Sitarudia tena! Wamama wazee muache kupea vijana wadogo rose coco !! Ona Kama hawa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 773

  • @KalukiMbolu
    @KalukiMbolu Месяц назад +69

    Huyu dem Ata akivalia toja na top n Mali Safi si mzee ❤

    • @mercyseur9462
      @mercyseur9462 Месяц назад +2

      Yeah si Mzee but ni Mzee Kwa huyo kijana,, you are not old until you date kids but mukienda na Rika yako you are not old

    • @LinLen-m5l
      @LinLen-m5l Месяц назад +4

      Imagine sio Mzee ni mavazi tu ni cute

  • @StanzMakau
    @StanzMakau Месяц назад +134

    34 yrs Pluto she's very young,, still she's a youth,, only shida ndio inamweka akae Mzee

  • @cynthianoanezz9451
    @cynthianoanezz9451 Месяц назад +79

    Navile nmekimbia mimi ni number 10 mnipe like kumi tu natupitianee wadau 😂❤❤

  • @henry_tom029
    @henry_tom029 Месяц назад +32

    "hapa waliku enjoy" is a real heart break 😂🤣.... anyway nipewe haki yangu,, piga like tukisonga..

  • @CarolNjeri-f7j
    @CarolNjeri-f7j Месяц назад +63

    Kama umeshida ukichungulia kama Kuna drama ya Saa tano kama mm msalimie😀 Alloh,, top shotaaaa

  • @marylinebarasa1764
    @marylinebarasa1764 Месяц назад +39

    Uzuri wa kifo haichagui miaka, tajiri,,maskini,mnono ,mwembamba , mrefu ,mfupi😂

  • @mildredndinda2160
    @mildredndinda2160 Месяц назад +29

    Hawajaachana sana 34 na 23 iko sawa kabisa.only shida ndio imemfanyq akae mzee.

  • @WilberforceMulavi-kc2jf
    @WilberforceMulavi-kc2jf Месяц назад +15

    Na msijifanye mjaskia mamaa anapenda marimera kipenzi 😂😂

  • @IshimweDavid-q2h
    @IshimweDavid-q2h Месяц назад +112

    Who else is addicted to this show 😂

  • @Ttty-w7y
    @Ttty-w7y Месяц назад +16

    Huyu boy ako sawa akili kweli,maneno anaongea hazimake sense😅

  • @Gatwirim000
    @Gatwirim000 Месяц назад +4

    She look young for real ❤the skin color is giving 😊

  • @nicolecandy-w9q
    @nicolecandy-w9q Месяц назад +5

    Pluto...fika huku Kamiti road 😂😂......uanzie hapo Roysambu...coz huku madem hudate big machine 😂... governors...MPs..etc

  • @mollyodhiambo157
    @mollyodhiambo157 Месяц назад +9

    Huyu kijana ako too confused ,anataka kutumia wamama but asiolewe nao 😅😅😅😂

  • @mohammedsaleh3051
    @mohammedsaleh3051 Месяц назад +12

    Rebecca: Hello Chris uko na nani nko na kamamaa kingine kameniweka 😂 chriss anapenda wamama eti ulkua pisi kaali but sahii umechapa 😅 Kanairo kuna maajabu

  • @Barkemohamed-d1s
    @Barkemohamed-d1s Месяц назад +17

    hahahahahaha🤣😂😂waaaah hapa kwa thee pluto pia tunaona mambo kweli ...weeehh 😅😅😅😅weeeeh mnipe tu likes bna tukicheka tukisonga😅😅😅

  • @Jozuine
    @Jozuine Месяц назад +37

    And she's very beautiful aki,,ni hizo nguo achange tu

    • @Ttty-w7y
      @Ttty-w7y Месяц назад +5

      Aki she is cute,mi naona she even look younger than her age,ni mavazi amevaa

    • @joanjoan1831
      @joanjoan1831 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @TomasLunwanji
      @TomasLunwanji Месяц назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ZippyGithukuorg
      @ZippyGithukuorg Месяц назад +1

      Kwanza smile 😊

    • @LucyEmpressWanjiru
      @LucyEmpressWanjiru Месяц назад

      ✌️✌️

  • @AisamCapadia
    @AisamCapadia Месяц назад +51

    Leo nmejitaid kuwai like zangu kesho niwe kwenye top10

  • @harrietkambua1399
    @harrietkambua1399 Месяц назад +39

    10 people wanipitie niwapitie tugrow pamoja ❤️❤️❤️

  • @olamegahararo
    @olamegahararo Месяц назад +12

    Hapa Pluto ameitwa producer😂😂😂😂

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 Месяц назад +18

    Uyo n msichan pluto acha kumuita mathey😢

  • @kevinngetich1558
    @kevinngetich1558 Месяц назад +6

    First to comment good job chief sanitizer sanitize the streets

  • @amandavictry2770
    @amandavictry2770 Месяц назад +12

    Walai hii ya leeo nimecheka kaa fala walai...........pluto saidia hii couple waunde you tube channel ...they can be good comedians l swear😂😂😂😂😂😂😂

  • @Frank2545
    @Frank2545 Месяц назад +6

    😂😂😂😂 ati macho inaona bibi wa wengine weee bro nkupate kw wangu nakuvuta vinyanya mshenzi😂😂😂

  • @Odenyoeveline
    @Odenyoeveline Месяц назад +23

    Pluto wacha kuchoma 34yrs nimudogo sana same me na 4kids na mutu aezi juwa ..huyu madam akipata pesa atangara arudi young 😊😊😊😂😂😂❤❤❤❤

  • @DaisyLia-iy3px
    @DaisyLia-iy3px Месяц назад +7

    producer was just chilling and then booom🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aishahahmeddy9288
    @aishahahmeddy9288 Месяц назад +8

    Huyo mama sio mzee she is still a Gen z ni life tu imemfanya hivo...

    • @saly429
      @saly429 Месяц назад

      Na dressing code

  • @wanguidaniel
    @wanguidaniel Месяц назад +7

    Nilikua nimeona hio phone kama zile bible za gideons tulipewa shule.Jamaa caring 😂😂😂

  • @dorothychepchirchir
    @dorothychepchirchir Месяц назад +11

    Hapo kwa kukufa ni kwa neema jameni😢

  • @XaviourChelimoo
    @XaviourChelimoo Месяц назад +5

    Hatuna maoni hapo,,,kijana anapenda wamama😅😅😅😅😅

  • @VeronicaKamanthe-k1p
    @VeronicaKamanthe-k1p Месяц назад +5

    Madhe amesema anapenda kushughulikiwa vizuri🤣🤣🤣🤣

  • @EstherMuiruri-d1s
    @EstherMuiruri-d1s Месяц назад +4

    Mimi nikiona thee Pluto nakuwa mwanariadha , coz mbio naenda Wacha to😂😂😂😂

  • @linetosongo4497
    @linetosongo4497 Месяц назад +4

    Laani pluto uliwaproach aje haukuogopa anaeza kua mtoto na mamake 😂😂😂

  • @tabbynjue7974
    @tabbynjue7974 Месяц назад +21

    Fist one tu comments 🎉🎉wapi likes please 😢

  • @esthermuthama34
    @esthermuthama34 Месяц назад +12

    Wueeeeh 😂😂😂 I lack words 💔😂 mtakula hata shosh

  • @janetmmboka4984
    @janetmmboka4984 Месяц назад +6

    Huyu mama anatuaibisha kaa waluhya,,,ati ampee mtoto wa dadake na Bado waendelee kukulana😢😢😢 shindwe

  • @oscarmuriithi5636
    @oscarmuriithi5636 Месяц назад +3

    Ngai!!naomba maisha inisongee imeniskuma sana😂😂

  • @NorahGatwiri-co5zq
    @NorahGatwiri-co5zq Месяц назад +10

    Uyu kijana akona mupuromoko wa akili walai 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JamesOpuk
      @JamesOpuk Месяц назад

      Walahi nikaporomoko🤣🤣😂 etii ako vizuri bedsheet😂😂😂

    • @NorahGatwiri-co5zq
      @NorahGatwiri-co5zq Месяц назад

      @JamesOpuk 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣na bdo anaogopa akufe amuache 🤣🤣🤣🤣

  • @Tonykiplangat
    @Tonykiplangat Месяц назад +7

    Huyu kijana anapenda wamama saanaa 😂😂

  • @NdegwaDaniel-ii8sd
    @NdegwaDaniel-ii8sd Месяц назад +4

    vile anaongea ananikumbusha movie ya kiriku 🤣🤣

  • @mukishdennoo5132
    @mukishdennoo5132 Месяц назад +7

    The confidence weuh😅😅,,

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 Месяц назад +6

    By tha sio mzee ata ,, nilidhan yuko 40, aah iyo miaka c mingi , akichange dress code n mrembo sana

  • @Shackila
    @Shackila Месяц назад +4

    Na wewe Pluto how about your story about Fel tel us what happened we
    we Cheka Cheka tu hapo

  • @munehjd9118
    @munehjd9118 Месяц назад +7

    The issue is dress code ..age is a number

  • @fatumafadeshi2514
    @fatumafadeshi2514 Месяц назад +1

    Wueh, 🤔🤔 macho ikipenda inapelekea moyo ,moyo nayo inapelekea akili 😅😅😅😅

  • @ayungake7555
    @ayungake7555 Месяц назад +12

    😂😂
    Mwalimu:Tunga sentensi ukitumia rukono
    Mwanafunzi:Rukono ya mummuy ndo inacheza merimela

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni Месяц назад +4

    Sasa pluto amekua producer😂😂😂😂😂lkini watu wamekorogeka huku nje😆😆

  • @shaniavirginia8699
    @shaniavirginia8699 Месяц назад +8

    mathe aliamua kutafuta kijana barobaro ampige mapangalee kwa kitandalee😂😂😂 hakai 34 anakaa 45.Wueh mtaniua Mimi hii dunia😂😂😂😂😂😂

  • @joycenyutu
    @joycenyutu Месяц назад +3

    Sasa ww pluto tukipatana utaniita múkúrú surely 😂😂😂😂kwani tumeachana na miaka gpi

  • @JoxhKalu
    @JoxhKalu Месяц назад +3

    Mie mkamba hapa , nataka mama mluyha❤❤

    • @Jessicabrown187
      @Jessicabrown187 Месяц назад

      Nichukue mkamba mwenzako mambo ya waluhyia achana kabisa

  • @mentor_Kevin
    @mentor_Kevin Месяц назад +5

    😂😂😂Mnatoa nguvu ya kudate wamama wapi😔

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia Месяц назад

    Hyu boy no mjinga na yye akitangulia kufa 😂😂😂aji mapenzi jamani😂😂😂😂hawa wamama wanazeesha haka katto omg😂😂😂

  • @Dantezmuema
    @Dantezmuema Месяц назад +15

    Aky waluhya wako hivi aky😂😂😂😂

  • @kevinchege9449
    @kevinchege9449 Месяц назад +6

    Khaii si huyo ni mamake😅😅😅

  • @shiiclaire7304
    @shiiclaire7304 Месяц назад +5

    Huyu si mzee ni shinda zimemzeesha🤔🤔🙄😎mimi ukiniita mathe.nitakulima mbaya sana😅😅nungu i

    • @mbulafrancis
      @mbulafrancis Месяц назад

      😂😂😂😂noma sana hio,,qwn hata Kama n mtoi mmoja s bado n mamii😂😂😂

  • @Naughty_wolf
    @Naughty_wolf Месяц назад +5

    Lakini kusema ukweli,Pluto amepitia mengi😂

  • @ChrissTina-b6z
    @ChrissTina-b6z 10 дней назад

    Yaani Pluto Bado inafanyia izi mambo Bado ...wueh..fel you did the best

  • @loisenyawira2513
    @loisenyawira2513 Месяц назад +8

    😂😂 aki Pluto mbna unamuita mami kma mama wa 50 years aki...34 ni baby gal

    • @paulkarani559
      @paulkarani559 Месяц назад

      Ata ni age group moja na pluto, alafu anamuita mathy 😂😂

    • @Wambohruth
      @Wambohruth Месяц назад

      Tena akieza vaa smart acha tuu anaeza kaa kademdem​@@paulkarani559

    • @RoseWanjiru-o6f
      @RoseWanjiru-o6f Месяц назад +1

      ​@@paulkarani559😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @paulkarani559
      @paulkarani559 Месяц назад

      @@RoseWanjiru-o6f for sure 😂😂

  • @JanoEvra
    @JanoEvra Месяц назад

    This woman she's humble i can't judge her because is not a stones she human being she i feelings, age 34 years sio big this mama she black beautiful mama short dress

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni Месяц назад +2

    Kifo haichagui bro.alafu tafuta size yako Acha ujinga.wote bunuasi😂😂😂wamepoteza network

  • @254onlinemedi
    @254onlinemedi Месяц назад +2

    Ati 34 ni mzee pluto see your life 😂😂😂we are still young wewe pluto unafaa kuchinjwa December kwa kutueta wazee 😂😂😂😂

  • @danielle-bt9tc
    @danielle-bt9tc 9 дней назад

    Ati simu ni ya kuweka ngoma time ya mchezo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SusanWangari-n7q
    @SusanWangari-n7q Месяц назад +4

    Lets allow chief sanitizer awe akitembea na nyaunyo

  • @Roselil-gkl
    @Roselil-gkl Месяц назад +3

    simu ya rukono 😂😂
    yaani rununu 😅😅

  • @paulinenduku-p6x
    @paulinenduku-p6x Месяц назад +1

    Huyu boy ako normal kweli😂😂😂😂😂😂😂

  • @PolycarpGrane-li2rz
    @PolycarpGrane-li2rz Месяц назад +5

    😅😅mimi ni WA kwanza likes kwangu

  • @strongwomanwithnoregret8234
    @strongwomanwithnoregret8234 Месяц назад +2

    Pluto punguza kicheko jamani😂

  • @kyalonaomi4671
    @kyalonaomi4671 Месяц назад +9

    Leo mm ndio wa first pluto come pc kinyanjui

  • @NancyNkonge-v4h
    @NancyNkonge-v4h Месяц назад +10

    𝕎𝕒𝕝𝕖 𝕨𝕒𝕜𝕦𝕝𝕚𝕜𝕖 𝕓𝕖𝕗𝕠𝕣𝕖 𝕂𝕦 𝕧𝕚𝕖𝕨 𝕞𝕜𝕠𝕟𝕠 𝕛𝕦𝕦🥰

  • @masibophiona1999
    @masibophiona1999 Месяц назад

    Si uvae u match energy ya ma boys aki😂😂😂😂 anakaa Shosho tu😂😂😂

  • @thatlyricalkidd
    @thatlyricalkidd Месяц назад +18

    Simu ya rukono 😂💯

  • @carolkalondu
    @carolkalondu 9 дней назад +1

    We.....no sawa😂😂😂 wamama

  • @DinahMuswachi-d7u
    @DinahMuswachi-d7u Месяц назад +5

    Waah enyewe love is blind😂😂😂

  • @HappyJerad
    @HappyJerad Месяц назад +2

    Pluto napenda unavyo Cheka. Niko TANZANIA NAWAPENDA KENYAS

  • @NatashaKeisha
    @NatashaKeisha Месяц назад +4

    First comment 😀 pita na like 😅

  • @fridahkongara4962
    @fridahkongara4962 Месяц назад +4

    Haki 😢kamama kameniweka😅😅😅😅😅😅

  • @marywangechi9460
    @marywangechi9460 Месяц назад +4

    She's stil Young sio Mzee ni dress code yake iko low siio mathe aki

  • @ruthnyamisi8476
    @ruthnyamisi8476 8 дней назад

    This Lady is still young... 34 Bado ako na energy

  • @hellen9467
    @hellen9467 Месяц назад

    Waaaah pluto ndo maana umevaa socks za kanungu maria 😂😂😂😂😂 umbwa mimi ukejo wewe

  • @isaacmuthui3896
    @isaacmuthui3896 Месяц назад +1

    Mimi sina pesa za kununua nyumba nasonga mbio to the main agenda 😂😂😂

  • @rosewanjuki
    @rosewanjuki Месяц назад

    Team strong ✋.ladies respect yourselves hii ni aibu.

  • @JaneLeah-xu7ss
    @JaneLeah-xu7ss Месяц назад

    Finally after waiting imefika 😂😂😂na Pluto hio kicheko yako weh❤

  • @lucynyansarora5846
    @lucynyansarora5846 Месяц назад

    Nashindwa ndo kwa nn nko single kumbee😢😢😂😂Plz God come we are ready

  • @RosalineWakina
    @RosalineWakina Месяц назад

    Sijuhi bona nacheka,,,underline hapo " ukikufa mbele nitaachwa na nani"😂😂😂

  • @beckykasmall
    @beckykasmall Месяц назад

    Waaaah Yani Pluto huchagui ady Hawa huyu ni mama ama mamaa😂😂😂😂

  • @Hadijah-ro9lo
    @Hadijah-ro9lo Месяц назад +8

    Kama hiyo simu inatoshana Na kichwa ya pluto😂😂hiyo Sasa Ni Lukichwa😂😂
    Mimi eti Kwa Bahati mbaya nikutane Na Pluto,,Kisha aanze kunihoji hivi,,kicheko yake ya Kwanza anicheke hivi,,nampiga😂 siwezi vumilia

  • @EzraRono-m9d
    @EzraRono-m9d Месяц назад

    na pluto ufike kakamega siku moja karibu na mmust😅hapa kuna mambo😂😂😂

  • @Marymuriithi-o6v
    @Marymuriithi-o6v Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂kijana napenda wamama

  • @KennedyKariuki-f2g
    @KennedyKariuki-f2g Месяц назад +2

    I first Thought it's Mother and Son aki😂😂😂😂😂😂😂

  • @elsiekirimi2236
    @elsiekirimi2236 Месяц назад

    It's Pluto's laughter for me😂😂😂
    She wants to share a man with her sister's daughter. Oh my😢
    Huyu kijana atapita na msichana wa huyu mama

  • @briananyula6451
    @briananyula6451 Месяц назад +1

    Mathe vijana watakuvunja shingo,,, 😂😂😂

  • @emily9744
    @emily9744 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂siku nyingine mukuwe serious bana😂😂😂😂hii nayo waaaah 😅😅😅

  • @beijahabibty6664
    @beijahabibty6664 Месяц назад +1

    Boy anajiskiza kweli😂😂😂

  • @CynthiaMoraa-n5b
    @CynthiaMoraa-n5b Месяц назад +1

    Pluto umekosea hiyo familia😅😅😅😅😅

  • @justanjogu3887
    @justanjogu3887 4 дня назад

    Whoa huyu mama ako na nguvu😂😂😂

  • @silviangari3291
    @silviangari3291 Месяц назад +1

    Huyu mathe ako na high libido😂😂anasisitizia mechi sana 😅eii kijana analima shamba viproper 😮

  • @JoyGakii-ok8mn
    @JoyGakii-ok8mn Месяц назад

    Huyu kijana n ghasia sana anapenda wamama 😅😅😅😅

  • @Shanizeshantel
    @Shanizeshantel Месяц назад

    😂😂😂😅😅"aty huyu mathe anaeza ka dedi"😅😅😅wee fear men 😅😅mathe run for your life huyu anakuwish death 😅

  • @phyllisbarasa2227
    @phyllisbarasa2227 11 дней назад

    Kuna simu,rukono,na rununu😂😂😂😂

  • @aminashiaMukami
    @aminashiaMukami Месяц назад +2

    Ata hiyo sauti ya Rebecca ni ya mumamaa😂😂

  • @BridgidKijedi
    @BridgidKijedi Месяц назад +1

    😂😅 merimela kipenzi jamani