Naomba serikal pamoja na watu wenye uwezo kukihifadh hichi kipaji kwa kumsomeshaa huyu mtoto ktk moja ya nchii yoyote ya din dunian. Kuhifadh qur-an yote pamoja na lugha fasah ya kiarab maana huyu ni shekh wetu TZ wa baadae. MaashaaAllah
Mashallah!!mtoto mzuri yaani nasikia raha kama uwe wangu yaraabbi nijaalie namm nipate kizazi chema!eee Mwenyez Mungu muondolee husda za waja mtoto wetu na umlinde na kila shari mtoto wetu hakika ya Allah ndio tegemeo letu Amin🙏🙏🙏
Masha Allah TabarakAllah The chosen one, wanzake wapo nje wanapiga kelele, yeye yupo ndani anakumbusha waumini kuhusu Deen yao. Mola amuhifadhi na amlinde na hasad
Mashaallah mashaallah mashaallah m' mungu amzidishie elimu na amuongoze ktk njii hii aliyoanza nayo na asiipindishe mpaka mwisho wake katika dunia hii . Amuongozee kila jambo la kheir na amuepushe na kila shari
Namuomba Allah anijalie nipate kama huyu mtoto kwenye vizazi vyangu inshallah pia namuombea kwa Allah amzidishie elimu na kila lakhairi amjalie Allah mashallah
Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh, Alhamdulillah Allah akulinde na sharri za Majini na Watu. Na akuzidishie Elimu yenye Manufaa. Yaa rabbi tunakuomba utunusuru ummat Muhammad.
His parents maa shaa Allah trained him as young but ALLAH S.W doubled his knowledge upon the efforts of his parents towards him and inshaAllah i pray to have children like him THUMA AMIIN YA ALLAH and maa Shaa Allah to the young lad.
Yote yaezekana @Zuhura mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Pata uone interview ya babake ndio utajua siri ya kulea mtoto. Ukimfanya wa kuona cartoons atakua wa cartoons. Ukimfanya wa kina anachuku anaweka waah atasalia uko uko.
Eeeh mola wangu naomba utakapo nijalia kupata mtoto basi awe ni mtoto mwenye kuutangaza uislam kama huyu ninaemsikiliza ya Rabby swaumu yangu iwe ni sababu ya kukubaliwa dua yangu ya Allah allahuma aamin Allah akuzidishie elimu mtoto wetu
MAA SHA ALLAH 🤲 Allah'Akibar 🤲🏿 WISLAAM NI DINI YA ALLAH , AMESHIDI KUILINDA MWENYEWE, ALLAH AMJALIE AFYA NJEMA SHEIKHE MTOTO HUYO :: ASALAAM ALEIKUM WA RAHMATULLULAH WA BARAKAT 👋
Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDFvPE9RZAg9slXGy0e
Naomba serikal pamoja na watu wenye uwezo kukihifadh hichi kipaji kwa kumsomeshaa huyu mtoto ktk moja ya nchii yoyote ya din dunian. Kuhifadh qur-an yote pamoja na lugha fasah ya kiarab maana huyu ni shekh wetu TZ wa baadae. MaashaaAllah
Mashallah!!mtoto mzuri yaani nasikia raha kama uwe wangu yaraabbi nijaalie namm nipate kizazi chema!eee Mwenyez Mungu muondolee husda za waja mtoto wetu na umlinde na kila shari mtoto wetu hakika ya Allah ndio tegemeo letu Amin🙏🙏🙏
Manshallah... Rabana akulinde na akuepushe na jicho la mahasidi...
Nasi atusamehe kwa kile kibaya 2liofanya..... AMIN
Masha Allah...barokallaahu fiihi
Masha Allah TabarakAllah The chosen one, wanzake wapo nje wanapiga kelele, yeye yupo ndani anakumbusha waumini kuhusu Deen yao. Mola amuhifadhi na amlinde na hasad
Allah akuhifadh n kupe kila ulitakalo n uzidi kutukumbusha n akupe umri mrefu ww n wazazi wako
Allahuma Amin
Allahumma Aammeen
Mashallah
Mashaallah mashaallah mashaallah m' mungu amzidishie elimu na amuongoze ktk njii hii aliyoanza nayo na asiipindishe mpaka mwisho wake katika dunia hii . Amuongozee kila jambo la kheir na amuepushe na kila shari
Amiin Amiin Ya Rabb
Namuomba Allah anijalie nipate kama huyu mtoto kwenye vizazi vyangu inshallah pia namuombea kwa Allah amzidishie elimu na kila lakhairi amjalie Allah mashallah
Mashaallah mtoto Ramadhan mungu akuzidishie elimu allah akuongoze akufanyie akujaalie umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia
Allah amzididhie kila la kheri
Mashaallah, ckulala kwa raha ya kumsikiza mtoto huyu, mungu atujaalie nasi watoto wetu wawe na mwendo kama huu, 🙏🙏🙏🙏
Amiin amiin
Mashaallah
Mwanalima Ramadhan
Ameen
Allahumma Aammeen
Mashaallah. Yarabi tujaalie nasi vizazi vyetu viwe kama mtoto huyu
Ameen
Amiin🙏🏾🙏🏾
Aamiin
ameen
Aamen Yaa Allah 🤲
Allah amuongoze zaid pa1 na sisi na watoto wetu. Wallah watu wamezaa dunian hapa, utataman awe wako. Mashallah
Masha Allah Masha Allah mwenyezimungu akuzidishie elmu na umrimref naAtujalie nass vizazi vyetu elim km MTT huyu
SUBHANALLAH...we love you coz ALLAH.
Mashallah Allah atuepushe tisiwe miongoni mwao Allah akulinde.na hasda inshallah
ALLAHU AKBARU
Maa Shaa Allahu
Baaraka Allahu Lakum
Yaa Rabbi Mzidie Elimu yenye Manufaa mtoto huyu
Na Waislamu wote
Aamiyn yaa Rabbal 'Aalamiyn
Amiin yaa Rabby
From 🇧🇮 Saudia mashaallah 😘
Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh, Alhamdulillah Allah akulinde na sharri za Majini na Watu. Na akuzidishie Elimu yenye Manufaa. Yaa rabbi tunakuomba utunusuru ummat Muhammad.
Ameen Allahuma ameen
Allahuma Amin yaa Rabil ala min
Amiin Amiin Ya Rabb Al Amiin
Masha allah
Naam
Masha allah Masha allah Masha allah mung akujalie afya njema neema kubwa kubwa na akulinde na mabalaa yote mtoto mwema❤️🙏
Amiin yaarablalamin
He is genious.... mashallah allah amuhifadhi pamoja na kumoondoleshea husda na kumuepushia mabaya ameen
😍🙏🙏🙏
Mashallah...Nayaona matunda ya sheikh Uthman Maalim.Allah awajalie kila la kheir
Mashallah mashallah mashallah. ALLAH bariki 🤲🤲
Ma shaa Allah,mnyezi amzidishie ilmu zaidi n amfungulie njia ya kheri apa duniani n kesho akhera pomoja n wazazi wake
Mashallah mtoto mungu akuzidishie kweli ni maajabu
Subhannallah💫❤️may Allah continue protecting you Inshallah ❤️ Mashaallah
May Allah bless him and protect him from any harm and grant him good in this world and hereafter Ameen
Mashaallah 🥰 leo nimepata bahati ya kukutana na sh. Ramadhani
Mashaallah mashaallah mashaallah m mungu ampe njema na amuongoze katika njia hii . Na atujaalie na ssi watoto walio wema kama hawa yarabbi.
Mashallah allah akuzidishia
Mashallah x3 Allahbarik ameen thuma ameen
ALLAHU AKBARU Allah amjalie kheri inshallah kijana huyu
Mansh'allah😍😍 ya rabii tuongozeye vizazi vyetu 👏👏👏
Bismillah mashaallah Allah azidi mpa ufahamu
Nasisi mungu atujaliye vizazi vyetu vijeviwe kama huyu mtoto au kuliko huyu mtoto inshaallah
Ameen
Allah atakulinda na watu wabaya na majin na akujalie uzidi jitihad yako
Allahumma Aammeen
Mashallah Allah awazidishie wazazi wake pamoja na Mwalimu. katika kizazi chema.
Mashallah......ALLAH akujalie pepo ya juu ya FIRDAUS
YARABB TUJALIE watt wema kama uyu Mola mlinde na hasad na a in za watu mashallah wasia wake unakuacha huna Ata pa kukinyaga
𝐌𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐤𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨 𝐛𝐮𝐭 𝐡𝐲𝐮 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚💖
Mashallah akulipe zaidi Allah.
Masha Allah
may Allah bless him , his parents and teachers who raised such wonderful Alim
Mashaa allah
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Allah akujazie kila la kheri Sheikh Ramadhan
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allah Atuongoze Ya Rabb. Aammiin
Mashaallah yarab mola akujaze ufahamu🙏
Uporn seeing a beautiful thing a Muslim should say All good things come from Allah(MashaAllah)
masha Allah yayi kyau
Ewe mwenyezi tupe mwisho mwema 🙏🙏
Yaaraab nijalie rizik ya mume mwema mwenye kuitambua dunia yake na unijaalie kizazi chema
Amiin
Mashaallah Allah akuhifadh na hasada akujaalie UMRI mrefu na,afya njema uzidi kutuongoza na kutukumbusha ba awape kila la kheir wazazi wako.
Allah (s.w) akukuze vyema kama waja wake wema waliopita inshaa llah
Allah Amjaze khery ya ilmu in sha Allah
Amiin
Amin
His parents maa shaa Allah trained him as young but ALLAH S.W doubled his knowledge upon the efforts of his parents towards him and inshaAllah i pray to have children like him THUMA AMIIN YA ALLAH and maa Shaa Allah to the young lad.
Maa sha Allah
Ya RABBI niongozee na mimi wanangu ya RABBI 😭🙏🙏
Inshallah Waombeyedua Nawasome
Amiin
A new
Ameen
Yote yaezekana @Zuhura mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Pata uone interview ya babake ndio utajua siri ya kulea mtoto. Ukimfanya wa kuona cartoons atakua wa cartoons. Ukimfanya wa kina anachuku anaweka waah atasalia uko uko.
I wonder those who dislike such dis miracle boy allahhu akbar
Manshallah yarabi I wish my son be like him one day
Mashaallah.pongezi kwenu wazazi mliomkuza vema mtoto wenu.Mungu amjaalie awe hvohvo hata hapo baadae asijekubadilika.inshaallah
Hakuna Raha ikiwa watoto wadogo wainuke wakiwa wanafuata nyayo za kipenz cha Allah na kipenz Chetu mtume Mohammad s.a.w.
Mashaallah..😍😍
Mash Allah mash Allah allah akujaze her mdog wangu
Mashaa Allah mashaa Allah mashaa Allah Allah save you my young brother
Eeeh mola wangu naomba utakapo nijalia kupata mtoto basi awe ni mtoto mwenye kuutangaza uislam kama huyu ninaemsikiliza ya Rabby swaumu yangu iwe ni sababu ya kukubaliwa dua yangu ya Allah allahuma aamin Allah akuzidishie elimu mtoto wetu
MAA SHA ALLAH 🤲
Allah'Akibar 🤲🏿
WISLAAM NI DINI YA ALLAH , AMESHIDI KUILINDA MWENYEWE,
ALLAH AMJALIE AFYA NJEMA SHEIKHE MTOTO HUYO ::
ASALAAM ALEIKUM WA RAHMATULLULAH WA BARAKAT 👋
Mashallaah ya Allah tujaliye watoto wetu wawe kama uyu mtoto 🙏🙏 wawe wenye kumcha Allah
MashaAllah, may Allah increase your knowledge and make it easy for you, may Allah grant you long life InshaAllah. May Allah grant me this type of kids
Mashaa Allah .Allah nijalie nipate kizazi chema chenye kupenda dini yetu ya kiislam
maanshallah allah akuoe maisha marefu na akuongezeee maarfa zaid
Mungu akupea kenye unataka kwa hii dunia na akuhifathi kwa maisha yako Ameeen
Mashallah Allah atujalie nasisi vizazi vyetu Aaaamiin
MashaAllah.
Mungu amkuze hiv hiv mtoto huyu ampe ufaham na kumbukumbu.
Nimempenda sana
Dieu merci toujours bon conseil toujours ya Allah grand toujours
MAA SHAA ALLAH TABARAKA ALLAH ALLAH AKIBAR. YARABBY TUJALIE VIZAZI VYETU VYEMA VYENYE KUIJUA DINI NA KUIPENDA NA KUITANGAZA HADI SIKU YA MWISHO.
MashaAllah he’s really inspiring wlhi am crying watching this 🤍my Allah grant us Jannah🤲
mashallaah allah akufanyie wepesi
MashaAllah MashaAllah MashaAllah 💖💖💖
That is a great man in the future and raw talent if modeled well. Grounded in the Islamic religion.
7yrs😭😭😭😭😭maa shaa Allah tabaraka Allah 🙏🙏🙏
mashaalah ALLAH akujalie ilimu yenye manufaaa
mashallah yarabbi tupe kizazi chema
hakika mungu nimkubwa haya ni maajabu yake
Allah akuzidishie kheri wewe Mtoto mzuri mashallah unamafundisho mazuri sana🙏
Inshaallha mtt mzuri mola akulinde namabaya yadunia
MaashAllah MaashAllah MaashAllah
MashaAllah ... Allah akuhifadhi
Mashaallah m.mungu azidi kukupa ufahmu kwa kila jambo
Ma Sha Allah 😇
Ma sha Allah, barik Allah
maashaaAllaah
Allaah yahfadhik
Allahu Akabar MashaAllah so cute. Allah akuweke
Parents are proud of you ! MASHA ALLAH
MashaAllah ya Allah bless me with kids like this
Maa shaa Allah Maa shaa Allah tabarak Allah
mashaAllah, MwenyeziMungu nijalie nami kizazii changu wawe miongoni mwa wtoto wemaa🙏
Mashaallha allha akuongoze zaidi mdogo wangu🙏
Masha Allah Allah akuongoze na akuhifadhi
Maa ashallah 🥰
Allah tujalie kuyasikia yako...Amin
Maa shaa Allha ya rabby nijalie kizazi kama hiki ya rabby
MashaAllah