M'zee abekya mwale unanibariki tokea utoto wangu umezeeka baba, ulikuwa m'refu sasa umekuwa m'fupi ubarikiwe sana baba toka utoto wangu ulikuwa unanibariki kumakesha ya Noël Jimbo nundu pâle sangya
Ila tanganyika tv 📺 muna katakata sana video mimi kama shabiki wa hizi nyimbo sipedezwi na hukataji wenu wa video kwahiyo hacheni hivo mna tutowa kwenye mood ya kusikiliza hizo nyimbo kwa jili yaukataji wenu wa video kwa please msiwe mna kata video hivo ila smahani kama titakuwa nime hogea vibaya
I really like this grandpa.ayiiiii❤❤❤.powerful
hongereni sana namungu atubariki sote❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU awabariki sana kwa kazi zuri nawa penda sana
Mungu akubari mzee abakyamwale
M'zee abekya mwale unanibariki tokea utoto wangu umezeeka baba, ulikuwa m'refu sasa umekuwa m'fupi ubarikiwe sana baba toka utoto wangu ulikuwa unanibariki kumakesha ya Noël Jimbo nundu pâle sangya
Ubarikiwe sana babu
Uho unakuaga wimbo wa ùangya au
Alleluia Amina, Mungu azidi kukubariki Mzee Abekyamwale .
Amen
Ila tanganyika tv 📺 muna katakata sana video mimi kama shabiki wa hizi nyimbo sipedezwi na hukataji wenu wa video kwahiyo hacheni hivo mna tutowa kwenye mood ya kusikiliza hizo nyimbo kwa jili yaukataji wenu wa video kwa please msiwe mna kata video hivo ila smahani kama titakuwa nime hogea vibaya
Asante kwa feedback.
@@TanganyikaTV Asante