Yafahamu magonjwa yanayo waathiri wanaume sehemu za siri?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 13

  • @AbubakarAhmed-gh4ty
    @AbubakarAhmed-gh4ty 11 месяцев назад +2

    Dokta mimi nikipata joto mwilini huwa nawashwa sana sehemu za siri

  • @abelkilahala8111
    @abelkilahala8111 4 года назад +1

    Naomba namb ya Doctor

  • @estherelly.8449
    @estherelly.8449 4 года назад +2

    Npe namba ya docta

  • @championgm9311
    @championgm9311 Год назад +1

    Mi naomba kujua ukipata na mapele sehemu za siri inakuwa shida nn miryam

  • @MrsKhalid-683
    @MrsKhalid-683 4 месяца назад

    Sorry bro mtt wangu akimaliza kukojoa anatokwa na damu😢nini tatizo

  • @frankzakaria7999
    @frankzakaria7999 Год назад

    Naomba namba yako doct

  • @johnsonnade7476
    @johnsonnade7476 4 года назад +1

    Doctor nawashwa sehemu za korodani mpka bomba yenyewe inawasha sana lakin nishapaka dawa ya fangan lakin bado nawashwa. Nini tatizo niko Bujumbura ya Burundi naomba msaada

  • @bukanualex9089
    @bukanualex9089 3 года назад +1

    Me nakiuvimbe ndani ya korodani yangu moja ya kulia dawa ni nn dr

  • @Kalekye-pu9ii
    @Kalekye-pu9ii 3 месяца назад

    Kukojoa mara nyingi na mkojo unatoka Kwa muwasho kutoa jasho

  • @azizikazari5673
    @azizikazari5673 4 года назад +2

    Nini dawa ya frequency urination and feel pain for 5 up 15 mnts after urine

    • @shabanimadobe972
      @shabanimadobe972 Год назад

      Iyo changamoto napitia but sijapataga matibabu mazuri

  • @nicominga1505
    @nicominga1505 4 года назад

    Kuna nasikia kitu kina tembea ndani ya njia ya mkojo lakini nikipima sina tatizo itakua nininiii?