UMEMPA MIMBA MKE WANGU 💔 (Part 02) Love Story | Final

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 227

  • @LightRichie-q1k
    @LightRichie-q1k Год назад +23

    Hongereni kama umetoka na kitu hapa gonga like kwa mafundisho mazuri

  • @nuruheartaman5925
    @nuruheartaman5925 Год назад +12

    Kelvin na Victoria mnapendezana sana ❤❤❤❤❤

  • @teresakhakasa66
    @teresakhakasa66 Год назад +11

    Mara mingi wakulaumiwa Ni mwanamke but ukisha Enda hospital Kwa vipimo ndipo utajua tatizo lipi🎉🎉🎉

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 Год назад +6

    Brown rafiki kila cku uvunja ndoa kuwa makini sana Mashallah Vicky mama kijacho 🎉🎉🎉

  • @Mirelleirakoze
    @Mirelleirakoze Год назад +16

    Wakwanza Léo from Burundi nipewe likes zangu 🎉🎉❤

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x Год назад +57

    Wapi wkenya wenzangu dondosheni maua kama mnampenda da vicky jamani❤❤❤

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Год назад +18

    Team strong mko wapi nipe likes jamani❤❤🎉🎉

    • @AntyBy
      @AntyBy Год назад

      😂😂😂fire

  • @christine7744
    @christine7744 Год назад +4

    Wakati wowote wambiwa mvumilivu hula mbivu brown ona matokeo hayo much love from kenya❤❤❤❤

  • @maureenjohnson6471
    @maureenjohnson6471 Год назад +9

    Nipeni mauwa mm wa kwanza from 🇰🇪

  • @Maryamu255
    @Maryamu255 Год назад +8

    Naskia Raha ❤❤ Kukuona unafurahi vick❤❤

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah Год назад +3

    Pole dada Vicky , huenda akawa broun sio ubavu wako,

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 Год назад +4

    Funzo kwa wanaume wakiona hawazalishi ni bora hata wao wakaenda check up kwa daktari

  • @FaithChivatsi
    @FaithChivatsi Год назад +2

    Brown wakati wowote usisikilize ndugu mkeo awe nambari Moja from kenya❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AminaKida-ik8fc
    @AminaKida-ik8fc Год назад +5

    Victiria unafundisha sana jamii saluti kwako❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo Год назад +3

    Mumenichezea vitu zangu,this is my life story,munanikumbusha mengi kweli,but now I 'm waiting my Lord who did goods to me always.🎉🎉🎉🎉

  • @PriscaKagendo-w7q
    @PriscaKagendo-w7q Год назад +3

    Jameni unachokitupa Kwa dharau ni dhamani kubwa Kwa wengine brown sahau Vick, kelvin onger😢sana!

  • @SelinaMayunga
    @SelinaMayunga Год назад +2

    Hongereni movie nzuri mmejua kufundisha ulimwengu

  • @Fatuma56
    @Fatuma56 Год назад +3

    Movie nzuri sana hongereni🎉

  • @AsiaSalim-e4d
    @AsiaSalim-e4d Месяц назад

    Ndivyo ilivyo wanaume wengi baadhi Yao wanajiona wakamilifu hawana hilo tatizo ,shukran nyote Kwa funzo zuri ❤❤❤❤

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e Год назад +2

    Nlikwambia brown nlixma ww ulikua tsa 😂😂😂 leo walia nn,uchungu alianza victory ww maliza ubwa ww😂😂😂❤❤❤❤nawapenda bure

  • @romanasulley83
    @romanasulley83 Год назад +5

    I always love you
    Kelvin and Vicky to be together

  • @naomimogambi-br5zt
    @naomimogambi-br5zt Год назад +4

    Likes jamani love you vick

  • @StephenOuma-py7uh
    @StephenOuma-py7uh 8 месяцев назад

    Hongera sana kwa wafadhili wa vipindi haya nawapenda sana,,,,,na pia hongera kwa kaka kevi na Vicky kwa hatua mbele,,,,wifi hawana utu hata mara moja ila hao wenyewe hawana jipya kwao❤❤❤❤

  • @SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl
    @SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl Год назад +5

    Pole Vicky machozi yamenitoka kwakweli.

  • @aishasuleimantabwara4954
    @aishasuleimantabwara4954 Год назад +3

    Nilitamani hata dada zake na brown wakuone na mimba ndio mashavu yawashuke kwa aibu

  • @furahakenga6619
    @furahakenga6619 Год назад +5

    Wapi like za wakenya 🇰🇪🇰🇪❤️

  • @FatmaMwinjuma-p5u
    @FatmaMwinjuma-p5u Год назад +3

    Wapir reo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Год назад +3

    😭😭😭😭pole sana victoria

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +4

    Vcky soit forte Dieu est là!!

  • @ElizaGusenga
    @ElizaGusenga 4 месяца назад

    Nawapendaa san ❤❤ kam kunaa ndugu zangu kutoka burundii ambaye nanyie munawapend gongo like🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no Год назад +2

    amazing!!!!!kelvin and vicky always makes us happier

  • @mariamabdi-r7b
    @mariamabdi-r7b Год назад +1

    Kaz nzur sana Kelvin nakubal sana

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez Год назад

    😮😮😢😢❤❤😊😊😊Kelvin na Victoria mumependeza kweli. Nawapenda mungu awazidishie kipaji.., oll the best 👌 👍;

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Год назад +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI

  • @ChristineRumba
    @ChristineRumba Год назад +1

    Mbachofanya sio poa juu pia nyinyi ni wanawake❤❤

  • @fatuma-fg9en
    @fatuma-fg9en Год назад +2

    Hy Kwa Vick pongezi from kenya❤❤❤❤❤❤

  • @JanetJanet-o7z
    @JanetJanet-o7z Месяц назад

    Jamn dad vicki napenda sana unavyoigiza jamn❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 broun sio chaguo lako

  • @Riziki.AliSalim
    @Riziki.AliSalim Год назад +1

    Wow final Kevln na victory ❤❤❤❤

  • @MaryQhtt
    @MaryQhtt Год назад +2

    Amizing team donta❤❤❤

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад +4

    Good job kelvin❤❤❤

  • @LulyalyaKinya-lr9ch
    @LulyalyaKinya-lr9ch Год назад +1

    Kupata mtoto ni mchongo jaman hususan kwa wadada wanaopenda chips kuku❤❤

  • @AminaAlexHabash
    @AminaAlexHabash Год назад +1

    Watu hawafanani....ulivyo wewe sivyo alivyo mwengine

  • @chidzodunda
    @chidzodunda Год назад +1

    Mmmh jamani oaneni Kelvin na Victoria mmependeza mno ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MariamMabula-mp2tp
    @MariamMabula-mp2tp Месяц назад

    Kunambi mwehu kumucha means mke kids azai hujui kuzaa nimipango yamwezi mumuya kervin navickitora❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅

  • @fellst4159
    @fellst4159 Год назад +1

    Kelvin na vicki nyinyi watu munaendana sana❤❤❤😂😂

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 Год назад +1

    Nenda kwenu aka kwani ulifukuzwa ata huezi Toka apo mume SI huyo pekee yake

  • @AshaMalekela-o7t
    @AshaMalekela-o7t 10 месяцев назад

    Mhhhhh jaman aya mamb yap❤❤❤❤❤

  • @Albert23official
    @Albert23official Год назад +3

    Wewe iyi kali

  • @Mosesleonadi-dv4wk
    @Mosesleonadi-dv4wk Год назад +2

    Vijana mpo vizuri

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 7 месяцев назад

    Kenya Watching, twapenda. Muvi nzuri

  • @glorymlawa7078
    @glorymlawa7078 Год назад

    😂😂brown,kakalia msumari wa Moto inauma Sanaa! Good work mwy friend Victoria and Calvin can❤❤

  • @Nuratyfredy
    @Nuratyfredy Год назад

    Jmniii vicky mhehe mwenzangu kamwenee wifanya unofu htriii❤

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 Год назад +2

    Waume mnapenda kutuonea sana je kama ni ww mwenye tatizo?

  • @Maryamu255
    @Maryamu255 Год назад +2

    jaman mbona hutetee mkeo😢😢😢😢😢

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Brown muomba Mungu hachoki zidi kuomba Mungu mtapata mtoto Kwa uwezo w Mungu siku itakapo fika kupata mtoto hakuna atakaye zuia Mvumilivu hla mbivu

  • @madazee4251
    @madazee4251 11 месяцев назад

    ❤❤u guys pole kwa kaka brown ulishindw kuvumilia ila pole

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe Год назад +1

    Pole sana Vick wangu utapatu mtoto Mungu yupo

    • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
      @AlphonsinaSilayo-ff3pe Год назад

      Hao mawifi zako sijawapenda walichukuwa wanakufanyia pole sana Victoria wangu

  • @deoselcom9701
    @deoselcom9701 Год назад +4

    🎉🎉nakupenda vick uko makini SANA 🙏❤❤❤❤

  • @EmmaculetJepchumba-zt9gr
    @EmmaculetJepchumba-zt9gr Год назад +1

    Funso kwa wengine ❤❤❤

  • @MwanamasAli
    @MwanamasAli Год назад +2

    Leo nimefika mpema😅😅😅

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад

    Daaah kwel ukisema cha nn mwenzako anasema atakipata lin😢😢😢

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Brown aibu wew uko Na tatizo tzama sasa baada mda cmrefu Vicky kakuacha kapata mume mwingne Mungu c Athuman Vicky anauja uzito

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Год назад +1

    Nzuri zaidi❤ hadi nime furahi muno😂😂😂

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru Год назад +1

    Love story.wa kwanza pia mimi😂

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza 20 дней назад

    Brown hana nguvu za kiume Kelvin amekutengenezeya mwisho wa ubaya ni aibu mungu ndo anajuwa kesho ya kila mtu kutoka RDC

  • @Ramsey176
    @Ramsey176 Год назад +2

    Wakwanza from Australia

  • @Agnes764
    @Agnes764 Год назад

    Daaaah😭 wanaume Msituhukumu wanawake tutafute suluhisho kwa pamaojaa ❤❤❤

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 Год назад

    Habari ndugu wapendwa tunashukuru kwa elimu yenu msiwe mnakemeyana kila wakati kumbe tatizo hamlijuwi wanandowa na mawifi tuwe na heshima

  • @Annwanjiroombati
    @Annwanjiroombati 4 месяца назад

    Wou very nice thanks

  • @AngelNyato
    @AngelNyato Год назад

    wa mwisho from italy❤❤dondoshen likee bx

  • @Jojo-y7k8g
    @Jojo-y7k8g Год назад

    Jamani pole brown umeshindwa uvumilivu😢 from 🇧🇮

  • @RedemptertheAngel
    @RedemptertheAngel Год назад

    Nice one team kelvin my the lord bless you

  • @ImeldaMwende
    @ImeldaMwende Год назад +1

    Kelvin kwanini usimuoe tu Vicky, mnapendeza sana

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw Год назад

    Mawifiiii tujifunzeni kunyamaza☹️☹️

  • @dariaYohana
    @dariaYohana 9 месяцев назад

    Jaman hauwez kuamin jaman viki kafanya leo nime fulah kitend cja yeye kunyanyua mkon wake kama wew pya umeona gonga like

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s Год назад

    Jamani hapodomnapokosea ❤❤❤kukatishaa

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 4 месяца назад

    Wakati mwengine subra muhimu na lengine ukiingia kwa ndoa fata ndoa yko wengine ni vivuruge vya ndoa za watu like kama unakubali victory na kelvn

  • @eunicea5529
    @eunicea5529 Год назад +1

    ❤❤❤nawapenda sana

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Vicky usiumize Moyo wako wanaume tushawazoea ndivyo walivyo mume Hyo Ovyooooo

  • @MwnaamBwanaid
    @MwnaamBwanaid 6 месяцев назад

    Mm natamani sanaa kujuunga Nanyinyi

  • @JenniferAdhiambo-e2f
    @JenniferAdhiambo-e2f Год назад

    Nzuri sana💃💃💃🇰🇪♥️

  • @JanefferMaria-yp7un
    @JanefferMaria-yp7un Год назад

    Good job vicky and Kelvin🎉🎉🎉

  • @njunisamweli2410
    @njunisamweli2410 8 месяцев назад

    Jaman😮mnajua kutufulaisha

  • @PreciousNzai-u9f
    @PreciousNzai-u9f Год назад

    Wow,gd job kw Wana donta nawapenda bure

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢malipo mtayaona 😢😢😢😢😢😂😂❤

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe Год назад

    Umependeza sana na Kelvin hakika mnaendana

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 Год назад

    Aaaah vp sasa Kelvin, mbona inaishia hapo!? Tuletee part 3 mawifi waone mtoto watahayari bhana

  • @NdayishimiyeEstella-u8j
    @NdayishimiyeEstella-u8j Год назад

    Kelvin nakupendaga san❤❤❤❤

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 Год назад

    Aya yashanikuta lakini sasa ivi wanajuta kwanini walinifanyia ubaya imenikumbusha mbali sana

  • @SelemaniNtobi-f7h
    @SelemaniNtobi-f7h Год назад

    Team Victoria mamb ni moto

  • @MildredOnyango-l5o
    @MildredOnyango-l5o 2 месяца назад

    Mbona series ynyewe fupi lakini,,ndo ilkua imefika mahali patamu sana

  • @nuruheartaman5925
    @nuruheartaman5925 Год назад

    Ni nzur sana 🎉🎉🎉

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 Год назад

    I like song 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊hii ni ya Akina ex inachoma sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂name of the song plz nieke kwa Ufa ex akipita asikie😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @PurityMbiyu
    @PurityMbiyu 11 месяцев назад

    Fupi sana Tena tamu, from kenya

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад

    ❤❤❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲nimewamiss mnoo

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز Год назад

    Good job❤❤❤❤❤ mbarikiwe saana

  • @SarahMuyoka-jx7ff
    @SarahMuyoka-jx7ff Год назад

    Victoria pokea maua yako kwa wingi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AmericoErnestoLucas-tn4dn
    @AmericoErnestoLucas-tn4dn Год назад +1

    Vicky nakukubaly sana.

  • @AshaKuyu
    @AshaKuyu Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ Viktoria weeeee

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 Год назад

    Brown nakupenda tu bure, 🇰🇪 twawapenda saaaaaana