Mzee wangu mbarikiwe saana, wew U mwalimu kwa wengi katika madhehebu tofauti. Huwa naulizwa mbona wahubiri hivo? Nami nawajibu" je, ni ajabu saana mwanafunzi kuwa Kama mwalimu wake?" Nao wanauliza tena "Mwalimu wako Ni Nani?" Nawajibu kuwa Ni Pr David Mmbaga. Hakika una watoto unaowazaa katika sehemu tofauti za dunia japo huwajuwi
Amen Amen I lost ajob and l really cried and complained only for corona to come and Lord showed me that lwas to vanish as it was awarehouse here in the states with over 600 workers per shift Mungu ni mungu mkuu na ni mwaminifu Alinipa kazi nyingine Jamii yangu haijawai kosa
Pastor Mmbaga, nabarikiwa sana na mafundisho yako juu ya neno la Munguko. Kila ninapo kusikiliza nauona uhai mpya moyoni mwangu.Mungu akupe siku nyingi ktk huduma hii.
Amen asante Yesu kwa neno lako hakika naona badiliko kubwa maishani mwangu kupitia kwa mafunzo haya ubarikiwe sana mchungaji hakika wewe n mwalimu wangu Wa neno
Asante pastor kwa funzo la hekima 'hakika tukijua kwamba Sisi hatuna lolote Bali vyote ni vyake hata maisha,afya ni vyake hatutasumbuliwa na lolote Bali tutamkabidhi yeye naye atashughulikia,baraka za Mungu ziwe juu yako mtumishi wa Mungu,Amina
nakutazama nikiwa Kenya, Kiambu county ... kutoka wakati nilianza kuskiza mahubiri yako mwaka jana nimeona tofauti kumbwa sana wewe na pastor wengi hapa kenya.. wewe ni wamaana sana katika ufalume wa binguni nakumpenda sana sana my pastor.... I just introduce you to my wife and she kept on telling me how wise you are.. God bless you..
Amen Amen pastor, Nashukuru sana kkwa uponyoji ambao niliupokea last week,kitu kilikua kinsnisumbua kifuani kikitembea hadi nilikua naogopa lkn nilipo amini ukiomba kilipotea kabsa sai hata nikupumua sisikiangi kikitembea. Nashukuru Mungu kwa Ukuu wake na waminifu.
Ni kweli mchungj hata mim mwanzon sikujua namna ya kumwendea Mungu lkn kupitia mahubir haya nimejua namna ya kumwendea Mungu hivy sasa haijarish nina vita ndani hainitishi Mungu alienipangia wakati nilipokata tamaa atanipingania hata sasa mim mchungaj ninakuombea sana endelea kuwasaidia na wengine maan shetani amewatesa sana watot wa Mungu
Shalom. Naomba unikumbuke kwenye MAOMBI ya kufungulia juu ya ndoa na hasa juu ya uponyaji nasumbuliwa na PUMU.naimani nitapokea yote kupitia jina lenye NGUVU ZOTE NA MAMLAKA YOTE YESU KRISTO.amen by sylvia john
Mchungaji umetoa hoja muhimu Sana ati kwamba kukua katika kristo ni hatua kwa hiyo tusukate tamaa nimeguswa na hiyo hoja mchungaji nakuskiza kutoka kenya
Pastor Mimi naitwa Jacklin kila nikitaka kwenda kanisani nashindawa nakuomba uniombee nipate kwenda kanisani Nina majaribu mengi sana kutoka kwashetani nakuomba nisaidie 0713 045676 nisaidie pastor
Mungu aendelee kukutumia utufungue zaidi
Amen, kila ninaposikiliza mafundisho yako pastor ninapiga hatua, Mungu wa mbinguni akubariki.
Amina tokea nizaliwe ndio nalijua hili Asante Yesu. Kumbe shetani hajui nawaza nn Amen Amen
May God bless and use you to continue to be a blessing unto us. Am blessed
Amen. Nimebarikiwa na neno. Ifike mahali tusisikilize mahubiri sababu tu ni ya dhehebu lako. Neno la MUNGU ni la kila mtu.
Mzee wangu mbarikiwe saana, wew U mwalimu kwa wengi katika madhehebu tofauti.
Huwa naulizwa mbona wahubiri hivo? Nami nawajibu" je, ni ajabu saana mwanafunzi kuwa Kama mwalimu wake?" Nao wanauliza tena "Mwalimu wako Ni Nani?"
Nawajibu kuwa Ni Pr David Mmbaga.
Hakika una watoto unaowazaa katika sehemu tofauti za dunia japo huwajuwi
Really Worshipers Oh!! Mungu akubariki saaana
@@MahubiriPrMmbaga ww n mwokoaji wa watu weng
Ameeen pastor naomba uniombee nahitaji kupata ndoa pastor
Amen
Amen
I lost ajob and l really cried and complained only for corona to come and Lord showed me that lwas to vanish as it was awarehouse here in the states with over 600 workers per shift
Mungu ni mungu mkuu na ni mwaminifu
Alinipa kazi nyingine
Jamii yangu haijawai kosa
Pastor Mmbaga, nabarikiwa sana na mafundisho yako juu ya neno la Munguko. Kila ninapo kusikiliza nauona uhai mpya moyoni mwangu.Mungu akupe siku nyingi ktk huduma hii.
Pr. Asanteee somo limeningusa xana ktk maisha yngu ya kiroho
Asante Mungu kwa kunichagua, usiniache pekeangu siwezi. Barikiwa pr Mmbaga
Ahsante sana mchungaji Bwana akupe afya njema
Amen asante Yesu kwa neno lako hakika naona badiliko kubwa maishani mwangu kupitia kwa mafunzo haya ubarikiwe sana mchungaji hakika wewe n mwalimu wangu Wa neno
Asante pastor kwa funzo la hekima 'hakika tukijua kwamba Sisi hatuna lolote Bali vyote ni vyake hata maisha,afya ni vyake hatutasumbuliwa na lolote Bali tutamkabidhi yeye naye atashughulikia,baraka za Mungu ziwe juu yako mtumishi wa Mungu,Amina
nakutazama nikiwa Kenya, Kiambu county ... kutoka wakati nilianza kuskiza mahubiri yako mwaka jana nimeona tofauti kumbwa sana wewe na pastor wengi hapa kenya.. wewe ni wamaana sana katika ufalume wa binguni nakumpenda sana sana my pastor.... I just introduce you to my wife and she kept on telling me how wise you are.. God bless you..
Mungu akubariki sana mchungaji nabarikiwa sana na mahubiri yko nakuombea kibali mbele za mungu uzidi kutumika kimungu amen
Amen Amen pastor, Nashukuru sana kkwa uponyoji ambao niliupokea last week,kitu kilikua kinsnisumbua kifuani kikitembea hadi nilikua naogopa lkn nilipo amini ukiomba kilipotea kabsa sai hata nikupumua sisikiangi kikitembea. Nashukuru Mungu kwa Ukuu wake na waminifu.
Mungu ni muweza wa yote
Mungu akuzidishie miaka mingi ili uendelee kutufunza
Bwana Yesu asifiwe. Nikumbuke kwenye maombi ya kufunguliwa. Ubarikiwe Mchungaji.
Daniel Lusingu Mungu akutendee makuu
Unanibariki sana mutumishi wa mungu ubarikiwe sana na mungu
Bwana akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
Ubarikiwe Mtumishi wa Bwana
Ni kweli mchungj hata mim mwanzon sikujua namna ya kumwendea Mungu lkn kupitia mahubir haya nimejua namna ya kumwendea Mungu hivy sasa haijarish nina vita ndani hainitishi Mungu alienipangia wakati nilipokata tamaa atanipingania hata sasa mim mchungaj ninakuombea sana endelea kuwasaidia na wengine maan shetani amewatesa sana watot wa Mungu
Umenisaidia sana mwalimu ,nmevuka kuenda hatua nyengine,Barikiwa sana
Tunamshukuru Mungu kwa somo hili.
Asante Pastor na timu yako
Pastor siku zote huwa najifunza mengi na kubarikiwa sana kwa mahubiri yako hakika naomba MUNGU akubariki.
AMEN.
Shalom. Naomba unikumbuke kwenye MAOMBI ya kufungulia juu ya ndoa na hasa juu ya uponyaji nasumbuliwa na PUMU.naimani nitapokea yote kupitia jina lenye NGUVU ZOTE NA MAMLAKA YOTE YESU KRISTO.amen by sylvia john
Kila nikisikiliza mahubiri yako mwili wangu husisimka sana kichwa huniuma sana tena sana nakuomba nisaidie pastor
Amen pastor ubarikiwe
asante kwa somo hili kwa kuwa nimeelewa.ubarikiwe sana.
Amen barikiwa pastor
Asanti sana pastor, nimebarikiwa.
PASTOR MBAGGA WEWE UMEFANYIKA BARAKA KWANGU UMENIGANGA MOYO WANGU .MUNGU AKUBARIKI SANA
Mchungaji umetoa hoja muhimu Sana ati kwamba kukua katika kristo ni hatua kwa hiyo tusukate tamaa nimeguswa na hiyo hoja mchungaji nakuskiza kutoka kenya
Mungu ni mwema kipindi hiki kiendeleee
amen amen ubarikiwa
Naomba namba ya kutuma sadaka
Thank you PR. Tunabarikiwa sana
Asante pastor
Barikiwa sana Pr MUNGU azidi kukutunza ili tuendelee kukua kiimani
Mungu akubariki sana mchungaji 🙏🙏
Hakika mungu anaweza
Hakika mungu anaweza
ndugu mchungaji ninahitaji vitabu vitakavyo nijenga niweze kufundisha vijana ktk shule za msingi na sekondali
ubarikiwe
UMEIVA KWENYE THOLOGIIA
Amina Asante pastor❤❤
Naomba
Mwenye namba za pasteur Mbaga naziomba jamani.
Ameen somo zuri nafatilia kila ukilitoa
Amina
Namimi naomba kufungu liwa nambar yasim tafazali
Pastor bwana yesu asifiwe naomba kuingia kwenye group lako la maombi
Amen
Pastor Mmbaga naomba uniunganishe na timu ya maombi maana masomo haya ni kwa ajili yangu maana nimejengwa sana Mungu akutunze pastor amen
Namba zangu 0762636823 ubarikiwe sana pastor
Pastor Mimi naitwa Jacklin kila nikitaka kwenda kanisani nashindawa nakuomba uniombee nipate kwenda kanisani Nina majaribu mengi sana kutoka kwashetani nakuomba nisaidie 0713 045676 nisaidie pastor
Pastor naitaji kuogea nawewe..nawesaje kukupata....nipee number yako pilz
Postor baadhi ya watu wataelewa neno kukaa ndani ni kutembea na biblia au kuweka ktk laptop.
Sijui kwann nimesukumwa kusema ili kiukwel
Aksanti sana pastor, sasa mtu anawezaje kujuwa ya kwamba ana roho mtakatifu?
Pr naomba uniunge kwenye group la maombi in telegram
0769025555
Amen, barikiwa pastor
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen