Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kila la kheri mnyama Simba nguvu moja Mungu awatangulie wapambanaji wetu mrudi salama na matokeo mazur Ishallah!
Inshallah Allah awafanyie wepesi wa safari.. mwende salama na mrejee na ushindi wa point 3 na magoli mengi.. (Aaammiin)
Simba mungu akawaongoze kwenye mchezo wenu na mpate kushinda Simba nguvu moja
Goo interview broo
❤❤ Mungu awatangulie wachezaji wetu
Mungu ibariki timu yangu ifike xalama,,na wapate ushindi ugenini wa bao 3
Mungu bariki simba yetu nguvu mojaaa💪💪🔥🔥🙏
Simba nguvu moja ubaya ubwela
Kwann mnafanya matangazo ya GSM kwenye mambo ya simba hii haiko sawa😮
Hawajitambui hawa washazoea kugawiwa pesa na Gsm
Kila la khel chama langu simba nguv moja
Awesu awesu ndio mana ukitaka Simba ungekua kmc utasafiri uende wapi, sasa ukapambane mm binafsi nakuamini Sana
Muñgu awatangulie msafiri salama
Kira laher wachezaji wetu pamoja nabenchi laufund kwaujumla
Hilo linembo la GSM la nin hap sas
Nguvu moya
Sasa kaka mtangazaji ilo basi ndio linaanza safari au wachezaji wa simba😅😅😅😅😅nimecheka sana hapo mwanzo
😂😂😂😂
Half nyinyi wajinga nahilo li nembo la gsm sigala hapo la kazi gan hebu nyinyi wandishi jiangalieni san sis hatucuti sigala
Ila watanzania kielimu bado tupo nyuma sana yani ushamba mwingi sana sasa hujuwi kuwa hiyo nembo ni tangazo ambalo linatangazwa na mwenye channel au unajua hii ni channel ya simba
@@akwinobenarddyhaelew kitu uyo , siunajua ni mambumbumbu hao
Lolote liwakute mpigwe kama ngoma😂😂😂
Roho mbaya lione mswiiii
Angalia lisje likawarudia nyny
Unaanza kukata kiuno mapema wakati harusi siyo yako hiyo inatuhusu sisi wanasimba UBAYA UBWELA 😂😂😂 subili kukatia kiuno ndoa yako
Topolooooo 🐸👈 haiwahusuuuu
Kwaiyo mnaenda kushindania kombe la maluza yani kombe la walioshindwa clabu bingwa😆😆😆
Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kila la kheri mnyama Simba nguvu moja Mungu awatangulie wapambanaji wetu mrudi salama na matokeo mazur Ishallah!
Inshallah Allah awafanyie wepesi wa safari.. mwende salama na mrejee na ushindi wa point 3 na magoli mengi..
(Aaammiin)