hivi kweli we kaka nikuulize una akili kweli au punguani mana chizi so mpaka uvue nguo au ule majalalani machizi wengine tunakula nao tuna kaa nao nyumba moja
Mh huyo brown hajawahi kuja arusha nini vijana mahandsome zaidi Yake wamejaa kinoma noma so asijeakamtesa wolper... Akijaribu tu wolper anipigie simu 😂😂😂😂😂
hizo tatuu ndo nini kwanaza anajichubua ndo mana katokwa na mabaka mwili nzima sura mbovu yani wakaida Sana hizo rasta kama majinunua yani mwenda wazimu
bro najiuliz siku ukifa utaend kujib nin kwa muumba wako kwa jinsi ulivyo jichor chora 3 mung hakukosea kukumba bila 3 angetak akuumbe nazo ungekuwa naz mwili mzim ila wew kufany hivyo ni kam unamkosoa mung ila endelea kupamban na hali hayo lakin kumbuk kun mwish wa maish yako.
Justine Bieber right hawaoni aibu kuzungumza maneno ya kihuni mbele za watu hivi mtihani wallahi watu wanaona kama hawafi dunia kama yao na huyo mwanaume anajisifia alikuwa na ana ma ex wake wengi na we mwanaume unakubali mhhh mtihani
huyo jack nae kakosa mwanaume mpaka kuchukua huyu mwanaume kama katapikwa yani hapa nataka kutapika kwa kumtizama huyu mwanaume sio hadhi yako tafuta mwanaume mwengine yani kiufupi bado hujapata mwanaume unaangaika tu
ONDOA CHUNUSI, MADOA, MAKOVU., MABAKA, MAKUNYANZI, MICHIRIZI, WEUSI KWAPANI, KATIKATI YA MAPAJA, KUWA NA NGOZI SOFT NA YENYE MVUTO KWA KUTUMIA BIDHAA ZA ASILIA. NJOO WHATSAAP +255717805523
Brown umenifurahisha big up kaka unampenda mwanamke wako we ni mwanaume wa shoka
yaani huyu kaka Jack ndio haswaaaa type yako yule makonde ahaaaah ulibugi man
Uyu ndo typ ya jack kuvaa sem model
Brown you so open... thumbs-up. You don't beat around the bush
Wow jmn jaki umekosa mwanamke🌗🙆🙆🙆
Adi raha Brown umeuwa adi Sam amekosa cha kuuliza
I like the way kaka brown anavyo ongeya si mushamba nawatakiya laheri
sam umemuuliza sana broun maswali mengi mpaka naona aibu
Daa uyu mkaka ukimuona utafikiri muhuni kumbe usipimishi macho jaman kaka uko vizur Mungu awasaidiy ww na mke wako muowane
Duuuh sijawahi kuona mwanaume kama ww unajuwa kumpaisha dem wako
Kaka nimekupenda buree wewe ni kidume jack umepata shemela siyo mswahili kama mmakonde safi kabisa
😂😂😂brown kama mchezaji wangu nlomtengeneza kwenye game la basketball
Brown mzuri lkn.hizo tattoo mhhh
Jamani wolper we mrembo unaheahima zako mbona umemchagua huyu??? Mi naona hamuendani ju ya muonekano wake...+254 Mombasa
Umemkomesha Mana uyo mtangazi kiboko ana maswali mengine
Brown unajipendekeza sana kwa Jacky siku utaachwa yana utashangaa sana
Bro missago siyo kwa jordan hiyo mkono mmoja mnene mwingine mdogo 😂😂😂😂mwenywe akiona anaweza kujiuwa
Brown anajua kuongea ktk media
This is gay or pretend
I see me sijaelewa wanawake mnapenda nini kwa wanaume, eti huyu jamaa ni mzuri???? haya bhana kazi kwenu...
GOTTA BOY yani hata sioni uzuri wake hata!
Sami nakukubali way back now days unayumba Tumia tamathali
afadali huyu kuliko amonizer afai kabisa
Brown. Big up bro. Congratulations
Uyo dada mbona ana boa ivyo? Hajui kuongea kwenye media, ana jua kutoa mimba 2.
interview Yakipuzi kabisaa Sam huna Yakumuliza ni udaku tu ulikuwa wataka
Brown unajua kuongea kwenye media
Misago yaani we mbea saana kabisa eti Jack mtamu saana😂😂😂Alafu unacheka hadi suruwali inataka kuanguka
jaman Sam mbona jack jack khaaaa Hahahahahaha umetisha sam
namkubalo huyo jamaaa sanaa Brown holllaaaahp mzaz
Sam unanichekesha sometimes unapouliza kwa msisitizo 😂😂
Brown uko sawa
Oops Wouw halafu sam wewe
Duuuuuh jack mtamu hongeraaa Dada jack
😂😂😂🔞adi umekosa maswali duh salutiiii
yani Nachukia Nione man mwenzangu anakuwa Ivyo
Nimefurahishwa sana na mwanaume huyu anavyomsifia mpenzi wake
hivi kweli we kaka nikuulize una akili kweli au punguani mana chizi so mpaka uvue nguo au ule majalalani machizi wengine tunakula nao tuna kaa nao nyumba moja
Waooo wolper umejuwa kucaguwa
yani mm ni mshabiki wako ila bado sijaona mwanaume hapo ni mauza uza
Hahahaah Sam jamani ,eti mtamu🙈😂😂
Mh huyo brown hajawahi kuja arusha nini vijana mahandsome zaidi Yake wamejaa kinoma noma so asijeakamtesa wolper... Akijaribu tu wolper anipigie simu 😂😂😂😂😂
'#Salut
hizo tatuu ndo nini kwanaza anajichubua ndo mana katokwa na mabaka mwili nzima sura mbovu yani wakaida Sana hizo rasta kama majinunua yani mwenda wazimu
Sam veepe!miswal bwena ka mvua!
Asante brown.
miaka 7 ya nyuma Smartphone zilikuwa hakuna mzee Usitufunge Ma Model wengi Gay Tunalijuwa hilo na Sana
kiume uwez kujipiga mipigo ya kidemu
#Brown yukO na confidence xna uyu jOmbaa
mhhhh Sam co kwa udadisi huo 😂😂😂😂😂
bro najiuliz siku ukifa utaend kujib nin kwa muumba wako kwa jinsi ulivyo jichor chora 3 mung hakukosea kukumba bila 3 angetak akuumbe nazo ungekuwa naz mwili mzim ila wew kufany hivyo ni kam unamkosoa mung ila endelea kupamban na hali hayo lakin kumbuk kun mwish wa maish yako.
Justine Bieber right hawaoni aibu kuzungumza maneno ya kihuni mbele za watu hivi mtihani wallahi watu wanaona kama hawafi dunia kama yao na huyo mwanaume anajisifia alikuwa na ana ma ex wake wengi na we mwanaume unakubali mhhh mtihani
msam eti jak Mtamu ?😅😅😅unataka ukaonje bro
🤔🙄😆 Sam umepatikanika kwa bwana tatoo😎
misago kanyama hapa,jamaa yupo sahii maswali kaisha
Swali zakiupuuzi 2; kojoa ulale it's bed time
Brown uko pw sana
Mzur
eti jack yupo nnje ananifata....ovyoooo...jack chagua wanaume bhana...uyo mirasta vepeeee.......c type yako
Rahma Mudy na hili mitatuu kama kakwaruzwa na bata
Daah yani Sam misago wewe hayo maswali
Duh hiyo michata kha
unaujua mwandiko wa demu wako kwenye simu????????
Anapewa ngumiii👊👊👊👊
Bodi ya kijanja hiyo bro brown
Your wife you don't have a shame
Hao maswali jameni mmmh
Hata ukae naye ni mwanamke wako una haki utumiye byake na ye atumiye byako
Joze123 4 hahahaha umenichekesha
Hatareee
Yani wewe hayo maswali vipi
hichi kibwana ni nat marasta jamani wolpa ww mwanmke feki angalia waume wa heshima sio wavuta bang wolp hana heshima kabisa kiruka njia
mama peku peku pili pili muwasho Adui wa mwanamke nimwanamke 😂😂😂😂
Nini anampa 😂😂😂😂😂
Official_brown_ 🔌
huyo jack nae kakosa mwanaume mpaka kuchukua huyu mwanaume kama katapikwa yani hapa nataka kutapika kwa kumtizama huyu mwanaume sio hadhi yako tafuta mwanaume mwengine yani kiufupi bado hujapata mwanaume unaangaika tu
Hayo maswali mhhhmh
mjingaaaaa mbwaaaa
Eh mtangazaji, mbona unamfanyia mgeni wako dharau hadharani? Sio poa maswala yako Na kutompa nafasi yakujibu sio Sawa, wataka sema wewe zaidi?
Shoti uwe Na siasa ya mahoja yako!
Budaa uo nimwili or kitabuu
Sifa Edwin 😂😂😂😂
Brwon👍
sasa we maswaki gani hayo
Maswali ya kipuuz2
Brown tshaaa sana mkubwa
Bongo hii
Karibuni kwenye channel yangu bonyeza picha yangu hapo ili uweze ingia kwenye channel yangu nafanya vlogs za maisha ya Italy
Mariam's Lifestyle sawa
Huyo kwa picha ni mume wako ?
Ndio
ONDOA CHUNUSI, MADOA, MAKOVU., MABAKA, MAKUNYANZI, MICHIRIZI, WEUSI KWAPANI, KATIKATI YA MAPAJA, KUWA NA NGOZI SOFT NA YENYE MVUTO KWA KUTUMIA BIDHAA ZA ASILIA. NJOO WHATSAAP +255717805523