Huyu dada yuko vizuri sana. Kosa lake ni moja tu: Hatumii Kiswahili. Kwa umaarudu wake, angetumia fursa kama hii kukikuza Kiswahili. Yaani angeongea Kiswahili. Angeheshimika zaidi na zaidi.
Well-spoken Madam Speaker italipa sana kama viongozi wetu mtaongea Kiswahili ktk kongamano hizo. Nonetheless once again kongole sana for attractive presentation.
Thank you Madam Speaker!!! SADC is Tanzania and others. We should collectively lead and help each other.
Nimependa huyu Dada Speaker Tulia ametoa mawazo mazuri hongera sana unastahili
Dr tulia madam spika bigup
Kishimba would be proud of his ideology being well presented by our very own Dr. Tulia
Very bright... Kichwa sana
Very very very nice madam we are proudly of you
Good representation, keep it up our speaker
Tanzanians are so smart
Kudos to our own Tulia!
Dr Tulia kaupiga mwingi sana
Huyu dada yuko vizuri sana. Kosa lake ni moja tu: Hatumii Kiswahili. Kwa umaarudu wake, angetumia fursa kama hii kukikuza Kiswahili. Yaani angeongea Kiswahili. Angeheshimika zaidi na zaidi.
My speaker na alisoma saint kayumba na sio hizo shule zinazokremisha mitihana ya kununua wizarani hongera sana Dr Speaker
Kikwete hakukosea kukuleta kwenye siasa aisee
Kutoka kwenye uvungu wa moyo Tulia Akison hapo umeupiga mwingi.
huyu dada atuwakilishe umoja wa mataifa
Well-spoken Madam Speaker italipa sana kama viongozi wetu mtaongea Kiswahili ktk kongamano hizo. Nonetheless once again kongole sana for attractive presentation.
Jenius from tanzanian
Good presentation!!
Kishimba ideology nilimsikia alipochangia bungeni ,kilichobadilika ni lugha tu ya kuchangia hoja
👏👏👏🇹🇿
👍👍👍👍👍👍💯
Nimekuelewa Sana kipenz chetu
🔥🔥🔥🔥🔥
Viva Tulia viva
Dr Tulia umenikosha wewe proud of you
Dada yupo vzr kwa English mpk anamzidi Yule nafiki yangu 😆😆😆
Badala kuchukua ujumbe wewe upo busy na kizungu...Huu ushamba huu
Next presesida
Wote wapo vizuri.
Yees madam umetutendea haki wa Tz
Ongea Kiswahili wewe. Wa kutafsiri wapo.