PATANISHO : ANANIPENDAJE NA AKONA MKISII - FEDY
HTML-код
- Опубликовано: 8 сен 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo RUclips - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Team gulf 💪 wapi likes ❤❤❤😊
Qatar 🇶🇦
Wakwanza hapa pita na like
I like you...fromUS
i like you from Kenya😂😂😂😂😂@@georgeogumogum837
@@georgeogumogum837 mmmh
@@agneswanjihia13832
@@agneswanjihia1383
mmmh ? !!! Hujui kizuri cha jiuza, kibaya cha jitemveza ?
Feddy kaa maisha yako na ujikaze na maishako wachana kabsa na uyo mwanaume, he is talking as if she does have an option, mwanaume mjinga sana,
Woiye..Fedy chukua watoto😢😢 wanateseka💔
After kuteswa ma bwana yake, watoto pia wakokua, bado watalaumu mama. I have witnessed this more than once, twice..
Aki mapenzi 😂😂Ati ii miaka n mingi atuezi wachana 😅watu wanaishi ata miaka50 na wanaachana
Finally I here the kales wakiongea😂
Kalenjinis eti damu yao why Kisii again ❤❤
wakalee tumefikiwa😂😂😂
Huyu jamaa ni fala sana 😂😂😂
The type of man I was married to
Sorry
This is chairman of nersccist 😅
Truuuue
Bureeeee!
Me acha nibakie kuskia ndoa na mapenzi na kuonea view sasa juu wee single ni life tamu sana .
Tusidanganyane nobody is of age and enjoying singlehood. We’ve been there we know no matter how rich one is..
@@Prisca.W now a days no true love kheri mtu abaki single juu wah .
I doubt that@@zahraabdul9652
@@Prisca.W
*True* Better be a punching bag than solo. JINGOoo Hii.
Any Tanzanian here 👋
Niko
Tupo
Helloo🇹🇿
Hii,,,,dar mpaka mologolo
Alikuuma inself defence
Mkisii was chilling😂
😂😂then joined gaaki ntige pii
Tuache sisi ndo tuko
❤gidi nataka patanisho Aston na make wangu Asenal
yes Bwana Gidi, that's respect 😂😂😂😂😂
Bungoma county locked in
Vihiga locked 🔒
Punngoma locked
Mkisii was just chilling 😂😂😂😂
Kamtu kajeuri kweli kweli!
Wakale mko kwa redio bana😅😅
Ety mkisii 😢😢😢😢😢
Kweli hawa watu... wanajiharibia jina.
It can never be me
Robert ni mbwa tu
Nugu mzee pia 🚮🚮🚮🚮
Mama ndie Mbwa Kubwa. Ataka kurudi aendelee kuteswa. Pia na watoto wake.
Abusers pia hugeukia watoto at the same time or baadae. Usidangamwe, abuser
-s ni Shetani. Hajui mtoto wala mtu mzima
Yeye ufyeka fyeka wot
-e, akihadaa watu; "Mwaona vile napenda watoto wangu?" Na kumbe, hata pia ashaanza kuwalala. Even girls wa chini ya miaka 5. I promise u this. Hili ni aibu zaidi, hata familia hujaribu juu chini kuficha mambo hayo.
Forgive each other please. You have along way to go in your marriage. You have children & they should not suffer because of your differences, they need you🙏
Unataka anyongwe.
Nashangaa huyo mwanaume ni gaidi kwanza anaongea vibaya sana na ni hatari.
Alafu aka uwawe😢😢😡
Huyu mtu ni shetani😡😡 Fedy dont go back.Go take youre childern please
Hili chupa hatari.
Mko vizuri jamaa.
Udaku ya ploti.....ngoriiii😂😂
Ati udaku si ni ukweli hata yeye mwenyewe amesema ukweli.
Na vita, na kunyongwa, na kunyanganywa pesa umefanyia kazi, na kunyanganywa ID?
@@carolinenjoroge9092 😂😂 Caroline sijakataaa
Busia county locked in
Huu mwaka ni wakufosi kweli 😅😅😂😂😂
Kwanza nani aliambia hawa wanaume kuchapanga wanawake round hii mtati
This not the first Kissii wala wa tano. What's wrong with these people? Pia Meru muache ujinga.
Force by fire 🔥🔥
Wakaleeee😮😮😮😮😮
hasira ya mkisi wachia chui
Hahahaaa. Hasira ya mkizi * furaha ya mvuvi. For those who don't know or hawakumbuki. Ni kama; "Mpiga ngumi ukuta, huumiza mkonowe".
Kwani ni by force, cool down man
😂😂😂mkisii kujia mzee wako gaaki
Waaah
Mali yko na ujalipa mahari
Kichwa yko mbya ama
Wah
Anakaa na id na hajalipa hata mahari😅
Audacity😂😂😂
ATI HUYU NI BIBI YANGU HAWEZI ENDA MAHALI NITAMWENDEA BY FORCE .WEEE 😢😢😢
Mkale kwa vita ,ni nomaa ata sometimes wao uuma kwa kutumia meno
Wao huruma bila kutaka😂😂 akikukaribia meno ulifika mbele yake😅
Huyu mwanaume ni mshenzi sana
gidi ambia goast mlee asale kucheka hivyo yeye ubore sama
Wakalee
Ati mtu anaita mwengine propertie yake ata panya hajapeleka kwao 😮run huyu atakunyonga
Ghost mkisii😅 usicheke
Nyinyi ni watoto mnatesha na hio ujinga yenu
Ati utamwendea by force.zile enzi za mababu zetu😕
Me napita tu 😂😂😂
kipsigis,koroom
By force???😂😂😂
Kimbia dadangu hakuna amani kichapo kunyongwa mwisho guess what next na bado kazi ngumu mjengo nooo
Hawa waturudiana
This marriage is toxic
Huyu ni ngombe ya binadamu
Why he still talking with mpanga wakanda. The solution to stop talking with that mama. And asked the forgiveness. Children are innocent please mama
Na anajua I'd ruto alipandishia ni 2k hii ni punda na mwanaume,feddy labat kabsa koroom jiji
Hii ni ng'ombe ya mwanaume
Kwani unajukua I'd ndio amzuie, utakaa na ao watoto, pia atafute mume mwenye mpenzi, kwenda huko
Mwanaume pumbavu kabisa
😂😂😂, wacha huyo jamaa achukue mchana wa president ,juu akna mtu atamdai mali
Kwa kimila lazima ulipe mahari...
Mipango ya kando ni kitu kitakufanya umwache mume wako bora anipe kila kitu sipanduki labda amue kuniacha pekee yake.
😢😢
Kuchapwa vita za mwili akinyongwa akae afe...tujifunze kujipenda
😂😂 Ngoja uletewe ukimwi
@@ruththatcher577huyu hajielewi anafaa aheal ndio ajue thamani yake😂
Akupe kaswende or HIV bado uko nae? Endelea basi, kama unajichukia hivyo. Na hivyo hivyo ndivyo utafunza watoto wako; kwa mifano mibaya.