MPANGO WA KUMRUDISHA ALIPOTOKA 2025 UMEKAMILIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 200

  • @kheirmwinyi9705
    @kheirmwinyi9705 Месяц назад +4

    Kauli ya Zanzibar ni njema ni Ali Hassan Mwinyi
    Maalim alipeleka maneno Dodoma Aboud Jumbe akafukuzwa chama

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 26 дней назад +1

    Hongera mheshimiwa Mungu yupo. Pamoja nawe kumbuka uwasaidie waliokuwawafanyakazi hotel 77 ya Arusha madai yao hawajalipwa mpaka Leo tunateseka tusaidie

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Месяц назад +2

    Act wazalendo oyeee ❤❤🎉🎉🎉

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Mr jusa hatar sana::::allah atujaalie mafanikio ila chamsingi sana..Zanzibar kwanza tumbo baadae huo Ndio ukweli ❤

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 19 дней назад +1

    Jussa huo ni uongo Rais wa nchi hawezi kuzuiwa na Maalimu seif pesa zinachukuliwa bila hata kujua lkn zilikuwa kiasi gani hizo pesa

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 14 дней назад

    Chama cha kipumbavu 😀😀😀

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Месяц назад +3

    Act mbele kwambele mazali samiya hatakiwi daa na Zanzibari mwinyi endekwao

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb 7 дней назад

    Semaaa

  • @josephBugalama-u9e
    @josephBugalama-u9e Месяц назад

    Kwli mzeee umenena

  • @V24hrs
    @V24hrs Месяц назад

    I love Act Wazalendo 💜

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee Месяц назад +2

    Samia lazima arudi kwao

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 28 дней назад

      @@RubenMtuwaMungu-bz8ee wewe kwenu unakujuwa!

  • @mapendomeela7166
    @mapendomeela7166 20 дней назад

    Safi baba

  • @memorataedson7895
    @memorataedson7895 25 дней назад

    sema huyu mzee hapendagi amani

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Месяц назад

    Gheri inshallah 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Pastor1815
    @Pastor1815 16 дней назад

    Hivi Act ndo Cuf

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu Месяц назад +1

    Maulidi ya kuzaliwa Muhamadi

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 14 дней назад

    Maskini Marehemu kibao Allah awape pepo ya firdaus

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad Месяц назад

    Nani huyo hahahaaa

  • @ngozaniaabdullah2665
    @ngozaniaabdullah2665 Месяц назад +3

    Tupe sera siye, hatutaki porojo za uchonganishi babu. Mfufue Maalim basi walia tu maalim wee maalim wee.

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp Месяц назад +3

      History inakuuma kuna mafunzo sisi tunaishi nje za nchi kwasabb ..................

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Месяц назад

      Hakunà uchonganishi bali ni ukweli

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад +1

      Hata hao Mashoga wenzako Julia kila uchao Nyerere were Nyerere were!Magufuli were Magufuli wee!na wewe wambie wawafufuee!,Mashoga wenzenu

    • @kassim1262
      @kassim1262 Месяц назад

      Hizo story ndio zinazowfanya tuwapigie kura ndio maana ccm mpk wpige w2 ndipo wshinde maana hwtupi story hlfu kuhusu kumfufua wmbie ccm wmfufue nyerere kwnza laanatullah hlfu jussa atamfufua maalim Allah amrehemu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 28 дней назад

      Hawa Watanganyika Wana chuki Sana na Wazanzibari ambao ni walimu wao waliowafundisha ustaarabu wa Kula,kuvaa,kujisafisha na hata wa Wake zao kujipamba!lkn baada ya kujuwa Kula chapati na halua imekuwa shida!

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 14 дней назад

    Acha uongo zanzibar si ya kwanza bali kilwa kuwa na sarafu

  • @ahmedalbalushi6239
    @ahmedalbalushi6239 Месяц назад

    Aamin 🤲

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu Месяц назад +2

    Fascism is a fashionable again😢😢 😢

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li Месяц назад +1

    Tukisema zanzibar na nchi mnakataa je leoo mnasikia haya ccm ni waongo na wanafiki watanganyika amkeni. Zanzibari ni nchi huyuu mama anauoiga mwingi anawahadaaa anahamisha mali zetu anapora kuoeleka zanzibar jamani tumerogwa nani tuikatae ccm mchana kweupe inatofisha kimaendekeo kodikila kona sikiliza hii hotuba mjifunze ujinga wa ccm

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 19 дней назад

    Bila cuf sijaona

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h Месяц назад

    Nampongeza Mhe Makamu Mwenyekiti kwa kutamka Inshaalla wakati CCM hawawezi kutamka neno Hilo

  • @AllyKija
    @AllyKija 23 дня назад

    Kwani mnafikili mkivunja mungano watanzania bara watathilika na kitu Gani? Ni kitu Gani Zanzibar inaisaidia Tanganyika???

  • @baraghash4964
    @baraghash4964 Месяц назад

    Hizi video za lini?

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 26 дней назад

    Mungano uondoke zake sawa

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Месяц назад +1

    Kumpa Kura ccm nisawa na kuwapigiya mashoga Kura wake watulawitii

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Месяц назад

      @@hidayahidaya-vd3ze ushoga kauleta Nani? Si kauleta mwarabu.wakati wa biashara ya utumwa? Waarabu wameharbu visiwa sanaaa..shauri ya ufiraji.wafiraji saana

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go Месяц назад +3

    Mamlaka ya Zanzibar ni lazima sio ombi

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Месяц назад +1

      Kwa uwezo wa Allah

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og Месяц назад

      Tanganyika yetu jamani tunaitamani sanaaa irudi kama awali

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go Месяц назад

      @Mariam-ke4og nyinyi endeleen kujilegeza mwisho wa siku mtakuw Wakimbiz katika ardhi yenu wenyewe kama Wapalestina kwa Waisrael

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 14 дней назад

    Wewe mwenyewe una kwenu na si zanzibar ambayo wote hao unaowahutubia wana nasaba na bara kasoro nyie mabushiri

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 Месяц назад

    Wenye akili pekeyake ndio watamuelewa

  • @AllyKija
    @AllyKija 23 дня назад

    Vunjeni tu mungano muone vyakula mtapata wapi

  • @AllyKija
    @AllyKija 23 дня назад

    Huyu jusa ni mbinafsi sana Hana lolote

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 Месяц назад +1

    Tunajuwa CCM kwa Zanzibar unguja na pemba huwa haishindi kwa haki.inatangazwatu majimbo na uraisi kwanguvu nambinu wanazo zitumia ila sizani chama cha upizani hatakishinde kwa haki kutangazwa uraisi Tujipetu tamaa kila miaka lakin haina haja yakwenda kudimama na kupiga kura tena ukapata kilema cha bure hawajamaa wana maneno kama mataamu ila siku za uchanguzi yote hubadilika

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 Месяц назад

      Upo sahihi hakuna liwalo

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 Месяц назад

      Hakutendeki haki Kwasababu wao hawahitaji ushindi wa kura ni kujitangaza tuu watakavo

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 Месяц назад +2

      Hakuna kukata tamaaa Allah hapendi watu wanaokata tamaa

    • @AbdullahKhamis-q8k
      @AbdullahKhamis-q8k Месяц назад +2

      Huyu jamaa no mjinga anaongea pumba hakunahaki inayopatika kwa urahisi ikiwa ww umekatatamaa ni ww tuuuu

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa Месяц назад

    CCM Daima

  • @yussufkombo8623
    @yussufkombo8623 29 дней назад

    Huyu jusa vp anakikamasi au vp au mgonjwa uyu mwamba

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 Месяц назад

    Kwani nyinyi bado mnajipa moyo tuu,kuipigia kura ACT ni sawa na kukojolea ukuta wa kibla

  • @bongo39
    @bongo39 14 дней назад

    Wewe makengeza unasema atarudi kwao wewe hapo kwenu ndio asili yako hiyo

  • @StewartUkason
    @StewartUkason Месяц назад

    Sijajua watanganyika Wana matatizo gani!? Kwanini Bado wanaung'ang'ania muungano wa namna hii!? Wenzetu hawatutaki....

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 28 дней назад

      Tatizo Watanganyika wanapenda kuolewa na Wazanzibari si unajuwa tena mambooo!

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 Месяц назад

    Singuvuni Mkuranga

  • @StevenMasunga-fd7xf
    @StevenMasunga-fd7xf Месяц назад

    Tupeni mwinyi wetu, mchukue kizimkaz wenu

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Месяц назад

    Pekenyu pekenyu hadi Zanzibar yaongozwa na jitu la mkuranga 😂kweli zanzibar shamba la bibi

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Sisi tulishazowea kuwekewa wageni!lkn je Tanganyika vp na mama wa Kizimkazi!na mbaya zaidi wamkuranga haondowi kitu Zanzibar lkn je wa Kizimkazi vp?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Wa Mkuranga mama yake ni Muarabu hao munaowachukia na Baba yake ni Mzaramu mwenzenu lkn mama ni Kizimkazi na Pemba hapo sasa!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Shamba la Bibi ni lipo sasa?Sisi Kwa utaratibu huu wa sasa!Muungano iendelee Tu maana manufaa yapo maana fedha inaingia si haba,Kijana wa Mkuranga anaing'arisha Tu Zanzibar!Muungano Oyeeeee!na Mama je!mitanooooo!

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Месяц назад

      Kwani Jusa kwao wapi???? Au Oman?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      @@eliakazilo6078 Makunduchi

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d Месяц назад +2

    Acha kujaza chuki wenzio. TANGAZENI SERA

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Месяц назад +4

    Hawa kina Jussa na Genge lake Weshachukua chao Mapeeeema wako hapo kudanganya watu.Wanamtukana Mwinyi lakini Wanamuabudu Samia.Jee kuna tofauti gani kati ya Samia na Mwinyi?😅😅😅Wote ni CCM Uchaguzi ujao Samia ndie atakayeamrisha Wanajeshi kutoka Bara waende wakawadhiti Wazanzibari.Kwakweli hiki Chama kimepoteza Mwelekeo.Kwanza watwambie ni Lini Wanajitoa GNU??

    • @Kassim-o6m
      @Kassim-o6m Месяц назад

      Unajua kuabudu ww Mahmoud au unasema tu

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 Месяц назад

      Mnapandikiziwa ujinga kubakia gizani. Hisa ya akili inakuhusu.

    • @muhammedbakari2867
      @muhammedbakari2867 Месяц назад +1

      Wewe ni Bunju na Bunju hata umpike vip sumu haiondoki.. kama umenuna nenda ukafirane huko si unaipenda sana ccm ww.. nyote mapandikiz tuu ya Tanganyika nyie eti.

    • @muhammedbakari2867
      @muhammedbakari2867 Месяц назад

      Tena ukome kuwaita viongoz wetu waongo shuwain wew mtoto wa Malaya .. ivi unajuwa jinzi tulivo na uchungu na nchi yetu firaun... Tena chunga sna ..

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      @@muhammedbakari2867 Nchi yenu au ya Warabu, nyie ni mawakala tu, wakirudi wenyewe mtaanza kuwafulia nguo tena na kuwabebea mapakacha ya shokishoki na madoriani 😂

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 Месяц назад

    Hamna ishu nyie

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Месяц назад

    Na ww urudi kwenu tanzania hatuna kariba ya watu wenye mipua jembe maana yake una kwenu na zanzibar

    • @kassim1262
      @kassim1262 Месяц назад

      Km ww nimtanganyika kaa kimya maana jussa hayupo tanganyika yupo znzbr tena ukome km nimznzbr bc wambie akina nadill nawenzake kwnza wrudi kwao hlfu jusaa atafata

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Месяц назад

    Huyu Ni haramu ya mwarabu..Hana lolote.hakuna atawaachia kisiwa hiki kitawaliwe naSultani...hatupo tayari kuiachia mwarabu achukue visiwee.hawa Waarabu ndio warudishwe kwao muskati..hatupo visiwa waarabu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Wewe ni haramu ya Kipemba na kimakonde mbwa Koko wewe

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Mwarabu unsmjuwa wewe?sasa kama yy ni haramu ya Kiarabu Hussein Mwinyi atakuwa Nani!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 28 дней назад

      Yaani nyie waharamu wa kimakonde ni shida kweli kweli!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 28 дней назад

      Wanaharamu wa kimakonde

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 28 дней назад

      Na ndio maana sasa Munatawaliwa na Samia ambaye Mama yake ni Mwarabu Hilo hamulijuwi pia!

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 14 дней назад

    PUMBAVU KUNGUNI MKUBWA WEWE KWENU HAPO ANZA KURUDI WEWE KABLA HUJARUDISHŴA

  • @landomalekano6570
    @landomalekano6570 Месяц назад +1

    Tuleteeni Huku Kwetu mkuranga tumemiss

  • @MeshackMayenga
    @MeshackMayenga Месяц назад

    Binafsi sijakuelewa kabisa

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 Месяц назад

    U

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Месяц назад

    Eea sera za chama wee mchonganishi mkubwaaa wewe

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Месяц назад

    Kumrudisha Nani lbd wewe urudi kwa wwajomba zako huko haturudi nyuma hata kidogo

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Zanzibar hatuna jina Sebastiani funga mdomo wako katafute tembo unywe na ukacheze vigodoro!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Wewe unaijuwaje Historia ya Zanzibar nyie ndio muliyoiharibu Zanzibar washenzi musiokuwa na dini mbwa Koko!

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 Месяц назад

    H

  • @MohamediSuleimani
    @MohamediSuleimani Месяц назад

    Na wewe utarudi india

  • @YunusAliHassan
    @YunusAliHassan Месяц назад

    Porojo tusha zizowea, siku ikifika ccm tunachukua tunaweka waaa, inshaallah.

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb 7 дней назад

    Wambie wajinga wa ccm

  • @AbdulMuhudhar
    @AbdulMuhudhar Месяц назад

    We balahau JUSA wallahi kunjaa GOYA, weye UNAGOYA!!!!! Mara hii, CCM PEMBA itaishangaza DUNIA. KURA ZOTE ZA NDIO KWA DAKTARI HUSEIN MWINYI

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад +2

      Dunia ameshangazwa wakati wa Makufuli Kwa upande wa bara kuchukuwa Serikali zote za mitaa na Pemba kujichagulia Makombo watakayo wakachukuwa sasa dunia ishangae Kwa lipi tenaa!na hata ule wakati wa Mwendazake (Jecha)pia nakukumbusha!

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 5 дней назад

    Wazanzibari msiwe wajinga. Jusa hana akili.utasemaje mapinduzi yalianzishwa na Maalim Seif badala ya Mzee Karume? Hawa waarabu vipi? Yaani zanzibar apewe mwarabu tena? Hii zanzibar ni ya watanzania..zanzibar ni ya waafrika..

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d Месяц назад

    Unasema nini wewe.....kifo chenu.kimekaribia 2025.

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      @@SabahHassan-z7d kwani na wewe ni Mwarabu au ?

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      @@Sheba4651 Kuuwa alikuwa anauwa Mwarabu Sultani enzi hizo, aliwauwa babu zenu nyie watu weusi mpaka basi, ila nyie ndo hivyo tena , Mwarabu kwenu hana baya, baya lipo kwa Nyerere tu alosaidia kuwaondoa Waarabu warudi kwao walikopangiwa na Mungu 😭😭

  • @NDEWARA
    @NDEWARA Месяц назад +1

    Ubaguzi utawamaliza nyie ACT. Hii nchi ya Tanzania tumeiunda sisi wenyewe Watanzania. Ni nchi yetu. Wakazi wa mwanzo wa Unguja walitoka Bara. Hao Waarabu na Wahindi walikuja baadae sana

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo Месяц назад +2

      Acha uongo huna ulijualo nyamaza

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      ​@@AliAbdullah-oy6yo
      Kumbaro acha ujinga, nchi hii siyo ya Waarabu kama unavyotudanganya, wale ni Wakoloni tu

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      ​@@AliAbdullah-oy6yo Msenge Jussa, unatuambia mambo ya Wakoloni Waarabu wa enzi hizo ndiyo Wazanzibari, Mwarabu kwao Warabuni, acha kuwafanya hao wenzio mazuzu

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      Duniani kuna mambo, hivi Tanganyika nao wanaweza kusema eti Wajerumani ni Watanganyika ? Manake walikuwepo Tanganyika enzi na enzi , na hata hilo jina Tanganyika walitupa wao !

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Kasome vizuri sio kupayuka Tu!

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h Месяц назад

    Ktk chama cha ccm zaman kulikuwa na wanaume wa kweli kina maalim seif sio sahivi

  • @2002-h6c
    @2002-h6c Месяц назад

    Na wewe Kumbaro Jussa utarudi kwenu India, wewe siyo Mwafrika , Zanzibar siyo kwenu

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад +2

      hhhhh nahis hujui nini mana ya wazanzibar bas nakwambia wanyamwezi wa bara kina mwinyi ndo znz sio kwao mana wamekuja baada ya mungano kuku wee

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад

      @fahmysaid-zw4np Shida yenu mnajipendekeza sana kwa Waarabu na Wahindi, hata akija leo hapa Zanzibar kutoka huko kwao basi mtasema kazaliwa Zanzibar, lakini Mwafrika mwenzenu hata kama babu na mababu walikuja kutoka bara , basi huyo siyo Mzanzibari kwa kuwa siyo Mwarabu au Muhindi, hamna hata haya nyie watu

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад

      @@2002-h6c hatujipendekezi kwa mtu znz walio kuja kipindi hiko walikua warabu wahind na wengineo watanganyika walikuja km watumwa walio kuwa wa kiuzwa na znz ililua ni kituo cha kuzia watumwa afrika mashariki kwahio wabara sio wa znz ni wabara usitushoshw

    • @2002-h6c
      @2002-h6c Месяц назад +1

      @@fahmysaid-zw4np poleni sana, manake nyie hata mavi ya Mwarabu au Kumbaro mnasema eti hayanuki 🤣

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад +2

      @@2002-h6c pole yako weye mtanganyika mnao jipendekeza znz wakati mna kwenu tanganyika shobo tuh

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb 7 дней назад

    Wambie wajinga wa ccm