#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 ноя 2024

Комментарии • 7

  • @lisatema7959
    @lisatema7959 2 месяца назад +1

    Mama T Amen

  • @MaysarahMsuya
    @MaysarahMsuya 2 месяца назад

    🙏🙏

  • @joshuanjiuka2870
    @joshuanjiuka2870 2 месяца назад +3

    Mwanzoni nilishauri jambo, sasa sijui kama ushauri wangu uliwafikia ama la. Nilishauri hivi; Kwenye hii mada ya historia ya kanisa ni vizuri mkawa mnaweka utambulisho wa tuko kipindi cha ngapi na kinajadiliwa kitu gani. Lengo ni kutusaidia kupata mtiririko mzuri hasa kwa sisi ambao tunafuatilia kupitia youtube. Muwe mnaandika labda part 1, 2 3 ....... au utambulisho mwingine ambao utatufanya kuyzpzta haya mafundisho kiurahisi. Tofautisheni pia kipindi cha jioni/usiku na hiki cha asubuhi. Vipindi vyenu ni vizuri tatizo ni mpangilio wa labeling haiwi unique label. Mfano hiki kipindi cha leo ukiachana na neno/kichwa Historia ya kanisa pamoja na hayo ya nyuma (Meza ya Busara| Israel katika unabii) wekeni sasa kipengele cha mjadala. Naamini nimeeleweka. Nawasilisha. Asanteni Kazi yenu ni njema.

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 2 месяца назад

      Ni ushauri mzuri sana…

    • @jastinemwambi2307
      @jastinemwambi2307 2 месяца назад +1

      Kweli kabisa

    • @EliyaJames-fn3dz
      @EliyaJames-fn3dz 2 месяца назад +1

      Ushauri wako mzuri sana ikiwa utafanyiwa kazi na mamlaka husika.

    • @joshuanjiuka2870
      @joshuanjiuka2870 Месяц назад

      Yeah, maana kila siku kichwa cha habari ni hicho hicho hatujui tupo kipindi cha ngapi na nini kinajadiliwa katika mada husika. Hivyo inakuwa ngumu kupata mafundisho ya nyuma, hasa kwa wale ambao wanashindwa kusikiliza kwa wakati.