Mbunge ang'aka fainali ya Yanga na Azam kutofanyika Manyara

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 19

  • @dannygidu7884
    @dannygidu7884 7 месяцев назад

    Huongelei changamoto za wananchi unaongelea mpira😅

  • @EmmanueliEmmanuelimwita
    @EmmanueliEmmanuelimwita 7 месяцев назад

    Mama umeongea vzur we subr msimu ujao mtaletewa timu kubwa huko!

  • @User255tv
    @User255tv 8 месяцев назад

    Kacheze mwenyewe!

  • @BarikiSengo
    @BarikiSengo 8 месяцев назад

    Kwan wanachez talengp jamanii

  • @kibonajuhudi4214
    @kibonajuhudi4214 8 месяцев назад +1

    Tengenezeni viwanja mechi ya Fainali inakusanya maelfu ya watu uwanja wenu hat elf 5 haubebi mnataka watu waje wakanyagane wafe

  • @altokomba6386
    @altokomba6386 8 месяцев назад

    Wawapelekee ngao ya jamii full stop

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 8 месяцев назад

    Usalama hamna maana tunasikia huko vijana wanawekwa nanihii kwenyee nanihiii

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 8 месяцев назад

    Huyu akaeee chini bwanaaaaa aaaaaaahhh

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 8 месяцев назад

    Alishapanga faidaa ya hotel zake huyooo

  • @HillaryMoshi-v4q
    @HillaryMoshi-v4q 8 месяцев назад +1

    TFF ilikosea kupanga uwanja bila kuchukua taadhari za kiusalama. Mbunge analalamika lakini watu wakikanyagana uwanjani sijui atamlaumu nani.
    Reallocation waliyofanya ya bajeti ya serikali kwa sababu ya mchezo mmoja ni ujinga uliopitiliza. Wamepiga hela, wanatafuta chaka la kujificha siku CAG akiwakagua. Kabla hujafanya chochote angalia USALAMA KWANZA. Siasa isiwafanye watu wakalia machozi.

  • @johnjoel5012
    @johnjoel5012 8 месяцев назад

    Upo sahihi Mbunge. Tff hacheni ubabaishaji ,mwanzoni mlipachagua vipi kama palikuwa hapana usalama , hacheni kufanya kazi kimazoea mtakua lini ?

  • @jacksonmwalimu5181
    @jacksonmwalimu5181 8 месяцев назад +1

    Sasa unalazimisha wageni kuja,hahahaha😂 waalikeni Simba waje kucheza fainali ya mshindi wa pili

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 8 месяцев назад

    Mpira sio Siasa

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 8 месяцев назад

    Uwanja mbovu, jengeni uwanja mzuri wana manyara

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 8 месяцев назад +1

    Kuwarudishia fadhila kidogo hii mechi ya simba na kmc ipelekwe huko manyara

    • @a4afrika
      @a4afrika 8 месяцев назад

      Hakika. Walau wapate kamechi ka NBC hata kama ni kadogo.

  • @yohanecchanga
    @yohanecchanga 8 месяцев назад

    TFF mnapaswa kujitathimini katika hili, mnaliingiza taifa kwenye hasara

  • @laulianmeneja5923
    @laulianmeneja5923 8 месяцев назад

    Wewe unaye umiza watu hunahoja mchezo

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 8 месяцев назад

    Mpira siyo chai kwamba unaweza nywea popote. Tengenezeni viwanja kwanza acheni siasa nyie Wabongo.