NDAKORIRE MUTHURI WAKWA MAGIKENIA NA MWARI NDAGERIRIE KUMUTHECA NA KAHIU NO DATIGIRE NGINYA AKIRIKIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 мар 2024
  • #SymoK #KikuyuInterview

Комментарии • 253

  • @auntmso
    @auntmso 2 месяца назад +20

    Woi ,Amelia na uchungu 😢😢😢😢.such hearts oh God,they need healing oh Lord

  • @audleyaliciah6711
    @audleyaliciah6711 2 месяца назад +5

    Tha fact that she even haven't sat down with her daughter means they both are traumatized and need counseling.hugs mama

  • @damaris.kahunyo.5339
    @damaris.kahunyo.5339 23 часа назад +1

    This is heartbreaking 💔
    I have no words,
    May God heal her 😢

  • @gracemwangi937
    @gracemwangi937 2 месяца назад +9

    That man was your destiny destroyer and you allowed him to destroy it when you got back together.

    • @ciku-ciku7194
      @ciku-ciku7194 2 месяца назад

      Sometimes desperation makes us do stupid things.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Did she allow him to stay with her again? Woi, Jesu😢😮!!!

  • @SueJohn-pi9xq
    @SueJohn-pi9xq 2 месяца назад +21

    Symo huyo msichana aende NSSF building ataandikiwa document inaitwa IDENTIFICATION REPORT
    hiyo document itanisaidia kuchukua ID, BIRTH CERT N EVEN PASSPORT
    asishtuke na hizo documents mamake anamkataza

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Asante for info hiyo kuhusu NHIF building. Very vital info.//

  • @margretmurigi9798
    @margretmurigi9798 2 месяца назад +19

    Ati uliambia watu wasimchape🤷🤷 ako na chuma mguu u value him more than your child ungeacha watu wamfunze adabu👌👌

    • @serahnjoroge1069
      @serahnjoroge1069 2 месяца назад

      Absolutely 👍🏿

    • @winicatewainaina4456
      @winicatewainaina4456 2 месяца назад

      Ingne niunjinga ...alfu anarudi tena ....níúfalá

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      ​@@winicatewainaina4456
      Hiyo inaitwa Stockholm syndrome.
      Hata wewe ingekupat
      -a ungepitia njia yake.
      Huu ni ugonjwa hupata mateka wa aina hii.
      But, kunamatibabu hutibiwa na madaktari wa physicologia. Huo ugonjwa uwe reversed/uponyeshwe.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      ​@@serahnjoroge1069
      Imagine. God tusaidie, Tafathali.
      And may that man rot in jail na, aishi huko MUCH MUCH Longer.
      Forever if possible.
      But Maulana ndie mjua yote.

  • @lydiakariuki5789
    @lydiakariuki5789 2 месяца назад +10

    The story is very emotional. Red flags started appearing the time her husband told her concerning the sex of the child. Alimwambia kama atapata msichana si wake n later alikuja kumkubali. It's good to stay alert

  • @user-rt8kd3ut6c
    @user-rt8kd3ut6c 2 месяца назад +31

    Once a man leaves you never let him back even if he is the father of your child,, I have learnt a lesson weeee

  • @preciousgabu5394
    @preciousgabu5394 2 месяца назад +2

    Counseling is very important ata hivo damu ya Yesu itamuosha huyo mtoto because God is merciful,take ❤️ sister

  • @luciakabui3151
    @luciakabui3151 2 месяца назад +14

    Symo, tie up a very loose end please: this lady had long ago told the guy that the baby girl had died in Kiambu hospital. The guy even sent money for cremation services. Didn't that raise questions during their re-union after the looooong separation?

    • @havilahgrowers2369
      @havilahgrowers2369 2 месяца назад +14

      The reunion was done by her sister meaning she must have told him that it was a lie the girl.had not died. Secondly this man at the point of reunion he was in need and the lady was stable meaning he didn't come back genuinely he wanted to use her. This issue is demonic in my opinion.

    • @irinemugambi2048
      @irinemugambi2048 2 месяца назад +1

      He desown that baby when she was pregnant,so he new he was his child,but he's that spirit, remember how he pregnant the mother,uyo ni wa chama ya muingiki

    • @irinemugambi2048
      @irinemugambi2048 2 месяца назад

      ​@@havilahgrowers2369exactly it's demonic

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      ​@@irinemugambi2048exactly alisema hawezi sema ni chama ngany

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      ​@@havilahgrowers2369
      Not demonic, cz ni mtu alikaribisha pepo mbaya.
      Nayo gladly ikaingia.
      Karibu, Starehe.

  • @roseruguru3088
    @roseruguru3088 2 месяца назад +3

    May God bless Aunt

  • @rachelwanganga939
    @rachelwanganga939 2 месяца назад +6

    Be a prayerful person. Only God can save you.

  • @winniejoy3858
    @winniejoy3858 2 месяца назад +5

    Hii ushetani ya wanaume kuvaka watoto wao imezidi ,,,bt pia sisi wamama we should not ignore redflgs like this woman

  • @user-hb7pv2ud9v
    @user-hb7pv2ud9v 2 месяца назад +3

    The girl's mind was too young, plz forgive her. Let this mother n child undergo a counselling session to enable them heal. Her heart is broken kabisa, may God heal her

  • @annortis
    @annortis 2 месяца назад +6

    Why ignore when mother inlaw accuse the house of sleeping with the daughter?poor girl.this family needs counselling all of them, mother daughter and son.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      ...accuse the house...?
      ???

    • @annortis
      @annortis Месяц назад

      @@VeronicaDunbar i.ment husband, sorry spelling mistake

  • @hannahwaraki5
    @hannahwaraki5 Месяц назад +1

    Some of these things are very hard to comprehend. Its a mind boggling thing to imagine that a man can sleep with her own daughter.

  • @reginadavid4454
    @reginadavid4454 2 месяца назад +2

    Ooh God mambo ingine ni ngumu sana 😢aki huyo mwanaume ni shetani waaa 😩 kuna makosa ulifanya my siz vyenye ulikubali hiyo njinga kurundi kwa maisha yako after vyenye alikufanyia 😢anyway may God remember you feel loved 🥰 it is well 🙏

  • @annetmaina6487
    @annetmaina6487 2 месяца назад +11

    Am not judging but Ata wewe hukua na time ya kujua what was going on kwa life ya watoto wako....maybe Ata kaboy kalikua kanapitia alot kwa mikono ya uyo mwanamme....

  • @user-js3fm1si9c
    @user-js3fm1si9c 2 месяца назад +1

    Pole sana mrembo

  • @antonymwagi4636
    @antonymwagi4636 2 месяца назад +4

    Waaah ... can't imagn how on earth..?

  • @user-cv6zm2wt1x
    @user-cv6zm2wt1x 2 месяца назад +8

    It's very painful bt am sorry to say that there's something not adding here.

    • @Mrkid6000
      @Mrkid6000 2 месяца назад

      You are right kabisaa

    • @leahgithua6728
      @leahgithua6728 2 месяца назад

      🤣😂🤣😅

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      U r also not adding up kama huezi kutuambia. Hizi comments za hewa kufurisha tu tumbo.

  • @queensextensionhairkaplan3153
    @queensextensionhairkaplan3153 2 месяца назад +1

    Lord have mercy on this mother as well her children. It’s very Sad story I really feel sorry for you Mama. Much love as well keep faith pray day and night God will hear you he will restore your spirit heal your soul and mend your Brocken Heart ❤. May God see you through

  • @monicfavoured2500
    @monicfavoured2500 24 дня назад

    😢😢uuui this is traumatizing 😢😮may God heal your souls aki

  • @Wangari412
    @Wangari412 2 месяца назад +11

    First one to comment.like my comments

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      What did u comment? Zero, nothing km wewe. But labda first to comment mnapeleka kibandani na mbapewa sukuma za bure kwa mama mboga.

    • @Wangari412
      @Wangari412 Месяц назад

      Zero subscriber na unaringa ,go get a life

  • @eunicekagure7832
    @eunicekagure7832 2 месяца назад +4

    This woman needs reality checks as she cannot always keeps blaming others

  • @shikuhsymoh2859
    @shikuhsymoh2859 2 месяца назад +1

    Wah story zingine wah😢😢😢😢😢

  • @Shiku355
    @Shiku355 2 месяца назад +1

    This is so heartbreaking praying for you

  • @janetmwende1136
    @janetmwende1136 2 месяца назад +4

    Part 2 plz

  • @user-cc4ns5yd6x
    @user-cc4ns5yd6x 2 месяца назад

    I've felt soo sad for this lady,may GOD open new doors for you mamaa .may he restore you,our GOD is GOD of many chances may he change your life,,ive been through alot bt this is too much...familia hawatakangi mtu akiwa na mashinda...if your wish is to go to another country may GOD grant you that favour and guide your steps.. listening this nkiwa Saudia,wish nko kenya ningekutafuta tu just for a talk.na aaanza kujipenda na lean on GOD...they will one day aknowledge you..usijali wee wi wa NGAI na niukaruta uira muthenya umwe wa mawiko ma NGAI

  • @rosendunge4217
    @rosendunge4217 2 месяца назад +4

    Mkiachana na mtu juu ya vita ama rejection usikawahi rudiana na huyu mtu hata kama ni nanii..wamucoka niguo uriaga mundu

    • @jadee.302
      @jadee.302 2 месяца назад +2

      Thanks for this

  • @tida3727
    @tida3727 2 месяца назад +1

    You took it easy from the beggining
    How can you cover a dangerous hynea from the start..??!
    Huyo mtoto aliwekwa box..cz of negligence.m
    Aa mother mpaka uwe tough

  • @hannahmulindi7076
    @hannahmulindi7076 2 месяца назад

    Oh my goodness. 😮 God have mercy

  • @user-bd4hu9ek3c
    @user-bd4hu9ek3c 2 месяца назад +3

    Waa wamama mukae macho

  • @milkanjuguna-qr3sg
    @milkanjuguna-qr3sg 2 месяца назад +5

    Kufunguka macho ya ndani ni kitu ya maana sana dear..yaani mother-in-law alikwabia mara ya kwanza ukanyamaza...kwan ulikuwa unangoja nini akhi😢...anyway pole kwako na pia kwa mtoto 😢

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 2 месяца назад +3

      Amenibore aki

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      Usi mu blame she was depressed and it was hard to believe the guy blame his mother is mad and convinced her that she's a mad woman remember her husband is a narcissist they are manipulators that time she found them was God's time and action was taken iyo wakati wa mother in law igefunikiwa if she could have insisted ..she did well to take action

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Alikua angoja 'firimbi au christmas ndio aseme' Ni msemo tu.

  • @deborahsusan136
    @deborahsusan136 2 месяца назад +4

    You brought him back to finish yourself madam

  • @shiksjustin
    @shiksjustin 2 месяца назад

    Wah hii dunia ina mambo 😢😢😢pole sana mamii

  • @virginiakibe1846
    @virginiakibe1846 2 месяца назад +1

    Umepitia mingi sana lakini be a rensponsiple mum to your kids leave your mom alone tafuta mungu sasa

  • @Shiepaul
    @Shiepaul 2 месяца назад +6

    Hapo vile mrirudiana na huyo mtu pia wwe ulikua unamtaka coz mtu akufanyie ivo then umrudie anyway tafta pp ukam tuhustle Saudi basi

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 2 месяца назад +2

      Mimi hushangaa na watu wengine ni akili hawana ama shinda ni gani alafu kukiharibika mtu atake msaada phtoooh

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад +2

      Nikio kwiragwo wamucoka niwuo uriaga mundu .Mimi nilijifunza na hii musemo sirundianagi na MTU tukiachana

    • @serahnjoroge1069
      @serahnjoroge1069 2 месяца назад +1

      @@Edgybhthjklewnimekubaliana na wewe. I also wonder. Myself, I’m divorced and I used to say; I don’t go back to where I came from. I mean, back to my ex- marriage.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад +1

      ​@@shikuliz4134
      Asante for sharing hii msemo. Watu wajifunze.

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 Месяц назад

      @@VeronicaDunbar yes kindly never go back with someone who has shown your never important ,their aim is to destroy where they left without achieving their goals they're enemies of progress ..narc people love no one including themselves they're bitter with life

  • @user-tk1eg3sp1v
    @user-tk1eg3sp1v 2 месяца назад

    Pole sana mama,wamama let make our daughters friend

  • @user-en4ku9yu3r
    @user-en4ku9yu3r 2 месяца назад +2

    You also said your child is dead. Rejection from own mother

  • @SamuelKuria-kr5lx
    @SamuelKuria-kr5lx 2 месяца назад

    Don't worry my sister all things have happened God knows all things mungu amponye

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Msiandikage Mungu na small letter 'm'. Ni capital M.

  • @soniepauline9346
    @soniepauline9346 2 месяца назад +1

    This story ilianza shida huyu mama akiwa mtoto, but the worst deteriorated when she took the man in again. Angeendelea na kazi ya mjengo alee watoi and she was already well up

    • @serahnjoroge1069
      @serahnjoroge1069 2 месяца назад +1

      I commented the same. Aliendelea vizuri akiwa Single. But taking him back was the biggest thing she ever did!

  • @janenjeruh918
    @janenjeruh918 2 месяца назад

    Yr stories are taking long..kind request...be doing part one ad two..pls

  • @Mamaboys333
    @Mamaboys333 2 месяца назад +2

    Aki watu hupitia mambo😮😮😮😢😢😢
    Ni mm tu adds zko too much ama 😢😢😢

  • @rosengetha6289
    @rosengetha6289 2 месяца назад +1

    This story is too painful, it shows the girl is with no hope with you,that why she's finding her peace , its always better than to have time with your kids, even if you are with nothing, mothers love means alot, mother inlaw was very right, but , his father said she is mad, you was too less to know about your kids, you love your husband more than, but don't blame yourself, all has to end

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      Aliuziwa uoga kutoka mwanzo wakijuana na tena kuolewa aliolewa illikua Kama kid napping na unaskia kila MTU anasema huyo haogeleshagwi

  • @eunicekagure7832
    @eunicekagure7832 2 месяца назад +2

    I think this mother needs to get reality. If every mother whose child is raped behave like her. Does she realise what the daughter is going through. Can you imagine saying she needs to give them up so that she can go outside the country. Why can't she support the daughter and son as a mother. If currently the daughter is married. The daughter is taking full responsibility of the sibling while mother is just giving excuses. What does she want the public to do, so many of us brought our children as single mothers. Let her pull herself up and care for her kids. Fualia watu nguo you can do mjengo as you have done before. Stop begging, stop pretending your problem is everyones this cannot happen. Please Kenya women are taking care of their kids join them. Please you are making kids think what happened to her was her fault the way you are behaving.

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      She also needs counseling she's trumatized that's why she's can't concentrate on something because the picture ilikataa kutoka Kwa kitchwa alafu the kagal karirepiwa kitambo na hakakuwai ambia mamake she was either threatened by her dad if she dare tell her mum ..she blaming herself not to have saved her daughter Ile makosa alifanya ni kurundiana na yeye yet she was financially okay

    • @leahwanjiku3683
      @leahwanjiku3683 2 месяца назад

      The ready needs counselling and her child too. She went down when she was trying to submit to the husband... Huyu ni mama wa kujituma if a tall she acorded a little support to stand again she is capable... She can also get somebody to help the children she will work for the sake of her children

    • @leahwanjiku3683
      @leahwanjiku3683 2 месяца назад

      I mean lady

  • @marynjeri8366
    @marynjeri8366 2 месяца назад +2

    Please cam barker Jesus winner and you will see they God of Jesus winner

  • @PatriciaWanjara
    @PatriciaWanjara 2 месяца назад +3

    Wee wīna ūrimū wī igūrū mūno. Mwana waku angītwarwo gwa sister ya mūrūmeguo atīa without ur consent... Silly u😢😢

  • @carolinechege6338
    @carolinechege6338 2 дня назад

    Woiiii Ngai 😢😢😢😢twakinya haha atya Ngai🤔🤔🤔

  • @user-cv6zm2wt1x
    @user-cv6zm2wt1x 2 месяца назад

    Bt pole sana mama

  • @Usercintahcin
    @Usercintahcin 2 месяца назад +3

    Tuombee watoto wetu wee nikumbaya,

  • @mrsk4860
    @mrsk4860 2 месяца назад

    Ok

  • @dannjuguna6648
    @dannjuguna6648 2 месяца назад +3

    Symok you must be a very strong man coz story zingine waaa.

  • @annsylvia5600
    @annsylvia5600 2 месяца назад +4

    Bona huku follow wakati uliskia na in law

  • @esthermagua8359
    @esthermagua8359 2 месяца назад +5

    Mundu angiuka akuoe mucie athie nawe atia 😳😳😳 ati ni muuru 🙆🏽‍♀️

  • @user-jl5tk6jg8z
    @user-jl5tk6jg8z 2 месяца назад

    😢😢😢😢Ngai akihura muthuri nake muhurwo erihiria na kurape mwana 🤔🤔🤔ici ni ngoma

  • @Nina_Kamau
    @Nina_Kamau 2 месяца назад +3

    Woooi
    This is painful,khaai😭😭😭😭😭May God restore you my sister 💔💔💔💔💔😭😭😭😭

  • @xavierxavo5693
    @xavierxavo5693 2 месяца назад +3

    Who else noticed hapo kwa Kunyanduliwa Simo anashidilia hapo??? Piga like 👍

  • @rosendunge4217
    @rosendunge4217 2 месяца назад +4

    😢😢😢😢aki mambo upitiwa na binadamu..yaani kwa maisha hakuna mwenye hananga life history ila wachache tu hawajapitia machungu 😢😢

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Culture ingine hurambisha mtoto asali na siki na kumuambia kua, atapitia machungu na matamu.

  • @marthamwihaki6016
    @marthamwihaki6016 2 месяца назад

    Kindly next time lea watoto wako wachana na wanaume..

  • @user-bk1ub2ro6s
    @user-bk1ub2ro6s 2 месяца назад

    Gosh hii Dunia inaisha

  • @rosewandebi6496
    @rosewandebi6496 2 месяца назад +3

    Ata mimi nautical anglia nini mama in law aliyah sema hakupeleka MTOTO hospital ajue ukweli sasa unajiliza nini wewe ni mumoja wa mama wale hawajali watoto ungechukua hatua ile siku ma inlaw Adidas amewaona,ungepeleka MTOTO kwa Doctor kisili ujue ujue ukweli acha kujifannya una machozi baada YA MTOTO kuharibiwa hizi tabia tumezoa wa mama kufunika mabwana zao unaligned bure.

    • @verahshee9573
      @verahshee9573 2 месяца назад +1

      My dear hueleweki,type vizuri

    • @reginawambui7306
      @reginawambui7306 2 месяца назад +1

      The above message,haiyeleweki type vizuri .
      Type in English format

    • @user-oe3rs3kq6j
      @user-oe3rs3kq6j 2 месяца назад

      What are you saying 😮😅??

    • @gracewambui5564
      @gracewambui5564 2 месяца назад +1

      Very true.. Huyu mama ni ignorant sana

  • @Edgybhthjklew
    @Edgybhthjklew 2 месяца назад +3

    Mutumia uyu hii yote umejitakia siku ya kwanza mtoto alibreakiwa virginity niaje hukujua ama huoshangi mtoto??how blind were you hukunotice kitu yena unaacha kazi ya broker kwa ujenzi mtumie savings zako na mwanaume alikuacha,uliambiwa na your mother in law mtoto amelala na babake na still ulirudi huko tu ulifikiria nini ndio urundi did mind about your daughter??nimechoka kutype but mama pambana na hali ulijitakia hio life mwenyewe nonsense

    • @Embracejustice
      @Embracejustice 2 месяца назад +1

      Uko na ma ubaya😂😂

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 2 месяца назад

      @@Embracejustice Ni hasira aki,am just imagining how insecure iam when my kid is away hii Mimi ningekua nimeua Weuh *I PUSHED* ikifika ni mtoto I can do anything to protect her

    • @marthamwihaki6016
      @marthamwihaki6016 2 месяца назад

      V for voyolence huyu mama hajanifurahisa...and stop blaming your relative.. between sister yako anakubebea akili aje??? Mtu alikuwacha na unamrundia..aje sasa yet mungu alikuwa amekubariki na Kazi ya mjengo..

  • @kezzybaibmamaketwins8128
    @kezzybaibmamaketwins8128 2 месяца назад

    But according to her story this woman was soo careless with her kids 😢how on earth as a mother u can't read nor notice ur kids changing behavior 😢😢

  • @iamkinyanjui2050
    @iamkinyanjui2050 2 месяца назад +8

    Iguai ngoma

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад +2

      Mimi nikiwa na pesa nikae na MTU anani control .. narcissist will never change

    • @winicatewainaina4456
      @winicatewainaina4456 2 месяца назад

      Mm nmeshtuka akisema aty ako n chuma anaogopa agongwe surely mtu anakuharibia mtoto uweeeeeh hii nayo uwee

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      ​@@winicatewainaina4456
      Hapo ameangusha big time. No wonder she was n not a good mother, At All.

  • @user-uk3gg5bw3e
    @user-uk3gg5bw3e 2 месяца назад +1

    Wamucoka niguo uriaga mundu ....this man destroyed your destiny

  • @alicewaithaka3496
    @alicewaithaka3496 2 месяца назад +2

    Symo that man know that the girl is not his because the lady told him the baby girl died,athough it's painful may God give her peace

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 2 месяца назад

      Thanks for reminder to connect that ....Still that is molestation of a minor..10yrs old.

  • @user-ve5vv5ip8h
    @user-ve5vv5ip8h 2 месяца назад

    WEEE TÚGÚYHIITE WEEGA NGINYA WAKONYORA GATHUURI 😅😅😅😅

  • @user-cv6zm2wt1x
    @user-cv6zm2wt1x 2 месяца назад +4

    🤔🤔🤔 aaaii ni nani huyo na mm ni kama mzaliwa wa mwiki

    • @mercymuchai2963
      @mercymuchai2963 2 месяца назад +2

      😂

    • @queenyakinangop4096
      @queenyakinangop4096 2 месяца назад +2

      Uiyi maundu mangi memagigi😢muthuri agakoma na mwana surely

    • @user-cv6zm2wt1x
      @user-cv6zm2wt1x 2 месяца назад +5

      @@queenyakinangop4096 am not judging her bt ukiskiza vile walianzana na huyo mtu na kuachana, halafu tena vile walirudiana kuna kitu C clear hapo

    • @mercynjuki9390
      @mercynjuki9390 22 дня назад

      Mimi na beba gaboo na simujui

  • @leonalee392
    @leonalee392 2 месяца назад +1

    Wah wah😮😮....hapo umesema siz yako alikupangia urudiane na huyo jamaa seems ndio shida ilianza..... though the story is not adding up......😢

  • @winicatewainaina4456
    @winicatewainaina4456 2 месяца назад

    Stakujudge nokae ishi neshiarema 😢😢😢😢woi Ghai 😢😢😢😢naku naku...alfu sielewi mm alfu symoh two hrs n mob make it smaller..mtu anaboeka katikati

  • @mercelitakk7197
    @mercelitakk7197 2 месяца назад

    God, weueh...hii dunia watu ni wanyama walai...how would someone say that her child is dead when she's not, and how the hell did you agree to get bck with that monster..???, harafu you caught him red handed and you stopped peaple from teaching him a lesson... gal you are weaked....you brought this upon yourself.. hata kama umepitia mambo mob but....may God deliver you...

  • @user-bd4hu9ek3c
    @user-bd4hu9ek3c 2 месяца назад +1

    Wamama tuwe macho

  • @luciakabui3151
    @luciakabui3151 2 месяца назад +1

    Gal! You never needed that guy. He abandoned you. You were able to finance your life. I find it very hard to understand you or sympathize with your plight. Sorry, but you evoke a lot of anger kwa kuji-set for bad trouble.

  • @veronicahnyambura1696
    @veronicahnyambura1696 2 месяца назад +2

    Ici Niciarega Mitheko Biu 😢😢

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад +1

      Imagine it's happening people are married by narcissist it very easy to happen being married by such a devils who are full of themselves and so heartless

    • @winicatewainaina4456
      @winicatewainaina4456 2 месяца назад +1

      ​@shikulialfu unaona bdo mtu anavumilia 😢😢😢😢

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      @@winicatewainaina4456 the fake it to Impress society

  • @miriamwanjiru7594
    @miriamwanjiru7594 2 месяца назад +6

    I have a strong feeling huyu mtoto pia alitaka mapenzi na babake .

    • @user-ih9nx5ki4o
      @user-ih9nx5ki4o 2 месяца назад +1

      She was ejoying the dad brain washed her

    • @soniepauline9346
      @soniepauline9346 2 месяца назад

      Mtoto wa 10 yrs atafuata na apende ile anaambiwa

    • @user-en4ku9yu3r
      @user-en4ku9yu3r 2 месяца назад

      Alikua anatiswa na hakuna mtu WA kwambia
      Bona wakati mtoto alipelekwa kwa sister ya huyo mnyama. Huyo auntie alimrudisha
      Ndoiga atiriri Tondu ni kuri Ngai matuini ri arihirie mwana ucio na kumuhe gwa gwa guikara ta children's home
      Nao acio maturaga ma abusaga ciana cia tuititu na tuhii. Marotoma ta Mai mao

    • @paulinegichuki1074
      @paulinegichuki1074 2 месяца назад

      Mtoto wa miaka kumi anajua mapenzi na mzee wa over 50.Please be careful I can see you are a woman and probably a mother

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Sio mapenzi ya ngono thou. Na mtoto wa hiyo miaka kisheria hata kisayansi, is not capable kufanya uamuzi huo. Na pia Sheria hairuhusu minor wa that age kufanya decision km hiyo.

  • @mercynjuki9390
    @mercynjuki9390 22 дня назад

    Sorry for what you've gone through, but I'm just asking hiyo part ya garbage ni mama yupi huyu mwiki tuko wamama wawili pekee kwa hiyo kazi

  • @damariswamaitha9688
    @damariswamaitha9688 2 месяца назад +3

    Kwani munakuwanga mumejikosa aje?.kitu happen na uignore?

  • @user-hb7pv2ud9v
    @user-hb7pv2ud9v 2 месяца назад

    I think the young girl may need a boarding school to be in a safe environment

  • @anitaagnes1044
    @anitaagnes1044 2 месяца назад

    😢😢uuuiiii

  • @lilianwangombe3353
    @lilianwangombe3353 2 месяца назад

    When you see a red flag in a man.ran as fast as you can otherwise he will never change.

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 2 месяца назад

    😮😮😮😮😮Huyo mtoi ako na spirit ya umaraya mbaya sana 15yrs anaolewa she need deliverance zile vitu watoto hufanya ni generation maybe ata wewe ulikua unazurura ivo pray for her otherwise utaishi na machungu

    • @Lynn146
      @Lynn146 2 месяца назад

      🙄🙄

  • @charitykawiria8612
    @charitykawiria8612 2 месяца назад

    Ucio ti mundu murume ni nyamoo😮😢

  • @vgeegodseed1720
    @vgeegodseed1720 2 месяца назад

    Orīrīa Kīhunguyo kīu gīakwīrire waciara Kairitu ndakumwenda noguo onawe na kairītu gaku mutangiamucokereire

  • @emilymuiruri9697
    @emilymuiruri9697 2 месяца назад +3

    Saimo ploti ici utwiragira muthenya umwe thii woe video utwoni mugunda ucio weega

    • @leonalee392
      @leonalee392 2 месяца назад

      😂😂

    • @theresianthenya-vl5kh
      @theresianthenya-vl5kh 2 месяца назад

      😅😅😅😂😂😂

    • @periswambui9425
      @periswambui9425 2 месяца назад +1

      😅😅😅😅😅😅mugunda ya Nairobi tiga nayo wenda mugunda gura rugito rwa kwanyu joska ni kuraihu

  • @user-qf8dr4rv6k
    @user-qf8dr4rv6k 2 месяца назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @serahnjoroge1069
    @serahnjoroge1069 2 месяца назад

    This mama was doing good when single. Why taking him back although he broke off contacts when he was healthy? After braking his legs, he goes back to her! Aaaiii, I wouldn’t take him back. Murimu wa mucoka niguo uninaga mundu!
    I don’t even feel sorry for her. Sorry!

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 2 месяца назад +1

    Waaaah 😮😮😮 Dunia

  • @user-en4ku9yu3r
    @user-en4ku9yu3r 2 месяца назад +1

    Every woman dies with her children.ungechukua watoto wako ukimbie na usiangalie nyuma
    Unaweza kuomba mahali ya kukaa. Unaonekana dunia mzima ukiongea nini sasa?

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Anaongea ndio wewe uepukane. Km wewe ni mwerevu, wengine wata learn; including maybe ur sis, daughters, sons, etc

  • @NancyNjoki-sj9ud
    @NancyNjoki-sj9ud 2 месяца назад

    Kwani huyu mama hakuwa anaona mtoto nakwamaguo zake nakuonga hii story huyu mama anisamehe niwale wakwabia watoto wajifanyie Kila kitu Mimi nasahii wangu ni mkubwa Huwa nahakikisha najua kile naweza juu Mimi ni mama.

  • @joycekamau5520
    @joycekamau5520 2 месяца назад

    Pole lakini Kuna kauongo hapo

  • @gracewangari8121
    @gracewangari8121 2 месяца назад

    Some ladies cjui mnafikirianga aje...uyo jamaa c eti alikua mbaya the guy maybe ata connection zilitokanga home ..then ata wanawake mbona ujisimamishe then urudishe mtu aliwai kutenda kwa life yako Tena 😳.... Sometimes ladies tumieni akili..

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      Kwanza alikua ana threateniwa Never call me alafu saitani inarudi na ulemavu unamchukua inakumaliza mahali ilibakisha ..her daughter will also suffer rejection juu alikua ashakataliwa na Baba na pia her relationship with her mum is not good

  • @josephkariuki5118
    @josephkariuki5118 Месяц назад

    Kweli hii ni real au nizile story hutengenezwa siwezi amini aki nakama niukweli aki huyu mwanaume angestahili amber amunyuo nyee cieri

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Месяц назад

      Jelani *humunyo na wafungwa wengine. Huko child rapist na all uhalifu to children, is not tolerated.
      Jua huyu 'atamunywo' tu, ikiwa bado.

  • @user-pq1yt4yb5n
    @user-pq1yt4yb5n 2 месяца назад

    I didn't understand anything hr

  • @deborahsusan136
    @deborahsusan136 2 месяца назад +9

    Talking like type writer

  • @periswambui9425
    @periswambui9425 2 месяца назад +1

    Mundu agukora ugitungata ciana ciaku acoke agucontrol

    • @shikuliz4134
      @shikuliz4134 2 месяца назад

      Metagwo ma narcissist icio nicio ngomar iria angi makihitio nicio ..wasichana wengi washa rapiwa na Baba zao ..na wamama wana 🤐🤐

  • @user-ko7bv8du8e
    @user-ko7bv8du8e 2 месяца назад +1

    Sijui mbona na full gap kwa hii story sorry though

  • @lizkimani6635
    @lizkimani6635 2 месяца назад +1

    Ulifanya vimbaya kurudi kwa huyo mzee.kwanza alikataa mtoto na akakimbia wewe.mbona ukamurudisha surely?

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 2 месяца назад +3

    Hio mguu mooja kiwete ningevuja yooteee 😏😏😏 eti ulikua unamdunga ningevuja hio muguu kabusaaa tena aede jela akiwa kiwete you are a fool wimukigu muno weee mutumia

  • @jamesnganga1418
    @jamesnganga1418 2 месяца назад +1

    Soo many loopholes