Cheka na vichekesho vya Hamorapa| Kafukuzwa na Meneja wake?/Kukutana na JPM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 376

  • @publicadvisor6952
    @publicadvisor6952 6 лет назад +55

    Walimzarau huyu dogo nakumwita kima lakini mungu sio adhimani dogo ANAWAFUNIKA SASA! Alie mwita kima yupo wapi! Kaza buti Hamo tunakupa full support!

  • @aishaelias6826
    @aishaelias6826 6 лет назад +106

    Sio sura mbaya, sote tumeumbwa na mungu

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 лет назад +15

    mungu ndio kila kitu aliyekupa donda ndie atayekupoza kovu HUJAFA HUJAUMBIKA Hamorapa kaza dogo uzuri sio sura

  • @mefutv3458
    @mefutv3458 6 лет назад +27

    Mnasema Hamorapa mbaya HONGERA ZAO ,,,wao wazuri basi WAOLEWE,,,
    MWANAUME MZIMA Unasema mwanaume mbaya,,,nikweli uliambiwa mwanaume mzuri tangu lini,,,HAMORAPA wanaume kazikazi hao wanajiita wazuri TUTAWACHUMBIA, TUTAWAOA...Akili zao visoda

    • @khadijam8938
      @khadijam8938 6 лет назад

      mnao. sema. hamorap. mbaya. ok. mm mzuri na mpenda huyo mbaya mbaya sura lakini tabia. nzuri

  • @rehemajuliusoman7372
    @rehemajuliusoman7372 6 лет назад +52

    Wasoma comment gonga like twende sambamba😃😃😃😃

  • @OsmanAli-cu5gz
    @OsmanAli-cu5gz 6 лет назад +10

    Hamo maringo kweli mpe like kazi ya Mungu

  • @goldenson1340
    @goldenson1340 6 лет назад +20

    Ubaya wake ww faida yako nini Mungu umuumba mwanadam Kwa upendo sana

    • @paultalon4414
      @paultalon4414 3 года назад

      A tip: you can watch movies on flixzone. Me and my gf have been using it for watching loads of movies lately.

    • @huxleyian24
      @huxleyian24 3 года назад

      @Paul Talon Definitely, I've been using flixzone for months myself :D

  • @silasitivin1239
    @silasitivin1239 6 лет назад +8

    Usikate tamaa hamo ukisemwa sana jua neema iko njiani pambana mwanaume achana nawanajisifia wazurii

  • @jamilajabu2902
    @jamilajabu2902 6 лет назад +56

    mnaposema mbaya amejiumba yeye mwenyewe au mnasema na mungu kuwa amekosea kumuumba?

  • @myself4128
    @myself4128 6 лет назад +5

    Kamua mtu wangu unakubalika harmorapa we kifaa!!! Achana na wauza sura hao wengi wao ni wivu tu hujajiumba muachie mungu! Kazania muziki tu

  • @ahmadkibamba7245
    @ahmadkibamba7245 6 лет назад +9

    HAKUNA BINADAMU MBAYAA,KWA KUWA BINADAMU TUNAFANANA SOTE

  • @euniceraymond5221
    @euniceraymond5221 6 лет назад +5

    The funniest interview I have ever watched

  • @sish7012
    @sish7012 6 лет назад +30

    Hamorapo napenda unavyo ongea lazima ucheke yani unavyojiamini adiraha

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 6 лет назад +3

    Hamorapa mm mwenyewe nakukubali,, Wew ninouuuma

  • @Rashid-ss2wv
    @Rashid-ss2wv 5 лет назад +3

    Hahahaha 😂😂 nilipo cheka ni pale alipo ulizwa akikutana na raisi atamwambia nini 😂😂😂

  • @abdulukwachu4447
    @abdulukwachu4447 6 лет назад +4

    Kiboko ya mabishooooo🙋🙋🙋🙋

  • @mohammedbandomohammed231
    @mohammedbandomohammed231 5 лет назад

    I love i boy go on go on dont give up yr truly good looking boy and God willing u will be right

  • @Mariam-ez4qw
    @Mariam-ez4qw 6 лет назад +9

    Mtangazaji hoi kwa kicheko😂😂😂😂love u harmorapa lkn punguza dharau kwa WCB

  • @j...876
    @j...876 6 лет назад +11

    Nani anaye kosowa kazi ya MUNGU???!!!!msifanye Ivo!!

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 6 лет назад +6

    nakupenda hamo wanao wanao kusema umbaya niwashambatu

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 лет назад +2

    uyu dogo anajiamini vizuri sana

  • @lazoloedwad4791
    @lazoloedwad4791 6 лет назад +10

    Wanao mwambia mbaya machizi kuna mtu mbaya duniani alah

  • @swahiliuniverse9328
    @swahiliuniverse9328 6 лет назад +1

    kwa filamu za bongo twende pamoja

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 лет назад +2

    Big up Harmorapa kaza but mungu yupamoja nawe

  • @raniarania4084
    @raniarania4084 6 лет назад +13

    hii ndo sura yakiume, sura ngumu ,sura ya mtumba!

  • @hamisichuma3270
    @hamisichuma3270 6 лет назад +4

    nimemkubali dogo anajikubali mwenyewe inapendeza saruti kwako

  • @boygold8749
    @boygold8749 6 лет назад +9

    HamoRapa 😂😂😂😂 hayupo apo yaniii sjui kasha jirarua

  • @babymamaoman6676
    @babymamaoman6676 6 лет назад +6

    Jaman msikosoe akicho kiumba mwenyezi Mungu ni halam

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 лет назад

    Tunakupenda Sana hamo 😍😍😘😘

  • @Bonnere
    @Bonnere 6 лет назад

    Rapa Rapa 😂😂chonga michongo 😂😂nywele kama mpunga wa kiharabu 😩😩😩

  • @jumbeybrowney7310
    @jumbeybrowney7310 6 лет назад +9

    Kweli SHULE NA KUKOSA VIRUTUBISHO MTU ANAPOKUWA MDOGO bx matokeo HASI huonekana SANA baadae maishani!!

  • @bettyowiti397
    @bettyowiti397 6 лет назад +37

    Vipi wanaume pia wanasema ana sura mbaya. Kwani wamekua wanawake? Yako nzuri imekusaidia Nini , sote tunamfano wa nyani.

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 лет назад +6

    Mbona anasheik sheik au anawashwa uyo hamoraparaaaa

  • @apostlepeterndiwa6378
    @apostlepeterndiwa6378 6 лет назад +2

    Ni peter kutoka Kenya mutogo wetu harmorapa jikazi bna we wataboga lakini chapa Kazi ameni mungu

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 6 лет назад +10

    Akitokea Mwehu kama huyu ajiite Subirapa wallah nitalia kwa uchungu aiseee!!!!

    • @TheSalma1999
      @TheSalma1999 6 лет назад

      Subira Chuttar ndio nna mdogo wangu anaitwa subira mbaya kama huyu dah ngoma ngumu hii subirapa

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 6 лет назад

      salma luhombero 😀😀😀😀

    • @swai1339
      @swai1339 6 лет назад

      Subira Chuttar hahahahah

    • @jamilahabibu4317
      @jamilahabibu4317 5 лет назад

      Yaani nimecheka Sanaa😄😄😄

  • @ramadhanboi6485
    @ramadhanboi6485 5 лет назад +1

    Daaah maringoo mengi mtoto wa kiume aloo ila keep it up

  • @edeba01haji66
    @edeba01haji66 6 лет назад +10

    Boss wakiki amerudi .Watapata tabu sana 😂😂😉

  • @surdytz3917
    @surdytz3917 5 лет назад +2

    kwani sura huyu mungu wa mbinguni amekosea kumuumba wanadam acheni maneno huyo ni mwamba to

  • @MemsapSaum
    @MemsapSaum 6 лет назад +1

    Huyu yuko timamu kweli ama amelewa bona hajielewi anacho kizungumza 😂😂😂

  • @blackjack4241
    @blackjack4241 6 лет назад

    Love and support from england.

  • @mbomamamboleo3614
    @mbomamamboleo3614 4 года назад

    Kusema kweli ana sura nzuri kweli harmorapa

  • @barakamoya430
    @barakamoya430 6 лет назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    huyu jamaaa chenga sana .eti nitampa hongera ????

  • @mrdproduction9321
    @mrdproduction9321 6 лет назад +4

    Unasema umesha tambea sana duu
    fika American🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Nita kutapa sanaaa ila uwezo auna
    aaaaaa
    Anaye nikubali apige like 👍👍 apo

  • @isayarichard8562
    @isayarichard8562 6 лет назад

    Je mnamkufulu Mungu kwa umbaji wake

  • @زكيةالمسكري
    @زكيةالمسكري 6 лет назад +1

    😂😂😂analinga uyu kaka jmn

  • @tiganatigana3741
    @tiganatigana3741 5 лет назад +4

    Ntangazaji anamcheka ujinga

  • @زكيةالمسكري
    @زكيةالمسكري 6 лет назад

    ongela mwaya😚😙😍😘😗

  • @chizimndalu8537
    @chizimndalu8537 5 лет назад +1

    Waaaahhhh😄😄😂😂😂😂😂 lakn weeeehhh eti Ana maringo,uuuuwiiiiii mbavu zangu😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @Julie-ic9fh
    @Julie-ic9fh 6 лет назад +2

    Huyo mnaye mdarau Mungu ako na sababu juu yake jikaze bro Mungu ako katika upande wako

  • @shalommgalawe3800
    @shalommgalawe3800 6 лет назад

    Hahahahhahahahahah.......ila huyu jamaa asee.....

  • @allyjuma3475
    @allyjuma3475 6 лет назад +5

    Kiboko ya mabisho

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 лет назад +1

    Kwa bahati mbaya kwangu siwafahamu hawa vijana na kile wanachokifanya. Ni maigizo au komedi au ni nini hasa!. Duh! Mungu anisamehe sana.

  • @bigpoppa5409
    @bigpoppa5409 6 лет назад +10

    Kichwa yake kama haiko sawa hv

    • @wizwillemtz2736
      @wizwillemtz2736 6 лет назад

      Big Poppa yakwako ipo sawa asante

    • @peterrugaba6604
      @peterrugaba6604 6 лет назад +2

      Big Poppa hiyo sio kama hayupo sawa ila kashamba halafu hakana elimu kimekulia sana kwenye hali ngumu

    • @josephdaniel627
      @josephdaniel627 6 лет назад +1

      Peter Rugaba daaah kk et kashamba af kimelia katika hali ngumu, fikiria unachoongea mzee

    • @peterrugaba6604
      @peterrugaba6604 6 лет назад +1

      Big Poppa nimeongea sawa sasa je wewee uliesema hayuko sawa??

  • @daprince7545
    @daprince7545 6 лет назад

    Lazima kiki bado uko nayo coz u still a live mzee baba. Pia mimi nafurahi ku skia ukiongea. Goga like kama 1000 kama unamkubali huyu rapa

  • @neemaeliah780
    @neemaeliah780 5 лет назад +1

    Tatizo LA Harmorapa MARINGO,anaringa mpaka anaharibu!!

  • @prideofafrica_254
    @prideofafrica_254 6 лет назад +7

    Harmo nakupenda bure 😂😂😂😂

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 лет назад

    Ivi anaongeaje huyo jama duh mbona simuelewi huyo huyo ataenda porini huyo naona anaongea kama mwanamke😍🤣🤣😂😎😎😊😊😁😁

    • @annastaziapanga4735
      @annastaziapanga4735 6 лет назад

      Jamaa anazingua km hamtaki hadija anasema tu naona snazunguk sana

  • @shanynyalusi1507
    @shanynyalusi1507 6 лет назад

    Self confidence hamorapa nakupenda unajiamini

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 6 лет назад +4

    harmo kaza buti tupate hela ya kuwanunulia poda hawawanaodiss

  • @bahatihassan
    @bahatihassan 6 лет назад +2

    Mbona anadengua kama demu uyo chali vip

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 6 лет назад +3

    Hamo hamo na shilole nawapendaga! Wako real hadi raha

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 6 лет назад

    Sura mungu kaamuumba.njoo kenya

  • @frankrobson9829
    @frankrobson9829 5 лет назад +3

    Aliyesikia kwa watakutana kwenye madiba like yako

  • @salimakanik2805
    @salimakanik2805 6 лет назад

    Nampenda anajiamini sana🤣🤣🤣🤣

  • @ibraomar6954
    @ibraomar6954 6 лет назад +1

    Mwambieni ache ayo mashauzi kma mtto wakike iyo kijitikisatkisa kama dada

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 6 лет назад

    😃😃😃😃huyu dogo msenge sana,Harmorapa ni staa anatoa burudani

  • @faridaalbellah6921
    @faridaalbellah6921 6 лет назад

    Hamorapa wa Hadija😀😀😀😀😀 ndoa ifungwe

  • @adrianngwanasenga9600
    @adrianngwanasenga9600 5 лет назад +1

    uongeaji wake ni mashakamashaka sura mbaya lakini sauti yake kama jamaa mmoja hivi anajiita Anti jack.

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 6 лет назад +2

    Hizoo mavazi za milliard ayoo atuonyeshee kuwa ni og na sio second class toka china na korea

  • @barakmazigo8945
    @barakmazigo8945 5 лет назад +2

    Huyu ndo kabak baada ya kinyambe

  • @rehemajuliusoman7372
    @rehemajuliusoman7372 6 лет назад +2

    Unavyoo ongea kwamapozii

  • @charzlyimo381
    @charzlyimo381 6 лет назад +1

    Kwenyeee...kwenye akaunti yangu

  • @bakarisalehe3934
    @bakarisalehe3934 5 лет назад +1

    Mwanaume anakuaje mzuri kwani analiwa huyooo

  • @othumanmohamed6821
    @othumanmohamed6821 6 лет назад +2

    better broo best medea

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 6 лет назад

    Zee la Kiki Dozen,,huyu dogo inatakiwa aongozwe na sio bla bla zke hiz mwishowe ataishia hivihvi wkt ana kipaj Tu,,😀😀sema linapoelekea kujilegeza litakung'utwa soon

  • @thobiasmikaniko8348
    @thobiasmikaniko8348 5 лет назад +1

    Hamorapa unanifurahisha kuongea kwako mdomo unavyo ufanya

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 лет назад +1

    Naulizaje hamorapa toka anze kua maarafu alishakutana na wema ?

  • @williamibrahimu9225
    @williamibrahimu9225 6 лет назад +5

    Ila hamorapa unanyodo baba

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 лет назад

      William Ibrahimu 😂😂😂😂😂😂 Uso mgumu

  • @oswardndilahomba739
    @oswardndilahomba739 5 лет назад

    haaaa!!!!haaaa!!!! Dogo unazingua tuu acha kubana pua Dogo

  • @geraldkbona5595
    @geraldkbona5595 5 лет назад

    Uyu kuma anasura mbaya walah..... Amezeeka bora ata asijiweke ma breach

  • @mariamjuma9215
    @mariamjuma9215 6 лет назад +1

    Ahaa ati wamekutana duniani jamn

  • @babasamiah4011
    @babasamiah4011 6 лет назад

    😁😁😁😁😁😁😂😂😁😁😁😁😁😁😁😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂Harmorapa bwana 😂😂Sina mengi kaka.

  • @boazmtileghe378
    @boazmtileghe378 6 лет назад

    😂😂😂😂😂 alipigiwa Cm star kwamba amepostiwa

  • @saulosarmiento8632
    @saulosarmiento8632 6 лет назад +3

    2:40 dogo kaua interview yuko kipekeee sana mbavu sina dogo.

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 5 лет назад

    Kafanana na uso wa Volkswagen *Bito*

  • @fisadikiwembe9787
    @fisadikiwembe9787 5 лет назад

    kimwisho mwisho😂😂😂😂😂hamorapa

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 лет назад +5

    😂😂😂😂amorapa kabarikiwa nyota hormoniz anasafiria nyota ya hamorap😂😂

  • @briytonyhamiss2193
    @briytonyhamiss2193 6 лет назад +1

    acha kubana poa mtoto wakiume uwoushamba we unaongea uku unacheza mwili wote kama?

  • @ashaonely3031
    @ashaonely3031 6 лет назад +2

    Hili mbona kama chokochoko hivi,mwanaume unaongea alafu unajitingisha tingisha kama mwanamke,huo ni uzwazwa

  • @papamafidoo8638
    @papamafidoo8638 6 лет назад

    uyujamaa dishi limecheza 📡📡📡📡📡📡

  • @sweetmama6885
    @sweetmama6885 6 лет назад

    Sijui alikuwa amevuta gundi. Doh...! Inafika sehemu anazubaa flani hivi. 😅

  • @youngbizoboyyoungbizoboy8886
    @youngbizoboyyoungbizoboy8886 5 лет назад

    Huu niu pumbavu2 et sura mbaya baba ako ana sura nzur

  • @godfreykyando3345
    @godfreykyando3345 5 лет назад

    kwer unakiki safi amorapa

  • @alvinsimbou
    @alvinsimbou 4 года назад

    Huyu dogo reasoning yake inasound kama ameishi darasa la pili. Can someone share the light kama amekatiza mpaka walau la saba kweli. Nimefuatilia mazungumzo yake kwa kipindi simwelewi kidogo

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 лет назад +1

    Aaaaa noma sana

  • @sophiasenga8895
    @sophiasenga8895 6 лет назад

    Kweli unachokisema

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +1

    *Mr kiki* natafuta mchumba😂😂😂😂😂
    *Vidox* mchokozi maswali yakishilawadu, ila Harmorapa leo ajachangamka kabisa, 😂😂😂 dah ajui pia anajibu nini(UNAONA EEE!!!)

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 6 лет назад

    Kuna Ntu😀😀😀😀

  • @tullyabdul6355
    @tullyabdul6355 6 лет назад

    Penda harmorapa sn,mcheshi mashallah

  • @saviongaila3546
    @saviongaila3546 6 лет назад +5

    kukutana nao