JINSI YA KUPIKA MCHUZI WA SAMAKI MKAVU KITOGA # TANZANIAN YOUTUBER.
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- samaki mkavu aina ya kitoga aliyeungwa n nazi pamoja na mboga mboga.
mahitaji yake ni samaki mkavu kitoga, nazi, nyanya, tomato paste, kitunguu, kitunguu swaumu na tangawizi, hoho, karoti, nyanyachungu, paprika, curry powder, fishmasala, pilipilimanga, unga w kitunguu.
hope utaenjoy n utajaribu. thanks all......
#tanzanian #food #foodblogger #foodie #food #contentcreator #foodlover #cooking #foodvlog #fishrecipe .