 2 года назад +7

    Daima atakua juu wapi kelele kwa goma kali ♥ much love from 🇰🇪

  • @manziwamalindi224
    @manziwamalindi224 2 года назад +5

    Mungu akueke dadangu unasauti yapekeako kwakweli💪💪❤❤

  • @MalickZohan
    @MalickZohan 2 месяца назад

    Aloneym is the best definition of versatile producer nakusahamu tokea ukiwa zenj bro

  • @magdevid
    @magdevid Год назад +3

    Asidi wa roho yangu namjua mwenyewe eeh♥️

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Год назад +3

    Masha hilo beat lanitia wazimu sijui ni cheze macho juu ama macho chini nyimbo ni tamuuuu.

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 Год назад

      😂😂😂😂 chini ayo macho juu utazirahi

  • @husseintajiri1859
    @husseintajiri1859 2 года назад +8

    Hunaga kazi mbovu mungu azidi kukubariki kila siku

  • @aminamohammed-en4st
    @aminamohammed-en4st Год назад +2

    Jamani hii goma ni noma sana kuliko zote na pia ni classic sana

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 2 года назад +29

    Queen of the best melody 🔥🔥🙌

  • @mamaamadikodiko626
    @mamaamadikodiko626 2 года назад +2

    Miaka mia nane jike la simbaaa 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @samriaismail2167
    @samriaismail2167 Год назад +10

    🔥🔥🔥🔥sauti tu MashAllah and the beats zimeweza kabisaa👏👏

  • @saidakirase9498
    @saidakirase9498 2 года назад +4

    Pambeee 👌👌👌🔥🔥🔥 utabaki kua juu miaka kenda rudii niucheze msewe mie💃💃💃💃💃

  • @PamTop-k4o
    @PamTop-k4o Год назад

    Madjundu ndio habari ya batoto ya dare Salam kama huna djungu na madjungu basi hujakamilika

  • @NazamSalim
    @NazamSalim 6 месяцев назад

    Jamani nyibo hii haiishi utamu mbona iko poa hongera zako mm kutoka Kenya 🇰🇪 malindi

  • @thomaskuria5310
    @thomaskuria5310 9 месяцев назад

    Damn, my G Ibraah made me come here. He used to play this particular mix which is music to my soul

  • @switnush5885
    @switnush5885 Год назад +1

    💃💃💃 FINALLY HERE🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️MAMA YANGU🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RahmaAwami
    @RahmaAwami Год назад

    Nampenda sana hana mbaya wallhahi natamani niwe mrith wake❤

  • @ashaabdallah9729
    @ashaabdallah9729 Год назад +2

    Hasidi wa Roho yangu namjua mwenyewe mie

  • @husseinshariff3652
    @husseinshariff3652 2 года назад +4

    mashauzi umeshamaliza uko vizuri daima ww mashallah

  • @halush175
    @halush175 2 года назад +3

    Isha katuletea goma la msondo hatari💥💥💥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @rajabuissa4013
    @rajabuissa4013 9 месяцев назад

    hasidi wa roho yangu namjua mwenyewe
    mnanikera bureeeeeeeeeee

  • @zafarmohamedy3013
    @zafarmohamedy3013 2 года назад +31

    Dinifinition of good music mashauzi never disappointed

  • @kessyrojas9549
    @kessyrojas9549 Год назад +4

    Queen of the best melodie endlea kuburuza mama!

  • @NayratshaminaNayraaatsha-ym4nt
    @NayratshaminaNayraaatsha-ym4nt 10 месяцев назад

    Nice song🎉🎉mambo mm kunharbia...sio levo yko

  • @scholarsticahchacha7382
    @scholarsticahchacha7382 2 года назад +2

    waaooo wakwetu anatambaaa na bonge la ngoma......hasidi wa roho yangu namjua mwenyewe..mbio zao za sakafuni...mimi sio levo yao.

  • @ruwaidamuhammed3673
    @ruwaidamuhammed3673 Год назад +1

    Haaaanaaa mbaaaayaaaa ishaaa

  • @khamiskurichwa1794
    @khamiskurichwa1794 Год назад +5

    A very beautiful song from Mashauzi,kongole mama

  • @zainaaryan8591
    @zainaaryan8591 2 года назад +10

    My favorite woman 💖❣️ always the best 😘😘💕

  • @AuntyLeila
    @AuntyLeila Год назад

    Aisha hujui tuu haya ndo mambo yako❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sadajuma7592
    @sadajuma7592 2 года назад +4

    Sio levo yako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪

  • @keykariabu701
    @keykariabu701 Год назад

    Sio Level Yako..Sema ..Jirani amejua hii radio sio Level yake ...

  • @badriyaal_harrasi1167
    @badriyaal_harrasi1167 Год назад

    Nakuelewasana kitambo sana huna baya mamaaa❤️❤️❤️🎤

  • @BinHaju
    @BinHaju 2 года назад +2

    Mimi sio level yako ✔✔✔

  • @graciousbeauty3511
    @graciousbeauty3511 Год назад

    Nyie wapishi wa sumu pikeni naja kuchochea weweeee santhaa nakupenda mpenzi

  • @KijaJumbe-lr8ex
    @KijaJumbe-lr8ex Год назад +2

    Hujawahi kukosea kabisa❤❤❤

  • @thebill.billionaire
    @thebill.billionaire Год назад +1

    Mm sio levo yako Yani umetuweza Isha mashauzi😘

  • @magrethhazina2281
    @magrethhazina2281 Год назад

    Asante penda tupe mambo mazurii shabiki hatuchoki kukusikiliza mumy

  • @Bahame63
    @Bahame63 8 месяцев назад

    Isha mashauzi❤❤❤❤ from rwanda

  • @fatumachinguluma9109
    @fatumachinguluma9109 2 года назад +1

    hatar hatar da isha 🥰😘😘😘sauti mamaaa loooh ♥️😘😘😘😘💃💃pambeeeee 👌 apo apo apo mauno ya baikoko wapiiiiii💃💃💃

  • @osamamahmouds9827
    @osamamahmouds9827 2 года назад +23

    🙌🙌🙌🙌
    No One Gonna Compare With You 😍😍🥰😘

  • @Qatar-vh5ff
    @Qatar-vh5ff 2 года назад +1

    Sio levo yako hii tulia hasidi .uko juu mazaa

  • @annamanyara2562
    @annamanyara2562 2 года назад +6

    I love you Isha forever and ever amen

  • @zawaditito5111
    @zawaditito5111 2 года назад

    Unanikera buree wanikera bure na mie siyo levo yako🥰🥰🥰👌🏼

  • @phoebenjonjo6774
    @phoebenjonjo6774 2 года назад +22

    Every song huwa on point,still waiting for the 🇰🇪 launch of the song

  • @delphinamkamba7908
    @delphinamkamba7908 2 года назад +1

    Hatariiii kabisaaaa hyooo umeuwaa

  • @MwanahawaSeif-d6k
    @MwanahawaSeif-d6k 8 месяцев назад

    Dada isha kazi yako nzuri imewagusa hiyo😂

  • @annamanyara2562
    @annamanyara2562 2 года назад

    Mungu akuweke tuendelee kupata burudani my Dada

  • @zainabramadhanramadhan9628
    @zainabramadhanramadhan9628 Год назад +1

    ❤taarab wazimu yaani 👌👌👌👌👌

  • @yasmeenyasmeen3221
    @yasmeenyasmeen3221 Год назад +1

    From mombasa kisauni😂❤

  • @Glove233
    @Glove233 Год назад +2

    Goma ni 🎶🎙️🎙️😲🔥🔥🔥🔥🔥🔥💓💓💓💓

  • @Susan-l5y
    @Susan-l5y Год назад +2

    Wow I really love this song ❤️❤️❤️.nawekea maasidi

  • @zulfamanswab5246
    @zulfamanswab5246 Год назад

    Amenigusa moyo wangu dada angu

  • @Emmy20233
    @Emmy20233 Год назад

    Pambe tyuuuu😂😂sio levo yako mie

  • @hadijabakari218
    @hadijabakari218 2 года назад +1

    Majungu mnayopika yanapita km moshiii 🔥🔥

  • @saumuabdallah7646
    @saumuabdallah7646 2 года назад +8

    Love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍

  • @mmnmmm8566
    @mmnmmm8566 Год назад +2

    Nakupata vizur dada lsha ndani ya Lebanon

  • @Rasmia-y7l
    @Rasmia-y7l Месяц назад

    ❤ masha'allah allah akuzdshie

  • @BiumbeBiumbealiy-fe1zt
    @BiumbeBiumbealiy-fe1zt Год назад

    Mashallah.hii.nyimbo.imeweza

  • @prettychunaz9603
    @prettychunaz9603 Год назад +3

    Ajab sana dada uko juu iko ❤️

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 Год назад +3

    Hii kitu fungua mwaka 2023 umemaliza maneno🤣🤣🤣🤣🤝

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 2 года назад +2

    Nyimbo ni nzuri sana

  • @munserat5131
    @munserat5131 Год назад

    Napenda sana nyimbo zako dada ❤❤❤

  • @beatricekingu9569
    @beatricekingu9569 2 года назад

    Umetisha mpaka umetisha tena yani.

  • @AuntyLeila
    @AuntyLeila Год назад +1

    Asanteeee❤❤❤❤ nyokoooooooo

  • @ashaseif3915
    @ashaseif3915 2 года назад +1

    Dada uko juu sana hongeraaaaa

  • @ashuraissa7762
    @ashuraissa7762 Год назад

    Mashaallah mziwanda wangu

  • @AhmadMpoma
    @AhmadMpoma Год назад

    ❤❤❤ akika unajua

  • @johnkalindo8422
    @johnkalindo8422 2 года назад

    Na Mimi sio level zaooooo.

  • @saidaabeid
    @saidaabeid 4 месяца назад

    Hongera dada ake

  • @faiza9344
    @faiza9344 Год назад +1

    Hii nyimbo kiboko 😍

  • @ashasalum5350
    @ashasalum5350 2 года назад +1

    Hongera Sana aisee midundo ya polini iyoooo

  • @sumeiyasabur9267
    @sumeiyasabur9267 Год назад +3

    🇰🇪🤗 sip levo yakooooooo

    • @asmamsati48
      @asmamsati48 Год назад

      Sio levo yako😂😂😂pambe tyuuuuu👌👌👌👌

  • @loiceerambo1905
    @loiceerambo1905 10 месяцев назад

    Moto kama past

  • @msagatgiriad4075
    @msagatgiriad4075 Год назад +2

    Kazi nzuri

  • @najmaaliy693
    @najmaaliy693 2 года назад +3

    🔥🔥🔥🔥👌💯 from 🇰🇪

  • @mwinyimatopa2283
    @mwinyimatopa2283 2 года назад +1

    Moto sanaaaaaa

  • @mbarakabdalla3370
    @mbarakabdalla3370 2 года назад +1

    Santaaaa mama🔥🔥🔥