If iwas the kioks bora najua nimetembelewa na content creators,i will be ready for anything, mambo ya kukasirika,na hiyo roho singetaka nipatane nayo 😅
No. One tiff top fan 😂😂😂nataka badge sasa,,,,Kioko anashangaa,si wangekuacha tiff tuone mangumi,,,najua hiyo sector hamuezi dissapoint inakuanga serious 😂😂
not kaicy feeling comfortable inaonekana the kiokos in real life ni watu wako free na watu sana
Kioko anatufukuza😂😂
TOKENIII!!! 😢😢😢😅
Wewe ni star 💥
queen of pranks
Keicy hii nayo ckuwa nimeona waah keicy utakaja kunimaliza
Nimekuja mapema ,nijengwe likes manze 😅,,much love tiff you're doing great,,, but i love keicy more ❤❤
Nipitie pia please
Nipitie pia mama
Kioko ako zile za naongojea wamalize kukula waende 😂😂😂😂😂
Kama hii ndio personality ya @wambo Ashley kwa ground ako Sawa basi ❤so mature 💯👍
Tiff tufanyie pregnancy test kwa camera🙈🙈sisi kma funs naona congrats nashangaa form🤭
Na keicy alikula ugali mob😂😂
If iwas the kioks bora najua nimetembelewa na content creators,i will be ready for anything, mambo ya kukasirika,na hiyo roho singetaka nipatane nayo 😅
Mtoto aliona camera na ni vile hangeongea😂I saw him several times❤😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Eti ama tiff nikutupima anatupima anakasirika then anachange mood😂🎉😂😂😂
Kweli tiff ako juu kwa maprank that was amaizing❤❤❤❤
If minding ur business was a person 😊😅😅it must be Wambo😊😊yeye ni kusmile tu na kulisha Romms❤❤❤
Muende nyi wote mkimaliza mrudi😂😂😂
Mkienda muende wote,mkibaki mbaki wote😂😂
Guys imagine nimewapitia nyinyi wote ,, please nipitieni 🙏🙏🙏🙏
Nipitie I do the same
Nipitie pia nakupitia
Tupitiane
@@ElizaWachiranimekupitia nipitie pia.
Noraah amekula ugalii karibu mikono kumii😂😂😂
No. One tiff top fan 😂😂😂nataka badge sasa,,,,Kioko anashangaa,si wangekuacha tiff tuone mangumi,,,najua hiyo sector hamuezi dissapoint inakuanga serious 😂😂
Wakamba mna hasira got me doing 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Enyewe ukoo juu Tiff 😅😅😅😅😅😅 more fire.😂
Eh tiff your queen of prank... ❤❤ Kuna mahali nilipitia eeeh hawanaa maisha😅
The introduction part ending subscribe apo ama tuwaume😂😂this are crazy sisters their vybz❤❤
Let me tell you Maina niliskia t kuvurutana nywele na majegi bt team tiffy never dissapoint😂
Weeeh bado nauliza kama spine ya our girl ilipona juu weeuh hiyo ngumi ilikuwa serious 😂😂 Tiff babes 🥰
Mcheze tu na kioko hajui jokes😂😂😂😂
@wambo Ashley wakamba we're just chilling😂😂😂😂😂😂
kioko yawa ety waende wote wafunge na warudi wote😂😂😂 walai this are drama queens 😂😂
😂😂😂😂😂
Eeei siku hizi umepita ata hannah kwa pranks,umekua queen of pranks
Eeeeh btw
Mimi th mahali tiff ako na kelele ianze ,siwezi mind juu ni prank 😅😅😅
Wambo is like,kumbe zile drama za tiktok n real😂😂😂😂mko ivi in real life 😂😂
Tupitianeni please 😊
Drama gal tiffy dolly drama gal,drama queen tiffy dolly drama queen,,,sikuizi nmewapenda walahii💙💙💙🫶
The way wambo is minding her business 😂😂
Wambo ako silent zile za ama kina Roms wanaeza kua hivi......
The majibu for back to back 😂😂😂😂❤
Huyu ni mimi na siz wangu kuosha vyombo kila time😂😂😂😂
Wambo: wakamba mnahasira🤣🤣🤣🤣 guys nipitieni pia
Kioko: mnaeza peleka hizo kelele nje😂😂😂 Nipitieni guys
Nipitie
Wapamba hawapendi keleele hii yenu mmetoa wapi 😂kioko ansema mupigie uko nje😂😂😂😂wee
Drama queens always nawapenda sans❤❤❤
Unajua kukaribisha wa geni gud mummy ever
😂😂Kioko leo nikumoto,.. Tiff this was amazing 🤣🙌
Ile design kaugali kameanguka keicy akaokota wacha tu
Kusema ukweli nilikuwa naomba tu mnyamaze😂😂
Wambo is smiling 😂😂 tiff wew unapenda mouthing,,,😮😮
Tiff speaking to the child smiling then shouting at Keicy😅😅😅
Ata mtoto ni mjanja kukuliko Keicy
Drama Queens hii nayo imeweza😂😂😂😂😂
19:10 ati ndio maana watoto hawamtaki🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Najuwa hainihusu lakini if wambo na nebz walikuwa same class,nebz ako 24 na wambo ako 20.Na walimaliza 2018 so it means 🤔sina lawyer
Wambo ako 24 km.alimaliza 2018
Hapo Kuna karata
😅
Nini huelewi, Wambo alijifungua akiwa 20, hayuko 20 sai😂😂
Wacha kufikiria Sana wambo ako 22
Huwa mnapiga kelele 😂😂😂😂
One thing they should know twins hawapendi vita, I don't no kama ni taboo in luos food ikiwa table anawai it was aprank😂😂
Tiff anakuwanga mkali
Hadi kwa wenyewe huyu tiff hakuangi sawa😂😂😂😂
Aki norah aliboeka😊
This is what I was congratulating you for🎉🎉😍😍piga macollabo sasa na Wambo ...
Team strong nipitieni ntawapitia wote please ❤❤❤
Uzima yako imekufikisha wapi😅😅😅
Wambo is like kwani awa watu in real hubehave ivi??
My favorite Tiff❤❤❤much love to you guys💞💞💞
😂😂😂😂mnataka action aki tiff😂😂😂😂nimecheka ati acha utuonyeshe action 😂
Aya leo nimefika mapema
Tiffy kioko 😂hapendi kushindwa asha nunua fridge kama yako😂
Kawaida ya mkamba
Keicy nafinya tu ugali, akisema ntakupiga wewe😅😅😅😅😅
Mwiamba nai got me 😂😂
Aki sisters dramas 😅😅😂😂
Ñanmefika mapema kumbe hta simm wakwanza 😂😂😂
Kioko trying to calm them down
Wambo minding her business 😅😅
❤😂😂😂😂mutheu aaaiiii hizi ni mawhat
aih naku Tiff ati uzima yako imekufikisha wapi uweeh mbole kindu kamum 😂😂😂
😂😂😂😂, this is funny Tiffany and keicy, love you girls ❤
Kuna mtu mmoja kwanyinyi ajuwi michezo naona akiwachanganya wote
Unanigambia aje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂i want problems wow with our another family kiokos
Kioko is so mature 😂
Napenda tiff bure😂😂
Aki tiff🎉🎉uko juu kwa maprank walai salute
Aaah kioko is very strict, eti mpigie kelele nje😂😂😂😂😂😂
Wambo minding her biz...❤❤❤
Wambo kanacheka to aqi
Fans wa tiff nipitieni ....Cemathani Esther
Done npitie ❤
Io konji 😂 msamiati mpya
New fan ❤ I love you girl...I always watch your videos but it's my first time commenting...
Mimi pia mnipitieni aki,but you guys ur amazing 🤩🤩 for real
Nipitie pia
Wambo anashangaa😂😂 alf kioko hushika nari haraka😂😂
Wambo anasmile tuh 😂😂😂
Aki leo kioko ako mpole na vile hajui jokes
Tiff ako ball😊...congrats
Really?
Yani character ya tiff na our first born ni the same 😅
Nimecheka vile mlitaka
Love you family please l want to do a prank with you 💕 💕💕
😅😅keicy Hana mabawa
Eiiiiii😂😂😂this gals are my vibe nikikaa na nyinyi tunaweza vibe sana i would like to meet you gals one day😂😂😂for real
Tiff wa drama❤❤❤
Wacha nimchukue apo....eka nimwose vau
Heri tiff ungekuwa wetu😂😂😂
You both are 🔥🔥🔥 ❤️
I like the way wambo is minding her business ❤❤ hki nipitieni guys
Tiff is just funny with those lines she is throwing 😅😅😅
Team tiff nipitieni then leave a comment niwapitie pia.. Have a beautiful week❤
Nipitie akh
Nipitieni pia niwapitie
Nipitieni pia ❤
Nipitie pia ❤❤
@@Sky-rancky.. Sawa
It's the way keicy says mbona unahama umeogopa ku make prank interesting I love it ❤❤
your laughters😊😂😂❤
Do kufika😂😂❤
You mean tiff ni mkamba 😂😂😂😂😂am confused oooh
Yes, she is mutheu
Prank revenge on Keicy na ikam thru faster