SODA CAN ROLL CHALLENGE//GUESE WHO WON MONEY?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 283

  • @margaretkaranja9987
    @margaretkaranja9987 Год назад +18

    😂😂😂 I love the editing,,,, you people are outdoing RUclips,nyi ndo mnabamba wahlai,and I miss dorea's baby sister

    • @janendungu3036
      @janendungu3036 Год назад +1

      Pia namiss Njeri 😊na wamefunga shulee D tuletee bbygal🤗

  • @DEE_AMUNGA
    @DEE_AMUNGA Год назад +7

    Nani amenotice tumbo ya Dee inakua

  • @Karrey_yvonne
    @Karrey_yvonne Год назад +5

    Team Shiru niwakumbushe alisema hiyo Thao ni yake game ikianza na ndio hivyo 😅😅

  • @hamatonngengi6279
    @hamatonngengi6279 Год назад +3

    Dibul ati mayai inapoa😂😂,, hukuambiwa poa😂😂,, guys fanyeni challenge ya Kila mtu anaulizwa general question akishindwa kujibu anakula pilipili😂

  • @nancygitonga4860
    @nancygitonga4860 Год назад +2

    its the facial expressions za Dibul 'woi pesa imeisha'... Rose naye leo haamini hana doo....but hiyo ya kwanza mmeonea Dibul alkua ameshida woie,,,

  • @janendungu3036
    @janendungu3036 Год назад +2

    ❤the home of games🎉team Rose 🌹namwache kuone Dibul🙄woiye 😅we miss Njeri🥰D tuletee sasa amefunga shulee

  • @catenimoh1528
    @catenimoh1528 Год назад +4

    Team Mike usituangushe aky.....Dorea shukuru ulipata juice ya kuteremsha pilipili 😂

  • @theoneandonly4718
    @theoneandonly4718 Год назад +4

    Love these challenges,next time tuekee cooking challenge ya Boys, specific amount of cash wajifanyie shopping ya groceries and See what meal they can pull with the given cash.Alafu wakue rated.

  • @WamboTatiana-nk9ni
    @WamboTatiana-nk9ni Год назад +2

    Banger after Banger 🔥🔥🔥 Lit Sana Love you guys 💖💖💖..Then afanya challenge munaaka Ngoma msee anasike munazima huyu msee ana continue kuiimba hiyo Ngoma akishindwa kuiimba unapaka unga ama huyu msee akijua kuiimba hakuna kupaka unga try that challenge my pple

  • @Zarinevah
    @Zarinevah Год назад +29

    Team Mike 🔥as usual... can't wait Banger after banger😂

  • @AnnKaranja-bg5zq
    @AnnKaranja-bg5zq Год назад +57

    Rose' dressing code is always on point

  • @maggywambo9004
    @maggywambo9004 Год назад +1

    Team mike wapi nduru weuweeeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤

  • @njeriwanjiku7108
    @njeriwanjiku7108 Год назад +4

    Milkstar my favourite biscuits... Nawapenda sana the Bulls family🤩😍

  • @vickymaurice6857
    @vickymaurice6857 Год назад +7

    Team mike all the way.....😂😂😂😂 You guys are such a vibe❤❤❤❤❤❤

  • @nazlenewambui1104
    @nazlenewambui1104 Год назад

    Team Marto!💯
    Lakini Dee huwa unfair
    Comes up with games but is always stubborn na kuteta na wengine anawapressure.

  • @koshiideenyambura6857
    @koshiideenyambura6857 Год назад +3

    Dibul anafuata kenye hoodie inasema😂😂😂 not feelings ❤ team dibul💪

  • @nancypritty928
    @nancypritty928 Год назад +1

    Team dibul 💪 all the hta akule mayai😂😂💔🤣🤣🤣kla mayai tu wacha siasa usisahau umesema we don't talk much

  • @catherinewanja9774
    @catherinewanja9774 Год назад +1

    Aki dorea na kujipenda😂😂😂tena mdramatic am loving the couple

  • @annnjoki9529
    @annnjoki9529 Год назад +1

    Hahaa dorea alikua ameficha pilipili chini ya ulimi kweli unaeza cheza kabaya mnanibamba nowadays wacha tu haaa

  • @sharonwanjiku3244
    @sharonwanjiku3244 Год назад +2

    Team Marto nko ndakas 😍😍

  • @leahnyokabi2213
    @leahnyokabi2213 Год назад +9

    Banger after Banger after Banger,,,,,The Bull's family..can't wait the challenge 🔥🔥🔥

  • @wambui_._
    @wambui_._ Год назад

    Woie Dibul ...
    Iyo ya kwanza 😢
    Angekunywa juo

  • @marymwangi2811
    @marymwangi2811 Год назад +1

    Dorea iyo mayai mnafaa kueka Kwa kasahani munastir then mtu anakunywa kijiko

  • @ruthnjeri2339
    @ruthnjeri2339 Год назад +1

    Saa hii mgift kina rose na shiru..😊kina mike tuliona..ama prank Dorea ama kitu in-laws

  • @nancygitonga4860
    @nancygitonga4860 Год назад +1

    Team Dorea, but mmeibia Dbul ya kwanza

  • @JoanMacharia-et9mo
    @JoanMacharia-et9mo Год назад +1

    Hii nayo imeenda 😂😂😂😂💪team Rose 🌹

  • @gracenyambura4877
    @gracenyambura4877 Год назад +2

    Dorea Wana uria ukoraguo naguo unafanyanga nipasue😂😂😂😂😂

  • @emmawanjiku5813
    @emmawanjiku5813 Год назад

    Akie Dorea umeniangusha😂😂pilipili woooieh pole

  • @quincymercie2644
    @quincymercie2644 Год назад +1

    This fam without Dee sijui aky 🤣🤣🤣 just spare my ribs bana weeeeh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 until next time ... byeeeeee 💕💕💕💕

  • @SerahKinyanjui
    @SerahKinyanjui Год назад

    DIBUL na dorea mshikie muciachilie hapo mm ni team boy mciniakushe

  • @annmuthoni2241
    @annmuthoni2241 Год назад

    Matoo unawezaje kumeza mayai waa

  • @Tiffanyf199
    @Tiffanyf199 Год назад

    Wee ikifika kwa mayai najitoa😂😂

  • @mwitamoseschacha8261
    @mwitamoseschacha8261 Год назад +2

    Rose usinunue madress Na maembe ukishinda hio pesa😂😂

  • @stacymseri6270
    @stacymseri6270 Год назад

    Dee kwani wig inaingia kwa dreadi..😂😂..
    Leo uko na wig kesho dreadi😂..
    Anyway you look great in both..plus great content ❤❤❤❤

  • @marywambui344
    @marywambui344 Год назад +3

    Shiro ndo amewin

  • @catherinekibandi9420
    @catherinekibandi9420 Год назад

    Mike hunibamba mbaya 😅😅😅

  • @amiebulinga7437
    @amiebulinga7437 Год назад

    Mike bravo alafu form ni gani za macho 😂 nimekuombea sana 😂😂😂😂😂

  • @faithnduku4193
    @faithnduku4193 Год назад +2

    Banger after banger awww ,my favourite people siez achwa nyuma❤

  • @quincymercie2644
    @quincymercie2644 Год назад +1

    Brrrrrrrrr team dorea 💪 lazima tusumbue otherwise hii game haiwezi bamba

  • @dorchiewangarewamboo5895
    @dorchiewangarewamboo5895 Год назад

    at the end wasee wa mayai walipata good health push from it by tha inahelp sana kubuild system

  • @stellahngatah4254
    @stellahngatah4254 Год назад

    ati hio mwili ingine😂😂😂😂🙆🙆kujitetea eeee😂

  • @shikujimmy5489
    @shikujimmy5489 Год назад

    Kama wendo ako chunga kumharibu na pilipili .ata pata mapatches kwa mwili

  • @quincymercie2644
    @quincymercie2644 Год назад +1

    Team dorea 💪💪 kama kawa kama dawa Niko dakas 🔥🔥🔥🥰🥰

  • @irenewacera8836
    @irenewacera8836 Год назад

    Team Dee sisi hukuwa babygirls lazima we complain 😂😂😂😂😂😂

  • @stellahngatah4254
    @stellahngatah4254 Год назад

    Dorea hio mchezo sio poa weee hio pilipili sini khali aki🙆

  • @RuthWairimu-rw4sm
    @RuthWairimu-rw4sm Год назад +4

    My favorite family waiting ,,,,Team Mike💪💪🔥🔥🔥

  • @nyambu6256
    @nyambu6256 Год назад

    Aki leo nmekua busy ushago sikuweza ku premier

  • @marywanjiku9982
    @marywanjiku9982 Год назад +1

    Balloon challenge ikafanya nikue team rose😂😂😍

  • @eunicemajestic4729
    @eunicemajestic4729 Год назад

    After prank Sasa tumerudia kwa game zetu kama k kama dawa🥰🥰

  • @lucymsoo100
    @lucymsoo100 Год назад

    Next time 😉 nifanyiwe invite manzee

  • @cutiecate1540
    @cutiecate1540 Год назад

    Woiii last born na vile haihurumiangi watu imekufikia

  • @Gracalilyk
    @Gracalilyk Год назад +1

    😂😂nawaonanga nasahau uchumi imepanda😂😂

  • @dorcasmuthoni8888
    @dorcasmuthoni8888 Год назад +2

    My happiness when I watch you videos and pranks 😂😂 , nawapenda sana ❤ am waiting for more banger ,🎉 banger videos ❤ 😍🌹

  • @stacyagaya2747
    @stacyagaya2747 Год назад +2

    Mike hangekosa kupata 1k😂💪much love ❤Dorea chunga nisiwe in law 😂😂😂

  • @shamim9632
    @shamim9632 Год назад

    Love you bulls aki nawapenda sana under team mato and dibul

  • @wambuimemia3619
    @wambuimemia3619 Год назад +1

    Kama kawaida team mato ❤❤

  • @rahabMwende-sz1po
    @rahabMwende-sz1po Год назад

    Iyo game imeweza😂😂

  • @wanjirudiana7757
    @wanjirudiana7757 Год назад +2

    Always good Vybz 😂😂😂 before I sleep tuna walove❤#team marto

  • @elijoy505
    @elijoy505 Год назад

    Leo Niko team Rozze 😊😊 anakaa poa ❤❤ dressing Iko 👌👌

  • @mercywanjohi9383
    @mercywanjohi9383 Год назад +1

    Team rose mko wapi

  • @FlozzieB
    @FlozzieB Год назад +3

    Shiro better late than never, am finally here❤❤
    Catch flights not feelings..best advice

  • @geoffreygichure4135
    @geoffreygichure4135 Год назад

    Team Dee mko wapi❤️❤️❤️❤️❤️

  • @hannahwatetu6687
    @hannahwatetu6687 Год назад

    Hii nayo siwezi kosa tuned in

  • @gift2447
    @gift2447 Год назад

    Waiting for the night dose team strong 💪💪 all the way nimewakilisha mapema

  • @Cecyakiru
    @Cecyakiru Год назад

    Shiro mtu wa kismart ,Dorea akilose anacomplain,Waah naye Rose hapo nyuma anasema ni yeye tu ajashinda what about Dibull and Dorea hapo manze unajipenda

  • @BREEZYBRENDAA
    @BREEZYBRENDAA Год назад

    Mngefanya mkiwa blindfolded

  • @منصورالصيعري-ث4ف

    Team Mike ndio tunaingia

  • @muturistella8
    @muturistella8 Год назад

    Hebu uliza Mike ka anataka kienyeji cha Embu 😂

  • @janekimani2008
    @janekimani2008 Год назад +2

    My favorite couple ❤❤❤...banger after banger 😂

  • @TERESIAMUTHONI-b9p
    @TERESIAMUTHONI-b9p 2 месяца назад

    Dibul chukuwa tuh mayai

  • @JackieWangu-vy3yl
    @JackieWangu-vy3yl Год назад

    Nataka nyota ya shiro pia

  • @belindamueni1030
    @belindamueni1030 Год назад

    Amazing family tunawalombotovu sana 😂😂😂😂😂

  • @tashakago1
    @tashakago1 Год назад

    If Ule ni msay wa mayai was a person angekuwa Mato😅😂😂

  • @suemwaniki3235
    @suemwaniki3235 Год назад

    Lakini Dee n mwisheri😂😂😂😂

  • @rosemwangi2785
    @rosemwangi2785 Год назад

    Mato cravings ni za mayai?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @njeriwaweru5551
    @njeriwaweru5551 Год назад

    Team the bull family apa.. mi ni supporter WA wote Leo

  • @samuelkoome363
    @samuelkoome363 Год назад

    Team ROSE keep moving on murembo🎈

  • @teclakaren5281
    @teclakaren5281 Год назад +1

    Team Mikey ❤ kama kawaida

  • @rizikiwawuda3308
    @rizikiwawuda3308 Год назад

    Team Rose no money today ama ni quit kwa Team Matoo 😂😂😂

  • @nestagoldly7279
    @nestagoldly7279 Год назад +20

    Dee always complaining when she is not winning the challenges 😂😂😂😂😂😂😂

  • @lillianmudha4603
    @lillianmudha4603 Год назад

    My favorite RUclips channel,my favorite family,no word to explain how I love you, baraka tele tele

  • @mulwag_
    @mulwag_ Год назад +6

    it's how rose does payback for me😂😂😂😂

  • @Martha-y3w
    @Martha-y3w Год назад

    Mike aki hizoa ho zako za kando 😂😂😂😂

  • @faithmueni2607
    @faithmueni2607 Год назад

    Aki dee na drama 🤣🤣🤣

  • @agyrangers9461
    @agyrangers9461 Год назад

    TEEEEEEM SHIIIII ALL THE WAY ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @catherinengugi9030
    @catherinengugi9030 Год назад +1

    Waau Lady subscribe is here my lovely n beautifully family banger after banger shiru never disapointd in practical but theory saidia baba,guys SBC SBC SBC subscribe ..1m penda nyinyi Sana

  • @lifewithverah2135
    @lifewithverah2135 Год назад

    Akh dorea unaficha wapi pilipili😅😅😅😅😂😂😂

  • @joeysworldke1542
    @joeysworldke1542 Год назад +5

    I Love this family saana..
    The games are always lit

  • @getrudeodhiambo2608
    @getrudeodhiambo2608 Год назад

    Team rose kam kwa tufunguli RUclips yetu

  • @MariePleasure
    @MariePleasure Год назад +10

    Team Mike can't wait to see you win this 🔥🔥🔥💯💯💯 let's do it man💪💪💪

  • @faithmueni2607
    @faithmueni2607 Год назад

    Kueni fare kwa dibull

  • @gift2447
    @gift2447 Год назад +6

    Nice couple team Dee we never disappoint

  • @MaryjackWainaina
    @MaryjackWainaina Год назад

    Mike nny leo umeniangusha

  • @abbyjack
    @abbyjack Год назад +1

    Team Shiro🥰

  • @miriamkago817
    @miriamkago817 Год назад

    Game after game frame frames tu ,sasa you do advice the young men and ladies ka discussion tu ka vijana we would like to see it done by Mr ad misses Dbul

  • @bridgetkaindi3482
    @bridgetkaindi3482 Год назад

    Mike nikiwa mgeni kwa hii channel

  • @MercyMusangi-sb7cp
    @MercyMusangi-sb7cp Год назад +3

    Team Shiru all through

  • @wanjikunderitu6949
    @wanjikunderitu6949 Год назад +1

    You guys are fuuun,lively,vibely&lovely...
    Yaani lazima tucheke.Dawa,my Sunday morning made❤❤❤❤❤❤

  • @quincymercie2644
    @quincymercie2644 Год назад +1

    Ni banger after banger 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ruthmoraaangwenyi5291
    @ruthmoraaangwenyi5291 Год назад

    Dorea ananichekesha kila game why anafikuwa ati ni wewe moyai utakula to