So powerful 🔥🔥🙏😭😭 yanapita kipimo 🙌🙏 Mataifa na msikie wimbo huu usiwe wimbo tu Bali Ikawe Ibada ya kweli ndani ya maisha yetu 🔥Ni kwelii @ teacher Imani Eric shoo🔥🔥
Ni kweli sina rafiki mwingine, ni kweli sina msaada mwingine, ni kweli ninakutegemea wewe pekee😢 aaaaah this song really touched my heart, aliyoyafanya Mungu maishani mwangu hayaelezeki, uhimidiwe 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ni kweli, Baba Ni kweli. Hata kuwa hivi Ni kweli Baba umefanya
Hallelujah hallelujah hallelujah hakika ni kweli Yesu ndio Msaada wetu wakati wote. Bila yeye hatuwezi 👑👑💪💪💪💪👑👑👑. Hii ni baraka kubwa sana
hakika Sina rafiki mwingine,Sina msaada mwingine,Ni wewe tu BWANA.Halleluyaaaa be blessed man of GOD
Ni kweli Baba ni kweli, Ni kweli sistahili, ni kweli, ninakutegemea wewe, ni kweli 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hakika anayoyatenda yamepita fahami zetu. Zaidi na zaidi yatazidi kupita vipimo vya ulimwengu. Ainuliwe Mungu aliye hai🙏🙏
Ni kweli Bwana ni kweli ninakutegemea wew
Bro tunataka na wwe ep yako?
Kazi njema sana, utukufu wa MUNGU ukaonekane zaidi
Maajabu yako yamepita kipimo, Unayoyafanya yamepita kipimo! Incredible!
Amen Pasta🙏🙏
Mungu Mwema sana. Ubarikiwe
Hii hakika ni kweli kwamba sina rafiki mwingine na kwamba wewe Yesu 🔥🔥🔥🔥 Hallelujah hii Ni Baraka kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Roho aliye juu na ndani yako akustawishe ulifae kanisa, taifa la Mungu na ulimwengu kwa ujumla. Mungu akupanulie mipaka yako bro @eric shoo.
Ni kweli Mungu ni Baba kwetu. Hongera sana Kwa Ushindi Erick.
Tuendelee mbele na Yesu yeye ndio muujiza wakwanza
To God be the Glory 🙌🙌🙌. Ni Kweli anayoyafanya yamepita kipimo.
Rafiki aa kweli ni kweli mambo yake ni kweli yamepira kipimo ni kweli
Ubarikiwe sana mwanangu. Songa mbele. Sina Rafiki mwingine ila Yesu kristo peke yake.
Hakika Mungu ni kweli..uweza wake ni kweli, nguvu zake ni kweli, ukimuamini🙌🙌🙌🙌😭
Ni kweli anayofanya yamepta kipimo ubarikiwe saana kaka🤗
Ni kweli baba maajabu yako kwetu yamepita kipimo🥲
Ubarikiwe San
Ni kweli hakika ni kweli, hakika nikweliiiiiiii,
Ni kweli Umekuwa ngao Yangu 🙌🙌
Ni kweli Dady i havo no any one i depend apart from You 🙌🙌🙌🙌what u do me z realy greater🙏
So powerful 🔥🔥🙏😭😭 yanapita kipimo 🙌🙏 Mataifa na msikie wimbo huu usiwe wimbo tu Bali Ikawe Ibada ya kweli ndani ya maisha yetu 🔥Ni kwelii @ teacher Imani Eric shoo🔥🔥
Barikiwa sana my brother Eric 😢 umetishaa Sanaa💪💪🤝
💣💥💯 Ni kweli kwamba yeye ndo kila kitu kwetu ONLY JESUS CHRIST.
Bwana Yesu akuinue zaidi, viwango ata viwango 🙏🏻
Ni kweli Baba🙏🙏🔥🔥🔥🙌🙌
Ni Kweli Baba...Ni kweli✔️🙌
Ubarikiwe mwanangu wimbo unabariki
Ni kweli sina rafiki mwingine, ni kweli sina msaada mwingine, ni kweli ninakutegemea wewe pekee😢 aaaaah this song really touched my heart, aliyoyafanya Mungu maishani mwangu hayaelezeki, uhimidiwe 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ni kweli 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 blessed song
Ameni Ameni. Ni kweli
Bless kaka 🔥🔥🔥
Ni Kweli Baba 👏
Amen
Glory glory🎉🎉🎉
Only JESUS 👑 be blessed bro
Amen Ni kweli
Hallelujah 🙌🙏🙏🙏
Powerful sing❤
Amen Minister
Hallelujah 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
Blessings brother 🙌🏼
The song, is Awesome, but deal with your back vocal sounds, naona kama, sounds, hazijasikika vizuri...., but the music is good..
Lakini, mziki mzuri, shida ni ku mix hao waitikiaji, wangejaa jaa kidogo, ingenoga zaidi....
Amen