Kuna la kujifunza kwa interview hii ya Emma. Dunia inazunguka na ili kuwa salama mshikilie Mungu awe mhimili wako muda wote. Muda mwingine kasi ya mzunguko wa dunia huwashinda wengi na kujikuta wanasambaratika ovyo. Acha Mungu awe mhimili kwako.
KAKA usuluhusu nafsi ikushawishi kuo kwa sasa, kibali chako cha kuo ni adha hadi akiitwa na Mungu ,kaka yule ni mkeo mpaka pale Mungu atakapo watenganisha, kaka pole Sana,

kaka Mbasha big up Sana kaka nimekukubali,Mungu akulinde ,na naamini atakuzidishia, imeniuma Sana kaka, achana nae mwanamke kahaba lile litakuua bule.
Kuna la kujifunza kwa interview hii ya Emma. Dunia inazunguka na ili kuwa salama mshikilie Mungu awe mhimili wako muda wote. Muda mwingine kasi ya mzunguko wa dunia huwashinda wengi na kujikuta wanasambaratika ovyo. Acha Mungu awe mhimili kwako.
Pole kaka mola atakupa wako inshaa Allah
KAKA usuluhusu nafsi ikushawishi kuo kwa sasa, kibali chako cha kuo ni adha hadi akiitwa na Mungu ,kaka yule ni mkeo mpaka pale Mungu atakapo watenganisha, kaka pole Sana,
kibasi wa kibasi
Yan kwakua to ni mwanaume anajikaza ila Stress ziko zakutosha Florh wew Hamna shida
Jamani nampenda uyu kaka anavocheka tu mm ohi
namkubali Sana mbasha
Nimependa cheko lake 2
Mbasha ww ni mhand utapata chombo kikali sana kakangu usijali
Sijapenda Frola alichofanya
Mungu yu mwema kaka atakupa faraja ya moyo wako time will tell
pole sana
Dominick Mwasa hoyo alioowa kajisumbua aksikia mtoto kalazwa ajue mkekaliwa watakutana mzazi na mzazi kinacho endelea nikukumbushiatu
Mungu huwa analipa hapahapa. Kwa hiyo tusubiri muda wake ukifika tutapata majibu.
pole sna yote maisha
mbasha ww uko poa sna
Inapendeza kuwa na amani ya moyo
mbona kila ukiulizwa swali la kuhusu frola unachechekaaaaa kulikoni au ndo umruz
bb utapata wako mbona unavuto ile mbaya kuliko huyo wa sasa
hatujui chanzo hasa cha Flora kataka talaka hivyo kumlaumu sioni kama ni jambo jema
Flora umemfanya kaka wa watu awe stressed. Mfyuuuu I hate frola
unakosea
wanawake wa k tz balaaa 2pu
Cyrus Michael baadhi
Cyo wanawake wote hata wanaume wengine hawana mapenzi ya kweli kwa wanawake