ELIMU BORA - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024
  • Elimu bora, elimu ya kweli ni ile itambuayo kwamba Mungu ndiye Muumbaji na chanzo cha hekima na maarifa yote. Elimu hii inalenga kumkuza mtu yeyote katika nyanja zote za maisha zikiwemo kimwili, kiakili na kiroho. Kuwa na nidhamu katika kila kitu, kutunza afya ya mwili (zawadi isiyothaminiwa na wengi) kwa kuzingatia kanuni za afya ikiwemo kuwa na kiasi na kumwamini Mungu, kufanya bidii katika mambo yote, kuwajali wengine kama nafsi yako. Hivyo ni vionjo vya Elimu ya Kweli - ELIMU BORA
    #bencarson #getinvolved #watoto #elimu #godfirst #godcreatorofallthatexits #iwillgo

Комментарии • 8