#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024
  • KARIBU UNGANA NAMI KWA SADAKA YAKO 0766 612857 M-PESA| 0775863233 TIGO PESA, USISAHAU KU-SUBSCRIBE, KULIKE NA KUSHARE KATIKA UKURASA HUU NA MUNGU AKUBARIKI.

Комментарии • 12

  • @ElizabethLaizer-h5i
    @ElizabethLaizer-h5i 12 дней назад

    Amen, Amen nimejiungamanisha na Ibada hii. Nikiukabidhi mwezi huu mikononi Kwa Bwana ambaye hagawani utukufu wake na yeyote

  • @VeronicaBoazi
    @VeronicaBoazi 6 дней назад

    Mungu wambinguni ninaleta ombi langu mbele yako lakuongezewa mshahara au kubadilisha nyumba EE bwana sikia ombi langu kwa jina la yesu 🤲🏾🤲🏾

  • @nawikemwasamboma5510
    @nawikemwasamboma5510 12 дней назад

    naitwa nawike saba mwasamboma toka mkowa wa songwe najiunganisha kwenye mazabau hii naomba mungu unisaidie sadaka yangu nakutolea eemungu ukafunge milango yamgonjwa ukafunge milango ya mikosi nalaana baba naomba imani kutoka kwa ko towa kila magonjwa kwenye familia yetu na watoto wangu asante

  • @HAPPYNESMSONDE
    @HAPPYNESMSONDE 11 дней назад

    Naomba Mungu anisaidie nimalize nyumba yangu kabla sijamaliza mwezi wa 12 eee YESU nisaidie

  • @jescamgimba9061
    @jescamgimba9061 12 дней назад

    Naomba Mungu anisaidie kumaliza nyumba madirisha ya aluminium nipake rangi na fance ndani ya mwezi huu

  • @annethmalunde144
    @annethmalunde144 12 дней назад

    Ameen 🙏

  • @estermollel
    @estermollel 11 дней назад

    Haleluya haleluya

  • @JacquelineMetili
    @JacquelineMetili 13 дней назад

    Amina Amina

  • @ElizabethLaizer-h5i
    @ElizabethLaizer-h5i 12 дней назад

    ❤❤❤🙏🙏

  • @mmbandofadho6613
    @mmbandofadho6613 13 дней назад

    Lango la mwenzi 12 na siku zake tunaliingia kwa Damu ya Yesu kristo