Ripoti ya uchunguzi yaonyesha walivyouawa vijana wawili wa Kitengela
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Vijana wawili wa kitengela kati ya wanne waliotekwa nyara walifariki kutokana na majeraha mabaya ya kichwa, kifua, tumbo na shingo. Upasuaji wa maiti umebaini kuwa mmoja kati ya marafiki Justus Musyimu na Martin Mwau ambao miili yao ilipatikana katika hifadhi ya Nairobi waliuawa kwa kumenyama na waliomwangamiza.
So sad 😢😢 ipo siku watalipia walichokifanya
Very painful 😭 haki Mungu tusadie
mtu atalipa personal,hii ni uchungu kwa familia poleni Mungu awape nguvu RIP
Mlolongo sio kitengela
Rest cul brothers 😢😢😢
Mlolongo ama kitengela
Ruto ni umbwa sana
So sad my condolences to the family's