Over 25yrs of marriage and guess what………Its never easy from any side of marriage😭😭🙌🙌

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 616

  • @comradesflavour
    @comradesflavour  8 дней назад +9

    ruclips.net/video/4BzqhrXptxU/видео.htmlsi=8Z1Pe1I7YhoNGrTB

    • @jacintamusyoka4836
      @jacintamusyoka4836 8 дней назад

      ambia huyo mzee akuje...

    • @VioletMwakamu-j4w
      @VioletMwakamu-j4w 8 дней назад

      Stevoo Cheka tu ikutoke😂😂😂

    • @Asha-h4p6j
      @Asha-h4p6j 8 дней назад

      Wewe Stivo I ❤it mtego wako 😅on top ukijizuia kucheka it's cherry on top of the cake😅

    • @Asha-h4p6j
      @Asha-h4p6j 8 дней назад

      The guy 😂😂😂 already was paranoid 😅

    • @RosenafulaNyongesa-me6xy
      @RosenafulaNyongesa-me6xy 8 дней назад

      😂😂😂, mkuu cheka ikutoke tuu man,

  • @ToxicAfricanKing
    @ToxicAfricanKing 8 дней назад +39

    45:51 Mama Steve's parting shot: "Siwezi kosa kunywa chai sababu wewe umekasirika. mi naendea maziwa." 😂😂😂

    • @annahjaya700
      @annahjaya700 8 дней назад +1

      Very Importatnt🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Jemillah-f5y
      @Jemillah-f5y 7 дней назад

      Chai ni a must

    • @elainembithe8806
      @elainembithe8806 7 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂 hiyo imenimaliza

    • @annetyb3544
      @annetyb3544 4 дня назад

      Kuna wengine mkikosana hadi anaacha food

  • @JulianAtieno-p9t
    @JulianAtieno-p9t 8 дней назад +41

    Big man stevo Leo umebomoa nyumba ya wazazi wako😂😂

    • @mosesdouglas7902
      @mosesdouglas7902 8 дней назад

      Wazazi aina hii are root's of all evils g.z does 😢😢😅😅😂😂😂

    • @Queenvalle
      @Queenvalle 8 дней назад +2

      😂😂😂😂aki serious

    • @judyndungu3754
      @judyndungu3754 8 дней назад +2

      Watu waku loyal no matter the age

    • @leahwanjiru1004
      @leahwanjiru1004 8 дней назад

      Means key mjinga kabomoa boma lake kwa mikono zake...... Kikuyu proverb

    • @Sohi_sk1
      @Sohi_sk1 7 дней назад

  • @susanaseyonyundo9689
    @susanaseyonyundo9689 8 дней назад +82

    Huyu mama na hii age yake😢😢😢😢kweli this life no balance💔💔💔💔💔💔now better to remain single. Nipitieni kama mko pamoja na Mimi🕺🏿🕺🏿💃🏿💃🏿🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️

  • @GeraldineAgnesKyalo
    @GeraldineAgnesKyalo 8 дней назад +17

    Gaslighting 101😂😂😂😂
    This woman banaa heh!!!Gangster😅

  • @PatriciaMuingi
    @PatriciaMuingi 8 дней назад +125

    BMS,uliona couple wameishi miaka mingi ongea tu nao kupata advice bila kwenda Kwa simu zao just to save the yrs.of my view tuma like.

    • @lindahojwang7936
      @lindahojwang7936 8 дней назад +6

      True coz now wataanzia wapi??

    • @MzeeKobe_254
      @MzeeKobe_254 8 дней назад +11

      yeah.. he should not bring empires down just for content!!

    • @BazooBarber
      @BazooBarber 8 дней назад +3

      @@PatriciaMuingi very good advice

    • @pw-t2c
      @pw-t2c 8 дней назад +5

      Ati bwana analala sitting room na wife bedroom juu ya makelele!

    • @mildredabwogi1555
      @mildredabwogi1555 8 дней назад +22

      Hakuna mambo na age lazima watu wawe wasafi

  • @Asha-h4p6j
    @Asha-h4p6j 8 дней назад +4

    😂😂😂😂😂 oooowiiii This is the original of Don't judge the book by the cover 😂😂😂. That's all Fox

  • @lambertmkz
    @lambertmkz 8 дней назад +17

    I would like to see that Joel guy anagonga aka kamama kako na kisirani😂😂😂 As the say;even an old cat drinks milk

    • @Asha-h4p6j
      @Asha-h4p6j 8 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😅

    • @pw-t2c
      @pw-t2c 8 дней назад +1

      Joel anasaidia after bwana kutoroka bedroom

    • @phanicemochama6574
      @phanicemochama6574 8 дней назад +1

      😅😅😅😅

    • @Priscah-d8s
      @Priscah-d8s 4 дня назад

      At this age ndio kitu hua moto sana 😅😅

  • @sammykamau4575
    @sammykamau4575 8 дней назад +31

    Ati "siwezi kosa kunywa chai kwasababu umekasirika, mimi nimeendea maziwa".

    • @RhodahMukasia
      @RhodahMukasia 8 дней назад

      😂😂😂😂

    • @galvinlean3126
      @galvinlean3126 8 дней назад

      😅😅😅😅

    • @berylakinyi6211
      @berylakinyi6211 7 дней назад

      Mothe is legend of gaidis. Wanasanitize but hawanotice mothe ako mavitu zake alikunywa kiasi. Hayuko sober. Ako high mzae thinks she is normal

  • @elainembithe8806
    @elainembithe8806 7 дней назад +2

    Hahahahaha kataa kukunywa chai mimi naendea maziwa did it for me wueeeeh

  • @RebeckaWaithira
    @RebeckaWaithira 8 дней назад +8

    Man big stivo imekua mtoto Wacha tu😊

  • @Gladdiejay
    @Gladdiejay 8 дней назад +34

    Mama mkongwe😅lakini hatari 😢

    • @Asha-h4p6j
      @Asha-h4p6j 8 дней назад +1

      😂😂😂😂😂we sis ndo wanasema don't judge the book by the cover 😅

    • @Gladdiejay
      @Gladdiejay 8 дней назад +1

      @Asha-h4p6j 😅😅😅walai yaani mama mhodari the gang herselfu🥲

    • @edinahimali
      @edinahimali 8 дней назад

      Hakuna ukongwe hapo alianza akiwa young😊😊😊😊

    • @MonicaGadamba
      @MonicaGadamba 8 дней назад

      Ati mkongwe huyu ni GZ

    • @PccerealsShop-s4l
      @PccerealsShop-s4l 8 дней назад

      Mkongwe! Did you havr to say😀😀😀

  • @IrineOdira
    @IrineOdira 6 дней назад +1

    This was craaaazy...Amepatikana lakini Ile kukana anakana weeee

  • @ReginaNjoki-c1o
    @ReginaNjoki-c1o 8 дней назад +18

    Mama ako na haki coz mzee alihama bedroom,I can't blame her😂😂

    • @atemaeclai6822
      @atemaeclai6822 7 дней назад

      I disagree! The distance between her bedroom and to her husband ‘s bedroom is closer than to Joel’s house. She chose to go the long distance, thus disrespecting the husband. She is down right promiscuous. She talks a hundred words a minute and controls the husband!!!

    • @pablong9825
      @pablong9825 6 дней назад

      Good... It's good uve known something u can take to ur home...

  • @mosesdouglas7902
    @mosesdouglas7902 8 дней назад +2

    This bold of this umalaya wa uzeeni can even kill 😢😅😅😅😂😂😂

  • @gathoninjenga442
    @gathoninjenga442 8 дней назад +7

    Congratulations Baba Steve, may your children call you blessed for you have blessed their lives by your faithfulness. Congratulations and may God reward you.

    • @Sohi_sk1
      @Sohi_sk1 7 дней назад

      well articulated

    • @hellenmuthoni2744
      @hellenmuthoni2744 6 дней назад

      Steve Leo amejionea mamake ni moto mpaka ana cheke tu

  • @CharityAris
    @CharityAris 8 дней назад +5

    The moment mama alianza kufix kitambaa nlijuwa it's about to go down🤦🏾🤦🏾🤦🏾

  • @gladyskanyi8850
    @gladyskanyi8850 8 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂 weuh earth is hard,mathy ni wewe,Ngai

  • @philohlochopoko2607
    @philohlochopoko2607 9 часов назад

    Boom ulikuwa unazaa kitambo ukienda😂😂

  • @eliciousnikitah8785
    @eliciousnikitah8785 8 дней назад +10

    Mama saizi ndio anaskia utamu ako menopause damu ni yote ako tyt😂😂😂😂mwili iko joto apana cheza😂😂😂😂😂

  • @henrymwema96
    @henrymwema96 8 дней назад +10

    There is even more life when we chise to stay loyal and love only one guy. There is no legacy in cheating and living aimlessly ❤

  • @eznermomanyi814
    @eznermomanyi814 8 дней назад +7

    Huyu mama😂😂😂😂😂promax

  • @Asha-h4p6j
    @Asha-h4p6j 8 дней назад

    As usual big man Stivo.....anawasha halafu the rest it's yours.just like me😂😂😂😂

  • @sofiaogega950
    @sofiaogega950 2 дня назад

    Huyu mama walai😊😊😊

  • @HubasaFamily254
    @HubasaFamily254 8 дней назад +3

    It's the ending for me 🤣🤣🤣
    Hata kwa dawa hawezi kosa kunywa chai!!! Walai mashida ya wazee ni ingine imeomoka 🤣🤣🤣

  • @millicentokwaro
    @millicentokwaro 8 дней назад +11

    Stivo huyu mamako ni mkali😂😂weuh hadi anajifanya haelewi hizo sms ndo kuruka story😂😂😂

  • @MaureenChepkoech-i8n
    @MaureenChepkoech-i8n 7 дней назад

    Weeh,😂😂😂huyu shosh anajua kuruka kweli,stevoo was chilling then boom

  • @Asha-h4p6j
    @Asha-h4p6j 8 дней назад +2

    Eti bandles....bad man Stivo will top you up😂😂😂😂😅wisdom kwa wazee😂😂😂😅

  • @maureenmaureen330
    @maureenmaureen330 8 дней назад +5

    Alier anakuwa mkaliii sana

  • @MonicaKanini-d7l
    @MonicaKanini-d7l 8 дней назад +1

    Ya leo imekuwa moto kama umeme,advice ni nzuri sana kufika kwa shush mambo ikaaribika

  • @fayatess7263
    @fayatess7263 8 дней назад +3

    27:51 hakuna mtu hawezi achwa imefanya nicheke 😂😂😂

  • @phanicemulongo7098
    @phanicemulongo7098 7 дней назад +1

    BMS Street ni chafuuuuu
    Mapenzi shikamooo, dunia simama nishuke Street ni motooooo😂😂😂😂😂shosh how are you like son in low ako mahali ana wach mother ln low hahaha buy the way paka mzee pia hunywa maziwaaaaa😅😅😅😅

  • @consylee2091
    @consylee2091 8 дней назад +12

    Nauza hoofer 2k lakini harmonize akikohoa inazima😂😂😂🙌 anyway hata paka Mzee hukunywa maziwa😅

    • @MonicaGadamba
      @MonicaGadamba 8 дней назад +1

      Hapo Sasa wakihama bedroom munataka tufanye nini😊

  • @Queenvalle
    @Queenvalle 8 дней назад

    Hiiii singeipweka pending ati ni watch baaadae weee this is is hooooottt

  • @lilianmbakambaka6718
    @lilianmbakambaka6718 8 дней назад +8

    Huyu ni mother in _law WA Nani halafu kesho nijikute kwake sijui nicheke ama nimind my b/s karibu kwa BMS family where we rebuke the evil spirit of players in family.life😂😂😂😂😂 no matt.how long you have been in that relationship.

  • @estherjemila
    @estherjemila 8 дней назад +6

    Stevo 2025 umeamua no peace😅binguni utaonea kwa viusasa 😂😂

  • @jindwasam
    @jindwasam 8 дней назад +1

    😂😂 kweli ng'ombe hazeeki maini

    • @gracechege288
      @gracechege288 8 дней назад

      Eeeh!
      Wahenga walihenga na kuhengua 🤣

    • @jindwasam
      @jindwasam 8 дней назад

      ​@@gracechege288🤣😂 wanawake mna mambo

    • @geoffreyouma8232
      @geoffreyouma8232 8 дней назад

      😂😂😂ayiekodi

  • @faithnyabs9169
    @faithnyabs9169 8 дней назад +7

    Hyu mama ni mnomaree😂😂😂😂😂

  • @Tarkwen
    @Tarkwen 8 дней назад +1

    They had the best advices. ....as for me....I go foe the good advices 😂😂😂😂

    • @maryalubisia4655
      @maryalubisia4655 8 дней назад +1

      😅😅😅😅😅

    • @Tarkwen
      @Tarkwen 8 дней назад

      @maryalubisia4655 please listen to advices...hii mambo ingine wachana nayo🤣🤣

    • @maryalubisia4655
      @maryalubisia4655 8 дней назад

      @@Tarkwen enyewe. Wa! Even Jesus advised the Jews during His time on earth to listen to the teachings of the pharisees (coz they taught Mosaic law) but not to do as they did. Hata hapa tusikize advice tu matendo is something else. 😄😄😄😄

  • @Papapapah
    @Papapapah 8 дней назад

    Stivo iwe mwanzo na mwisho kufanyia wazee.. 🤗 😂😂

  • @djsteviej254
    @djsteviej254 6 дней назад

    Mama steve ni noma 😂😂😂😂

  • @vall466
    @vall466 7 дней назад

    Big man umevunja ndoa ya wazazi😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @mugambiandrew9997
    @mugambiandrew9997 8 дней назад +1

    Na mama Estevez ameendea maziwa Kwa Joel😂😢😂

  • @gmlikaka
    @gmlikaka 7 дней назад

    Haka kamama si kako na mdomo😂😂 wuueh

  • @poppahdiprayingmantis7537
    @poppahdiprayingmantis7537 5 дней назад

    Talk about the kupiga sherehe dates Lo!!! Kenya ina mamboz

  • @gakiimiriti9809
    @gakiimiriti9809 8 дней назад +10

    Huyu jamaa anakaa kukaliwa 😢

  • @lillianatieno5362
    @lillianatieno5362 7 дней назад

    Wazazi 😭 Mama Stivo anaendea maziwa 😂

  • @KenyanMatonya
    @KenyanMatonya 7 дней назад

    Steve leo umeleta mama na baba Steve😂

  • @nicholasmuli8418
    @nicholasmuli8418 8 дней назад +2

    Steve mbona unakosanisha baba Steve na mama steve😂😂😂

  • @MohamedkulmiyeAteyeAteye
    @MohamedkulmiyeAteyeAteye 7 дней назад

    Stevo Leo amepatana na baba stevo na mama stevo😂😂😂😂

  • @MagdaleneMukanda
    @MagdaleneMukanda 8 дней назад +5

    Hapo Sawa Baba stivo na mama stivo halafu stivo ako hapo

  • @PccerealsShop-s4l
    @PccerealsShop-s4l 8 дней назад

    Huyu anaitwa baba Steve 😀😀namtoi wao!!

  • @leahwanjiru1004
    @leahwanjiru1004 8 дней назад

    Wale wa oh wazee wasiwe sinitized sijui oh oh my 👣 foot🙄

  • @Monicah-qe5su
    @Monicah-qe5su 8 дней назад +7

    Nipeeni huyo mzee ni malizie penye amebakishwa🎉

  • @Theblessed-v9y
    @Theblessed-v9y 8 дней назад

    Mama endea maziwa😂😂😂😂

  • @lyslinejepchirchir7559
    @lyslinejepchirchir7559 8 дней назад +6

    Mbona nyinyi nyote mnalaumu huyu mama na mzee alihama bedroom jamani, she's human and has feelings

    • @kezzybett1142
      @kezzybett1142 8 дней назад

      😮ako menopause
      I wish wangu angehama bedroom aki
      Tuwe tuna meet sitting rm

    • @lyslinejepchirchir7559
      @lyslinejepchirchir7559 8 дней назад

      @kezzybett1142 kwani mwanaume ako na menopause? It's the man who moved out of their matrimonial bed

    • @kezzybett1142
      @kezzybett1142 8 дней назад

      @lyslinejepchirchir7559 it seems

    • @phoebemukami980
      @phoebemukami980 3 дня назад

      Anakunyanduanga sasa???😂😂😂

  • @VioletMwakamu-j4w
    @VioletMwakamu-j4w 8 дней назад +24

    I thought am old,kumbe sijazeeka bado 😂😂😂😂😂😂

  • @philiplikara2789
    @philiplikara2789 7 дней назад +3

    Huyu mama ni Mzee sana kuliko huyu jamaa

    • @MinClyde
      @MinClyde 3 дня назад +1

      Ladies tend to look old most likely after kuzaa na kulea but jamaa ni mkubwa wake

  • @kymkkm1078
    @kymkkm1078 8 дней назад +2

    Shosho anarukakuruka....hata pole vault hairukagwi hivyo...waaaah

    • @AderaAchi-j4l
      @AderaAchi-j4l 8 дней назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂weeeeee hii yako wacha tu

  • @maryopoti
    @maryopoti 6 дней назад

    umenishikaaa😂😂😂 usiniekelee ambia uyu mtoto stivoo leo umesanitize wazazi wako😂😂

  • @cynthiasilvia2830
    @cynthiasilvia2830 8 дней назад

    Napenda vile mama ametulia😂😂

  • @eddy5686
    @eddy5686 8 дней назад

    Hizo suti za Steve hazibambi budake😅😂😂😂

  • @kelvink.kworkoutmotivation1420
    @kelvink.kworkoutmotivation1420 8 дней назад +1

    Simu ni mzee kama yeye mwenye ..😂😂nomaa

  • @emeldernyamwaya2573
    @emeldernyamwaya2573 8 дней назад +1

    Wanawake wameonyesha Mungu maneno wuuueh

  • @djaliadjalove492
    @djaliadjalove492 8 дней назад +3

    We listen and we don’t judge 😜

  • @SalomeJoan-t3y
    @SalomeJoan-t3y 8 дней назад

    Bigman stevo mtoi wa hawa pia anaitwa steve inanibamba sanaa

  • @ivywangari-tr2qz
    @ivywangari-tr2qz 8 дней назад +1

    aki stevo anaisha tu na kicheko🤣🤣🤣🤣🤣

  • @piusmwamba7923
    @piusmwamba7923 6 дней назад

    Ata paka mzee ukunywa maziwa

  • @peterwamanchester.5166
    @peterwamanchester.5166 8 дней назад +2

    Huyu mama anakaa mkora tu na mang'aaa😂

  • @ironlady254theone2
    @ironlady254theone2 8 дней назад

    Ata pakaa Mzee hunywa maziwa
    Steve wewe😂😂😂😂😂

  • @philliskajuju5093
    @philliskajuju5093 6 дней назад

    Tanafanyanga na joel😂😂😂😂

  • @Asha-h4p6j
    @Asha-h4p6j 8 дней назад

    ❤❤❤❤mazingaumbwe😂😂😂😅

  • @kenndu9553
    @kenndu9553 7 дней назад +2

    Umekaa tu vizuri Yues,kidogo unaona wazazi wako wanafanyiwa loyalty test 💀 💀 💀

  • @oscarmuriithi5636
    @oscarmuriithi5636 8 дней назад +1

    Ya leo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @lydianjeri4993
    @lydianjeri4993 8 дней назад +2

    Woiye, sin haki, you may play fairly with the devil but the devil will never be fair with you.
    Let's remember the devil has his own long term goals to achieve, so sad haki

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni 8 дней назад

    Ningekua hapo ile kicheko ningepasua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @evelynmwende4575
    @evelynmwende4575 7 дней назад

    Stivo siucheke tu😂😂😂wacha kuifungia yawa.😀

  • @RosenafulaNyongesa-me6xy
    @RosenafulaNyongesa-me6xy 8 дней назад

    Big man Stev keep it up mkuu najifunza mengi Kwa hii channel yako, acha Sasa nitafte mtu😂😂

  • @faithkilonzo7869
    @faithkilonzo7869 8 дней назад +4

    Simu ni mzee kama yeye😅😅😅

  • @okutebettina2509
    @okutebettina2509 7 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 weeeee wanawake ni malaya hapa nje kweli.

  • @margaretchieng7547
    @margaretchieng7547 8 дней назад

    Watching from Doha Qatar 🇶🇦 🇰🇪 🔥 🔥 ❤❤

  • @WinfridahMaleya
    @WinfridahMaleya 8 дней назад +1

    Huyu mtoto stevo😂😂😂

  • @julietkajuju2781
    @julietkajuju2781 7 дней назад

    So sad for baba Steve 😢 ndoa hakuna

  • @missdee_ondeng8359
    @missdee_ondeng8359 8 дней назад +1

    Deny deny deny😂😂😂😂

  • @LizzieNimo
    @LizzieNimo 8 дней назад

    Hiyo courage Ni ya mlewa 😅😅😅

  • @RasMpate
    @RasMpate 8 дней назад

    Mama Steve...😂😂

  • @JasmineRembo-qp5qm
    @JasmineRembo-qp5qm 7 дней назад

    😂😂eiii ati ata sio wewe umeona hio message kwanza

  • @marcosgicher7818
    @marcosgicher7818 6 дней назад

    hata miaka 50 ashananayeee 😅😅😅

  • @Itsgnem
    @Itsgnem 23 часа назад +1

    Aii maboy this time ni kivumbi tu😂😂

  • @samanthaayoma6639
    @samanthaayoma6639 8 дней назад

    steve unacheka nn 😅😅😅😅😅, izo makoti mrefumrefu

  • @winfredKarema
    @winfredKarema 6 дней назад

    Bms umepata mapero wa ukweli. Tweni twenify haicheki na watu.😮

  • @lilynelly4419
    @lilynelly4419 6 дней назад

    Stevo ameitwa Mtoto mara mingi hapa😂😅

  • @johnngoima7697
    @johnngoima7697 8 дней назад

    This is the funniest couple brakeup mpaka mama anastama mbaya sana😂😂😂😂

  • @ivykerry3110
    @ivykerry3110 8 дней назад +2

    😂washirika hatukumuona Kesha. Tuseme ukweli😅

    • @LucyWambugu-qi1hl
      @LucyWambugu-qi1hl 8 дней назад +1

      Wacha kunimaliza na kicheko😅😅

    • @CateWangari-z8s
      @CateWangari-z8s 7 дней назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka venye ulikuwa unataka

    • @ivykerry3110
      @ivykerry3110 7 дней назад

      @@LucyWambugu-qi1hl unakumbuka tukiulizana ako wapi? 🤣

    • @ivykerry3110
      @ivykerry3110 7 дней назад

      @@CateWangari-z8s Mungu ako practicals zile za 'Wat u du in the dark ,shall b brought to ............ 😂💪🏾

  • @eveeddah6310
    @eveeddah6310 8 дней назад +1

    Eiiii, wamama jameni

  • @adelidesikuku8248
    @adelidesikuku8248 8 дней назад

    Hii nayo lazima nicheke😂😂😂

  • @edbrown642
    @edbrown642 8 дней назад

    ata paka mzee hunywa maziwa

  • @FridahNash-zw6tk
    @FridahNash-zw6tk 8 дней назад +3

    Steve utaniua na kicheko😂😂

  • @audreyrose20
    @audreyrose20 8 дней назад +4

    Stevo hapa umeenda sana

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 3 дня назад

    Mwenye alisema kugongewa niconstant aseme pia kugongwa ni constant.