Kaka dah nime amini mziki hisia hiii ngoma toka asubuhi naiskiliza imenitachi sana 🎉🎉🎉sema kaka naomba mawasiliano yako kwa ajili ya kazi mi rapar from mbeya pigobaya
Yaani jmn nakuombea utoboe🙌🙌. Kila nyimbo unayotoa inanigusa. Endelea hivyo hivyo. Kuna watu wengi wanakusikiliza. Hata kama hawacomment Wala ku like. Wewe jua Kuna mtu mahali amekaa anasikiliza nyimbo zako. Naamini one day utachomoa. Keep it Up. Never LOOSE 🙏
Dah naandika kwa hisia sana, Mungu akubariki kijana, unajua sana tena sana. Kiufupi unajua, unaweza na kila kitu upo perfect kwenye nyimbo zako nyingi. Endelea kupambana, ipo day. Jaribu kutafuta collabo na wasanii wa juu kidogo ili wakuongezee umaarufu ili uende mjini zaidi.
Daaah sitasahau huu wimbo umeniliza sana nipo ktk wakt mgum sana mwanaume nilie mwamini nikampa pesa zangu za mirathi asimamie ujenzi kanifanyia ushenzi wanaume nyie apana sijui mpendwe vip milion 11 ananiambia amepoteza anatoka bank kweli😢😢😢😮😢😮😮😮
duuh hakika kaka wimbo umetulia una maneno mazuri ya kunifanya nijikubali na kujiamini kua kupitia Mungu na maombi ya mama yangu nitatoboa hata pasipo hao marafiki pasipo hata mwanamke niliempenda na kunisaliti kisa kiwango changu hakijawa Cha juu kazi nzuri sana kaka Mungu akulinde
Yani kaka hii nyimbo ni Kali kwa miaka yote duniani.. umetisha sanaaaaaaaa.. I real apriciate this.. nakubali sanaaa.. naomba izidi kuachia kazi za hivi kaka😢😢😢😢😢😢
Bro u are my favorite artist of all time.... Kaka unajua sana....niliposikiliza hii nyimbo imenifanya nijiskie hali flan ya kufarijika.... Keepit up bro❤...
Wote ambao yashawai kuwatokea kumbuka kwamba sumu kwako ni dawa kwa mwingine kama huthaminiwi ulipo kwingine watona ubora na umuhimu wako kuwa duniani hivyo kuna yule atakae kupokea na kukupa vyote ulivyovikosa awali. Naomba mwenyezi mungu akurudishie miaka yote iliyoliwa na nzige😢
Depression is really, " Hata huwe mzurii kivipii kukosana , kupignaa ipo"😢😢. Bora pekee yangu . Real 💙 love this song , let's support CentanoTz ❤️. #IPO SIKU.
From a Malawian,currently residing In South Africa,though I can't hear the Language,but deep down in my soul this song it gives me hope to not give up❤❤❤❤
Centano nyimbo zako basi tu acha tukusikilize maan unajua sana..kama msemo wa 20% wenye pesa zitaomgea Hela ila wenye vipaji wengi mafukara..kaza tu ipo siku
Bora pekeangu... Nowadays there's no one who's better. Depression almost finished me but this song reminded me to be myself ❤ Nipeni likes even if my cousin snitched to have my galfie 😂😂😂😂
KARIBU SANA 🥰🥰🥰
Kaka unaimbaa vizuri sana tena maneno yaa maanaa sanaa
Asante Sana 🎉❤
Kaka dah nime amini mziki hisia hiii ngoma toka asubuhi naiskiliza imenitachi sana 🎉🎉🎉sema kaka naomba mawasiliano yako kwa ajili ya kazi mi rapar from mbeya pigobaya
Bora pekee yanguuuu
Bro piga remex na belle9
Any Kenyan here?🇰🇪🇰🇪❤️
😊
I'm here🎉
Yes ❤❤❤❤❤
Yees yes🎉🎉❤
254
Mimi wa kwanza naombeni like zenuu hapaa❤❤🎉
Usijal Centano harmonize anafanya kaz na ww soon naamini hvyo na utafikisha 39m viewers for the first time
Yaani jmn nakuombea utoboe🙌🙌. Kila nyimbo unayotoa inanigusa. Endelea hivyo hivyo. Kuna watu wengi wanakusikiliza. Hata kama hawacomment Wala ku like. Wewe jua Kuna mtu mahali amekaa anasikiliza nyimbo zako. Naamini one day utachomoa. Keep it Up. Never LOOSE 🙏
Very true.. this song her a very sweet vibe in it. So peaceful.
true like here i am the vibes already taken
nipe numéro yako
Depression is real tumekunywa tukapingana tukakosana na family just bcoz of love bora pekee yangu kama unakubali nipe like😢😢😢😢
😢😢😢😢 I hate love
🎉
Anyone from Tiktok,pita na like,this song is something else ❤❤❤❤
au sio mamaa ❤
Nadedicate moyo kwenye hustle mama aniombea mungu aniona wanapolala sisi tuko macho haya machungu ipo siku yatapona😭😭IPO SIKU
This part hits hard
It's true 💯
Brother ngoma Kali Sana pamoja sn kuimba unaweza saanaa toa ngoma nyingne tenaa🎉🎉🎉🎉
Kama namuona Belle 9 kwa mbaliii....🔥🔥🔥
Nami nimeona. Hivi Belle 9 yuko wapi??
Centano ngoma Kari Sanaa pamoja sanaaa🙏🙏
From tiktok to here
kama bado unasikiliza hii nyimbo gonga like😥
Abarundi mukunda iyi ndirimbo Shaw love here🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yan hii ngoma inanipa nguvu. Sana kipindi hiki Nimefanya. Maamzi sahihi
Dah naandika kwa hisia sana, Mungu akubariki kijana, unajua sana tena sana. Kiufupi unajua, unaweza na kila kitu upo perfect kwenye nyimbo zako nyingi. Endelea kupambana, ipo day. Jaribu kutafuta collabo na wasanii wa juu kidogo ili wakuongezee umaarufu ili uende mjini zaidi.
Kwel kabs unaushauli mzul sana mung akulipe
ukweri
kka
Kabisa kaka🫡
This song came at the right time.....inshallah ipo siku❤
I don't know why this song is underated...it's 🔥 I love it 🤩❤
Kk wewe ni star mkali sana nipo Congo ila nafatiliya mistari yako nimitamu tena ina mengi mawaidha shukran sana big
Centano mwana kilwa unajua Sana mpaka unaboa,unaandika Sana tatizo nyota ,naomba like tuliyo ikubali Ngoma hii👊👊👊👊
Huyu ni MHa mwenzangu centano sio mtu wa kilwa n wa kigoma ndg ,
kazi safi ,ngoma yazungumzia kisa changu ,Mungu akuzidishie baraka bro
Nyimbo nzuri san Asante kwa wimbo huu bora nibaki peke yangu
It’s like you know exactly what I passed through and my decision now👏👏👏👌
Ngoma yangu pendwa Sana haiwezi pita ck cjaickiliza❤❤❤❤
Daaah sitasahau huu wimbo umeniliza sana nipo ktk wakt mgum sana mwanaume nilie mwamini nikampa pesa zangu za mirathi asimamie ujenzi kanifanyia ushenzi wanaume nyie apana sijui mpendwe vip milion 11 ananiambia amepoteza anatoka bank kweli😢😢😢😮😢😮😮😮
Pole sana mrembo.
Pole
Duuh pole sana
Pole Sanaa ndugu
Pole sna dada tatizo unapenda sana ,unajali sana ....🎼🎶🎵🎵Bora peke yako 😂😂✌🏿🇺🇬
Jah aendelee kukubless Kuna uhalisia flan hv wa maisha tunayoishi broh
ngoma kali sana
Aki Nakupenda Bure centano keep it up I real love your songs ila. Hii ni wimbo nzuri sana hata ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💯🤩
Nime post hii song kwenye status yangu mamangu akaniomba full song Wallah❤❤
Welcome bro ❤❤❤❤ likes kwa mama zetu🙏🙏
Kuna wengine watapuuzia huu ujumbe ila hongera zidisha mapenz kwa mama
Fame nayo ni mzuri this song deserves 1M no wonder people sell themselves to the illuminate to gain connection hence fame
true if this song was done by Diamond 5 million views
We na ni mcute ❤❤❤
Ama hakuna mwenye ameona kama mimi ndo naona vibaya
Kila la kher kwenye nyimbo zako mungu akusaidy tuu❤❤❤❤❤
Respect my bro Munguakupe moyo wakuamini unachokifanya nakuonambali sana bro
Hongera sana kaka mungu ni mwema utafika mbali much respect
duuh hakika kaka wimbo umetulia una maneno mazuri ya kunifanya nijikubali na kujiamini kua kupitia Mungu na maombi ya mama yangu nitatoboa hata pasipo hao marafiki pasipo hata mwanamke niliempenda na kunisaliti kisa kiwango changu hakijawa Cha juu kazi nzuri sana kaka Mungu akulinde
Damn…this is a serious piece !the message,the melody the flow…much love from254🇰🇪
wimbo mzuri sana congratulation mdg Wang
It's like you sung for me my situation every day 😢😢😢
Yani kaka hii nyimbo ni Kali kwa miaka yote duniani.. umetisha sanaaaaaaaa.. I real apriciate this.. nakubali sanaaa.. naomba izidi kuachia kazi za hivi kaka😢😢😢😢😢😢
Mimi watano nipe like zangu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪alll the way fro kenya 😊 kazi kubwa Aslam 🎉🎉🎉🎉
Am in love with this song even though I don't understand anything . Love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
It means betrayal in Love
Bro u are my favorite artist of all time....
Kaka unajua sana....niliposikiliza hii nyimbo imenifanya nijiskie hali flan ya kufarijika....
Keepit up bro❤...
Wote ambao yashawai kuwatokea kumbuka kwamba sumu kwako ni dawa kwa mwingine kama huthaminiwi ulipo kwingine watona ubora na umuhimu wako kuwa duniani hivyo kuna yule atakae kupokea na kukupa vyote ulivyovikosa awali. Naomba mwenyezi mungu akurudishie miaka yote iliyoliwa na nzige😢
Depression is really, " Hata huwe mzurii kivipii kukosana , kupignaa ipo"😢😢.
Bora pekee yangu .
Real 💙 love this song , let's support CentanoTz ❤️. #IPO SIKU.
Wow ❤❤ song,,imeenda shule kipaji kipo
Kazi imejibeba bonge la content Centano nice video chukua maua yko kbs "bora peke yangu" 🎉🎉🎉🎉🎉
Umenikumbusha 2014 brother 🤜🤛 Bora peke yangu wimbo bora Duniani ❤
🔥🔥🔥🤝🙌Muha mewnye uwezo wake kutoka kasulu 🔥🔥🔥🔥 centano mtu ambaye kichwa chaki kina mambo mawili pesa au mapenzi
Flying Kenyan ❤
The song is hit 100/100 minus nothing 😊
Unyama ni mwingi bloody Mungu akuzidishie🔥🔥🔥
Nadedicate moyo kwenye hustle 😊mama ananiombea na Mungu anaiona❤
mstar bora
This song I heard at TikTok ,and I decided to follow up here , o my God amazing song ❤❤,let's surport this boy
How , how did you know my life bro ?! Jama anaimba maisha yangu kabisa ehhh 🫡🇺🇬👏
Much Love from Botswana ❤🇧🇼
Sending mu love from Zimbabwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
bora peke yangu!! D aaah kitu nzito sana congrats bro
Good music from a good you.
Asante sana kwa muziki mzurii
Ulifunika hilo goma mwanangu big up G
The lyrics were carefully written. What a beautiful song! Kazi safi sana
It’s like you knew exactly what I passed through and also my decision now. I love this song ❤❤❤. Good job👏👏👏👌
Am really addicted to this dope sina chki sina wivu 🎶🎵🎼bola peke yangu🎼🎼✌🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏✌🏿
unyama sana jamaa❤
i really like the vibes in your songs Omary coz they are educative...they bring out lessons in them😘🥰😇💫💥👊👊👍👍continue with the trend man
From a Malawian,currently residing In South Africa,though I can't hear the Language,but deep down in my soul this song it gives me hope to not give up❤❤❤❤
Mziki umenituliza, Big up Boy child 🎉
I followed this song from TikTok so amazing ❤
A Rwandese in the house representing .
Big up sana bro,
Kazi nzuri kbs. Salute 🫡
Song kali sna broo
Keep up your good work Allah will rise up you🙏
centano you killed it love ya songs tutafika mziki mtamu kakangu awooooooh
Much love from 🇰🇪
Centano nyimbo zako basi tu acha tukusikilize maan unajua sana..kama msemo wa 20% wenye pesa zitaomgea Hela ila wenye vipaji wengi mafukara..kaza tu ipo siku
Good song bro❤,inaeza kuwa poa ukifanya remix then kuwe n mse wa kurap😮jaribu mkenya ka papa jones the og uone vile itakua🎉
unajuwa sana, ngoma kali, ALLAH akumulikie mwanga wa mafanikio,
Perfect boy hapa centano
Unatisha
Eeei... Nice song, big love
I just love this song🇰🇪🇰🇪
Centano nakukubali sana unakipaji ila bahati hauna naamini ipo siku utakua super star mwanangu unasifika arabuni
Mzur sana uko vizur mana wimbo wako unagusa isia
Bro,,, you are talented 💪💪💪 your message is powerful 💪💪
Kazi nzuri sana Tano
Bora peke yangu 😅😅😅, Love u so much & I'm pray for you ❤❤
Much love from zambia 🇿🇲
OMG i love this song❤🎶🇧🇮
Much love from Uganda ❤❤❤❤
big AP bro
Kampala ❤🎉
Keep burning bruh ❤ love this amazing song much
This is a pure talent, you going miles far!!!🇰🇪
Comment ukitumia kiswahili
Much love from Congo, kazi safi Sana ❤❤❤❤
Facebook brought me!
Me tiktok 🙏
Bora pekeangu...
Nowadays there's no one who's better.
Depression almost finished me but this song reminded me to be myself ❤
Nipeni likes even if my cousin snitched to have my galfie 😂😂😂😂
Another kind of bongo version💯
Safi sana Santiano unaua sana kaka..Never dispoint you..Bora peke ako
Am from Tiktok
Kazi safi sana Kakangu 🔥🔥🔥💯
"The music lives forever "🎧☺️ 👏👏👏👏👏👏👏 Centanoboy hit song forever
💪💪💪💪💪💪hiii nyimbo nilikuwa sijui kama ni yako kaka♥️♥️♥️♥️♥️
I love this song plus the video everything is so amazing🎉❤
Nmetafuta ii ngoma sana bro😂 finally
one day you will change the histry, persist on going hard!
Felt this mehn
Just heard this song today....so smooth...nice .. keep up 🎉🎉🎉🎉🎉
Direct from tiktok gather here
Aise ngoma Kali Sana centano big up brooo🙏🏼🙏🏼🙏🏼
"Tatizo napenda sana najali napunguzaaa"😢