Meet The Twins Dating One Man, Speaks On Sharing Same Bed & Getting Pregnant

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 480

  • @stepmum2451
    @stepmum2451 Год назад +33

    They look together kaa wako triplets,kioko ukoo iangaliwe vizuri that man could be their brother

  • @twinshangoutkenya
    @twinshangoutkenya Год назад +59

    Thank you Nicholas for hosting us. It was a pleasure

    • @redemptorndemo3062
      @redemptorndemo3062 Год назад +3

      Sasa nyi mnaona kushare susu n poa😂

    • @crazykids5779
      @crazykids5779 Год назад

      ​@@redemptorndemo3062😅😅😅😅😅😅

    • @dayanakendi3918
      @dayanakendi3918 Год назад +1

      ​@@redemptorndemo3062😂😂😂 mbona unachoma sasa😂😂😂

    • @dayanakendi3918
      @dayanakendi3918 Год назад +1

      😂😂😂🙌🙌🙌kazi mzuri sana ebu peweni kwa bill yangu all this year

    • @fridah6046
      @fridah6046 Год назад +3

      Maisha ya badaaye mnaona mkiwa wapi? Hekima ni ya muhimu sana

  • @susanwanjiru9133
    @susanwanjiru9133 Год назад +8

    Chunguza vizuri kiokos,,,these are siblings...infact the guy and the twins looks so much alike

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 Год назад +9

    The man looks like their brother,wachunguze kwa ukoo wao😂😂

    • @Menye5573
      @Menye5573 Год назад

      Kama former Nairobi mayor na bibi yake.

  • @bettysyombua4373
    @bettysyombua4373 Год назад +33

    Kuambiwa uzae before marriage is a RED FLAG my sisters

    • @cosmussila1773
      @cosmussila1773 Год назад +2

      Ata before ununue gari lazima upige test drive hujue kama itatoboa rough roads, bumpy roads, etc

    • @mildredosore1260
      @mildredosore1260 Год назад

      Hawa maacha wako ni makamasi Kwa kichwa Sasa wote wako na mimba wote nani atasadia mengine Bure kabisa girls

    • @RuthNyambeki-tu6bk
      @RuthNyambeki-tu6bk Год назад

      ​@@mildredosore1260😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂nothing to say

    • @RuthNyambeki-tu6bk
      @RuthNyambeki-tu6bk Год назад

      Very true but wanagalia mapenzi hawaoni life yao itakwa aje watulize watu wale tulija na watoi maisha iko aje but tuwaombe all the best

  • @christinekraus2652
    @christinekraus2652 Год назад +29

    Ati kienyeji? They are so beautiful and natural, they don’t need make up to look beautiful. They are simply Queens.

  • @pkuruicheruiyot
    @pkuruicheruiyot Год назад +7

    Kioko unacheka 😂😂😂,jua uko na twins pia,siku moja watachangamkia msichana mmoja, hautapenda 😂😂😂😂

  • @lucyopi1224
    @lucyopi1224 Год назад +5

    Real lakeside gals! ( female twins: Apiyo the first born & then Adongo. For boys ni Opiyo & Odongo. Alafu the one who's born after the twins ni Akelo kama ni boy ni Okelo!

  • @catherinekavita185
    @catherinekavita185 Год назад +8

    Sasa SI wote wanakaa triplets... 😂Ebu wafanyiwe DNA wote watatu!!

  • @bevaline5638
    @bevaline5638 Год назад +6

    Watching nikwa kwa 6 by 6 in my room chilling 😅

  • @pendoessy8042
    @pendoessy8042 Год назад +9

    This person amekuwa mr right😮😮

  • @aliceotieno
    @aliceotieno Год назад +27

    The twin's plus Mr. alot needs a DNA test coz they both look a like.

  • @vee-nillah..
    @vee-nillah.. Год назад +4

    I saw this man on hello mr right akitafuta mtu😂😂😂

  • @catherinekabugu4869
    @catherinekabugu4869 Год назад +9

    😂😂😂😂 Weuh na hii jealousy yangu😂😂😂 sharing isn't me

  • @nobertusochiel8955
    @nobertusochiel8955 Год назад +5

    Don't be pregnant blindly twin sisters! Don't enter a pit that you can't get out of! Obstacles are ahead! Be extra cautious ladies!

    • @ScovierKefa
      @ScovierKefa Год назад

      Hyu ni mwongo anadanganya hawa warembo atakuja wakimbia mbio

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 Год назад +5

    You cant love two women at same level hivo doo mungu aliuba mwanadamu huyo dame wa pili kitamraba one day 😅😅😅😅 ehe ngonja tu

  • @marthashaville
    @marthashaville Год назад +17

    Waah! Kenya sihami tena kama ni hivo but we are waiting wedding now babunye

  • @tabithakamau7484
    @tabithakamau7484 Год назад +5

    Huyu jamaa kusema ukweli hapendi hawa madem ati watoto then harusi🙆

  • @joycekemunto3376
    @joycekemunto3376 Год назад +3

    For the twins to date one man is a mistake.
    Mukizalishwa pamoja ndio mtajua hamjui......

  • @naomichiry
    @naomichiry Год назад +4

    Weeh yaani Kila mtu apo ako na twins so kioko,babunye and girls

  • @MaryMatereadvicer011
    @MaryMatereadvicer011 Год назад +2

    Mimi ni muluhya nyinyi wasichana ambia huyo mwanaume awapeleke kwao kabla awasalishe bure kitawaramba

  • @philicemaradi
    @philicemaradi Год назад +2

    Confused generation i can't share husband with my sister labda wanaume wameisha

  • @josykitua505
    @josykitua505 Год назад +8

    Mr aloot more bba twins hii nayo imeeda 😂😂😂🎉frm gulf

  • @joanwafula3631
    @joanwafula3631 Год назад +6

    Ni matwin sisters wa mboya,,,wow they are beautiful 😍

  • @Tianashandkaren
    @Tianashandkaren Год назад +4

    Muluya lazima aoe bibi zaidi ya mmoja

  • @Dorcamoraa-v5y
    @Dorcamoraa-v5y Год назад +12

    This man was MR . Right waaaaah

  • @Lizsimaloi
    @Lizsimaloi Год назад +4

    Hii ngombe si ilikuwa Mr. Right

  • @julyjuly-ik9er
    @julyjuly-ik9er Год назад +3

    Mimi nasoma tuu comment 🤗🤪 wadau

  • @CarolineOkoth-o9j
    @CarolineOkoth-o9j Год назад +2

    Mimi kushare bed is noo,,kushare mboo is noo,,ama ukihamua tushee bed hiyo huyo mwingine atakula kwa macho

  • @omarsakwa-zs2zy
    @omarsakwa-zs2zy Год назад +3

    This guy is a luhya person..ati Watoto kwanza

  • @kastardons-gr5ug
    @kastardons-gr5ug Год назад +4

    Never do that mistake my dear. U will regret later. U date twin brothers are there.

  • @tabbyreuben22
    @tabbyreuben22 Год назад +5

    Babunye huko mr.right alisema anataka dame ako na haga,,,, my question is how twins wamebeba behind?😂

  • @vincentayuku2089
    @vincentayuku2089 Год назад +2

    Imagine hata mzee wanafanana na hawa madem. Angalie tu vizuri

  • @liz0609wk
    @liz0609wk Год назад +4

    Wacha awabebeshe mimba wawili mtambue hii ulimwengu ni mviringo, 😂😂😂they're married by and according to how this guy is talking, the man is apparently LAZY.😢😢😢

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      Hayuko serious nivile anashindwa kuwakataza

  • @stellaoyugi1979
    @stellaoyugi1979 Год назад

    Nilijua huyo ni mluya, 💪💪💪game niko sawa hapo, waluya ooooyeeee

  • @michaelmuasya
    @michaelmuasya Год назад +4

    Hapo siwezi elewa 😂😂 for me Nooo

  • @KawiraMercy
    @KawiraMercy Год назад +3

    I can see this is becoming a trend now in kenya madem wanaanza kushare share. Me i cant .

  • @faridahmanassen8371
    @faridahmanassen8371 Год назад +13

    Uwee Hawa ni triplets 😂😂😂❤❤❤

  • @crazykids5779
    @crazykids5779 Год назад +3

    Huyu babunye ako 50 50 sioni iki work hii,i come in peace ✌️huyu dem mmoja imeitwa mpango imemuuma

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      Pia me naona akihepa wueh kuhundle twins ni ngumu

  • @ZamzamMakoto
    @ZamzamMakoto Год назад +4

    Kama unawapenda tafadhali waowe kwanza then mzae...then be sure of twins juu naona Iko both sides

    • @jumaaggy
      @jumaaggy Год назад

      Dem wa Facebook alisema siku hizi waschana hawana mayai ya kufanyia interview 😂😂😂

    • @ZamzamMakoto
      @ZamzamMakoto Год назад +1

      @@jumaaggy ofcourse hizo mayai za kufanya interview hakuna

  • @dantezgarfield8798
    @dantezgarfield8798 Год назад +8

    Aaaaiiii this guy was in hello Mr. Right 😅😅😅

  • @stanleywaita
    @stanleywaita Год назад +26

    One thing with the girls, they're brilliant and know how to express themselves

  • @Shan4321-u9k
    @Shan4321-u9k Год назад +10

    The three wanakaa waluhya😂😂😂😂

  • @mirabelle5504
    @mirabelle5504 Год назад +16

    😂😂😂they look together ❤

  • @NICKY-TD758F
    @NICKY-TD758F Год назад +5

    Mr Alot More hii nayo ni noma walai😂😂😂😂😂but isikuwe kama ya wale Wagithomo aki😂😂

  • @pamelagatwiri8170
    @pamelagatwiri8170 Год назад +1

    Huu ni ubwakini...luhya men never disappoint..vanee..they look again,again n a gain....wafanyiwe DNA test....huyu anaeza kua bro yao 😂😂

  • @Leseelasumayia
    @Leseelasumayia Год назад +6

    Huyu boy alikua hallo mr right

    • @catherinekabucho0
      @catherinekabucho0 Год назад

      Very true ...I saw him too and he rejected the ladies who had chosen him😂😂

  • @washow-styles
    @washow-styles Год назад +12

    Thats one lucky man😂😂😂😂❤

  • @billbarzenga5980
    @billbarzenga5980 Год назад +6

    Mbona wanafanana wote 😂😂

  • @HamalaGrace
    @HamalaGrace Год назад +6

    Twins are not serious,I can't share a sweet man 😂😂😂😂

    • @BonnieMasina-rp3wb
      @BonnieMasina-rp3wb Год назад

      Twins are like that l don't understand them

    • @dholuo35
      @dholuo35 Год назад

      Different strokes for different folks! Do you

  • @janenjeri427
    @janenjeri427 Год назад

    Then each apate twins or triple ❤wat a blessing
    But kuzaa before waolewee zii .but i could av adviced them to get married to twins boys
    Or mmoja aolewe na mtu different

  • @Janen-ks8yu
    @Janen-ks8yu Год назад

    Oyiee mzaee,,, ni Mungu hupeana watoto,,,

  • @peterngala9621
    @peterngala9621 Год назад

    I think this guy must be the happiest of all Bora asifanye Ile kitu

  • @emilyondari4796
    @emilyondari4796 Год назад +1

    Fuateni vizuri hao watu wanafanana... boy na girls.

  • @Shan4321-u9k
    @Shan4321-u9k Год назад +6

    Hii surprise ni Infinix ama😂😂😂😂😂....I don't judge ...but my mind though😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @raelkwena
    @raelkwena Год назад +1

    St Patrick.....pitieni hapa na like our former schoolmate 2015.......na kwani hakuwi wakumbwa

  • @Josephine-s2h
    @Josephine-s2h Год назад +2

    Mbona wote wanafanana na sura personal 😂😂😂😂

  • @djknotty254
    @djknotty254 Год назад +3

    Nairobi kila kitu ni scripted wallahi...This guy alikua kwa Hello Mr Right last week tu😅😅😅

  • @priscilamuyila4104
    @priscilamuyila4104 Год назад +2

    Si huyu jamaa nilimuona kwa show ya Mr right...... ama ni mim nmekula jaba.....anyway all the best

  • @winnievelachosen7501
    @winnievelachosen7501 8 месяцев назад

    Huyu ni twin bro wao😂😂😂

  • @evaswai240
    @evaswai240 Год назад

    Mungu alisema hasifanya kazi hasile

  • @qatarworls1902
    @qatarworls1902 Год назад +1

    Wanafanana wote hadi huyo mwanaume😮

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 Год назад +2

    The man resembles them .the girls knows how express themselves

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 Год назад +2

    Why do they look a like wote watatu nikama wako cousins😮😮😮😮😮

  • @zittamwambanga6970
    @zittamwambanga6970 Год назад

    Point of correction these three ppl dad ni mmoja dna plz juu they really look alike.

  • @KizzaSamuel-z8k
    @KizzaSamuel-z8k Год назад +1

    From Uganda much love The guy is lucky

  • @janepherkhisa1801
    @janepherkhisa1801 Год назад +8

    They all resemble he might be their brother

  • @brendaakiru8190
    @brendaakiru8190 Год назад +1

    The guy looks like he is not serious.lets hope the lady's will not regret their decision

  • @MissLiz_official
    @MissLiz_official Год назад +1

    mbona anakaa brother wao...they all look alike🙃

  • @ZamzamMakoto
    @ZamzamMakoto Год назад +3

    Rosecoco yangu nayo Iko na wivu

    • @crazykids5779
      @crazykids5779 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂ata kama we are twins can never be me

  • @karungu4254
    @karungu4254 Год назад

    Ata hyo hug pke yake imenionyesha kitu;the way mmoja ameachwa hanging yaonyesha haezitoboa na wote wawili, i expected wa respond wote kwa pamoja na wakumbatiane kwa pamoja watatu ata dada pia wakiwa wameshkana mikono but....

  • @ngayakimercy
    @ngayakimercy Год назад

    Kioko anachekaga kwa interview mpaka anatumalizia kicheko😂

  • @mademsykada3866
    @mademsykada3866 Год назад

    Kanairo of comics ...navenye mpoa wangu anaskianga vibaya nikimshow nataka mverified mwingine yawa😂😂😂

  • @emilyondari4796
    @emilyondari4796 Год назад

    Huuuiii huyo ni bro wao. Wazazi wawe open wasaidie Hawa watoto.

  • @damaricewaridi4064
    @damaricewaridi4064 Год назад +3

    Huyu jamaa anakaa kutoroka majukumu na kupima unga kabisa,,,,waluhya hapana huyu wanyonyi taweeee

  • @mugagithome2143
    @mugagithome2143 Год назад

    Adongo n Apiyo the names of Luo girl twins ajabu together with their fiancee, wote watatu wanafanana.. wote watatu utadhani ni siblings

  • @rachelkhatundi1063
    @rachelkhatundi1063 Год назад +4

    Wow natural beauty ❤❤❤

  • @lucychitiavi5594
    @lucychitiavi5594 Год назад +1

    Kumbe wewe ni mtu wa Ingo😂😂😂 anyway all the best.

  • @beatrice2349
    @beatrice2349 Год назад +1

    Huyu jamaa si alikua perfect match n drt ofieneke

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 Год назад

    Wow pia mimi ni Adongo from busia border napenda vile adongo anaongea but huyo kijana sijui kama ako serious

  • @sheillahkimaiyo7354
    @sheillahkimaiyo7354 Год назад +2

    Like apo kwa kitanda😂😂 how possible,just thinking aloud

  • @AlyanaJames-w5z
    @AlyanaJames-w5z Год назад +3

    I saw this guy in Mr Right kenya this year

  • @miriammueke8745
    @miriammueke8745 Год назад

    I saw this man kwa Mr. RIGHT

  • @zuritash8799
    @zuritash8799 Год назад +1

    Nyi Ugenya gi timore nade 😅

    • @CarenOlola
      @CarenOlola Год назад

      Yawa😂 dichuo achiel ji ariyo? Hapana

    • @zuritash8799
      @zuritash8799 Год назад

      @@CarenOlola nyithindo gi walo 😅😅😅😅😅

  • @damaricewaridi4064
    @damaricewaridi4064 Год назад +4

    Huyu mwanamme anafanana na hawa madem zake

    • @Gracenjeri-p2s
      @Gracenjeri-p2s Год назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤,z

  • @philiswanjiru2328
    @philiswanjiru2328 Год назад +1

    Na mbona wanafanana wote watatu😂😂😂

  • @zittamwambanga6970
    @zittamwambanga6970 Год назад

    My sister's wedding fast. Juu hakuna mayai ya interview plz.

  • @tashagee6941
    @tashagee6941 Год назад +3

    Hamuoni hizi ni story za jaba?😂😂😂😂

  • @leahndungu3060
    @leahndungu3060 Год назад +2

    Aky udaku haitaki uzembe kioko hawa umetowa wapy anyway good job 😂😂

  • @DoriceHabwe-j8x
    @DoriceHabwe-j8x Год назад +8

    Love kioko 💙

  • @rosem3523
    @rosem3523 Год назад +1

    Alah inaweza kuwa pia huyu kijana ni sibling bado

  • @carolyneochieng7266
    @carolyneochieng7266 Год назад +2

    Mzee pia anafanana na wao

  • @restutachari9825
    @restutachari9825 Год назад +1

    Babunyee nilikuona kwa mr Right mbona sipati picha jameni unamanisha kwa mr right huwa ni vipindi tuh jamen hebu nifungueni macho jamen

  • @nikiname1336
    @nikiname1336 Год назад +11

    Kioko u have a wonderful smile

  • @kamenekamene1522
    @kamenekamene1522 Год назад +3

    Iyo laughter ya kioko😂😂😂

  • @celestineete6425
    @celestineete6425 Год назад +1

    Babunye Hana any point of making BT madem wanajua kuongea😅😅😅

  • @NancyNgena
    @NancyNgena Год назад +1

    Huyu kijana alisemaga b4 ni sister wake sasa imekuwaje ni kudate

  • @tabithabeya-vh8rt
    @tabithabeya-vh8rt Год назад +2

    Asiiiii kioko ndeto n ya wuuo

  • @lydiahkaimuri2729
    @lydiahkaimuri2729 Год назад +3

    Love shouldn't make you a mother before you become a wife

    • @kennhale8776
      @kennhale8776 Год назад

      Speak English please
      I am a twin. I am interested

  • @kristianadamcelshow2109
    @kristianadamcelshow2109 Год назад +5

    Khai smiles zinafanana 😮😅mpaka Meno inafanana😅😅ama nko dunia yangu peke yangu😅😅