MBINU ZA OMBA OMBA HADI KAMPATA MTOTO WA KISHUA DEMU KUMUELEWA JAMAA KISA ANA RUNGU LA KIPEPE FULL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024
  • SWAGA ZA OMBA OMBA MPAKA KAMPATA MTOTO WA TAJILI TAZAMA
    Asante kwa wote mnao endelea subscriber na ku comment hakika yajayo ni mazuri sana 🙏🙏
    jibu kwenye Coments Ni kitu Gani kinatakiwa kisikosene kwenye chumba cha mwanaume ? TUMA VOICE NOTE KWENDA +255621481272 ITASIKIKA Comment Yako itaonekana live kwenye next riview
    naomba mu subscriber kwa wingi basi na ku comment pia 🙏🙏 USISAHAU KUTUMA VOICE NOTE whatsapp PEKEEE ITASIKIKA HAPA HAPA +255621481272

Комментарии • 40

  • @FidelBikenge
    @FidelBikenge День назад +4

    Wa kwanza naomaba like ❤❤❤

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 День назад +2

    Roboti wew unaniparaha mim Upee kitichako nakupenda bure❤❤❤❤❤💯💯🇴🇲🇧🇮

  • @patrickkaKabamba
    @patrickkaKabamba День назад +1

    From South Africa robot nipo paja nawee yi historia inanifuza kitu❤❤❤

  • @Badrou_ali_muhetoBabou
    @Badrou_ali_muhetoBabou День назад +2

    Cumbani kwako mwanaume pasikose tuh Pesa

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 День назад +1

    Leo nimeai naona movie nzuri ❤❤❤❤🎉🎉

  • @NdayishimiyeAlly-e1p
    @NdayishimiyeAlly-e1p День назад +3

    Sabufa , from burundi

    • @FaudhiaAjida
      @FaudhiaAjida День назад

      Nilikuwa naitafut hii comment 😂😂😂

  • @FidelBikenge
    @FidelBikenge День назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ninzuri movie

  • @Angelpaschal-t8f
    @Angelpaschal-t8f День назад +1

    Nice ❤❤❤❤

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly День назад +1

    Kaka yangu ameniambiya parfum

  • @JulyBenjamin-zz7vk
    @JulyBenjamin-zz7vk День назад +1

    Ndani mwangu mm siwezi kosa Kinga na ela

  • @baharianguyeko1368
    @baharianguyeko1368 День назад +2

    From KIGOMA TOWN.
    Getto na boy linatakiwa lisikose Music. #Roboti nikuulize kitu.. ivi huyu mdada mrembo ambae anaonekana pembeni apa muda huu unaosoma comment ndio shemeji nini....? Samaani lakini.... 🤭

  • @HollyMassawe
    @HollyMassawe День назад

    Mwanamke❤❤❤❤❤❤

  • @Brayton-p1m
    @Brayton-p1m День назад +1

    Sabufaa

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly День назад +3

    Mimi kwaupande wangu chakwanza ni prudence,usafi chapili pesa 💵 ,maji,sabufu,parfum,.... Melly from DRCONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AbdulhaliimDarajani
    @AbdulhaliimDarajani День назад +3

    😅😅Mafuta😂sasa niambie akaunti yako ya Instagram

  • @olivierhemed3590
    @olivierhemed3590 День назад

    cjui nikitu gani hicho😊😊

  • @MariamAhmadaMwikalo
    @MariamAhmadaMwikalo 14 часов назад

    From Oman

  • @kelvinbenson2443
    @kelvinbenson2443 День назад +1

    Kwanza heshima ya sehemu unayolala hiyo itapelekea usafi, chakula, feni na manukato 'pufyum' kiukweli ni vingi huenda kutokana na kuheshimu chumba au ghetto la mwanaume 👣

  • @JosueDaud
    @JosueDaud День назад +1

    kitu ambacho akitakiw kukosekana na zana😮

  • @Dc-mangifique
    @Dc-mangifique День назад +1

    🎉🎉🎉❤❤❤❤kweny chumba ya mwanawume hapawez kukosa condom na pesa😂

  • @AslamPablos
    @AslamPablos 12 часов назад

    Sabufa afu yenye sawuti nyingi mm ni Aslam wa burundi

  • @StellaBundara
    @StellaBundara 17 часов назад

    💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖

  • @Keziaingabire
    @Keziaingabire День назад +2

    Kitu ambacho hakitakiwi kukosekana kwenye chumba cha mwanaume ni heshima na mawasiliano. Ni muhimu kuwa na mazingira yanayohimiza faragha na kuelewana. Vitu kama usafi, utaratibu, na uaminifu pia ni muhimu ili kuunda mazingira mazuri.

  • @EsperanceNibizi-nd2wv
    @EsperanceNibizi-nd2wv День назад +1

    ❤❤🇨🇩🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @SammyKahindi-jh6gd
    @SammyKahindi-jh6gd День назад

    𝑴𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒛𝒊𝒌𝒊 𝒌𝒘𝒂 𝒎𝒃𝒂𝒍𝒊 😂😂

  • @SaidAli-t8g
    @SaidAli-t8g День назад

    Geto liwe na godoro tu. Nasio mkeka

  • @AbdulhaliimDarajani
    @AbdulhaliimDarajani День назад +1

    Mafuta px5

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 21 час назад

    Kondom😂

  • @MariamAhmadaMwikalo
    @MariamAhmadaMwikalo 14 часов назад

    Mafuta ya Nazi

  • @SalimAbdillahi-m3w
    @SalimAbdillahi-m3w День назад +1

    Nice❤❤❤

  • @AbdulhaliimDarajani
    @AbdulhaliimDarajani День назад +2

    😅😅Mafuta😂sasa niambie akaunti yako ya Instagram