Kuhusu mke kuolewa kwa siri sijui vipi utaweza tena kurekebisha kuhusu kuwaelimisha wana ndoa wapya haki za mke mdogo na jinsi matatizo iliyoharibu ndoa nyingi na kusababisha wake kutelekezwa bila haki yoyote kwa hofu ya mke mkubwa. Imefikia waume wanawadhalilisha na hawajali kabisa kuwa acha. Shekh Mungu akuhidi. Na fanya Toba ya kweli na ujaribu saana kurekebisha.
Aslm Alkm ustadh au Shekh. Napenda kutoa maoni yangu kama ifatavyo. 1 Mawaidha yako ya nyuma ulikuwa unayatoa kiujeuri saana kwa ajili ya Elimu aliyokupa Allah. Na hii imewakandamiza saana wanawake. Ambapo Mtume alikuwa mwema kwa watu wote pamoja na kwa wake zake. Na hata katika ile hadith mkewe Aisha alivyosingiziwa kuwa amezini. Lkn wewe kuna mawaidha yako moja uliruhusu Talaka ambayo Allah anaichukia.Inajulikana saana wanawake tuna mioyo ya kukasirika na hasira. Basi wewe ulisema mwanamke yoyote atakaedai talaka kama sio wivu tu basi mume atoe talaka Subhana Allah ninaamini wengi wamefata mmojawapo ni mume wangu ameniacha mimi kwani alipenda saana kusikiliza kaseti zako na hata akawa anaonyesha mfano wako kwa Elimu uliyopewa. Maana kuna aya inayosema usiringe katika Dunia au kujuona kwa njia yoyote lkn watu wanajiona kwa Elimu na kuwadhalilisha wengine kwani wanaokufata ndio huwadhalilisha wake zao. Katika kauli yako ujumbe ulionekana na kumtetea bi mkubwa labda kama ataomba talaka kwa ajili ya wivu ndio asipewe. Na wengi waliokuwa na Elimu ndogo au fahamu ndogo walifahamu kuwa hao wanawake na ndio ulivyokusudia japo hukusema. Kama hatawaacha watakuwa wana wanaume wengine. Mungu akusamehe kwa dhana hii na kuharibu ndoa za wanawake wengi waliotaka stara hasa kwenye ukewenza. Wanawake wengi hudai talaka kwa kukosa haki zao na sio kama unavyofikiria wewe na hao wasiofahamu. Hiyo moja ya muhadhara ulioutoa kwa maringo hata Quran imekataza kuna baba aliwakataza watoto wake. Hata nyie wenye Elimu muitumie kwa Hikma na utetezi na sio kuharibu au kuvunja.
Samahani shaikh wangu...najua umeteleza ni mwanadamu lkn hp umesema VP MWZMUNGU ATAKUTIA PEPONI NA HAJAKUJUA KM UTAFAULU KWENYE MITIHANI????? kwa ilmu yangu ya zero najua Allah hua anajua ht kabla hujaja duniani km nitafaulu ama laa...AFUAN my beloved ustadh shaikh izzudin wechu
Mawaidha mengine ni yale uliyomkataza mwanamke kujipamba akitoka hata akitoka na mume wake na kusema hata kwenye gari wanaume wengine watamuona. Wanawake labda wanaunda kwao. Badala ya wewe kuwaambia njia ya kufanya labda kuvaa nikabu lkn ulisema hadi huo wanja wao kwenye nikabu haufai eti unavutia wakati wanja ni Suna hata kwa mwanamke. Yaani mifano yako hio yote ilimkandamiza mwanamke. Matokea wanaume wengi wasio na akili labda niseme wamefikia hadi kuwakataza wake zao kabisa kujipamba kwani na wewe uliwambia hivyo. Sasa fikiria Hata Dini inasema sisi wanawake asili yetu tunapenda kujipamba na ndio fahari yetu sasa tumekatazwa na unafikiri hao wanaume ni malaika hawatovutiwa na wanawake warembo huko nje au makazini?Anarudi nyumbani anakuona sawa na mfanyakazi tu.Imeharibu mapenzi na mausiano saana. Na wanawake wengi tumechukia mawaidha yako. Tunapenda ya aothman Maalim anatuhurumia saana na kututhamini kama alivyokuwa mtume. Hata akisema anasema njia sio kama wewe ulikiwa unakandamiza saana upande mmoja kama Shekh mmoja Mungu amrehemu mbele ya haki.
Muhadhara mwingine ni kuhusu Hina. Hili pia ni pambo letu wanawake waliolewa lkn katika muhadhara wako mmoja umeliponda saana na hukutoa hikma vipi lifanywe na matokea waume wengi wamewakataza wake zao kupaka hina yaani wameichukia hasa na imeleta ugomvi hadi watu kutaka kuachana au kuachana kama mwanamke atalazimisha haki hii.
Ujumbe kwa Mashekh wote. Mnaposema isiwe nyie kama Mungu mnatoa tu hukumu. Toeni Aya ya Quran na mfano wa mtume mnapotoa mawaudha hasa ya mambo ya ndoa. Kwani Ndoa ni nusu ya Dini inapoharibika mnaiharibu hata hiyo nusu iliyobaki. Matokeo wajane wanakuwa na hisia kwa hiyo wanafanya mambo kinyume na sababu ni nyie mashekhs mnaotoa hukumu kama nyie ni Mungu. Maana hata mtume hakufanya hivyo na alikuwa na huruma saana na haki kwa wake zake. ukienda kwenye aya za kuran imesisitiza kuoneana huruma na mawarda ambayo ni mapenzi ndio kusudio la ndoa na sio vinginevyo. Mimi binafsi nimetelekezwa na nilisha achwa. Tena ulisisitiza hata mke asirudiwe Subhana Allah maana akirudiwa atakuwa na jeuri kujidai kweli hiyo ni Dini au wewe Shekh ndio unajidai. Nisamehe saana nina machungu saana na sintopenda uendelee kuwaumiza wanawake wenzangu
Mhadhara mwingine uliowapoteza wanaume wengi wasiofahamu wakakufata. Ni ule ulioruhusu ndoa za siri na bila kuelezea haki za upande wa pili yaani za bi mdogo. Ukasema imeruhusiwa na ukasema sio lazima mke mkubwa ajue, na ukasema pengine unafata kitu ambacho kitamfaa mume na mke mkubwa ukanukuu hata wewe mwenyewe. Wakati Dini imesema sawa waoe wanawake kwa utajiri wao lkn sio kama na wao wasipewe haki zao. Dini imesema hata kama ni Tajiri ni khiyari ya mke na kusudio sio kuolewa kwa ajili ya mali. Hii pia imewapoteza wengi hasa wengi waliofikiri wanawake walio uarabuni na ulaya ndio hao wenye mali waliokusudiwa. Basi maskini kumbe nao wametaka stara matokeo wametelekezwa hawapati haki zozote sio unyumba wala salam baada ya kuowana wakajulikana hawana mali. Na ulumtetea saana mke mkubwa yaani ajitahidi harufu ya manukato asije akasikia bi mkubwa matokea bi mdogo amewekwa kama hawara. Hapewi zamu, haruhusiwi perfum isije ikaleta madhara na pia hapewi haki maana aliambiwa aolewe kwa mali yake japo kama alikuwa tu anajimudu mwenyewe. Wengine wakidai haki wanaambiwa kwani mliishi vipi kabla ya sisi kuwaoa. Na anaegopewa ni bi mkubwa hasa ikiwa bi mdogo hazai. Hii ndoa ya siri inamkandamiza saana bi mdogo kwa vile yeye anajua basi yeye huelezwa mambo mengi ya bi mkubwa. Mume anakuwa huru kupokea cm za bi mkubwa lkn bi mdogo hata akiwa na shida cm zake hazipokelewi mume anamkatia au kusema samahani siwezi kuongea hata kumsikiliza tu shida na huu ni udhalilishaji na wengi wamekufata mawaidha yako ya nyuma. Sasa naona ni tofauti. Na tukiwatumia waume zetu wanasema mnapenda tu vitu vinavyowahusu vya kupendezewa na nyie kwa sababu wameshapotea na mawaidha yako
Mashallah mungu akubariki sheikhe kwa mawaiza mazuri
Jazaka allahu kheir sheikh izudin,mungu atupe subra na imani inshallah
Aslm alkm ww... Masha Allah!!! Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde akukinge na akuhifadhi. Jazakallah kheir 🙏🌹
Nikweli kkayau Allah akujaliekila lacheli katikamayishaako💕💕💕
MashaAllah
Asalamualeyku warahmatullah wabarakatu she Allah akuhifadhi akupekilakheri akuepushe nakilalashari tunafaidi kwa mawaidha yako shukran jazila
Mashaalh Allah akuzidishie
MashaAllah BarakaAllah fik shukran
😀😀😀😀😀 Sheikh you're Burning my Ribs did you say Mad and shaanda 😁😁😁😁😁
jazakallah kheir haya mawaidha ya subra tunayahitaji sana ukumbusho binadamu hasa sisi tulioko mbali. Shukran.
Kuhusu mke kuolewa kwa siri sijui vipi utaweza tena kurekebisha kuhusu kuwaelimisha wana ndoa wapya haki za mke mdogo na jinsi matatizo iliyoharibu ndoa nyingi na kusababisha wake kutelekezwa bila haki yoyote kwa hofu ya mke mkubwa. Imefikia waume wanawadhalilisha na hawajali kabisa kuwa acha. Shekh Mungu akuhidi. Na fanya Toba ya kweli na ujaribu saana kurekebisha.
Ma sha Allah .shukran kwa kutufahamisha dini na nakiri kuifata
Mashallah shekh wetu jazzaka Allah khery 🤲
Masha Allah, asante sheikh
Shukran sheikh jazakallah kheyr wa barakallah fiiq
Mashaallah, mawaidha mazuri sana, Jazakallahu lkheir.
Masha Allah.
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akupe umri mrefu wa afya Amin
Masha Allah. Allahu bariq fee. Shukran.
Mashallah mungu akuzidishee in sha Allah
💙"""""shukran """"""💙
💙::::::mawaiza mazuri sana 💙
Maashaallah mawaidha ahsan.Jazaakumullahu khairan
Ustadh Allah akupe mema yarabi. Watupa darsa na huku kutufurahisha alhamdulilah jaza yako kwa Allah yarabi akuhifadhi Leo na Kesho peponi yarabi
Maasha allah allah awe nasi
MashaAllah mashaAllah mashaAllah shukran jazzakh Allahu kheiri inshaAllah
Allah atupe subra tuikabili mitihani atupayo kwani ni upendo wake kwetu sisi na wala tusimkufuru Allah🙏🙏🙏
Aslm Alkm ustadh au Shekh. Napenda kutoa maoni yangu kama ifatavyo. 1 Mawaidha yako ya nyuma ulikuwa unayatoa kiujeuri saana kwa ajili ya Elimu aliyokupa Allah. Na hii imewakandamiza saana wanawake. Ambapo Mtume alikuwa mwema kwa watu wote pamoja na kwa wake zake. Na hata katika ile hadith mkewe Aisha alivyosingiziwa kuwa amezini. Lkn wewe kuna mawaidha yako moja uliruhusu Talaka ambayo Allah anaichukia.Inajulikana saana wanawake tuna mioyo ya kukasirika na hasira. Basi wewe ulisema mwanamke yoyote atakaedai talaka kama sio wivu tu basi mume atoe talaka Subhana Allah ninaamini wengi wamefata mmojawapo ni mume wangu ameniacha mimi kwani alipenda saana kusikiliza kaseti zako na hata akawa anaonyesha mfano wako kwa Elimu uliyopewa. Maana kuna aya inayosema usiringe katika Dunia au kujuona kwa njia yoyote lkn watu wanajiona kwa Elimu na kuwadhalilisha wengine kwani wanaokufata ndio huwadhalilisha wake zao. Katika kauli yako ujumbe ulionekana na kumtetea bi mkubwa labda kama ataomba talaka kwa ajili ya wivu ndio asipewe. Na wengi waliokuwa na Elimu ndogo au fahamu ndogo walifahamu kuwa hao wanawake na ndio ulivyokusudia japo hukusema. Kama hatawaacha watakuwa wana wanaume wengine. Mungu akusamehe kwa dhana hii na kuharibu ndoa za wanawake wengi waliotaka stara hasa kwenye ukewenza. Wanawake wengi hudai talaka kwa kukosa haki zao na sio kama unavyofikiria wewe na hao wasiofahamu. Hiyo moja ya muhadhara ulioutoa kwa maringo hata Quran imekataza kuna baba aliwakataza watoto wake. Hata nyie wenye Elimu muitumie kwa Hikma na utetezi na sio kuharibu au kuvunja.
Shukran sheh
MashaAllah Ustadh.Mola akubarikie
Shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh
Maashaallah niko Zanzibar nakufuatilia uzur
Samahani shaikh wangu...najua umeteleza ni mwanadamu lkn hp umesema VP MWZMUNGU ATAKUTIA PEPONI NA HAJAKUJUA KM UTAFAULU KWENYE MITIHANI????? kwa ilmu yangu ya zero najua Allah hua anajua ht kabla hujaja duniani km nitafaulu ama laa...AFUAN my beloved ustadh shaikh izzudin wechu
Shukran Sheikh
Mawaidha mengine ni yale uliyomkataza mwanamke kujipamba akitoka hata akitoka na mume wake na kusema hata kwenye gari wanaume wengine watamuona. Wanawake labda wanaunda kwao. Badala ya wewe kuwaambia njia ya kufanya labda kuvaa nikabu lkn ulisema hadi huo wanja wao kwenye nikabu haufai eti unavutia wakati wanja ni Suna hata kwa mwanamke. Yaani mifano yako hio yote ilimkandamiza mwanamke. Matokea wanaume wengi wasio na akili labda niseme wamefikia hadi kuwakataza wake zao kabisa kujipamba kwani na wewe uliwambia hivyo. Sasa fikiria Hata Dini inasema sisi wanawake asili yetu tunapenda kujipamba na ndio fahari yetu sasa tumekatazwa na unafikiri hao wanaume ni malaika hawatovutiwa na wanawake warembo huko nje au makazini?Anarudi nyumbani anakuona sawa na mfanyakazi tu.Imeharibu mapenzi na mausiano saana. Na wanawake wengi tumechukia mawaidha yako. Tunapenda ya aothman Maalim anatuhurumia saana na kututhamini kama alivyokuwa mtume. Hata akisema anasema njia sio kama wewe ulikiwa unakandamiza saana upande mmoja kama Shekh mmoja Mungu amrehemu mbele ya haki.
Jazzakumllah Khery
Muhadhara mwingine ni kuhusu Hina. Hili pia ni pambo letu wanawake waliolewa lkn katika muhadhara wako mmoja umeliponda saana na hukutoa hikma vipi lifanywe na matokea waume wengi wamewakataza wake zao kupaka hina yaani wameichukia hasa na imeleta ugomvi hadi watu kutaka kuachana au kuachana kama mwanamke atalazimisha haki hii.
Shukulani kka
Allah akuzidishie ilmu yenye manufaa pia akupe umri mrefu wenye furaha na twaa ewe kipenzi cha Allah
Towa adds
Ujumbe kwa Mashekh wote. Mnaposema isiwe nyie kama Mungu mnatoa tu hukumu. Toeni Aya ya Quran na mfano wa mtume mnapotoa mawaudha hasa ya mambo ya ndoa. Kwani Ndoa ni nusu ya Dini inapoharibika mnaiharibu hata hiyo nusu iliyobaki. Matokeo wajane wanakuwa na hisia kwa hiyo wanafanya mambo kinyume na sababu ni nyie mashekhs mnaotoa hukumu kama nyie ni Mungu. Maana hata mtume hakufanya hivyo na alikuwa na huruma saana na haki kwa wake zake. ukienda kwenye aya za kuran imesisitiza kuoneana huruma na mawarda ambayo ni mapenzi ndio kusudio la ndoa na sio vinginevyo. Mimi binafsi nimetelekezwa na nilisha achwa. Tena ulisisitiza hata mke asirudiwe Subhana Allah maana akirudiwa atakuwa na jeuri kujidai kweli hiyo ni Dini au wewe Shekh ndio unajidai. Nisamehe saana nina machungu saana na sintopenda uendelee kuwaumiza wanawake wenzangu
Mhadhara mwingine uliowapoteza wanaume wengi wasiofahamu wakakufata. Ni ule ulioruhusu ndoa za siri na bila kuelezea haki za upande wa pili yaani za bi mdogo. Ukasema imeruhusiwa na ukasema sio lazima mke mkubwa ajue, na ukasema pengine unafata kitu ambacho kitamfaa mume na mke mkubwa ukanukuu hata wewe mwenyewe. Wakati Dini imesema sawa waoe wanawake kwa utajiri wao lkn sio kama na wao wasipewe haki zao. Dini imesema hata kama ni Tajiri ni khiyari ya mke na kusudio sio kuolewa kwa ajili ya mali. Hii pia imewapoteza wengi hasa wengi waliofikiri wanawake walio uarabuni na ulaya ndio hao wenye mali waliokusudiwa. Basi maskini kumbe nao wametaka stara matokeo wametelekezwa hawapati haki zozote sio unyumba wala salam baada ya kuowana wakajulikana hawana mali. Na ulumtetea saana mke mkubwa yaani ajitahidi harufu ya manukato asije akasikia bi mkubwa matokea bi mdogo amewekwa kama hawara. Hapewi zamu, haruhusiwi perfum isije ikaleta madhara na pia hapewi haki maana aliambiwa aolewe kwa mali yake japo kama alikuwa tu anajimudu mwenyewe. Wengine wakidai haki wanaambiwa kwani mliishi vipi kabla ya sisi kuwaoa. Na anaegopewa ni bi mkubwa hasa ikiwa bi mdogo hazai. Hii ndoa ya siri inamkandamiza saana bi mdogo kwa vile yeye anajua basi yeye huelezwa mambo mengi ya bi mkubwa. Mume anakuwa huru kupokea cm za bi mkubwa lkn bi mdogo hata akiwa na shida cm zake hazipokelewi mume anamkatia au kusema samahani siwezi kuongea hata kumsikiliza tu shida na huu ni udhalilishaji na wengi wamekufata mawaidha yako ya nyuma. Sasa naona ni tofauti. Na tukiwatumia waume zetu wanasema mnapenda tu vitu vinavyowahusu vya kupendezewa na nyie kwa sababu wameshapotea na mawaidha yako
asalaam alaykum
jamani nani ana namba ya uyu shekhe anipe
Salallahu Alaihi Wasalam
E pas
MashaAllah mashaAllah mashaAllah shukran jazzakh Allahu kheiri inshaAllah
Shukran sheikh jazakallah khery wa barakallah fiiy