Martha Mwaipaja Mimi Ni Mpitaji
HTML-код
- Опубликовано: 1 ноя 2024
- Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: bit.ly/WyldSubs
Wyld Pytch / 51 Lex Records
Web - wyldpytch.com/
Instagram- wyldpytch51lex
Facebook - / 51lexrecords. .
Tiktok: / wyldpytch51lexrecords
Twitter - / wyldpytch
Ambao bado tunaamini sisi niwapitaji 2024 gonga like yako
Hakika tunapita wote 2024 tupo pamoja
Same in 2024
Sem 2024,apa duniani tu wapitaji tu
Mungu yupo daima siku zote Kwa wale wanaomwamin❤❤❤❤
Amen Mungu akubariki dadangu Kwa kipaji chako unanipeleka mahali Kwa nyimbo zako
Uwa nabarkiwa na nyimbo zako dadaangu
Ubarikiwe sana kwa nyimbo zako zinazo jenga imani angu kila kuchao
Ubarikiwe wa jina wangu mungu akuzidishie maono.nimebarikiwa sana na wimbo
aisse ,.. wimbo ukiwa na imani ukisikiliza machozi lazima yatoke, huu ndo wimbo wangu pendwa sana kutoka kaa huyu mama😭🙏 2024😢
Ninapo sikiza nyimbo zako nabarikiwa vilivyo barikiwa nawe ❤❤❤
Matha nafarijika san kupitia nyimbo zako nakujifunza mengi❤❤❤
Tupiganiye kufika kwa Baba ndungu zangu wapendwa. Amen
Hii wimbo naipenda sana ❤ .inafaa wanadamu tusaidie wenzetu juu kila mtu n mpitaji.
Nafurahiya sana album ya dada
Dada Mungu akubariki unanipa nguvu kwahizi nyimbo sana
Mungu nizaidie nimalize mwendo salama licha ya maisha makumu ya dunia nisiache njia za Mungu
Nabarikiwa sanaa jaman napitia mangumu nkiskilza huu mwimbo unanbariki kabsa
Wana wa MUNGU sisi ni wapitaji tu hii dunia siyo yetu kabisa tukazane kutazama yaliyo juu kristo aliko, tutende wema tutubu dhambi zetu ufalme wa mbinguni u karibu
Daaah!! Huu wimboo unatokaaa ndo nime filisikaaaa 1 sitoo kaaaa ni sahauuu ulini farijiii sanaaaaaa
Mungu aliweka kipaji Cha uimbaji kikubwa sana kwako Martha mwaipaja endelea kumtumikia Kwa roho na kweli
Napenda Sana nyimbo zako mungu akubariki dada matha
Kweli binadamu ni wapitaji duniani. Hongela saama kwa wimbo ambao unamkimbusa binadamu kwa kuwa duniani sio kwao
Dada umechangia sana mi kumpenda yesu nyimbo zako zinatusogeza sana kwa mungu Dada barikiwa sana Siku moja nitumie mamba zako japo nikusalimie tu,
Amina nabarikiwa sana naiyi wimbo
Nakupenda sana
I love the song❤❤❤❤
Makao yetu mi mbini barikiwa my siz
Asant sn DD Martha nikisikiliza wimbo huu mpaka machozi yananitoka yaaan unaniingia sn moyoni barikiwa sn dd
Nikiona Martha leo Nina Amini hatamimi Mungu ataniinua siku moja
Mungu yupo siku zote,,sote ni wapitaji tu
more blessings upon you dear sister Martha. You are helping us to preach the Gospel.🙏
Kweli Sisi ni wasafiri barikiwa dada martha
Ama kweli tuwapitaji,Mungu akuinue viwango vingine.
Karibu umpokee Yesu ndiye mfariji mwema
I love this song, it always take me to payer and Repentance mood
Kwetu ni mbinguni kweli mungu akubariki
Every single minute I like the song
I miss my father listening to this am going through alot one day how commit suicide am tired.i have no one the man am married to he is now a total stranger am tired of praying 😢😢😢😢😢how die anyday nd this comment will be for the late me
❤❤❤❤ nakupend san dada yangu wimb mzur san kila nikiskiliza unanitia nguvu pal nilipokat tamaa
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Umetishaaaa❤❤ nyimbo zako zinanifariji sana ubarikiwe
I love Martha coz she encourages me during tough time ibra from busia matayos
❤❤❤hii Wimborne inanikumbusha mengi mahali nimetoka 😢n mahali nlipo saa hii😅😊❤❤
Kam vile SI huyu ninayemwona sas,mungu akutunzeeee dad ninayekupenda kulikooooo
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, nyimbo zanibariki sana.... acha Mungu azidi kubariki huduma yako 🙏🙏
God bless you my sister nimebarikiwa sana
God bless u my small sister.
Mimi ni muislam lakini nazipenda sana nyimbo zako. zinanifariji sana
Unafaa kuokoka sasa na Jesu akuokoe kama sivyo ukifa unaenda motoni...alah sio mungu bali ni shetani na Mohamed ni mtume wa wauongo. Sio siri.
Blessed mamy
Mm pia jmn yan napenda kwel
@@gospelmissionarytv1212 hayo sio majibu ya kumjibu mtu umekosea sana tena sana🙏🙏🙏 namimi ni mkristo ila majibu ambayo umemjibu huyo dada wa islamic sio vzr 👍mungu popote yupo kwa waislam na wakristo👈
watchman umezinguaa
Haki nimebarikiwa Kwa nyimbo zako be blessed
Correct 🎉🎉🎉🎉
Yesu.wangu.nisaidie.nipitesalama.hapa.duniani.eebwana.yesu.naomba.unisaidie🙏🙏🙏🙏
Mimi ni mpitaji🌛🌛💪
mumgu alikuwa na lengo na sababu juu ya hito wimbo coz sisi sote ni wapitaji dunuani Amen
Soo amazing siz may God almighty bless you more and more as you blessed us 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏beautiful voice ❤❤❤❤❤
Do love the message from this song.will never get tire listening to it come rain come shine.thanks for the blessing sister mwaipaja.
Your songs are so blessing
Napenda hixi nyimbo sana mungu Amubariki sana🎉🎉
marth i love you
I love the song the message. May the Lord keep you Give you strength to continue with your gospel
Ubalikiwe Dada angu
mm ni mpitaji
mda huu🙌
This is the song that made fall in love with all Martha mwaipaja's gospel songs years back.her songs are are indeed so touching and inspiring.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
Namepenad sa nyimbo zako ubarikiwee mutumishi wa mungu
Wow! wimbo mzuri sanaa... yani ujumbe, uimbaji na hata mpangilio yani mia kwa mia. Sijui mbona sikuujua huu wimbo ulipotokea. Nimemsikia jana nikadhani mpya huu ❤
Mm ni mpitajii
Nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤
Ilove the song
Nashukuru kwa kila jambo
Mm ni mpita njiani 🙏 🙏 🙏 🙏
I love 😍 the message in the song in very simple words 🤗😔... My home is in heaven.. In this world, I am just a passers-by.. I will cherish the Cross of Calvary
Mungu akuongezee uduma na marifa
Ubarikiwe dada Martha hasa kale ka kipande napenda kutudia 'yeye si mwanadamu hata aseme uwongo' napata Tumaini
Mungu akubaliki mamy nkpnda bule da angu nyimbo zko zinaujumbe xana balikiwa🙏🙏
Sina Shaka kabisa Na baba, najua baba yangu kaniandalia makao
Na Mimi pia ni mpitaji katika dunia hii Yesu ametuandalia makao wote siku moja tutapumuzika
Mungu akubariki Sana
Mi msilamu lakini unanibamba nifundishe kunyamaza
Nikwa neema ya Bwana.
I love the message in that song 🙏 praise God my sister's more respect
Amen 🙏 hallujah makao yngu ni kwa Baba
Amina ubarikiwe
Wimbo huuuu. Unagusa. Moyoni. Hongela. Mama. Matha
Barikiwa sana
Mimi nimpaji katika dunia makao yangu nikwa baba ju🙌🏾🕊 baba yangu kalia ndani ya makao alipo yeye namii ndipo niwepo kwaio mimi ulimwenguni sio kwangu kwangu mimi nikwa baba ju💃💃💃😭kwa MUNGU kuna raha kubwa sanaaa jamani😭😭ubarikiwe dada🙏🏿
Thanks dear for the interpretation
Baba yangu kaniandalia makao*
Tunapita dunia hii sio yetu ww endelea sasa kujikuta mwenye mamlaka apa duniani utayaona yajayo 👏
Wow so nice
Powerfull song
This is the song I watched first for Martha may god continue blessing you
Nice song my sister God bless you
God bless you madam
❤❤❤❤❤❤penda sana jamani
Nalipeda ❤sanaa
Naipenda saana
Indeed having gone through this song and compare the current songs I indeed believe God changes people, mama continue serving God, you are a blessing to me
Hongera sana dada wimbo mzuri sana
Uparikiwe Sana Dada mungu akulinde
Nice song Amen amen
Hazichuji nyimbo zako Mungu azid kukuinua had viwango vngine
Najua.mungu.wangu.umeniandalia.mahali.pazuli.mwinue.martha.kwa.kazi.nzuli.ya.injili
Mungu akubariki sana dada yetu mungu hazidi kukuhinuwa nyimbo zako zina bariki sana dada yetu
Naipenda Hii song❤❤
2022 still a blessing. 🔥🔥
Huh wimbi wanitoa machozi Sana nikitizama ninayo yapitia kwa hii dunia but nipo na mungu🤗🤗🤗
Oooh Dunia c kwetu barikiwa huduma yako Mungu akuwe nayo nabarikiwa kila saa