Tanzania na Guinea Bissau Zimetia Saini Mkataba Utakaoongoza Ushirikiano Kiuchumi na Kimataifa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Guniea-Bissau Umaro Sissoco Embalo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ambapo leo amepokelewa na mwenye wake Rais Samia.
    Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa nchi hiyo kufanya ziara Tanzania, licha ya uhusiano wa kihistoria vyama vya ukombozi vya TANU na PAIGC.
    Tanzania na Guine-Bissai kwa mara ya kwanza zimesaini mkataba wa ushirikiano utakaoongoza ushirikiano baina ya nchi mbili.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии • 1

  • @UncleBigi
    @UncleBigi 3 месяца назад

    English subtitles plz