Nafurahi sana kuona hilo tukio hakika Mungu wambingu azidi kuwa pamoja nanyi, Nawapenda mnooo, Kurasini Mimi ninyumbani siku moja nitarejea tukopamoja.
sita sahau kukumbuka jinsi hi choir ilivyo tembelea makambi mtaa wa Makongeni SDA Church, Homa Bay, Kenya. Mungu awa bariki. Tom Omburah, Kendu Bay, Kenya.
Naona biblos wakirudi kwenye choir ya kurasini, njonzi hili litimike haraka upesi.Blessings
Kwa umbali huu Jina Mungu Baba Litukuzwe na Azidi kuwaonekanie mzidi kuimarika zaidi na zaidi Mbarikiwe saaana
Nafurahi sana kuona hilo tukio hakika Mungu wambingu azidi kuwa pamoja nanyi, Nawapenda mnooo, Kurasini Mimi ninyumbani siku moja nitarejea tukopamoja.
sita sahau kukumbuka jinsi hi choir ilivyo tembelea makambi mtaa wa Makongeni SDA Church, Homa Bay, Kenya. Mungu awa bariki.
Tom Omburah, Kendu Bay, Kenya.
Najaribu Kuangaza Sana Macho ni Mwone Mwalimu Kibasso Abarikiwe siku Zote za Maisha.
nabarikiwa sana na kwaya ya kurasini
Be blessed kurasini
BARIKIWA MDUMU HATA YESU ARUDI
Mwalimu kebaso alisha lala kwa mauti,akisubiri asubuhi njema ijayo.
Barikiwa sana
Amen
Is Kings Biblos not part of Kurasini choir? Mariam Sassi, where are you?