RAIS SAMIA KUUNDA TUME MBILI ZA UCHUNGUZI NGORONGORO, AKUTANA NA WAMASAI WA NGORONGORO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 10

  • @serengetiduma1090
    @serengetiduma1090 11 дней назад +4

    Kwani si yeye mwenyewe na uongozi wake si ndiyo waliwatoa hao wajomba eneo la ngorongoro 🤔🙌. .. uachaguzi unakuja sasa gafla wamasai swala lao litashugulkiwa!

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 11 дней назад +5

    Rais wa ovyo huyu hajawahi kutokea ni kama Kikwete yaani huyu mama anachojua ni kuunda tume

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 10 дней назад +1

      Mpk saiv kuna tume zaid ya fifte na zinaundwa hadharan afu zinakuja ishia gizan

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 11 дней назад +1

    Mbona kuna viongozi wa vijiji? Vyombo vya dola haviwezi kuchunguza?

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 9 дней назад

    Hiyo tume inatumia fedha za wakina nani jamani ,kwanini kabla ya kuwaondo ndio wangeunda tume kwa faida ya wanachi ,sijaelewa tume ya nn

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 11 дней назад

    Hiyo ni danadana, hizo time ndizo sinapotosha umma

  • @kamarakusupa5456
    @kamarakusupa5456 10 дней назад

    Mnamo tarehe 25 Agosti 2024 niliandika makala iliyobeba kichwa hiki NGORONGORO! NGORONGORO! NGORONGORO!
    1. Kwanini?
    2. Je, ni kweli?
    3. Kwa vipi?
    4. Nani asemaye ukweli?
    5. Naam, maswali ni mengi lakini majibu machache, maswali magumu yanayopopata majibu mepesi, hilo linastaajabisha. Hadi sasa siwaelewi wanaomshauri Rais Samia wamelichukuliaje suala la Ngorongoro! Wangempatia ushauri makini angemaliza ama kupoozesha makali yake. Kwasababu kwenye sayansi ya jamii hakuna dogo.
    6. …………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………….
    7. Nimalize kwa kusema suala la Ngorongoro limemefikishwa kwenye hatua inayomlazimisha Rais Samia aidha kutafuta jukwaa atakalotumia kusema na wananchi ama Rais mwenyewe kwenda Ngorongoro ili kusema na Watanzania pia kusema na Walimwengu, kwaajili ya kutuliza mzuka na kusafisha hali ya hewa ili kuzuia yasitokee yasiyotabirika.
    8. Rais afanye hivyo kwa manufaa yake binafsi na kwa manufaa ya Taifa, maana kuendelea kukaa kimya hakumjengei taswira nzuri. Propaganda zinazoenezwa zinam’bomoa Samia kuliko hizo sifa anazosikia kutoka kwa watendaji wake. Umma unakitafsiri kimya chake kuwa sawa na dharau, kwamba Rais haoni umuhimu wa kusema lolote kuhusu Ngorongoro.
    IMECHUKULIWA HATUA SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.
    Namshukuru Mungu kwamba hatimaye Rais amechukua hatua sahihi, amekutana na viongozi wa jadi wa Wamasai, kila upande ulipata wasaa wa kusema na pia kusikiliza kinachosemwa na upande mwingine.
    Kitendo cha wananchi kumsikia “live” Rais wao, walau kimepunguza mhemko na mwelekeo mbaya ambao ulianza kujitokeza kutokana na uhamasishaji mbaya uliokuwa umefanywa na baadhi ya wanasiasa.
    Rais anaunda Tume itakayomletea majibu ya kisayansi, kiuhalisia ni tume ya watafiti .

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 11 дней назад

    Ngorongoro mkiingiza siasa mnaenda kuiua kabisa.
    Kwa nn msiweke mipaka na uzio wa eneo wanaloishi wananchi na wanyama ili wasiingiliane?na wakiendelea kujizalia na kujaa watajua wao pa kwenda

  • @GilbertMansuet-zv1ph
    @GilbertMansuet-zv1ph 11 дней назад

    Kwa mfano urithi uchawi wa babu yako alafu uroge watu kisha uwe mganga iwatibu utapata kipato sana maana unatengeneza ugonjwa alafu unawatibu wew. Hapo ukiwa Tajiri unakua Huna shida ya kutukana viongozi