ALIYEPEWA MSAMAHA WA RAIS ARUDI MWANZA KUCHUKUA REDIO YAKE YA MKULIMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 147

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 4 года назад +2

    Duuu anabahati sana mpaka sasa miaka 78 bado yupo kijana

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 лет назад +5

    I see you are so smart hahaha you still remember all your kids wow 👏👏👏

  • @kyandomarry2015
    @kyandomarry2015 7 лет назад +2

    Hii Kali Sasa noma sana

  • @enockphilipo3105
    @enockphilipo3105 7 лет назад +4

    mungu ambariki

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 лет назад +2

    Point 100% ukifungwa usugu unazidi

  • @selincharles3383
    @selincharles3383 7 лет назад +11

    duuuu mzee umetoa msamaha Lakini mmmmh... kauli ya jera sio sehemu ya kufunza ila nisehemu ya kuongeza hasira huyu mzee weka mbali na watoto......

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 7 лет назад +3

    Haa haa Mzee yupo Na kumbukumbu A to Z
    Haa haa haa Nawakumbuka woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 7 лет назад +25

    Ukiikosa radio usipandishe hasira ukajikuta unaua tena bila kukusudi shukuru tu

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 лет назад

    Pole baba mungu kakutowa

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 7 лет назад +3

    😅😅😅Duh! Mzee yupo fiti sana usikute wanawe wamezeeka kuliko yeye!

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 7 лет назад +2

    Hapo ndipo ninapoamini kwamba ni Mungu pekee anayeweza kubadilisha tabia ya mtu.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 6 лет назад +1

    USIMUACHE YESU BABA.

  • @eliabalibate5769
    @eliabalibate5769 7 лет назад +41

    tafadhal mtangazaji huyu mzee kwa maelezo yake nmemfaham mimejarbu kuwasiliana na mmoja wa mtoto wake ambaye nmesoma nae akakiri kua yeye hamfaham kabsa Baba yake kwani alitoweka yy akiwa na miaka miwil ila kutokana na hiyo simulizi yake nikweli kua kabsa ni Baba ake mzazi hivo naomba kama una maelezo zaid huyo mzee anaelekea mwanza sehemu gan naomba tuwasiliane kupitia hii namba 0764627960 tafadhal ili iweze kua lahis kumpata Kwan ni miaka ming kias

  • @queenofabaya8985
    @queenofabaya8985 7 лет назад +5

    Nadhan waitaji MTU wa kisaikolojiaa waende magerezan huyuu Mzee kaongea point sanaaa ...

    • @aishaelias986
      @aishaelias986 7 лет назад +3

      Farida Farid ameongea point kabisa, jela haifundishi inaharibu watu

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 5 лет назад

    Pole san baba yangu 🙏😭😭😭

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 лет назад +2

    Yatia huruma sana inamaana gereza limejaa wazee sana

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 лет назад +14

    Du huyu anaweza kukuzaba hata kofi ukamkasirisha anavyoonekana

  • @taussumwa152
    @taussumwa152 7 лет назад +14

    Mzee ana umri mrefu lakini yuko gado ana nguvu zake mwenyewe mungu amubariki sana

    • @joshuanyonyi8820
      @joshuanyonyi8820 7 лет назад

      Taus Sumwa yuko vzur kama asingepata misukosuko ya jela utadhani hajafikisha hata miaka 60.

  • @mussababu1464
    @mussababu1464 7 лет назад +3

    Kweli unyanyasaji haujaanza leo.yaan mtu anakaa miaka 10 mahabusu.kwel serikali ijitafakar.Inabid kesi zsklzwe kwa uharaka

  • @ummybaby1174
    @ummybaby1174 7 лет назад +2

    Babu noma sana yy akumbuka redio yake badala awaze vip ataish cku zilizo bak.kanivunja mbavu mie

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 7 лет назад +4

    Duuuh Una sema jela mahala pabaya uko fit hivyo miaka 78 ungekua uraiani ulisha kufa siku nyingine

  • @Safinatulshifaa
    @Safinatulshifaa 7 лет назад +4

    Inasikitisha sana na sijui itakuwaje atakapo kutana na watoto wake na akimkuta mke na mume mwengine balaa pamoja na radio yake

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 7 лет назад +5

    ukimshika mkono kizembe ...akuchana huyo...mana naona babu kakaza

  • @philip788
    @philip788 7 лет назад +5

    Sio pazuri, panafundisha ubaya kwa ubaya. Wakati mwingine Jela haifunzi bali huaribu kabisa. MUNGU uzidi kumtia nguvu mzee huyu!

  • @florencemgoyo9273
    @florencemgoyo9273 6 лет назад +1

    daaah hicho kipochiii

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 лет назад +2

    Dahhh nilikua sijazaliwa mpaka sasa ninamiaka 33 mungu mkubwa wallah

  • @tullalutumo7293
    @tullalutumo7293 7 лет назад +3

    Mzee tuliza moyo mtafute Mungu ndio jibu la maisha yako yaliyo salia

  • @mokhimji
    @mokhimji 7 лет назад +3

    ni hatari kwa kumwaacha mzee mtani bila kuwa na mpangilio wa kumtayarisha kisaikologia kwaajili ya mazingira na maisha ya sasa - Ila ningekubali huyo mzee anavyoongea enzi zake atakuwa mjambazi sugu kweli

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 лет назад +8

    Kuna aliefungwa mwezi wa nne mwaka 1988, wallah nilikuwa cjazaliwa.

  • @saifalrajhi5001
    @saifalrajhi5001 7 лет назад +1

    Serikali ingewapa hata kianzio Cha maisha, japo walioyafanya ni makubwa

  • @faustadonasian9626
    @faustadonasian9626 7 лет назад

    ana imani juu jamani!! Mungu atamsimamia tu kwa maisha yaliyobaki!!!!

  • @ibumtumishisangaosward1202
    @ibumtumishisangaosward1202 7 лет назад +2

    Sijaelewa watoto baba zao wapo tofauti

  • @jafarsalum6460
    @jafarsalum6460 7 лет назад +1

    Hivi nauli wanapewa na serikal au wanapandishwa magar ya kwao

  • @christiankakungulu2260
    @christiankakungulu2260 7 лет назад

    mimba yangu ilikua bado haijatunga wala hata kufikiriwa kuzaliwa.. ni noma

  • @adammhelela7473
    @adammhelela7473 5 лет назад

    Safiiiiiiii

  • @edsonsibuti6914
    @edsonsibuti6914 6 лет назад +2

    Jamani mrudishieni mzee Wa watu redio yake kahmiss Sana kabla aja mada tena

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Год назад

      Hakujua siku hizi kuna flat screen tv, radio hadi zimesahaulika mitaani.

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 7 лет назад +6

    Mzee huyu .
    ...........inaonesha alikuwa kaka jambaz enzi hzo

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 5 лет назад

    Jamani nime miss san tz 😋😋

  • @mutabazijustin2487
    @mutabazijustin2487 5 лет назад

    yaraaaaaa kbsa pore mzeee myaka mingi yayayaya

  • @mariachahe7077
    @mariachahe7077 7 лет назад +1

    Nimependa kofia😂😂😂😂😂

  • @hassanlifa1326
    @hassanlifa1326 6 лет назад +1

    Mwandishi jitathmin kama unakidhi kwa kile ulichokiandika, mnamo decemba 9, ilikuwa lini kwani!!!

  • @hajijumaa362
    @hajijumaa362 7 лет назад +2

    nilikua sijazaliwa bado

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 7 лет назад +2

    daa miaka thelanini jamani pole sana

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 7 лет назад +4

    na kilemba chake cha mahmeli heeheeee

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 лет назад +1

    he jamani kwahiyo ukiwa jera ndugu hawakutembelei mbona anaongea kwakuhisi? jera ni balaaa kweli

  • @prettyakoth4306
    @prettyakoth4306 7 лет назад +1

    Jamani nauliza vpi? Mbona walio fungwa maisha, inamaana kua hawatembelewi na familia yao?nauliza kwasababu wenge wakifanikiwa kutoka hawajui kwa kuenda jamani

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Год назад

    Jamani tuwe makini mtu unaweza kupotelea huko jela 1980~202~~

  • @azizisalamanda7194
    @azizisalamanda7194 6 лет назад +2

    Alikuwa anapika tu jera.

  • @mamahustru
    @mamahustru 7 лет назад +2

    Kwahiyo redio ilipatikana?

  • @oman11oman59
    @oman11oman59 6 лет назад

    Tatizo awafanyi mapenzi

  • @magdalenabenard4208
    @magdalenabenard4208 2 года назад

    Hahahaaa kaka unakumbuka radio ya mkulima

  • @magdalenabenard4208
    @magdalenabenard4208 2 года назад

    Jets ni mbaya inafundosha uovu zaidi mi nafikiri inakua hivyo kea wanaombambikwa kesi wakafungwa huku wakiwa na ukweli wao moyoni hawajafanya uovu mtu kama huyo akitoka yafuatayo hayafurahishi

  • @halimkepa7766
    @halimkepa7766 7 лет назад +1

    Duuh 80 hata sijazaliwa🙏

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 года назад

    Anatembea a damu ya mtu una deni kwa mungu

  • @oman11oman59
    @oman11oman59 6 лет назад

    Jela wanakula sana tena kwa fujo kwakufoji makusudi iliwaifilisi wafilis selikali

  • @mamaaomar6041
    @mamaaomar6041 7 лет назад

    Nimependa sana kofia umeua babu

  • @hassanmgisha9895
    @hassanmgisha9895 6 лет назад +1

    Dhhhhha! ni hatal

  • @husnajohn6010
    @husnajohn6010 6 лет назад +1

    da Mimi ndio nazaliwa pole Mzee

  • @mwafricanboy3309
    @mwafricanboy3309 7 лет назад +2

    Kama rufufu mkandaraaa

  • @mamaaomar6041
    @mamaaomar6041 7 лет назад

    Iyo redio bado nzima

  • @namelessunknown1377
    @namelessunknown1377 7 лет назад +2

    Chaa huyu mzeee anaeza akaenda kuua tena ili a kafie jela

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 7 лет назад +2

    Hawa watu ni shidaaaa!! SASA HIYO REDIO ANGEKAA JELA ANGEIONA WAPI?Nahisi wengine watarudi muda si mrefu.

    • @64aaa
      @64aaa 7 лет назад

      katarina william 😆😆 tusiwaombe kurudi. Sasa nikuwaeka karibu na jamii tu na uwenda wakawa sawa.

    • @katarinawilliam9960
      @katarinawilliam9960 7 лет назад

      Abdiilah Awaf Anaongea kama jambo limetokea jana.Tena huyu babu si mtu wa subira anaonyesha.Magu wengine atajuta kuwatoa .Bila kansela watarudi wengi tu

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 7 лет назад +1

    Akiri Sahara watu haziko sawa unaona vike wanaongea

  • @mawesebaby5560
    @mawesebaby5560 7 лет назад +13

    Mzee unaongea kwa hasira

  • @eddiemrisho479
    @eddiemrisho479 7 лет назад +2

    oyoo

  • @wazamanihamis6099
    @wazamanihamis6099 6 лет назад

    Nenda kanisani.au.mskitin
    Ukamshukulu mnguna u2bunakuabudu.

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 лет назад +2

    Lakini watangazaji unafuyi vibaya kuonyesha watu kama hau kwa video kwasababu usalama wao utakuwa Mdogo nakumbuka niliona yingine kijana mwaika 19 ivi anaongopwa sana nahuo mzee tuta mgopa nikikutana nae kwasababu anaona iko jasiri sana hata usuni ana

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 7 лет назад +1

    tiba asil yani ashukuriwe MUNGU kwakwel

  • @abrahamelias4662
    @abrahamelias4662 7 лет назад +2

    bab seya msamee

    • @musaramadhan9320
      @musaramadhan9320 6 лет назад

      Daah kweli wakati yeye anaenda jela mi ndo nazaliwa kwa sasa nina miaka 38 kweli mungu mkubwa watalaam wanasema mtu asipofanya mapenzi kwa muda wa mwaka mmoja tu huathirika kisaikilojia vipi kwa huyu mzee yuko sawa kweli hii weka mbali na mabinti anaweza kurudi tena jela jamani eee

  • @mariamngora7143
    @mariamngora7143 7 лет назад +2

    jaman mbona kichwani alichovaa si ni cha wanawake au macho yangu hayanipi ushirikiano?

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 7 лет назад

    mzee mbona sura mbuzi sana umekosa radio yako nini

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 7 лет назад

    Duu mimi naona wiki 1 siimalizi jela duuuuu sio mahala salama

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 7 лет назад +1

    Mzee yuko fiti mcheshi balaa

  • @danielibensoni9838
    @danielibensoni9838 2 года назад

    Da

  • @faidamanoni2285
    @faidamanoni2285 7 лет назад +9

    huyu babu korofi yaonekana

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 лет назад +2

      Faida Manoni hahahaha alafu atauwa tena. Mimi nina mjomba wangu aliingia gerezani akiwa n.a. miaka 25 akatoka n.a. 65 mwaka 1990. Alikaa kijiji miaka 2, kaamvamia mzee mmoja sawa n.a. yeye na kumuuwa kisa radio ya mkulima, alikamatwa na kufungwa tena hivi sasa ni marehemu.

    • @shaabanmusa5127
      @shaabanmusa5127 7 лет назад

      Faida Manoni 😀😁😂😂

    • @shaabanmusa5127
      @shaabanmusa5127 7 лет назад

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe
      Duh poleni sn tu ni tabia ya mtu kuwa n maamuzi ya haraka mpaka kuuwa

    • @habiptysanjida8246
      @habiptysanjida8246 7 лет назад

      Faida Manoni 😂😂😂😂😂

    • @habiptysanjida8246
      @habiptysanjida8246 7 лет назад

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe du 😮😮😮

  • @bejosephpatrick4777
    @bejosephpatrick4777 7 лет назад +2

    nambi uko poa

  • @witedsteward4168
    @witedsteward4168 6 лет назад

    Badala yakusikitika hadi nimecheka mzee yuko fiti aise

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 7 лет назад +1

    bonyeza picha hii kushoto kwako kisha subscribe upate habar za mastar

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 5 лет назад

    Nyie watoto mtafuteni baba yenu acheni shobo muende mbinguni

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 лет назад +2

    Pole saan babu

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 лет назад +1

    Iloremba babu dunia imebadilika

  • @elizabethkisogole9476
    @elizabethkisogole9476 7 лет назад +1

    mmmmmh kwangu no comment! nipite tyuuuu

  • @alimahamdu8939
    @alimahamdu8939 6 лет назад

    dv

    • @mathewmilinga6076
      @mathewmilinga6076 6 лет назад

      Mzee nahc hyo redio itakuwa santur zile za kzaman unapachika CD kubwa kama besen kwahyo anataka aiuze apate pesa ya kuanzia maisha. Asa najiuliza hyo redio atanunua nan wkt sabufa kbao mtaana za being chee

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 7 лет назад +1

    Huyuanaweza kurudi jela

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 5 лет назад

    Akikutana na familia yake atatulia tu.

  • @fastfacts1967
    @fastfacts1967 7 лет назад

    Mwandishi jifunze kutamka neno msamaha.

  • @a.j9964
    @a.j9964 7 лет назад

    Ebu tulia we mzee unadhani utaikuta hiyo redio.. Kwanza unamjua harmonize nyuma ya background huyo

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 7 лет назад +5

    maskin sjuiatajiskiaje akiwaona wanae mana nimda sana

  • @nusrakajubu8377
    @nusrakajubu8377 7 лет назад +7

    duuuh sijazaliwa

    • @nusrakajubu8377
      @nusrakajubu8377 7 лет назад

      +Tiba Asili Online Clinic [TAOC] mashaallah Dada yangu ninae mfata ndo anazaliwa

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 7 лет назад

      Limy Masele Wallah

    • @nusrakajubu8377
      @nusrakajubu8377 7 лет назад

      +Limy Masele haaaahaaa kipindi cha na raisi mwenyewe ameisha kufa

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 7 лет назад

    mmmhhhh miaka37

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 7 лет назад +1

    wanao wameshazeeka kuliko ww mzee

  • @rechok.k.m.5117
    @rechok.k.m.5117 7 лет назад

    Maskin jamani

  • @neemalyimo2243
    @neemalyimo2243 7 лет назад +2

    Kweli amepoteza Directions mmeona Kofia iyo ni yawanawake 😂😂😂

  • @hapakazi7907
    @hapakazi7907 7 лет назад +1

    Mzee nunda hatari

  • @boazmtileghe378
    @boazmtileghe378 6 лет назад +1

    😂

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 7 лет назад

    Amechangamka c mchezoo